Kidawa ndio kwanza nimemuona lkn Masha Allah umenipa elimu mzuri sheikh Muhammad tupo mtaa mmoja lkn kwa hapa Sheikh Kidawa umetoa elimu kubwa
@HisMajesty6425 күн бұрын
Mashallah. Tabarakallah. Busara. Allah Barik fiq
@JabirMuhammed-ez1ld26 күн бұрын
mashaallh shekh nimemkubali san uyo yuko vzr❤❤❤
@amamossi420329 күн бұрын
Shukran kwa walimu mliowasilisha ushauri kwa shekh nassor anatabia ya kudharau watu na kutamka wazi kuwa mwengine Hana elimu kuliko yy. Akumbuke maneno ya sayyidina mussa A.S
@WakaliFashionTz29 күн бұрын
Kwani shida Iko wapi ikiwa mwalim wako Hana elm
@budabest527229 күн бұрын
Kwahio ulikuwa unataka amwambie anayo kati hana
@WakaliFashionTz27 күн бұрын
@@budabest5272 wewe wajua elim ni nini??
@gamalashur541228 күн бұрын
Masha Allah twapata faida ikiwa hakuna fujo na ushindANii
@spartachize12229 күн бұрын
MashAllah❤ yaani mi hua nampenda shekh Bachu anavyofafanua, kama usipomuelewa bac utakua na kasoro
@KibariHamis11 күн бұрын
Wewe unaelewa nini kuhusu bidaa?
@spartachize12211 күн бұрын
@@KibariHamisBida ni jambo lolote lililozushwa ambalo halikuwepo kutoka zama.... Jambo lilioanzishwa pasi kua na chanzo chake, mi sio msomi kivile ko utanisamehe kama ntakua sijaelezea vizuri
@QuthamAbdalla29 күн бұрын
Wallahi mimi nakupenda sana shekh Muhammad bachu leo duniani hadi jannah
@QuthamAbdalla29 күн бұрын
Shekh Muhammad bachu mimi namuomba Allah atukutanishe jannah tukiwa pamoja
@karimdaud399329 күн бұрын
Tauhidi ni moja na mungu ni mmoja mjinga bachu wee
@jumannekassimu541029 күн бұрын
Mjinga hana elimu ya anachozungumza, je wewe unaelimu ya umechokisema???
@AbdalallaBrahimam29 күн бұрын
Shkh anakimbilia kusema shkh mwenzake kasema kusoma vitabu ni bidaah wakati shkh alikuwa anamaanisha vitabu wapi Mtume wetu Muhammad s.a.w alisema waandike vitabu
@drmahwa816629 күн бұрын
Huna unacho likiwa kaharishe
@WakaliFashionTz29 күн бұрын
Angalia usije sema hat wewe niwah nje ya ndoa maana mwalim wako kasema vitabu ni bidaa vyote
@Mimein-vn7or28 күн бұрын
Bid,ah nzuri Iko ,ni hiyo ya kuandika vitabu,usikatae kiujanja.
@fakijuma871329 күн бұрын
لم ٱشرك بربي أحدا ,ولم يقل لم ٱشرك بإلهي احدا
@kivatirokitojo65729 күн бұрын
Bachu hoja ya kitabu ni bidaa imemkera Sana mana hajaijibu kafungwa kamba na shekh kidawa shingoni inamtesa kiukweli
@AbdalallaBrahimam29 күн бұрын
Sana kazidiwa elimu
@IdrisseSumailAssumane28 күн бұрын
Muenyezi mungu awa jalie elmu hawa ma shek. Bali bacho wamemzid ki elimo na ki fikra. Kwa maoni yangu, bila kushabikia
@kivatirokitojo65729 күн бұрын
Bachu hafanyi mijadala ya kielimu ni kiubishi na kujifaharisha
@WakaliFashionTz29 күн бұрын
Mwalim wako ameulizwa swali. Ktk Aya ataje mambo matatu yaliyotajwa na Allah akakimbia sasa wasemaje Hana elm
@NassoroAlly-pp7gr5 сағат бұрын
Bachuuuu unachekeshaga tu
@MwalimJecha27 күн бұрын
Kumbe mashekhe Bado wapo akina shekh kidawa.
