He is you can tell his in so much pain. I shed tears
@aishasalim92034 жыл бұрын
Soo emotional 😢😢😢... Mungu azidi kukupa nguvu mheshimiwa Tale ...
@boxpoacher10724 жыл бұрын
Aiseeh nimeshindwa kumaliza
@emmanueljohn66724 жыл бұрын
Pole Sana mkuu Babu tale Allah alipanga hivo atakupa ujasili inaumaa Sana
@madihatubman78744 жыл бұрын
Asalaam Alykum. Babu Tale allow yourself to grieve. Grieving does not have a time frame. Let your tears flow... When your heart aches, your eyes weep. Allah atakupa subrah Ameen.
@ngubwene4 жыл бұрын
Amen
@rahabmwaura31054 жыл бұрын
May God give him peace that surpasses man's understanding
@katealias52554 жыл бұрын
mungu akutie nguvu..ulimpenda sana mkeo do maana ni ngumu kimsahau
@sabMswahili.nia31444 жыл бұрын
God give Babutela Calmness Strength and his Purpose in his Life Bless AMEN.
@namukwayamweshihange88663 жыл бұрын
Pole sana babutale mungu kuakupe nguvu.
@Dalaman104 жыл бұрын
Innalillah wainna ilayhi rajiuun. Bora msiba unaokukaribisha kwa Allah kuliko furaha inayokuweka mbali na Allah. Hukuonewa, Allah amechukua kilicho chake. Allah akupe subra in sha Allah.
@mustafamusah23373 жыл бұрын
Broo you are a big man,natamn niwe na busaraa kama lako you know how to express yourself♥️
@pendomgandi10164 жыл бұрын
I feel him and i also understand the pain dat he z going thru coz i passed thru it, i lost my mum and it tuk almost 3years to accept it... This thing is sooo damn painful 😢
@azzamahamdu70394 жыл бұрын
Maskn shamsa mungu amrehem.babu tale akipost kale katoto kake kamwisho.huwa roho inaniuma sana.YA ALAH azidi kukupa subra na kuwaongoza wanao.lrt utaoa tu.ila akupe mke ka mkeo insh...sasa huwez uchungu..flaviana 💟
@khdigahk42464 жыл бұрын
Unaniumiza mno babu tale 😭 najitahid kuvaa viatu vyako vinanipwaya,, kull nafsi zalikatu lmaut,, ila ngum jmn😭😭
@alshabje71854 жыл бұрын
Jamani machozi yananitoka kwa babu tale mungu akupe subra inshaallah usivunjike moyo amini mungu yupo nawewe inshaallah na watoto watakuwa mimi dada yako nilifiwa na mume kaniacha na watoto 7 hapo kwanza walikuwa wadogo nimeteseka nao mpaka wamekuwa shukuru mungu kaka yangu 🤲🙌
@SaidSaid-ef8md4 жыл бұрын
Dah pole sn bab tale we ni mmoja kati ya watu verry strong kwa hii dunia I'm praying for you bro unapitia wakati mgumu sn but you still fighting nashindwa kukwambia unachostahili kuambiwa ila trust me mungu anakupenda tena sn na ndo mana kakupa mtihani mkubwa ili akuangalie utamshukuru ama utamkufuru dua zangu kwako kukuombea upokee mtihani alokupa na umshukuru 🤲🤲🤲
Poleeee sana Mh.Babu Tale daaaah Mungu akupe subrha na Uhaii mrefu uwakuze vyema watoto wako🙏🏽🙏🏽
@lovemyselflovemyself9544 жыл бұрын
Mwenyezi Mungu akutiye nguvu
@awezayesu17794 жыл бұрын
Pole kaka unaongea nauchungu mwingi sana but unajikaza kama mwanaume😭😭 Mungu akufanyie linalo kustaili😥🙏🙏
@hawaabdallah1304 жыл бұрын
Pole Sana babu Allah anajua mbele yako usitesi dear kila kitu kitakaa sehemu yake kama Allah alivyokupangia sio wengi huridhika na kushukuru wake zao hata kama wanamazuri wao huona mabaya tu nimekupenda Bure na Allah akujalie more hekima na Amani na furaha ambayo upandikize hadi kwa watoto wako InshaAllah
@saadarashid81744 жыл бұрын
Babu tale stay strong you have kids watch after you. Allah keep safe in shaa Allah 🙏.
