HAWA NDIO WANAWAKE 16 WALIOOLEWA NA MWANAUME MMOJA "ERNESTO"

  Рет қаралды 108,471

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 403
@HadijaShango
@HadijaShango 7 ай бұрын
Mashahallaah mungu ampe pepo uyu mama akifa apate pepo maan mwanamke nanusu kawapokea wakeweza wote naanajiamini pikakeleleee❤❤❤❤❤❤❤mama oyeeeeeeeeee
@bensonjr4879
@bensonjr4879 3 жыл бұрын
So interested story!! Big up Milad Ayo. Ur da best man
@neemamturi3273
@neemamturi3273 4 жыл бұрын
Daa Mungu anaona mengi. kwetu ufanye hivyo ihiiii!!🙆🙆🙆🙆 niolewe mimi na mdogo wangu mme mmoja utalaaniwa hadi kaburini Mungu azidi kuwalinda ndugu zetu.
@damariszuckschwert9489
@damariszuckschwert9489 4 жыл бұрын
Umaskini utaweka makao kwao na laana juu
@aaaaaah290
@aaaaaah290 4 жыл бұрын
ACHA KUWATISHIA WATU WEWEEEE😀😀😀 TATIZO LAKO HUSOMI MAANDIKO WALA VITABU VYA HISTORIA 😀😀😀
@mtumzito7268
@mtumzito7268 4 жыл бұрын
Kwani binaadamu wa kwanza kuumbwa ni kina nani? Na sisi wengine tumetokea wapi? Ukipata majibu ya maswali hayo ndio utajua kama mzee ametenda dhambi au la!
@neemamturi3273
@neemamturi3273 4 жыл бұрын
@@aaaaaah290 hapata siwatishi pia mfano mzuri ni yakobo alioa ndugu tena Dada na mdogo wake lakini kwetu niwachache sana.
@neemamturi3273
@neemamturi3273 4 жыл бұрын
@@mtumzito7268 Mimi sipingani nae hata kidogo nampongeza sana kwa kuweza kuwamdu wote pia hata wake zake nimependa wanavyoishi kwani ulimwengu wa sasa ni wachache sana wanaoweza kukubaliana na hayo hasa sisi wanawake.
@thelonewolf4429
@thelonewolf4429 4 жыл бұрын
1. Walewatoto wote hawawezi kuwa watoto wake 100% 2. Watoto hawawezi kuwa na raha 100% 3. Umaskini lazima,utawale kwenye familiya hii 4. Wengi sio wake zake bali ni wakumzalia tu 5. Unatiya serikali kwenye shida maana hii nayo ni chanzo ya watoto wamtaani.
@mongoboy6065
@mongoboy6065 4 жыл бұрын
Awap Kuna mtu anawatoto 3 lkn umaskin km wote
@mandyfitnesstv6738
@mandyfitnesstv6738 4 жыл бұрын
Ni kweli asilimia 100
@juliusphabian6336
@juliusphabian6336 4 жыл бұрын
@@mongoboy6065 Sure
@mrh2812
@mrh2812 Жыл бұрын
Ukiwa na pesa hakuna shida
@uwezongimbudzi7523
@uwezongimbudzi7523 4 жыл бұрын
Huyu mzee na mfahamu sana Hadi mtoto wake mungine kaoa ndugu yangu wanaishi vizuri sana
@felixmagulu6142
@felixmagulu6142 4 жыл бұрын
Haya ndiyo maisha ya kijamaa, kabla wazungu hawajatuvuruga na tamaduni zao waafrika tulikuwa tunaishi maisha ya mtindo huu.
@prettyh7509
@prettyh7509 4 жыл бұрын
Haswaa
@suleimanmustapha101
@suleimanmustapha101 3 жыл бұрын
@@prettyh7509 wewe unaweza?
@allanbanda7934
@allanbanda7934 3 жыл бұрын
huyu m zee siokawaida anadawa kali
@HadijaShango
@HadijaShango 7 ай бұрын
Aiseeeee❤❤❤ babayetu ni mwamba
@charitymillanzy5238
@charitymillanzy5238 4 жыл бұрын
Safi sana Mtumishi wa Mungu nazidi kukuombea Mungu Baba wa Mbinguni akutunze na kukipigania pia akuinue na kukipeleka viwango vya juu zaidi.
@martinerichard5827
@martinerichard5827 4 жыл бұрын
I know this family, they lives peacefully!