@MohamedKibwana-mc5wu4 сағат бұрын
Bachu anajibu maswali kwa mihemko,,,,anaangusha mawahabi waziwazi
@QuthamAbdalla29 күн бұрын
Wallahi mimi nampenda sana shekh Muhammad bachu wa jinsi anavyo elimisha ummah
@mpingahamiskingu216128 күн бұрын
Kidawa endelea kufanya daawa,uislam ulikuja ni mgeni na utaondoka ukiwa mgeni big up kwa elimu nzuri uliohifadhi ingawe kwetu na kwao watu wabishi wabishani
@YaziduIddy-u7pАй бұрын
Muhammad Bachu hamna kitu nimajigambo tu
@WakaliFashionTz29 күн бұрын
Masufi wengi niwaongo na wajinga
@SalhaAlly-x8q12 күн бұрын
BACHU TUPE ELIMU TUEPUKE USHIRIKINA KWA NDANI NA NJE
@rashidabasi794029 күн бұрын
Dogo anakunywa maji meng si kwamba anapeda, bali nikutafta confidence
@AbdallaAssaa-we3vi26 күн бұрын
Sheikh Mohammed bachu ikiwa unajuwa kuwa maulamaa ni warithi wa mitume sasa kwanini unabishana na kuwatukana baadhi ya maulamaa
@RugoBike12 күн бұрын
Baadhi ya maulamaa wanatupotosha
@nuhuabedi886929 күн бұрын
Hafadhali,,ungekuwa,ghalimu,Inge,stafidi
@MuhammedSayd-r6p28 күн бұрын
Bachu leo umegaragizwa maalim wangu
@SaidiMohamed-bj2wg26 күн бұрын
Waende kwa mayahudi wenziwao wakachukue dalili lakini kwaالله naمحمد hakuna taqsiim tauhid
@Mussarashidi-b4f29 күн бұрын
Sasa shekh Bachu umekubali wanazuoni ndio warathat sasa sindio wamejuzisha maulidi VP shk Bachu tulza kichw
@Saidimkwizu28 күн бұрын
Nyie ndo mnaskiliza kimihemko
@kugotwa00429 күн бұрын
HIVI MIM NA AKIKI ZANGU ATI NAENDA KUFANYA MJADALA NA BACHU UYO ANATAFUTA UMAARUFU MITANDAONI
@sulaimanidjuma318326 күн бұрын
Mtume mwenyewe kasomesha Tawhidi mwaka 13 mbona hakuigawanya ilhali ya kua kaifundisha mwaka mingi?
@choloissa300421 күн бұрын
Bachu kielimu badosana kakaechi achauvivu
@Haji-yt8hm29 күн бұрын
Kusoma ni jambo moja kuelewa ni jambo jingine
@rashidabasi794029 күн бұрын
Kwa hiyo kwa mujib wa Bachu, Mtu akitamka shahada bado hajawa Muislam?. Anachanganya Mtu kua muislam na mtu kufanya maovu... anamaanisha Muislam ni asiefanya dhambi. Nilivyomuelewa Bachu. Kama ni kweli basi Anashida kubwa huyu!
@ZubeirHamada24 күн бұрын
Bachu kwa maelezo yako unayoyatoa kwa kuyapigia mifano jee kwa nini unayapinga Maulidi wakati yameletwa na Wanavyuoni?