@nurjanniyaz18324 жыл бұрын
Mungu atakusimamia katika kila jambo
@happyjohan73413 жыл бұрын
Love it
@aishafrancis77144 жыл бұрын
Pole sana mbunge wetu MUNGU yupo na ww INSHALLAH🙏
@einsteinmboje47304 жыл бұрын
My Best Presenter Amerudi...Wat An Interview 💥💥💥💥
@saradavid78174 жыл бұрын
Pole Babu Tale, mapenzi ya Mungu yatimizwe. It is okay to grieve, take your own time. But on the other hand, I saw your face light up when you talked about Flaviana. Yes, you may see her like a sister but I have a feeling that she can be more than a sister especially the fact that she knows you and your late wife. Go for it when the right time comes. Keep your head up. One love.
@violetchacha10474 жыл бұрын
Flaviana is married
@ramhuudulla89214 жыл бұрын
Haifai kukubali kuwa umeondokewa utakua umesusia Wajib kumkumbuka na kinachomfaa maiti wako si huzuni za kila saa kila wakati bali mfurahishe maiti wako kwa dua nyingi sadaqq za nyingi kwa maiti wako, Je? Rasuul s.a w, watu wangeendeleza huzuni uislam usingesimama , Haifai Oa
@aishavogelmann50214 жыл бұрын
Pole sana mweshimiwa insha allah mola atakurahishia mshukuru mola kwa kila jambo.
@fatmaalhabs69394 жыл бұрын
Kufiwa na mke ni kuchomwa msumari wa moto kwenye ini uchugu wake tena mkiwa mme ishi vizuri pole kaka mungu atakupa subira 🤲aminee
@flavianakanga12154 жыл бұрын
Keep that spirit my namesake Flaviana
@zamoyonimohamed81184 жыл бұрын
Kaka yng kwa kwl naumia roho kwa maneno unaongea inauma sana,cjickii vzr umenifanya nibibujikwe na machoz kwl is very pain bt worry out our God yuko pamoja nawe,InshaAllah utakuja kukaa sawa japo c rahis kama tunavofikiria,God bless u bro.
@shamimkhatim79932 жыл бұрын
Pole sana Allah akupe subbra ila usijiapize kutooa jua kwamba maisha lazima yaendelee zidisha ibada za sunna nyiradi utapata nguvu insha Allah.
@boballymote75864 жыл бұрын
Dah pole sana tale nakuomba kitu ki moja muombee dua sana na mfanyie vitu vya kudumu Kwa jamii Kwa ajili yake huko alipo kama kuchimba visima kujenga madrasa msikiti na vinginevyo vya kudumu
@aminanamoyo834 жыл бұрын
Ooooh so sad,pole mpendwa mungu akutie nguvu inshallah 🤲🙏
@christinebelinda34984 жыл бұрын
Pole sana Tale mwenyezi mungu akutie nguvu uwe baba bora kwa watoto wako be strong🙏🙏🙏🙏🙏
@chunanachu25294 жыл бұрын
Kufiwa sikia kwa mwenzio ....mungu akupe nguvu akupe usahaulifu watoto bado wadogo na wanakuhitaji sana
@nshonabdll93634 жыл бұрын
Sn yn wt wanao mtukanaga hawajawai kufiwa Hao kufiwa kugumu jmn Figo vi tatu baba and mama mtt mume mke htr jmn
@abiyamahenge86054 жыл бұрын
pole tale,.interview nimeisikiliza kwa shida jaman,.inaumiza sana kufiwa na pacha wako
@mrsdon4154 жыл бұрын
Eti mchambaji ana followers mmoja na anakaa nyumba ya udongo 🤣🤣🤣 may God gives you strength..your sense of humour though..be strong! I can't fathom to loose my loved one
@tanzaniaoman64234 жыл бұрын
Pole sana MwenyenziMungu amrehemu na amuondolee adhabu ya kabri
@corneliashawa3354 жыл бұрын
Pole sana babu tale,hii inatupa funzo kwenye ndoa kuwa tukiishi kama marafiki kunakuwa na upendo wa kweli maana wengine upendo umepowa mpka maneno kama haya hayapo vinywani mwetu,mmmmh kuna somo hapa la kujifunza.