@rukiaiddyyahaya9506
@rukiaiddyyahaya9506 4 жыл бұрын
Natamani nione
@martinerichard5827
@martinerichard5827 4 жыл бұрын
@@rukiaiddyyahaya9506 welcome I'll bring you there miss Rukia teh teh!!
@lorraineatieno6544
@lorraineatieno6544 4 жыл бұрын
Kweli?
@SmilingCityMap-xb9md
@SmilingCityMap-xb9md 9 ай бұрын
Hapo tunajifunza mila kandamizi zinazomletea mwanamke umaskini
@aminajuma2981
@aminajuma2981 4 жыл бұрын
Mzee na gorofa zake mjibu 🤣🤣💞💞💞alafu bado kijana kabisaa
@othmanmapunda2310
@othmanmapunda2310 2 жыл бұрын
Ayo TV upo vizuri sana
@Mjingafaki
@Mjingafaki 4 жыл бұрын
Wamama 16 Tanzania walio kosa wivu kwenye mioyo yao😂😂😂😂😂safisana hiii
@antonydaudi6904
@antonydaudi6904 4 жыл бұрын
Hili kabila ndolakuoa halina wivu kabisa
@cheiknamouna2058
@cheiknamouna2058 4 жыл бұрын
Ayo wee noma umewapanga mstari mreeefu ukaishia kuwahoji umesepa hujawaachia hata chochote 😁😁😁
@khadejarajab8007
@khadejarajab8007 4 жыл бұрын
Milad huo mchongo nani alikutonya huko du mashaallah waishi kwa upendo wa kufurahia maisha yetu
@geoffreysiwakwi9737
@geoffreysiwakwi9737 4 жыл бұрын
Ayo napenda kazi zako bro Nimezunguka almost Tanzania nzima wakati Niko Zambia Bila nauli ila bando tu.
@hadijamandanje6189
@hadijamandanje6189 4 жыл бұрын
Nimepata shida sana kukuelewa ila nimekuelewa
@marryelliah3234
@marryelliah3234 4 жыл бұрын
Mzee yuko smrt
@maxlattinokiki8105
@maxlattinokiki8105 2 жыл бұрын
Mzee ana kamuwa sio mchezo kila mke kamzalisha big up
@tabumussa6705
@tabumussa6705 4 жыл бұрын
Hongera zenu sana M/MUNGU awape rohooo za imani
@luizerndayanse6214
@luizerndayanse6214 Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣Millard jmn
@najmamohmad6348
@najmamohmad6348 4 жыл бұрын
Mzee yuko order aise mmmm nami 💃💃💃uyo nkaolewe wa ishirini 🤣🤣🤣
@bathromeombusibwaconrad2546
@bathromeombusibwaconrad2546 4 жыл бұрын
Njoo kwang
@bokakisaka8259
@bokakisaka8259 4 жыл бұрын
Wewe nijembe baba una jua kufukua kwenye tz hii nakupa pongezi sana miladi ayo mungu akubaliki sana kwakutu onyesha tusivyo wahi kuvi ona na hata kuvitalajia kuviskia
@mgayaomary2518
@mgayaomary2518 4 жыл бұрын
Sijawai kujutia mb zangu kuangalia habari za Millad kwakweli zinavutia.
@RamadhaniMabee
@RamadhaniMabee 9 ай бұрын
Iv wakipimwa DNA Hawa watoto hehe he utakuta watoto kumi ndy wake😂😂😂 Ila nimeipenda San
@blandinamnyinga8318
@blandinamnyinga8318 4 жыл бұрын
Miye muhehe jamani/wabena ni ndugu zangu 😄😄😄nimecheka kwa uchungu wala siyo furaha ila niwaambie tu msiofahamu asili yetu hayo ni matrekta lazima hizo familia wana vyakula balaaa.