@ZubeirHamada24 күн бұрын
Kumbe ndio maana Bachu akaj....kulee Kenya kwa kunywa Maji maana hapo hatulii kwa kunywaaa
@AbdalallaBrahimam29 күн бұрын
Tukiacha ushabiki shkh bachu mijadala acha Kuna mashkh wamekuzidi elimu maana swali unalo uliza ni tofauti na mada
@Azza-o8c27 күн бұрын
Huyo bachu amejaza ma vitabu anafikiri atashindana na mwenye elimu
@AhmedMattar-t8g27 күн бұрын
wew kibachu hayo ndio maswali yako kweli wew ni mbumbumbu
@SaidHamad-d3n27 күн бұрын
Mijadala haina maana kufanyika kwa sababu kila mmoja hakubali kushindwa maana bachu kila muhazara anasema kashinda yeye hajashindwapo hata siku moja
@isaack10029 күн бұрын
Bhachu kasema"hakuna bida nzuri wala mbaya never"!kisha asema sharti ijulikane kama Jambo Fulani ni bid a ndo tuongele kama ni bida nzuri ama mbaya.ni fahamisheni jamani cjaelewa apo
@Habshi-l5r28 күн бұрын
Mbona bachu ajajibu swali la sheikh kidawa
@FahadMasoud-io4mbАй бұрын
Maashaallah,hata huko makka na madina alipokuepo saud na wahaby,waliwauwa waislamu wengi kwa kisi gizmo eti ni washirikina,ndio sawa tu na huyu bachu
@HemedSerious29 күн бұрын
Hawa wao tu ndio watukufu na pepo hupeana wao Kwa wao😂😂 mawahabi bwana
@shekhsamiudinonlinetv827229 күн бұрын
Yaan bachu kweli huna elimu
@SuleFaki-ne4my25 күн бұрын
Sheh bach swl la mwisho ulilo uliza umepigwa teke la ndama
@ZaituniMkwamba22 күн бұрын
Bachu wewe ni mwehu unachekacheka kama fara
@AhmedMattar-t8g26 күн бұрын
hichi kibacho ukimuuliza swali anajibu vyengine
@choloissa300421 күн бұрын
Bachu elemu ndogo ludiukasome
@Mimein-vn7or28 күн бұрын
Bachu wacha kurefusha maneno na kupoteza suali,jibu ulivyo ulizwa.
Huyu bachu ht mim namshinda kwa elimu hana anachokijua
@MussaYasini29 күн бұрын
😂😅 unamshinda nin?!
@muhdisulaiman29 күн бұрын
Hahahaha watu wakixhiba makande wanA xhd sana
@WakaliFashionTz29 күн бұрын
We wajua kula makande tu hamna kitu wajua
@shaabanmanase6351Ай бұрын
Asalam alaykum...bachu kijana mdogo MaashaALLAH... Akuhifadhi ALLAH Tabarak wa Taala....ukifika umri ya 50 years....utakuwa mtu mwenye ilm Pana saana
@AhmedMohamedMadaiMadai29 күн бұрын
Akili huna ww unamtetea huyo jahili ht elimu Hana umerogwa nn
@shaabanmanase635129 күн бұрын
@@AhmedMohamedMadaiMadai Asalam alaykum... ushawahi ona au kumsikia muumin akitusiana...utusi mwislam...
@WakaliFashionTz29 күн бұрын
@AhmedMohamedMadaiMdai kwani we elm yako ikoje
@mzalendohasa29 күн бұрын
Hoja ya Shekhe kidawa ziko bida nzuri
@Zuwenamachela28 күн бұрын
Acha kucheka jibu hoja shekh anakutega wewe ndounasema Kila kilichokuja baada ya mtume ni bid'ia ndoanakwambia kwa mtazamo wako bc hata vitabu ni bid'ia Hilo linarudi kwako
@ussishauri24 күн бұрын
Haya hawo Maulamaa wamerithi kwa nani wakati mtume hajasema hilo.
@sulaimanalamri926129 күн бұрын
Kuna kisa Sahaba alimuuwa mtu kwenye vita baada ya kutamka shahada masahaba wizake wakamlaumu na walipolipeka hili suwali kwa Rasuull SAW alimuuliza yule mtu kwa nini ulimuuwa akasema yule alitamka shahada kwa kuogopa tu, Rasull SAW akamuuliza jee uliona kilichoko kwenye moyo wake
@IbrahimKassim-i8h26 күн бұрын
Ww sheikh kidawa mjinga kwel kutunga vitabu ni bidaaa dh? mtihani kwli huu
@aboujanomarion612124 күн бұрын
Mm bachu anachoniudhi nikua anaongea nikama madhebu yao wao ni waswafi sana wengine wachafu wanaingililia mpaka kwenye hukmu ya Allah hichi nikiburi na Allah amesema haingi peponi mwenye chembe chembe ya kiburi 😢😢
@khamissmatti8 күн бұрын
bachu hujuwi kitu usituzalilishe wazazibari
@MusaYusuphu-y2l29 күн бұрын
Acheni uongo aliekimbia ni kidawa ci bachu mche mola wako
Bachu bado kasome hauna elmu yoyote kwako ila ujanja ujanja tu.
