BACHU KIMEMRAMBA TENA MWANAMKE AENDELEA KUMTIA DARSA ZANZIBAR

  Рет қаралды 2,292

RAMIYA WETU TV

RAMIYA WETU TV

Күн бұрын

BAADA YA BACHU KUMJIBU SHEIKH SAMIR AFUNDISHWA VIKALI NA MWANAMKE ZANZIBAR SEHEM YA PILI‪@ramiyawetutv‬ ‪@AlIhsaanTv‬ ‪@alhaajartvkenya‬ ‪@alhudatvkenya‬ ‪@almuqadimtvhassanali.‬ ‪@ALIFAZA‬ ‪@alhatimyonlinetv71‬ ‪@alihsaanrecords‬ ‪@alameentvTz‬ ‪@KHAIRIYYAONLINETV‬

Пікірлер: 169
@abubakaromar6101
@abubakaromar6101 15 сағат бұрын
MashaAllaha MashaAllaha Maalimaa Ummu Aisha Swadaqta maneno hili ndio twawauliza mukusanyike mashekhe wote wa kiwahabi kuwa yale matendo yaliyomo ndani ya Maulid kusomwa Quran kuleta Dhikri kumtaja Mwenye Ezi Mungu na kumswalia Mtume SAW Mawaidha je haya Mtume SAW na Maswahaba hawakuyafanya?ni kama vile nyinyi huko uwahabini muna Bid'aa mwafanya mashindano ya Quran au ktk Nikkah kusoma Quran au Kuswali Taraweh Rakaa 8 kwa kusoma Juzuu nzima kila siku
@jimjam-xg7rv
@jimjam-xg7rv 12 сағат бұрын
MASHA ALLAH 💚
@DiudaKozi-qu8sl
@DiudaKozi-qu8sl 17 сағат бұрын
Vipi uyo mwanamke anasoma gazeti
@jumafaki2891
@jumafaki2891 20 сағат бұрын
baaraka llahu bachu si zani kama Huwa anafahamu anacho kisema Kwa nilikwiaha sema Sheria za dini hasa bachu hazijui
@ramiyawetutv
@ramiyawetutv 20 сағат бұрын
Kabisaaa
@ramiyawetutv
@ramiyawetutv 20 сағат бұрын
Sasa ndo darsa muhim kapewa na ukhty aisha mola amhifadh
@NurdinMirandu
@NurdinMirandu 20 сағат бұрын
Mashallah tunaomba atoe ingne kumrekebisha😂
@haqilillahtaalaabudhar4697
@haqilillahtaalaabudhar4697 13 сағат бұрын
Asante sana kwakumuweka wazi
@alf8177
@alf8177 14 сағат бұрын
MIMI NAMJUA SANA HUYU UST SAMEER HAWEZI MJADALA NA HATOTHUBUTU KUJIBU NA NDO MANA WANATUMWA KINA DADA. WANAUME WAMESHNDWA KUJA NA HOJA
@Abuumustwapha
@Abuumustwapha 13 сағат бұрын
@@alf8177 Nahana huo muda wakumjibu mtu ambae anaacha vidio kamili nakuchukua kakipande kwamba naww hujaona ??? Kiongoz?
@Abuumustwapha
@Abuumustwapha 12 сағат бұрын
@@alf8177 dada anamtosha sana kama kaamua kufanya uhuni wakuikata vidio yake na ilikua yajieleza vzr amjibu nni ssa wakat kaitaka si ilikua awaonyeshe waislam vidio nzima mbona kachukua anachokihitaji t mengne kaacha na mumeliona hilo mbona hamsemi kumwambia aaache tabia hiyo?