@shanishosho911
@shanishosho911 4 жыл бұрын
Aisee dah
@judithkataraia7305
@judithkataraia7305 4 жыл бұрын
😂😂😂😂😂mbavu zangu
@kaburashindika5617
@kaburashindika5617 4 жыл бұрын
Iyo machine yake ingekua penseli kingebaki kiufutio😂😂😂😂😂😂😂
@naimanurdin1354
@naimanurdin1354 4 жыл бұрын
Itafika wakati wanawake tutarundikwa sehem moja na kuingiliwa na mwanaume mmoja kama wanyama vilee,,,,kuowa wake wengi sawa ila hapo kwenye kuwaowa Mtu na ndugu yake hapana kwa kweli
@neemaponera2037
@neemaponera2037 3 жыл бұрын
Hongera saana, Nahisi hawana mioyo ya nyama
@neemazee1864
@neemazee1864 3 жыл бұрын
Mzee wa moto 😋😋😋
@bmtz6709
@bmtz6709 3 жыл бұрын
Duuu uyo mzeee nimemkubali sana
@dulabori9922
@dulabori9922 4 жыл бұрын
Wake 16 wanakulah bila wasiwasi mke mmoja tu watu wanalalamika dah mungu ni mwema
@arizinamussa6006
@arizinamussa6006 4 жыл бұрын
Ndio maana maandiko ya Mungu yanasema oweni mpate mali
@jayzeem14
@jayzeem14 4 жыл бұрын
Hao ni vibarua wa huyo bwana hawawezi kufa njaa.
@emanuelimsengi2450
@emanuelimsengi2450 4 жыл бұрын
@@jayzeem14 😁😁😁😂
@mimahmimah1595
@mimahmimah1595 Жыл бұрын
Apa kila mwanamke anakula nguvu yake huyu baba hana kaz yyte ni mkulima hangeweza kuwalisha hawa wote kuwavisha kusomesha watoto hapa kila mmoja anajilisha na kulisha watoto wke kuwavisha kupitia kilimo
@shamimukijoji1191
@shamimukijoji1191 3 жыл бұрын
Aaaaaah!¡ Hiyo nimeipenda sana kwa kweli
@rehemamdime1865
@rehemamdime1865 4 жыл бұрын
Huyu mzee nilimfuatilia humuhumu mahojiano yake....yaani huyu atawaletea watoto wake laana kubwa maana kwa wingi wa watoto wanaweza kuwa wapenzi... pia haiwezekani kwa mioyo tuliyonayo wanawake eti wake zake hawana wivu wanashare mume hawaoneani wivu wengine wakuzaliwa tumbo moja mume huyohuyo anaona anawasaidia kumbe anawatesa ... eti anatutunza ikiwa wanajitunza wenyewe kwa nguvu zao shambani anawakosea sana sio bure kuna nguvu anatumia ili wamkubali ...
@aloycekiwia8613
@aloycekiwia8613 4 жыл бұрын
Dah... Nafikiri hii ni Ndoto ya kila mwanaume LIJALI.
@kazkaz1943
@kazkaz1943 4 жыл бұрын
Kabisaaa bas tu kuogopa maneno ya majirani mapadri masheikh wakwe boss ofcn😀😀😀😀😀 nataman kuish maisha yangu bila kusikiliza watu ila watanifukuza nchi
@henryjohn2913
@henryjohn2913 4 жыл бұрын
Kawakusanye tu😅😅😅 maneno yako tu
@credo7837
@credo7837 4 жыл бұрын
😂😂
@thomasraiton7760
@thomasraiton7760 4 жыл бұрын
hayo ndio mageto yake mzee ernesto anayowavutia wanawake wengi hadi wanapenda waolewe nae
@angelalphonce9368
@angelalphonce9368 4 жыл бұрын
Eeee mageto au siyo yaani mm nilivo na wivu walahi nazimia
@prettyh7509
@prettyh7509 4 жыл бұрын
Haya leo binti akimpata mchumba wa kiislam anashauriwa asikubali ataletewa mke mwenza, ernest ni mwislam, nampongeza amewastiri wamama , wanawake ni wengi kuliko waume
@mukhsintwaha5909
@mukhsintwaha5909 2 жыл бұрын
@@angelalphonce9368 kwann uzimie
@naimahhussein8430
@naimahhussein8430 4 жыл бұрын
😝😝😝😝sio bure kunakitu😂😂mazingira yenyew ndio hayo 🙌
@rewaatesh4877
@rewaatesh4877 4 жыл бұрын
Kawaharibu akili kwa ushirikina, kwa akili ya kawaida haiwezekani binti akubali kuolewa na shemeji yake.. Na wazazi nao wapokee mahari.