@OmarMuhammad-h7lАй бұрын
Sijaona mtu asielewa kma bachu thibitisha kwa hadithi lkn zii
@HemedSerious29 күн бұрын
Hajajib Kwa Hadeeth, Aya ya Kur an, wala maswahaba.
@AliJuma-k2tАй бұрын
Mwambieni bachu asinywemaji atakujakojawa jamani😂
@daarularqammkaku153Ай бұрын
@@AliJuma-k2t 😂
@adamcity944129 күн бұрын
Bachu wacha ujanja umesema hakuna Bid'a nzuri , ukajengewa suali ikiwa hakuna Bid'a nzuri, je kuandika vitabu ni Bid'a kwasababu Mtume S.A.W hakuandika vitabu ? Ulichofanya umeruka kama kuku aliechinjwa .
@HALFANIJUMA-j8t28 күн бұрын
Acheni ujinga Kuna swali la hivyo
@isaack10029 күн бұрын
Huyu bhachu hana ikhlaas wallah,yaani kwa kupinga maulidi hakusema Al ulamaa warathatul anbiya.bali alisema kama maulidi ni dini hainge zushwa miaka mia Saba baada ya mtume kufa? lakini ona kwa kugawa tawhid anasema Al ulamaa warathatul anbiya ogopa mungu bhachu
@HarakatiChanel17 күн бұрын
Bachu ni comedian, kwanza ana kibri ya elimu.
@BakarJambia-m3e27 күн бұрын
Wewe bachu kwanini usisome kwanza kisha ndo ukajadiliana na mashehe
@maarufumustwapha305529 күн бұрын
Kiukweli Bachu hekma na bus arafa hana pili ana kibri
@shekhsamiudinonlinetv827229 күн бұрын
Sasa mbona unakwepa swali bachu anapoteza mda tu
@AliAmour-g2o29 күн бұрын
"Kusoma vitabu ni bidaa" hhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh
@JabirMuhammed-ez1ld26 күн бұрын
huyu bacho mi at neno moja simwelewe
@IddiMakame-i2l24 күн бұрын
WALE WANAOMZIHAKI BACHU HAYO MAMBO MATATU ANAYOSTAHIKI ALLAH PEKE YAKE HAMUYATAKI?
@VuaiAli-zt9ib28 күн бұрын
Kujichekesha sio kujibu hoja.
@OmarMuhammad-h7lАй бұрын
Bachu mrongo vigawanyo vya twaihid ilianza karne ya nane na alionzisha ni ibni taimiya
@mohammedmasudi-dz6hb29 күн бұрын
BACHU ACHANA NAHAWA WATU WABIDAA HAWAELEWI HAQQI MTABISHANA MPAKA KIAMA
@DeadlyhandsomeJayzan-dq3bz25 күн бұрын
Shekh kidawa amesoma lakin hajaelewa
@HarakatiChanel17 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂sema inabidi ukaelewe wewe
@AliymkubwaAliymkubwa28 күн бұрын
Mtihan mkubwa
@ZubeirHamada24 күн бұрын
Kwanza huyu Bachu keshaenda Hijja huyu?