@ThabitThamAlharthy
@ThabitThamAlharthy 9 сағат бұрын
Sasa unataka ajibu nini.. na maneno yake yapo wazi kwa mwenye kuelewa.. sio kila mtu anajibu tu.😂😮
@Abuumustwapha
@Abuumustwapha 9 сағат бұрын
@@ThabitThamAlharthy Ndo hapo nammi nashangaa maneno ya shekh Sameer clip nzima imejieleza ss bacho ye kachukua kakipande ndo kafanya ghushi yake Skkh ajib nni.😁
@KhamisBakar-ge4sp
@KhamisBakar-ge4sp 4 сағат бұрын
Sh Saamir ni mtu anae jielewa sidhan kama anaweza kukaa kuradi upuuz wa bachu
@swahilitherapytv3846
@swahilitherapytv3846 17 сағат бұрын
Masufi mmekosa hojja sas mmeanza mipasho 😊😊. Maulid ni uzushi tu. Ukishika udhu ni ibada
@SuolFat
@SuolFat 16 сағат бұрын
Mawahabi hamna elimu
@hilalkhalfan1452
@hilalkhalfan1452 15 сағат бұрын
Mawahabi mnafikiria kuwa jazba na mihemko ndio dini
@abubakaromar6101
@abubakaromar6101 15 сағат бұрын
swahilitherapytv3846 na kusoma Quran kuleta Dhikri kumtaja Mwenye Ezi Mungu na kumswalia Mtume SAW ktk Maulid pia ni Ibada vile vile
@HemedAbdullaSuleiman
@HemedAbdullaSuleiman 14 сағат бұрын
@@swahilitherapytv3846 Wapi Mtume na maswahaba walitia udhu kabla ya kusimulia hadithi... Au wao walikua hawajui km udhu ni Ibada?
@hilalkhalfan1452
@hilalkhalfan1452 14 сағат бұрын
@@HemedAbdullaSuleiman mawahabi wamesahau walipo sema Dini ilikamilika na kulikuwa Sio Dini wakati wa Mtume saw basi haliwezi kuwa Dini Leo
@JAMAALBATEES
@JAMAALBATEES 18 сағат бұрын
جزاك الله خيرا أم عائشة huu jamaa ni tarumbeta kweli hana adabu na wakubwa zake kabisa
@binfarhan879
@binfarhan879 5 сағат бұрын
Rudi kamsikilize Shekhe Bachu hautosema tena kwan alisema Mtume ( S.A.W) Hakuitikia Salam kwasabab alihofia kumtaja Allah akiwa hayuko twahira na akasema yote ni dhikri mbona nawe unakuja kukubali then unapinga Hata jawabu pia unaijua. Then Maulid tunazofanya, sote ndio ivyo.
@HijaMussaBSCAT
@HijaMussaBSCAT 17 сағат бұрын
Mashallah, nakuelewa vizuri ukhti.
@mobilespecialschool4216
@mobilespecialschool4216 14 сағат бұрын
Hivi enyi mnatuona raha kusikiza huyu mwanamke ni waislam au wakristo, hamuoni kama mnamuangamiza na anajiita motoni hamjui sheria ya uislam kwa mwanamke, au ndio mnamchukia mtu huyo bachu kiasi cha kutoona hatari inayomkuta huyu dada😢😢😢. Allah atunusuru na vizazi vyetu mumnasihi huyu binti anapotea msiwe na chuki yenye kuchupa mipaka mpaka kumtoa kafara mtu
@IbrahimuSaid-z7e
@IbrahimuSaid-z7e 11 сағат бұрын
Jina lake Ummu Aisha fikilia jina Aisha aliyekua na elimu nenda kamsome. Kukosoa tuuu ila kusoma aaha Nenda kasome
@alf8177
@alf8177 14 сағат бұрын
MWAMBIE HUYO UST SAMEER KUOMBA MAITI INAFAA ATAKWAMBIA INAFAA
@Hamis-ks1sy
@Hamis-ks1sy 13 сағат бұрын
Baada ya wanaume kushindwa kutetea hoja saivi wamemuomba Dayuthi mmoja mkewe aje kupiga kelele😁😁😁
@salmaanfaqiih
@salmaanfaqiih Сағат бұрын
Utovu wa adabu munasoma kupitia kitabu gani nyinyi mawahabi, tunataka tufuatilie na sisi musitunyime, sisi tumezowea taswawwuf, sasa tunataka na huu utovu wa adabu wenu tuusome pia.
@Hamis-ks1sy
@Hamis-ks1sy 36 минут бұрын
@@salmaanfaqiih Aanza kwanza kusoma manaaqibshaafi ya Imaam Baihaq imam alivyozungumza kuhusu usufi kisha usome vitabu vya mawahabi
@salmaanfaqiih
@salmaanfaqiih 31 минут бұрын
@@Hamis-ks1sy Unajua kwamba sitaki utumie uongo, kwani unashindwa nini kuniambia?!
