Kabla ya kusema sijawah kufail sema nashkur mungu hajawai kunifelisha kwa chcht nachotafuta coz yy ndo mjuzi wa kila jambo na anampa amtakae na kumnyima amtakae#ALLAH IS GOOD ALL THE TIME
@witneywilly5 жыл бұрын
Ni Mungu sio mungu
@dicksondeo73205 жыл бұрын
Amen
@saumuabdallah89005 жыл бұрын
😂😂😂 nimecheka kama mazuri ckuzote alivokuwa hai ulituliza sahvi majuto pumzika kwa aman #RUGE
@officialmrtop10184 жыл бұрын
Kawaida
@SeekerMaulid5 жыл бұрын
BABU TALE WEWE NI MTU MWENYE BUSARA NA HEKIMA, NAPENDA SANA KUANGALIA INTERVIEW ZAKO, KWANZA HUPINDISHI MANENO, UNAONGEA UKWELI. UNAONGEA MAISHA YALIVYO.
hakuna mwema aliyekosa mabaya na hakuna mbaya aliyekosa mema. Mbaya halisi na mema hakosi. kila mtu atakumbukwa kwa mema yake na mabaya pia
@thomaschenge81325 жыл бұрын
@@subirajohn728 kwa hyo ww hata angeonyeshwa dhamani kufa ni lazma babuu
@kabugashija48365 жыл бұрын
Wewe ndiyo mwenye ukweli ulaumiwe bado ukweli unao wewe na kupishana hakuondowi ukweli all in all maisha yaendelee Mwenyezi Mungu ndo jaji
@boniphaceexsavery50835 жыл бұрын
Unajua nin Ruge we pumzk kwa aman....huyu tale tuachie sis tutajua cha kumfany
@allykassim98265 жыл бұрын
Hahahahahaha. Taratibu kaka.
@hawaamohammed66875 жыл бұрын
Mwacheeee anengeneke atayamaliza yote
@ilovejesus93035 жыл бұрын
😂😂😂😂
@aminajuma56645 жыл бұрын
Wew utamfanya nn sasa
@agnessamuel85144 жыл бұрын
Hahaaa
@teebeka91174 жыл бұрын
Tatizo mnacoment bila kuelewa babu tale ameulizwa swali na mtangazaji kuhusu ruge nayeye anajibu kumbuka nimambo yanyuma sileo wala Jana hayo ni majuzi
@OnlyRuky5 жыл бұрын
Mta mkumbukaa Saana 🤺🤺
@smartmussadozen35355 жыл бұрын
Wasafi Na clouds zte za mtu mmoja wabongo mnafanywa vichwa maji
@mwikamwika48515 жыл бұрын
Utakufa kwa kutoamini ukweli Musa. Wasafi si ndugu na clouds. Kama kwa roho mbaya yako huamini basi siku moja nenda wasafi kaombe kujua shareholders wake utaona. Wasafi ni Chama lingineeeeeee
@NellyWaKidato5 жыл бұрын
Sasa hizo sifa ndo mnazitoa Boss Ruge ameshakufa wakati Yuko hoi taabani hospital hata kwenda kumuona ilikuwa Kazi hata msibani mlienda kwa kulazimishwa na watu harafu Leo unabinua Hilo Domo unamsifu jasiri mwongoza njia kweli bila hata aibu Tale...!!!!!!?????
@officialmrtop10184 жыл бұрын
Kawaida kwani kuna mtangazaji aliwahi kumuuliza hayo maswali akakataa kuhadisia? Wao watangazaji ndo kwajamfwata na kumuuliza kabla ya
@rosekingalu44035 жыл бұрын
Haya bwakila kulongaze 😲
@danieldafaa9814 жыл бұрын
Ruge mutahaba
@geoegedonard85485 жыл бұрын
Nakubali
@ab3ab3134 жыл бұрын
😘😘😘😘😘😘😘
@oyay28215 жыл бұрын
Mkumbuke mungu tale
@omaryndali62385 жыл бұрын
Rip Ruge
@officialdesiderius5 жыл бұрын
Duh Christian mosha 7mosha
@shahamtindo5 жыл бұрын
Hivi sijui kwanini watu wanapanic sana mtu akimzungumzia Ruge. Nyie mwaonaje, mwadhani alikuwa perfect 100℅? Acheni hizo mambo.
@OnlyRuky5 жыл бұрын
Kwasababu niwanafiki alivyokuwa hai mpka kuuguwa hawakujali but waliishia kumrushia madongo🙄Why leo waanze kumzungumzia kwa mzuri🤔
@shahamtindo5 жыл бұрын
Na bado unahisi kuwa Ruge alikuwa hana ubaya wowote kwa wenzake? Au we unadhani wote wanaomlalamikia Boss Ruge wanamsingizia kila kitu? Of coz alikuwa na MEMA yake mengi sana ila pia kuna watu wameharibikiwa kipitia yeye. Na hata kwenye maisha yako usilazimishe kupendwa na watu wote eti kwa kuwa unafanya mambo mema.
@msafirifabian21435 жыл бұрын
Wanadhan ruge Alikua mtakatifu
@juniorking71235 жыл бұрын
Dah R.I.P Ruge
@allykassim98265 жыл бұрын
Nasoma comments za majaji.
@richlextv66225 жыл бұрын
Ndo mjue ruge sio mtu wa mchezo mchezo alikuwa genius kabisa kwenye mindset za watu
@nurdinimndeme29125 жыл бұрын
maendeleo yanawagombanisha ! huu ni ujinga sana wa bongo .