@abuuahyan49518 күн бұрын
wengi munao toa comments mupo katika chuki sikatika kufahamu yaliyozungumzwa ndiomaana munasema munavyojiskia lakini tusomeni
@SabirHassan-b8b27 күн бұрын
😂bachu ka toroka
@hamzaqaacm186917 күн бұрын
Mjadala mzur ila wenye viti hawajaijua kazi yao nn hapo
@FahadMasoud-io4mbАй бұрын
Kuna swahaba alimuua kafiri ,alipomuelekezea upanga akasilimu,hakurudisha upanga akamuua,kesi ilipokuja kwa mtume na swahaba akaulizwa na mtume,aka jibu aliogopa upanga tu,akaulizwa umeuona moyo wake
@muhammad-fb6vj29 күн бұрын
Kwel kabisaa
@ZubeirHamada24 күн бұрын
Wewe umejuwaje kua huyo ni Sheikh wakwe
@ConfusedApron-bf7nf23 күн бұрын
Mashekh hii ni dunia mtakwenda kuulizwa na Allah makafiri wanatuongoza katiba zao na waisilamu hatuongozwi na quraan ......hamuyazungumzi kazi nikushindana na umma twazidi kua kwenye dhiki kila kukicha ......acheni mambo yenu hayo, hio siodini aliokuja nao rasulillah ....simamisheni dola ya kiiisilamu qaino sai zimajaa mpka makka mji mtukufu
@AhmedMattar-t8g27 күн бұрын
kibachu nenda kasome hujui kitu
@Mimein-vn7or28 күн бұрын
Sheikh hakusema kusoma vitabu ni bidaah,wacha kudivert watu
@sadikiwasapa263129 күн бұрын
Shk Bachu mjanja mjanja tuuu na kuruka ruka tuu
@Mimein-vn7or28 күн бұрын
Bachu tumekuelewa,wewe uko na ajenda ulotumwa nao,mbona huendi huko nje ukafanya daawa? Mbona unavuruga walio msikitni tu?
@JabirMuhammed-ez1ld26 күн бұрын
kajikaanga leo😂😂😂😂😂
@hamzaqaacm186917 күн бұрын
Unapenda kunywa maji wewe bachu wakati yalisababisha ukajikojolea kule mombasa 😂
@IsmailJuma-zb5ni29 күн бұрын
Lengo kuu ya hiyi mijadala ni nini?
@RamadhaniMohamedi-de2vc29 күн бұрын
Kuwekana sawa kwasababu misimo yetu ni tofauti kwaiyo tunakiwa kujua hoja gani zenye uwakika.
@tawhidchannel562914 күн бұрын
Shekh bachu ana jadiliana na jaahil mkubwa sana.
@maase202329 күн бұрын
Basi haya ndio majaaliwa yetu waislam baraka ya ubishi na mabishano yasio na faida yoyote ile ili mradi wajionyeshe kwenye media madhaifu yao
@farijalakhalid555829 күн бұрын
Maskini bachu
@AhmedMattar-t8g27 күн бұрын
huyu kibachu kishawahi kushinda hata siku moja
@ShabaniMamba-r2e22 күн бұрын
Naona wazi jinx watu wanajiita mashekhe kustiki ktk mada hawawezi hasa huyu bachu hawezi kustik ktk mada halafu anabadilisha kauli wazi wenyekit nao zaifu mwenzio hakusema kusoma vitabu ni bidaa bali ktka zama za rasuli kulikuwa hakuna majina ya vitabu wala vitbu havikuwepo Leo vipo Ana maana hhin bidaaa t Hasana bachu vip?
@OmarMuhammad-h7lАй бұрын
Bachu elewa swali ulioulizwa jmniii
@ZawadFadhir29 күн бұрын
tauhdi3 najambo la ibn taimiya acha janjajanja tarumbeta la mawahabi
@ZubeirHamada24 күн бұрын
Sasa huyu anakunywa Maji au anafanya ujinga hapo
@jimjam-xg7rv29 күн бұрын
Tatizo la M.bachu ni ubishi kiburi na ubabaishaji tu.
@OmarMuhammad-h7lАй бұрын
Mbna auliza swali inje ya mada jamnii mada ni vigawanyo vya twaihid bachu uko inje ya mada
@tawhidchannel562914 күн бұрын
Shekh bachu nimekupa nasaha mara nyingi usipende mjadala pamoja na hawa watu, bali shughulika na daawa pasi minaadhara na mijadala, kwa sababu utajadiliana na jaahil kama huyu.