@salmaanfaqiih
@salmaanfaqiih 29 минут бұрын
@Hamis-ks1sy Kama hutaki nyamaza wenzako watanitajia vitabu ambavyo mawahabi wanasomea utovu wa adabu, Imaam Albayhaqiy ni Imaam wetu inakuwaje Mawahabi wamfanye Ilhali wanamuhesabu ni kafiri, rudi kwenye الأسماء والصفات aliyotunga yeye utaelewa
@Hamis-ks1sy
@Hamis-ks1sy 21 минут бұрын
@@salmaanfaqiih Nani kakwambia wanamfanya kafir? Hujawah kusikia wakinukuu ibara kutoka huko akhy?? Kuna vitu mnakaririshwa sana kuhusu wahabi ndio maana kuna baadhi ya masufi kutokana na akili zao fupi Ibn Taimiyyah wanamuita wahabi hali ya kuwa huyo wahabi mwenyewe Ibn Taimiyyah hamjui.
@JabuUssi-e8b
@JabuUssi-e8b 15 сағат бұрын
Acha kutafuta umaarufu hunaelimu yoyote zidi ya umalaya
@IbrahimuSaid-z7e
@IbrahimuSaid-z7e 11 сағат бұрын
Alafu mwajiita salafi wa kuwaita ovyo wanawake Malaya hujasikia amesoma Quran, ni malaya gani anayefundisha na kusoma Quran hvi, Natamani nikupe kubwa ngoja nikupe kubwa zaidi. Allah akuepushe na maneno machafu yenye kinyaa kwenye mdomo wako ikiwa mdomo wako huo unautumia kusoma Quran. Allahumma ameen
@swahilitherapytv3846
@swahilitherapytv3846 17 сағат бұрын
Wewe ummu aisha umepata wapi kibali cha dhihirisha sauti yako kwa wanaume...??
@SuolFat
@SuolFat 16 сағат бұрын
Ila haanza yeye kudhihirisha sauti elewa ktk nchi yako unaongozwa na mwanamke
@hilalkhalfan1452
@hilalkhalfan1452 15 сағат бұрын
​@@SuolFat KWANI MAWAHABI wanawake wanaokwenda kwenda kudhihirisha sauti ZAO nyororoo za kusoma quran mbele ya hadhara ya wanaume, Hilo hukuliona?!!!😂. Au choyo zinakusumbua.
@SuolFat
@SuolFat 14 сағат бұрын
@@hilalkhalfan1452 acha unafiki mbona unaongozwa na mwanamke Wala husemi kitu mbona husemi kitu kwa wadada wanaoimba taarabu na bongo fleva huu wako ni unafiki na chuki binafsi
@SuolFat
@SuolFat 16 сағат бұрын
Hongera sana dada kwa kumchakaza hichi kijamaa
@hilalkhalfan1452
@hilalkhalfan1452 15 сағат бұрын
😂😂😂 HUYU Dada amenifurahishaaaaaaaaa!!! Yupo wapi nimtupie JAPO kilaki kimojaaaaaa. Aaah , ukioa mwanamke mwenye elimu ya Dini na Akili basi utastereheeee😂
@mobilespecialschool4216
@mobilespecialschool4216 14 сағат бұрын
Hivi enyi mnatuona raha kusikiza huyu mwanamke ni waislam au wakristo, hamuoni kama mnamuangamiza na anajiita motoni hamjui sheria ya uislam kwa mwanamke, au ndio mnamchukia mtu huyo bachu kiasi cha kutoona hatari inayomkuta huyu dada😢😢😢. Allah atunusuru na vizazi vyetu mumnasihi huyu binti anapotea msiwe na chuki yenye kuchupa mipaka mpaka kumtoa kafara mtu
@HassanHassan-v3t
@HassanHassan-v3t 13 сағат бұрын
​ Sio dini hiyoo Lakin ndugu yang tazama,,, unless mutaingia motoni nyote kwa uzush
@mobilespecialschool4216
@mobilespecialschool4216 13 сағат бұрын
@@hilalkhalfan1452 wenye elimu ya dini wamejistili wapo majumbani mwao wanatafuta pepo, huyu hana haya yupo huku anatafuta moto we unamshangilia so sad
@hilalkhalfan1452
@hilalkhalfan1452 13 сағат бұрын
@@mobilespecialschool4216 imekuchomaaaa, jibuni hoja mawahabi
@COM09
@COM09 14 сағат бұрын
اللهم صل على سيدنا محمد وعلى آله وصحبه وسلم
@Hamis-ks1sy
@Hamis-ks1sy 13 сағат бұрын