@mbungulanga6729
@mbungulanga6729 4 жыл бұрын
Kama ni dawa zingeisha nguvu...mzee anaweza
@zuleyvendor6577
@zuleyvendor6577 4 жыл бұрын
Wanawake wa zamanii wana roho nzuri sana😁😁😁😁😁
@zamzamhassan4159
@zamzamhassan4159 4 жыл бұрын
Sio wazamani tu mbona ktk Hao wake zake Kuna mkewe wamwaka 89
@zuleyvendor6577
@zuleyvendor6577 4 жыл бұрын
@@zamzamhassan4159 ila kweli
@jamilanimbona3692
@jamilanimbona3692 4 жыл бұрын
😁😁😁😁😁🤔
@eischerschwederm7876
@eischerschwederm7876 4 жыл бұрын
Kwa wale wasiofahamu ni dini moja tu ya kiislam ndo dini pekee iliyotaja idadi ya mwanamme kuona.."OA MMOJA NA KAMA UNAWEZA TENDA HAKI BASI MPKA WANNE. Wasiofahamu ni kwamba nitume wote wakina wanawake wengi kasoro yesu hakuoa,, Quran ndo nilitaka idadi ya wanawake kuoa
@simoncords1173
@simoncords1173 4 жыл бұрын
Jinsi ulivyo wapanga sasa hapo millard daaah sema ina sound good 😅😅
@mariasixmund7964
@mariasixmund7964 4 жыл бұрын
😄😄😄😄😄😄😄😄
@teedullah5708
@teedullah5708 4 жыл бұрын
Mume bado mqumu lkn Wana wake wamechoka kweli
@christercheru8328
@christercheru8328 2 жыл бұрын
Huyu kama mganga wa diva anashughuli ...kawalamba wote hao
@rehemshehoz8704
@rehemshehoz8704 4 жыл бұрын
Mwenyz mung akujalie maish marefu mzee il uwez kuhudumia vzr family yk wake wanapendn had rah
@christercheru8328
@christercheru8328 2 жыл бұрын
Hongera kwa upumpavu wa wake wale
@usihamza6661
@usihamza6661 3 жыл бұрын
Hongera Sana Ayo Kwa Biddii za Makusudi Kabisa.
@mariammichael9773
@mariammichael9773 4 жыл бұрын
Mhhhh! Sio bure aisee. Huyu mzee anatumia dawa kuwapa hawa wanawake
@peshngugi8701
@peshngugi8701 4 жыл бұрын
Miriam witu uyu niurimu
@pendomkumbo8262
@pendomkumbo8262 4 жыл бұрын
Aliyeona nyuso za wamama hawa hazina afya ya furaha ya moyo alike hapaaaaa
@aaaaaah290
@aaaaaah290 4 жыл бұрын
MUONGO WEWEEEE HAWATUMII MAKE-UP 💄 HAO
@stevenmwaisunga5090
@stevenmwaisunga5090 4 жыл бұрын
Una mana wewe
@prettyh7509
@prettyh7509 4 жыл бұрын
Mmmmm
@nasramohammed6716
@nasramohammed6716 4 жыл бұрын
Duuuh mdomo koma sina lakuongea nimebaki mdomo wazi tuu
@dotahamad6640
@dotahamad6640 3 жыл бұрын
Ama kwel wanawake tupo wengi wanaume wachache 😁😁 kuoleka kote huko lkn bado tumejazana Allah atunusuru wanawake 🙏🙏
@maimunaabdalla7146
@maimunaabdalla7146 3 жыл бұрын
Hawa kwa ufupi hawaitaji tingatinga kulimia,wao na watoto wao wakiingiya shamba kulima shamba wana maliza kwa siku mbili.maana si utani mzee kazaa na kuzalishiwa sawa sawa.🇰🇪🇰🇪
@blandinamnyinga8318
@blandinamnyinga8318 4 жыл бұрын
Millard anacheka moyoni kama namuona anawahoji huku anamuwaza demu wake akikuta msg hata ya bahati mbaya mtiti wake unakuwaje😄😄😄😄
@mamachris6811
@mamachris6811 4 жыл бұрын
Ha ha haaaaaaa
@shanishosho911
@shanishosho911 4 жыл бұрын
Hahahahahah
@ezramaganda842
@ezramaganda842 4 жыл бұрын
😂😂😂😂😂
@aminanamoyo83
@aminanamoyo83 4 жыл бұрын
🙄 tobaa huyo mzee ananguvu za aina gani 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 kiboko hongera zake maana bado anaonekana very strong.