@jut11615 жыл бұрын
Angalia nchi zinavyoangamia, wanasiasa wanavyohama vyama na mambo mengine mengi. Hayo ndio anayoongelea tale sometimes kuna watu wanajitokeza kutia fitna ili mwengine aonekane boya na zikipenya hizo fitna ndio mnasambaratika
@nurdinimndeme29125 жыл бұрын
@@jut1161 hivi ni vitu hasi ..hasa katika tasnia ya muziki wenzetu wamevishinda - na si mbali ni hapahapa Afrika na maendeleo zaidi yanaonekana ..so na hapa nyumbani hatutaki huu ujinga tena
@ilovejesus93035 жыл бұрын
Yaani
@sofiaasukuku82385 жыл бұрын
WCB
@goodluckcharles37485 жыл бұрын
Kazi ya siku tatu au nne.....Tale kapiga 7millions alafu Kusaga anakuja anasema FIESTA haijawahi kuleta faidaa😅😅😅 nkawa najiuliza kama haileti faida kwanini wanang'ang'ania kila mwaka kufanya....Duuuh wafanyabiasharaa wana mambo...kikubwa nimejifunza kituu...Mtaani kuna hela kuliko ofisinii.
@zachariakomba47395 жыл бұрын
kwanza utaanzaje kumuongelea mtu tayar alisha tangulia mbele za haki sio pw
@sofiaasukuku82385 жыл бұрын
Amuhongeleye Nani sasa kwani Kuna shida
@shahamtindo5 жыл бұрын
Hivi sijui kwanini watu wanapanic sana mtu akimzungumzia Ruge. Nyie mwaonaje, mwadhani alikuwa perfect 100℅? Acheni hizo mambo.
@zachariakomba47395 жыл бұрын
@@shahamtindo hapana mkuu ningumu kwa binadamu kuwa 100% perfect ikiwa tunalitambua hilo haina haja ya haya yanayoendelea ila hamna shida mkuu
@jamilaomar98605 жыл бұрын
Ni swali ameulizwa jamani pia asijibu
@samuelezequiel76125 жыл бұрын
Bob marley,mandela,gadafi,Nyerere na wengine wengi wanazungumziwa kwa mazuri yao kwenye vitabu,mikutano na matamasha Ruge yeye ni nani haswa asizungumziwe afu bifu la maendeleo lazima liwepo tu end of the day ili uende mbali zaidi Tale asingefanya vile leo hii tungemzungumzia km king'asti wa ruge kwamba pasipo na ruge yeye hana lolote na ndio maana alikuwa anapewa vihera hera so akajiongeza km mwanaume na kwenye kujiongeza huwa kuna outcomes mbili aidha utofautiane na watu wako wa karibu na uanze na wengine.@zacharia
@DonSompo5 жыл бұрын
Watch the analysis of Top 10 most viewed international East African Music collaboration videos on @yZOc
Huna akili ww tale, kafa ndo unajua umuhimu wake alipokua mzima ulikaa kimya tu mjinga mkubwa we
@mwikamwika48515 жыл бұрын
Acha ucheche jongo. Lini Tale alimtukana Ruge? Biashara au mafanikio ndiyo ugomvi wa watu wanaofahamiana. Hata wewe jongo tunakujua hupatani hata na ndugu zako sembuse ruge katika maendeleo?
@thomaschenge81325 жыл бұрын
Ulitaka amuuguzee au amfanye nn
@mwikamwika48515 жыл бұрын
Siku zote kwenye maendeleo hakuna amani ndiyo kawaida hiyo. Kwanin mnamtukana Tale kwakusema hayo? Hata watangazaji au media na media zinagombana kwa sababu ya mafanikio tu.
@westonyjob17475 жыл бұрын
Ata kwenye msiba ukuenda mnafiki mkubwa ww
@mkungamedia60905 жыл бұрын
Alikuwepo
@abdallahbakari53335 жыл бұрын
Uwezi kumuomba samahani marehemu wewe ata ukifanya vp
@georgeludakulo68485 жыл бұрын
Huo unafiki tu ulikuwa wap kipindi anaumwa mpk anakufa
@samwelnyankena98735 жыл бұрын
Xaxa angezuia kifo chake
@ilovejesus93035 жыл бұрын
@@samwelnyankena9873 angalau kibinadamu angempa pole na kuumwa. Angalau hilo hata kichaa analitambua
@allymackinga18235 жыл бұрын
@@samwelnyankena9873 sio kuzuia kfo kam umeelew anavyojielezea tale ndoman jamaa amesm alkua wp wkt anaumw ad anakuf kama tale aliona umuhm w ruge ki bnadam km anavyojielezea apo angeend kumuangalia kpnd anaumw lkn akfany ivyo inamaan kamchunia kuanzia kuumw ad kfa kumwanglia kashndw alaf apo anahojiw anaongea unafk t
@MiraclesHimself5 жыл бұрын
UNO iyo apo sasa kzbin.info/www/bejne/sH7Uk2qhl7R0e8U
@jamalkimbililo91275 жыл бұрын
Babu tale ww mtu mzma mbona unaongea Kama mtoto
@kabugashija48365 жыл бұрын
Wewe ndiyo mwenye ukweli ulaumiwe bado ukweli unao wewe na kupishana hakuondowi ukweli all in all maisha yaendelee Mwenyezi Mungu ndo jaji