Daaah! Wallah usufi ni uwendawazimu haya basi muiteni huyu ukhty siku1 kwenye misikiti yenu aje atoe na khutba na kwa jinsi akili zenu zilivyo hamshindwi😀😀😀
@anwarsalum7772
@anwarsalum7772 11 сағат бұрын
Mhhh.. Kumbeeee
@isihakamgeta5433
@isihakamgeta5433 18 сағат бұрын
HAKUNA SUFI MWENYE AKILI
@IbraFareed
@IbraFareed 18 сағат бұрын
Jibu hoja ACHA KULALAMIKA
@SaidMadai
@SaidMadai 17 сағат бұрын
Iyo ndonjia yenu yakukimbilia mkipewa dalili ss ma2si😂
@SuolFat
@SuolFat 16 сағат бұрын
Hakuna wahabi mwenye adabu na heshima
@SuolFat
@SuolFat 16 сағат бұрын
​@@IbraFareedjibuni hoja
@hashimujumanne9570
@hashimujumanne9570 13 сағат бұрын
Nn maan ya sufi
@Khatib-xp6fp
@Khatib-xp6fp 16 сағат бұрын
Hakuna kusherekea mkuzaliwa mtume
@SuolFat
@SuolFat 16 сағат бұрын
Mutaelewa tu
@salmaanfaqiih
@salmaanfaqiih Сағат бұрын
Utovu wa adabu munasoma kupitia kitabu gani nyinyi mawahabi, tunataka tufuatilie na sisi musitunyime, sisi tumezowea taswawwuf, sasa tunataka na huu utovu wa adabu wenu tuusome pia.
@HemedSerious
@HemedSerious 20 сағат бұрын
Kanyooosha maelekezo ukhty.
@hilalkhalfan1452
@hilalkhalfan1452 15 сағат бұрын
YUPO sawaaaaaa, katuliaaa hana pupaaaaa😂
@moralist6100
@moralist6100 13 сағат бұрын
NA YEYE ATANYOOSHWA
@hilalkhalfan1452
@hilalkhalfan1452 36 минут бұрын
@@moralist6100 mihemko ya bachu inaenda mrama, hawez kunyoosha mtu. Kila pahala anachapwa yeye
@Abuumustwapha
@Abuumustwapha 21 сағат бұрын
Wenye upeo mzuri watafaham kua bacho kawa mtu wa aina gani ktk kunukuu hizi vidio anazo ziraddi ssa kama vyote alivotaja ni dhikri na vinavyofanywa ktk maulid pia nidhikri iweje kupinga.????? Jmn hatar kwakwl.
@ramiyawetutv
@ramiyawetutv 20 сағат бұрын
Kabisaaaaaaaaa
@nassoraliy3871
@nassoraliy3871 13 сағат бұрын
Mtumeni na mau zinde nae aje awasaidie kuchamba
@HassanHassan-v3t
@HassanHassan-v3t 13 сағат бұрын
Nyinyi ndio wa kumzuia uyo mwanamke aache mipasho yake,, vyenginevyo mnazidi kujibebesha madhambi,, masufi wakubwa,, hayo maulid ya dufu ya heshima onesheni wap mtume kapiga besi au othman Allah amridhie kapiga kitwasi,,, acheni kutetea batwil zenu,,, twasema hiv maulid yatabak kuwa ni Uzush tuuu
@Abuumustwapha
@Abuumustwapha 13 сағат бұрын
@@HassanHassan-v3t kama nyiny mumeshindwa kumzuiya bachu kuchukua nusu vidio nakuficha kilicho zungumzwa ssi ndo tumzuiye dadaa kumjibu acha ajibiwe kua vidio kaikata na hajafanya sawa ilikua awasikilizishe waislam vidio nzima.
@HassanHassan-v3t
@HassanHassan-v3t 13 сағат бұрын
@@Abuumustwapha Baba ishi na maulidi yako,, mkutano kwa Allah, Nyoyo zenu ngumu kama mayahud hamuambilik kitu,, mwisho ndo mnajuzisha ma birthday na picknik,, kila haram kwenu halal
@FahadMasoud-io4mb
@FahadMasoud-io4mb 19 сағат бұрын
Huyu mtoto wa bachu hana adabu kabisa,sheikh mzima unamwita hurafi mwenzio,,ndio suna yenu hiyo kudharau wanavyuoni ww,suna gani hiyo,uwe na adabu basi
@ilyasawadh6375
@ilyasawadh6375 17 сағат бұрын
Mohmd bachu Kama Sio wazazi wake Basi Ni walimu wake hawajumfunza adabu au yeye mwenyewe tuu kaamua kuwa Na adabu mbaya. Allah atuongoze sote amiin.