@rosemarykatogomusanga16194 жыл бұрын
Nani amelia kwa ujungu kaa Mimi..!!! Pole Babutale
@mariammtoni15984 жыл бұрын
Pole sana babu tale nimelia sana kiukweri mungu mpe nguvu babu tale
@omanoman4134 жыл бұрын
Your interview made me shade tears
@marysengo28344 жыл бұрын
Poole saana kaka Babu Tale Mwenyezi Mungu AKUPE moyo wa subra..Binaadamu tumeubwa na kusahau..lakini kifo cha mke kinauma saana..Poole saana ..
@livingmassawe69664 жыл бұрын
Daaaaaaah I feel so sad for what u feel in your heart but God will give u more strength I feel sorry for you so be strong
@samniza17634 жыл бұрын
Ni vizuri kumwambia, mama is in heaven, is with the angels, in a very good place. Pole sana bro! Mapenzi ya mungu yametimia. God is so so amazing, to heal our hearts, and give us comfort with time.
@najma32684 жыл бұрын
Allah akupe subra Na nguvu kakayangu, mungu atakuwafanyia wepesi inshaallah
@mckipofu60214 жыл бұрын
GOD BLESS YOU brother 🙏
@graceskitchen73824 жыл бұрын
😭😭..Mungu akutunzie watoto wako tale...Na Mungu aendelee kukupa nguvu
@mamayassin50804 жыл бұрын
Jaman Pole babu tale.mungu akupe subra
@jeniferkalemela994 жыл бұрын
Hii interview imeniliza mwanzo mwisho, kweli huyu kaka bado Ana maumivu moyoni Mungu aendelee kukusimamia.
@dapiliharun79784 жыл бұрын
Alimpenda sana mkewe na ni vigumu kusahau sababu hakua tu mke kwake lakin pia alkuwa furaha yake kubwa na life supporter kwa kila afanyalo. She meant everythng to him.
@dareenali60864 жыл бұрын
Pole Sana Allah atakusaidia Na watoto Inshallah watakuwa bila ya matatizo I think most of us we are crying now
@queenwesthilson60094 жыл бұрын
Allah atakushidishia subra
@AishaAhmedSofia20204 жыл бұрын
Ameen ya rabbi. Naomba mu subscribe Kwa channel yangu dada zangu please kzbin.info/www/bejne/rXTVZGCFmsacmpI
@fatumahamisi68114 жыл бұрын
Pole san babu tale, Mungu akupe faraja inshallah
@flavianakanga12154 жыл бұрын
Pole sana but the God we pray every day will give you strength.
@susanruo80874 жыл бұрын
This was deep.. Itakuwa sawa bro 🙏🙏
@nasrafadhili89414 жыл бұрын
Jmn pole sn ndg yetu ulikuwa unaupendo kwl namkeo lkn muombe mungu akupe uvumilivu unaumia kwl kea ndani jmn
@dianarajab23874 жыл бұрын
Pole sana Babu talle. Allah àkufanyie wepesi najua ni ngumu, lakini Mungu atakuvusha.
@stellahmomtelo15954 жыл бұрын
Pole sana its so sad but Mungu yupo huyu mme alimpenda mke wake zaidi ya yote hakika sichawai ona mwanamme wa mapenzi hivi
@nurjanniyaz18324 жыл бұрын
Mungu akujaalie moyo wa subra kuondokewa kunauma sana
@aminaramdan32834 жыл бұрын
😭😭😭😭😭😭Babu Talee Umeniliza Jamani Usiombee Ufiliwe Uchungu wa kafiliwa Jamani Al hamdulillah Tumshukuru Allah kwa Yeye ndio kila kitu... Kila Nafsi Itaonja Umaut... Allah Azidi kukupa Subra na Iman Na Amini Kilichotokea kwan Hii Ni.. AMRI YA ALLAH..POLE SANA KAKA ANGU
@muniraabdulrahman56564 жыл бұрын
Allah akufariji kila ukiwaangaliwa wanao... inshaallah...inauma mno...Mimi shamy ...ameniuma sana km namjua vile dah...