@emmanuelbonifas2804
@emmanuelbonifas2804 3 жыл бұрын
Mzee kaitendea haki sana family na uzao wake wote sisi tunacheza tu
@yusufukazamba3171
@yusufukazamba3171 3 жыл бұрын
Watz tumsaidie mzee Ernesto apauwe nyumba zake na mambo mengine
@fredymyenda7676
@fredymyenda7676 4 жыл бұрын
danh.! mzee huyu hata akifa kesho hakika ametimiza agizo la Mwenyezi Mungu, enenden duniani mkaijaze nchi,,,, pia uwezo wake unachangia 100 %
@rukiaiddyyahaya9506
@rukiaiddyyahaya9506 4 жыл бұрын
Nyinyi wala chips mjipange 🤣🤣🤣
@maryamdunga3896
@maryamdunga3896 4 жыл бұрын
Hapa nawaza kwasauti naazaje kuolewa namume wadada angu mmmh kunawanaweka wanamoyo
@happynesskibona2679
@happynesskibona2679 4 жыл бұрын
Mie akaaaaaa nisingekubali iii huyo ujinga Mungu awatie nguvu wanaowezaaa shauri yenuuuu
@petrooverton6643
@petrooverton6643 2 жыл бұрын
duuh mzee nooma
@mosesg.pendael8381
@mosesg.pendael8381 4 жыл бұрын
Milard umeoa? Sijui kama umenote hii kitu....mama mkubwa amekuitikia "NASHUKURU SANA BABAANGU". Ikiwa ana heshima kubwa hiyo kwako mtoto wake, itakuwaje mume wake?????
@rassimbaengswahili6191
@rassimbaengswahili6191 4 жыл бұрын
Napenda hii stori isiishe kwakweli
@johngodwin8281
@johngodwin8281 4 жыл бұрын
Millard we kiboko had huko😁😁😁😁😋
@mtitagirloriginal6890
@mtitagirloriginal6890 4 жыл бұрын
Masikin uchawi upo wamerogwa wenyewe hata hawajijui🤣🤣🤣wanaaman tu na malogi yao
@shanishosho911
@shanishosho911 4 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@shanishosho911
@shanishosho911 4 жыл бұрын
Wallah wamerogwa hawa si bure
@youtub8320
@youtub8320 4 жыл бұрын
Nimekupenda sana una ufahamu mkubwa
@khadijagundumu6210
@khadijagundumu6210 4 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@damariszuckschwert9489
@damariszuckschwert9489 4 жыл бұрын
Laana kabisa hii.
@vero57
@vero57 4 жыл бұрын
Waweke hiki KIPINDI kwa LUGHA YA KIINGEREZA, hii ime vuja REKODI
@ziadaissa7550
@ziadaissa7550 3 жыл бұрын
Wahehe ss hatuna matatiizo tuna uvumiliv
@neemaponera2037
@neemaponera2037 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣Babu anajua sound🤣🤣🤣
@joycemaongezi8851
@joycemaongezi8851 2 жыл бұрын
Hongera
@nasramohammed6716
@nasramohammed6716 4 жыл бұрын
Wee babu na mm niowe nije nipange foleni na mm hahah nimeipenda sana hiyo foleni
@prettyh7509
@prettyh7509 4 жыл бұрын
😁😁😁👍
@hadijahmwajombe9588
@hadijahmwajombe9588 4 жыл бұрын
daaa hongera sana mzee
@mussamgonola3983
@mussamgonola3983 4 жыл бұрын
Jamani ni ukweli mtupu hawana shida hao nawajua vizuri ni nyumbani kwetu huko
@watakaniitaje1215
@watakaniitaje1215 4 жыл бұрын
Huyo baba mvivu kulima na ndo maana kajaza wanawake
@childofgod4412
@childofgod4412 4 жыл бұрын
Yaani hapo ni kusaidiana kulima na sio kingine
@agathathobias8690
@agathathobias8690 4 жыл бұрын