@fakijecha
@fakijecha 17 сағат бұрын
Hamna kitu ndugu yangu umo kasoma lakin hajaelimika hakuna mwana zuwoni amefaya ujinga unao faya yenye anauharibu uwislamu lakin anajiyona anajua waislamu Kwa waislmmu ni ndugu alafu angalia yenye anacho kifaya ni kinyume kabisa na mamrisho ya Allah
@hilalkhalfan1452
@hilalkhalfan1452 14 сағат бұрын
​@@fakijechayeye swahaba anayoyafanya😂. Yaani dada kamfichua mnafiki kweupeeeee
@yusufntamila541
@yusufntamila541 14 сағат бұрын
Mashaallah dada kiboko huyo
@fakihkhsaid9353
@fakihkhsaid9353 18 сағат бұрын
Wee mwanamke huna haya Hivyo fanya utakalo.
@SuolFat
@SuolFat 16 сағат бұрын
Acheni makasiriko
@HassanHassan-v3t
@HassanHassan-v3t 13 сағат бұрын
Kama Hana mume na aje huku
@alhimnamussasaid3619
@alhimnamussasaid3619 39 минут бұрын
Kwanza aende akamjibu sheikh said ikisha ndio aje na upuuzi wake tena hapa
@moralist6100
@moralist6100 13 сағат бұрын
NDUGU WATAFUTA HAQQI HUYO DADA KITANTARITA KIHEMKO KIFIRIMBI CHA KHULAFI AMEYAKANYAGA NA ATAJUTA KUACHA KUTUMIKIA KAZI NYUMBANI NA KUHEMKA MITANDAONI KUNA UKHTI MARYAM KITOTO CHA MIAKA TISA KINAKUJA KUKUJIBU UTAJUTA
@ATICKLUNKO
@ATICKLUNKO 16 сағат бұрын
Hiv huku kucheza,,hakjawahi patikan,,wkti wa mtume,,nae akishudia kabisa,,,haikuwepo,,u mwajitoa akili,,,
@fadhilimusa9732
@fadhilimusa9732 2 сағат бұрын
Ikifikia unaradiwa na mwanamke jitafakari jua umeonekana kichwa kitupu .aibu
@khalifaobo5715
@khalifaobo5715 12 сағат бұрын
Nyinyi munaopinga haya maelezo ya haki kutoka kwa huyu ukhti pia mwaonyesha busara zenu ni ndogo,haki ni haki hata ikitolewa na asiye kuwa muislamu ni lazima ipokelewe hii kwa mujibu wa dini,walakini si walaumu maana hamuelewi haki kama vile bachu
@sadrupandu5948
@sadrupandu5948 13 сағат бұрын
Mm na mpa pole hicho kitoto cha bachu
@ImranMrisho-f9u
@ImranMrisho-f9u 17 сағат бұрын
Pia nasaha zangu kwahawa wanao tuma sms ,,mcheen Allah kabla hujatuma jitizama kwanza nafas Yako ktk din niip kiwango Cha Elim la sivo utakuja ulizwa
@SaidJangoli-hr7ww
@SaidJangoli-hr7ww 12 сағат бұрын
Hunamuume?
@IbrahimuSaid-z7e
@IbrahimuSaid-z7e 11 сағат бұрын
Imekuuma ehee! Kuuliza tuuu ila kuelewa aaaha
@DiudaKozi-qu8sl
@DiudaKozi-qu8sl 17 сағат бұрын
Sheikh Mohammed bachu uyo mwanamke anatafuta mchumba lakini anaona tabu kusema ukweli .Muowe ili umuondoe kwenye giza
@SuolFat
@SuolFat 16 сағат бұрын
Jibuni hoja
@hilalkhalfan1452
@hilalkhalfan1452 14 сағат бұрын
Huyu dada hawez kuolewa na kafiri na WANAFIKI. Tupo wengi wenye ADABU ZETU tumemkosa, 😂 . Basi jibuni hoja huyo ana mwenyewe.