@phanicealivitsa52854 жыл бұрын
Kabisa hao wanaongea hawajawai kufiwa miaka 14 tangu nimpoteze mume wangu mpaka saa hii ni kidonda hakiponi😭😭
@gloriadunstan71904 жыл бұрын
Ni kweli mpendwa haielezeki
@khadijahomankweliyamjahaya74214 жыл бұрын
Ni kweli na tukiangalia maisha ya sasa ya ndoa zenyewe , waallah lazima umkumbuke mwenzio alietangulia maan huwezi pata kama yule kwa sasa utapata wapii kujisemea telee
@hanifaally46944 жыл бұрын
Pole M/mng akufanyie wepec zaid dear wote wake na kwa tutarejea ni ngumu sana kufiwa ona tu kwa mtu
@annitahgabriel4 жыл бұрын
May God give you strength Babu Tale
@fatmakiruwasha23784 жыл бұрын
Pole sana kaka mungu atakusaindia
@aminafarjala25784 жыл бұрын
Mwenyezi mungu akufanyie wepesi na akupe subra
@brianmuchiri10984 жыл бұрын
Sijawahi kufiwa na mtu wa karibu but nime feel the pain of this man Yani nimejikuta nalia hadi mwisho😭mungu ampe amani
@aishaabubakari1834 жыл бұрын
Yani usiombe ndugu yakukute maana ni mtihani
@eddydauson75254 жыл бұрын
Omba yasikukute bro
@beatricesamwel81614 жыл бұрын
Nimempoteza mom yangu mwenzi wa 9 maumivu makali mno ndani yangu
@zainabumsafir11824 жыл бұрын
Pole sana kk tale Allah akupe wepes Cha msingi kuwa krb na Watt wako dunia tunapita kikubwa dua
@hamidahamis45374 жыл бұрын
Pole Baba Tale Kifo hakizoeleki Jamani. Mungu Akupe moyo wa uvumilivu Inshaallah
@janetmasanya87434 жыл бұрын
Pole Sana baba mungu akutie nguvu
@nabdabdi92974 жыл бұрын
Pole sana babu tale allah akupe wepesi insha allah
@edinambwambo48474 жыл бұрын
This is so 😥.......sorry for the loss srong man.
@aminakidunda89814 жыл бұрын
Wallah nimejikuta nalia kwauchungu Sana pole Sana kakangu babu tale kikubwa nikumuomvea tu mungu akupe subra
@estherlabanghuliku46684 жыл бұрын
Pole sn Mungu Akutie Nguvu
@suziejoe41874 жыл бұрын
So sad, at times it's ok to cry, I shed some tears.
@estherg77254 жыл бұрын
Pole sana babu Tale. Kweli ulimpenda sana mkeo. Nimejikuta nalia tangu alipoanza kumuekezea mkewe😭😭😭😭. RIP Shamy
@kimberlybabeyulemqute25624 жыл бұрын
Sorry for your loss. May God give you strength
@classicmido884 жыл бұрын
M/mungu akupe nguvu zaid mzee, it so sad unapitia NJIA ngumu mnoo babu batee
@yasodishonest97924 жыл бұрын
Pole sana. babu tale umepitia magumu sana.mungu akufaliji
@salamaoman81334 жыл бұрын
Mshukuru ALLAH kwakila jambo kaka yangu wote sisi wakuondoka
@productivityprogressprince51564 жыл бұрын
Pole tale pole kaka. MUNGU AKUPE nguvu🙏🏾
@priscillaamossen82494 жыл бұрын
Pole Babu Tale,,, mungu atakuongoza👍🏾
@nancynuru78724 жыл бұрын
Pole Babu Tale mungu anakila sababu
@nestersanga74664 жыл бұрын
Pole sana Tale Mungu akusimamime
@AishaAhmedSofia20204 жыл бұрын
Ameen. Naomba support yako Kwa channel yangu please dada. kzbin.info/www/bejne/rXTVZGCFmsacmpI subscribe
@letsaddmagicarman41704 жыл бұрын
Mwenyezi mungu akupe subra in shaa Allah watoto wako ndio furaha yako.