😁😁😁 kawafanya kitega uchum
@nassorojnassoro3939
@nassorojnassoro3939 3 жыл бұрын
MnyAmaa tishaa sanaaa
@roseassenga6255
@roseassenga6255 4 жыл бұрын
😂😂😂😂😂 khaaaa hivi ni akili zao au wamelogwa yani wanafrahi bila wasiwasi
@martinfrancis9808
@martinfrancis9808 4 жыл бұрын
Mimi Nawaza tu kwamba anawatiaje wote hawa mmmh
@fridamshana9265
@fridamshana9265 4 жыл бұрын
😋😋😋
@albeleenalberto158
@albeleenalberto158 4 жыл бұрын
Wa mwisho hamjatuonyesha😁
@izoboydahustler3423
@izoboydahustler3423 4 жыл бұрын
Bigup sana
@danielijackson8700
@danielijackson8700 3 жыл бұрын
Sio bure kunajambo lake huyu mzee kwa nhuvu hizo🚶🚶🚶🚶🚶
@henryjohn2913
@henryjohn2913 4 жыл бұрын
😅😅😅noma sana tajir wangu
@najmamohmad6348
@najmamohmad6348 4 жыл бұрын
Duh huu mtaa auna wanaume.acha mzee aoe wote
@abundancegrace2023
@abundancegrace2023 4 жыл бұрын
Ayo mna mambo kweli makubwa haya
@carlitacelestinopedro7127
@carlitacelestinopedro7127 3 жыл бұрын
Mzee kiboko duuu
@antonydaudi6904
@antonydaudi6904 4 жыл бұрын
Hili kabila ndolakuoa halina wivu kabisa wake 16 wanaishi bila shida nachuvi uga wanagawiana nitafunga safar kwenda huko kuoa
@ograhkifikilo9136
@ograhkifikilo9136 4 жыл бұрын
Mungu Wang wabena sio watu
@d.a.t3383
@d.a.t3383 4 жыл бұрын
Kumbe WABENA
@nurumwangoka7424
@nurumwangoka7424 4 жыл бұрын
Duuuuuuu me mume wangu akimwangalia demu tuuuu Hilo balaaaa lakeeee🤣🤣🤣🤣 jeeee akiniolea mke wa pili sipati picha
@abdulykiliga4791
@abdulykiliga4791 4 жыл бұрын
Aàaaaàaaaaaa
@yusufsamwellugendo9757
@yusufsamwellugendo9757 4 жыл бұрын
Hahahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!
@seddamwaipungu6566
@seddamwaipungu6566 4 жыл бұрын
Hahahahaaaaaa wapi nuruuuuuuu
@fridamshana9265
@fridamshana9265 4 жыл бұрын
😎😎😎😆😆😆
@najma3268
@najma3268 4 жыл бұрын
Wake kumi Na sita wanakula Na kulala Na kila mke anawatoto watano mpaka tisa, wewe ulie Na mmoja unapiga chipsi vibandani ukirud unasema leo nimerudi bila kupata mke wangu fanya fanya mambo
@d.a.t3383
@d.a.t3383 4 жыл бұрын
Sio Akina darling moto chini sufuria juui
@SmilingCityMap-xb9md
@SmilingCityMap-xb9md 9 ай бұрын
Unyanyasaji wa kijinsia wanawake wanalundikwa kwenye boma kama ngo'mbe mnagombea mme mmoja
@tabiangonyani3526
@tabiangonyani3526 3 жыл бұрын
Tuliofika kuona mwaka huu video hii tujuane kwanza😀😀
@oscaroscaroscar7974
@oscaroscaroscar7974 4 жыл бұрын
Wanaume sisi sijui ndio tumeumbwaje Mtu moja unaona wake16 huyu mwezetu kazidi Tamaaa😁😁😁😁
@shabanikallah1081
@shabanikallah1081 4 жыл бұрын
Mtu unamuolea mke wa pili tu ndani hapakaliki sijui hapo angefanyaje? Japo kidini kapitiliza lkn Salute mzee kwa kuwalea bila mafujo
@janemaya8470
@janemaya8470 4 жыл бұрын
Na amshukuru MUNGU Ingekua mjini mmoja tu angewaletea ukimwi wotee jamani hii sio ya kujaribu hata.