@nassoraliy3871
@nassoraliy3871 13 сағат бұрын
Dadake haji upepo uyo
@ImranMrisho-f9u
@ImranMrisho-f9u 17 сағат бұрын
Yan ningekuwa naweza kuwafungia Hawa wazush wooote ningewafungia wasionekane mtandaon maana wanatukera sana watu wanachezea din ya Allah hawana adabu kachezee mme wako huko acha kuchezea din shika adabu Yako,,,
@SuolFat
@SuolFat 16 сағат бұрын
Uwezo upo
@abubakaromar6101
@abubakaromar6101 15 сағат бұрын
ImranMrisho-f9u uwezo upo wa kuzifungiya lkni uwanze na kwako uwahabini kwenu kuna mabid'aa kibao pia na kuna vitabu vizima haswa vya Uzushi wa mawahabi au hujui hilo?
@HemedAbdullaSuleiman
@HemedAbdullaSuleiman 14 сағат бұрын
Kaanze kumfungia Imamu Malik ndio aliezusha bidaa ya kutia udhu kabla ya kusimulia hadithi za Mtume(s.a.w)... Semeni basi km Imamu Malik nae ni mzushi😅😅
@hilalkhalfan1452
@hilalkhalfan1452 14 сағат бұрын
KUMBEE HIO DALILI YA KUPINGA MAZAZI YA MTUME WETU ALAAA😂, SHEIKH WENU MUHAMMAD IBN ABDUL WAHABI NAJDI ALIPOSHINDWA HOJA AKAONA AUWE SUFI WOTE 😂. SASA NA WEWE UWA NDIO SUNNA YA SHEKH WENU.
@hilalkhalfan1452
@hilalkhalfan1452 14 сағат бұрын
​@@HemedAbdullaSuleiman Yaani mawahabi wanatupiga changa la macho kweupeeeee 😂. Imam Malik kaja kutimiza Dini ila wengine Ni wazushi 😂😂😂
@nassoraliy3871
@nassoraliy3871 13 сағат бұрын
Dadake haji upepo tulia kwa mumeo achana na hizi habari
@YussufYussuf-w9m
@YussufYussuf-w9m 9 сағат бұрын
Wewe Dada naona umeingia cha kiume halafu umesahau kuvaa chup Sasa subir mimba Malaya mkubwa we
@SaidMadai
@SaidMadai 17 сағат бұрын
Hajitambui bachu n zaid kukosa adabu kw wanaxuoni ndio fani aliyonayo ila elimu hamna zaid y kudapia masheh nakuaibishwa akakimbia 😂
@abdulkarimsalum356
@abdulkarimsalum356 9 сағат бұрын
bachu hajafkia levle y sameer nd man kajbiw nademu maan yke levle y bachu nd kwnz ipo sw na demu tu bad hajafkia elim za wanaume 😅
@MuhammadJaffary-uu6zl
@MuhammadJaffary-uu6zl 5 сағат бұрын
Nikukosa huja mpaka mnatoa wanawake kuteteyeni !?
@AhmadiMadua
@AhmadiMadua 18 сағат бұрын
Dada msomeshe hicho kitotochabacho
@nassoraliy3871
@nassoraliy3871 13 сағат бұрын
Masufi mleteni na mauzinde asaidie mipasho maduyuth wakubwa nyinyi
@suleimancheo2776
@suleimancheo2776 12 сағат бұрын
We dada umeolewa
@YussufYussuf-w9m
@YussufYussuf-w9m 11 сағат бұрын
She Muhammad nakuomba usinynyue mdomo kumjibu huyu mpumbavu endelea kuelimisha atakaeongoka ni Kwa nfsi yake n'a atakae poteya ni Kwa nfsi yake mtume yalimfika mengi mpaka akaambiwa yasikuhuznishe maneno Yao huyu mwanamke Nampa miez Sita kama laana ya alla haijampata anitafute
@faisalmohamed727
@faisalmohamed727 10 сағат бұрын
Hakuna maulid masafi sababu maulid hayasimami bila urongo.