@marjana11264 жыл бұрын
Pole sana allah atazidi kukutia nguvu inshaallah
@justami26254 жыл бұрын
Allah ndio mjuzi Kuwa na subra. Mitihani tumeumbiwa Binaadam. Pole na pia tunapaswa kusema inna lillah wainna ilah rajiun..
@AishaAhmedSofia20204 жыл бұрын
Allah amueke pema palipo na wema. Miya naomba support yako Kwa channel yangu please kzbin.info/www/bejne/rXTVZGCFmsacmpI. Subscribe
@josephineobadha72854 жыл бұрын
May God continue being your strength 🙏. He knows you and He knows your name.
@azzasalti61244 жыл бұрын
Neema kubwa mwenyezi mungu katupa ni neema ya kusahau..kweli mambo mengine huwezi kusahau lakini machungu yanapongua sio kama mwanzo....kitu ambacho naweza kukumbusha uwe karibu na allah sanaa yeye pekee ndio mwingi wa rehma...na kumbuka kuwa sote ndo njia yetu...kikubwa kumtolea sadaka na duwaa...allah atakupa subra katika mtihani huu mkubwa ya rabi
@veronicachikongoye65234 жыл бұрын
Pole kaka Tale.tuzidi kumuombea
@carlitacelestino42283 жыл бұрын
Caira minhas lágrimas
@nabintukadende23884 жыл бұрын
This is so painful to watch, sorry Mr Tale 😭💔💔💔 courage.
@africanbeauty65564 жыл бұрын
Pole sana , Interview munazifanya kumbukeni kuweka box la tissue's
@leahponera56904 жыл бұрын
Pole sana brz lea watoto mungu akutie nguvu
@fridambwiliza1904 жыл бұрын
Mbunge wetu mwachie mwenyewe amechukua chake inshaaallah tinakupenda kwa heshima yako
@ashamasudi94414 жыл бұрын
pole kk Allah akupe subra kwa wakati ngumu ulonao na marehemu Allah amueke mahala pema
@salmaluhombero84664 жыл бұрын
Awww jamani unanifanya nilie jamani Mungu akuletee rafiki yako upate mke mwema akufute machozi jamani Mungu atakufariji tena amina jamani keep her memories ndani ya moyo wako always wewe ni shupavu amina
@marymaige64664 жыл бұрын
Pole sana.Mungu akupe nguvu.
@baubahashim62804 жыл бұрын
So sad daaaah pole sana sana Mungu azidi kukutia nguvu
@stellaprince48714 жыл бұрын
Pole Sana Kaka Mungu akutie nguvu
@letsaddmagicarman41704 жыл бұрын
Swala ndio amani yako ya moyo amini maneno yangu mwenyezi mungu akupe subra 🤲🙏🏻
@delphinefleurmanirambona86514 жыл бұрын
Nampenda uyu Babu Tale yuko sawa Mwanahume mwenye Mapenzi Na Marehemu Mke wake @ Shamy Allah akupe roho yawujasili Kaka Tale
@ummuadam24234 жыл бұрын
Part 2 plz so emotion
@zainabmsehemu18364 жыл бұрын
Its so sad indeed hv bn crying from the start till end babu tale Allah will gv u strength its not easy aisee so sad ak
@shamimshaban29694 жыл бұрын
Honourable Babutale it is ok to cry; that is how we know men have feelings.
@neemamsomba64724 жыл бұрын
Mungu akutie nguvu na upate faraja y kweli y Mungu aliehai.Kusahau c rahaisi but kwa uweza wake taratibu utasahau
@babyhamisi53314 жыл бұрын
May Allah be your strength, may Allah make things easy for you
@wardaheluwa7344 жыл бұрын
Pole sana mola akupe subra uko kwenye wakati mgumu ela tulimpenda lakin mungu kampenda zaidi yako