@piusijukaine3729
@piusijukaine3729 4 жыл бұрын
Hata mmoja anaeza kuleta ukimwi pia
@mamachris6811
@mamachris6811 4 жыл бұрын
Mke wa tisa anakwambia Millard " hata wewe ni mmojawapo " ha ha ha haaaa
@rahimamkumbo3238
@rahimamkumbo3238 4 жыл бұрын
Ayo unasoma kweli
@aaaaaah290
@aaaaaah290 4 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@husnamamuya5784
@husnamamuya5784 4 жыл бұрын
Mmmmmh hongereni
@wanderaothumani4919
@wanderaothumani4919 4 жыл бұрын
uko vizuri millard
@jeannettemukeshimana577
@jeannettemukeshimana577 4 жыл бұрын
Iyi kali kwakweli
@waukweelinikkon6555
@waukweelinikkon6555 4 жыл бұрын
Duuuuh hata kama milo mitatuuuu ukewenza siuweziiiiiii,nyie wanawake nawaangalia siwamalizi,mpo tofauti sanaaa
@gidiontimotheo9895
@gidiontimotheo9895 4 жыл бұрын
Huyuu baba atakuwaa anatumiaa dumba huwezi kukaaa na wakee wengi hao bilaa kitu kwanzaa hao wote nahisii siyo akilii yao
@gracedanfrod2318
@gracedanfrod2318 4 жыл бұрын
Ata mke wa Mia mbili naweza kuolewa sio na mdogo wangu siwezi
@khadijahali4837
@khadijahali4837 4 жыл бұрын
Hd cha kukomet nimesahau
@juliethhouseofdesigns147
@juliethhouseofdesigns147 4 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣
@khadijahali4837
@khadijahali4837 4 жыл бұрын
@@juliethhouseofdesigns147 😓😓
@juliethhouseofdesigns147
@juliethhouseofdesigns147 4 жыл бұрын
@@khadijahali4837 umenichekesha mzee amezaa kijiji , unaweza kuta mzee ukiubganisha watoto wake na vitukuu unapata kata kama si wilaya
@khadijahali4837
@khadijahali4837 4 жыл бұрын
designs kabisa
@othmanitindwa4909
@othmanitindwa4909 4 жыл бұрын
Apo watoto fully kushare mapenz hakuna cha undugu
@d.a.t3383
@d.a.t3383 4 жыл бұрын
Ndio wanafuata Mkumbo watakula wao KWA wao dada na kaka hata na ma mdogo
@nshimirimanamwajuma4612
@nshimirimanamwajuma4612 4 жыл бұрын
🇧🇮🇧🇮Duuu 😍😍😍
@mariahaule564
@mariahaule564 4 жыл бұрын
Ayo prt 3 basi tunaisubiri mhh duniani kuna mambo sijajua mzee ni dhehebu ganii
@chakuboyofficial9720
@chakuboyofficial9720 4 жыл бұрын
Vijana wa mjini tuwacheni chipis . Hivi kwa vijana wasasa awawezi kumudu mke mmoja.lakini uyu mzeee nishida ongera kwake sanaa mzeee
@mashujaatv8023
@mashujaatv8023 4 жыл бұрын
Jamani yani nakuwa nafrahi sana et
@paulinesengasu5779
@paulinesengasu5779 4 жыл бұрын
Au hawa wanawake wapimwe akili imawezekama vipi hata sielewi
@rukiaiddyyahaya9506
@rukiaiddyyahaya9506 4 жыл бұрын
Mzee Ana mayai kama nyoka👌🤣🤣🤣
@hadijamandanje6189
@hadijamandanje6189 4 жыл бұрын
Kwa kweli,ila unaishiije dada na mdogo kwenye ndoa moja
@rukiaiddyyahaya9506
@rukiaiddyyahaya9506 4 жыл бұрын
@@hadijamandanje6189 zambi Sana aseee yani ha nakumbuka ule msemo Wa wahenga "kizur kula na nduguyo'🤣🤣
99.9% IMPOSSIBLE
00:24
STORROR
Рет қаралды 31 МЛН
小丑女COCO的审判。#天使 #小丑 #超人不会飞
00:53
超人不会飞
Рет қаралды 16 МЛН
It’s all not real
00:15
V.A. show / Магика
Рет қаралды 20 МЛН
DUNIA (EP 33)
21:00
ASMA FILMS
Рет қаралды 16 М.
Mbunifu wa trekta ya kulimia kwa kutumia injini ya mashine ya kusaga
3:56
🔴#LIVE PART: 1 SUMBAWANGA MUNICIPAL 2023 STREET VIEW
2:36
Rukwa Online TV
Рет қаралды 4 М.
TAZAMA MELI YA TAITANIC ILIVYOZAMA NA KUUA MAELFU YA WATU
19:08
Wasafi Media
Рет қаралды 9 МЛН
Kutana na Mama Mariam Nabatanzi  mwenye watoto 44
5:40
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 9 МЛН
99.9% IMPOSSIBLE
00:24
STORROR
Рет қаралды 31 МЛН