@wamiujizacholo7413
@wamiujizacholo7413 14 сағат бұрын
Huyu dada kaja kutafuta umaarufu,, vipi mwnamke uje ushindani ubavu wa kielimu na mwanaume wakati kila mwezi unatoka damu, kaa na mume wako dada yangu uishuhulikie familia yako ,,
@IbrahimuSaid-z7e
@IbrahimuSaid-z7e 11 сағат бұрын
Kujua mwezi mtu anatokwa damu tuuu ila maneno ya aliyoyarekebisha aahaa Fuatilia usikurupuke
@wamiujizacholo7413
@wamiujizacholo7413 11 минут бұрын
@@IbrahimuSaid-z7e mwanamke hapaswi kuskika sauti yake angewachia wenyewe wakajibizana . Yeye kaja kufanya nini huku kwenye mitandao wakat yeye anamadhaifu kibao,,,
@AliSuleiman-v2x
@AliSuleiman-v2x 4 сағат бұрын
We mwanamke sija kuelewa hasa naona unangeatuu bila mashiko ya msingi naona unaongeatuuu toa rejea tusome vitabugani
@NasibuJuma-e6u
@NasibuJuma-e6u 13 сағат бұрын
Niko njia Bujumbura huyu malaya ni wawapi?
@IbrahimuSaid-z7e
@IbrahimuSaid-z7e 11 сағат бұрын
Alafu mwajiita salafi wa kuwaita ovyo wanawake Malaya hujasikia amesoma Quran, ni malaya gani anayefundisha na kusoma Quran hvi, Natamani nikupe kubwa ngoja nikupe kubwa zaidi. Allah akuepushe na maneno machafu yenye kinyaa kwenye mdomo wako ikiwa mdomo wako huo unautumia kusoma Quran. Allahumma ameen
@AliSuleiman-v2x
@AliSuleiman-v2x 4 сағат бұрын
Yaani haki itabaki kuwa haki kucheza hio ni Ngoma
@NasirJussa
@NasirJussa 14 сағат бұрын
Huyu inaonekana mwari ilo jina ummu Aisha si kweli!! Hana mtoto huyuuu Mimi namjua
@IbrahimuSaid-z7e
@IbrahimuSaid-z7e 11 сағат бұрын
Kuwajua watu tuuu ila kuelewa alichokifundisha aahaa. Jitambue wewe kwanza zaidi ya wengine alafu usome
@MasudiAli-o8q
@MasudiAli-o8q 5 сағат бұрын
KWAKUSOMA KARATASI KAMA HIVYO HATA MWANANGU WA DARASA LA TANO ANAWEZA
@rushu1232
@rushu1232 13 сағат бұрын
Hata mukimtusi huyu dada haitasaidia jibuni hoja zake alivyonesha ufahamu finyo wa bachu na uzuka wake.
@shanimpenike7568
@shanimpenike7568 6 сағат бұрын
WATU WOTE WASOME DINI HUU UVIVU WETU WA KUSOMA DINI TUTABURUZWA MPAKA TUKOME ...
@bashirusalumbigapsana673
@bashirusalumbigapsana673 5 сағат бұрын
Mbona kama bacho anaanza kukubali maulidi
@RamadhaniShembilu-l1e
@RamadhaniShembilu-l1e 14 сағат бұрын
Wee umekuja kutafuta waume humu huna hata elimu ulileta humu, ila kwa tabia izo za matusi mume hupati bibi
@khalifaobo5715
@khalifaobo5715 12 сағат бұрын
Huyu bachu huwa anatafuta mada za watu watoa khutba ati atoe radi ili apate tu kuzungumza bila ya kutafakari kunasemwa nini hii yaonyesha kuwa hana busara
@nassoraliy3871
@nassoraliy3871 13 сағат бұрын
Masufi naona sasa munatuletea mau zinde aje araddi
@ImranMrisho-f9u
@ImranMrisho-f9u 17 сағат бұрын
Thikir hiyo Nan kakutangulien ktk maswhab,,
@zulkifliSaid-b8g
@zulkifliSaid-b8g 13 сағат бұрын
Samiir kama hana elimu
@faisalmohamed727
@faisalmohamed727 10 сағат бұрын
Wewe swali umelielewa au umelewa? Rudi uskize kwa makini
@AliSuleiman-v2x
@AliSuleiman-v2x 4 сағат бұрын
Kwanza sauti ya mwana mke ni uchi wewe umeruhusiwa na nani kutoa sauti mbele za wanaume au wewe kuwa kiongozi wa kuwasemea wanaume dalili hii umeitoa wapi kwanza wewe mwanamke unazidi kupata dhambi Kwa kuongea mbele za wanaume mwanamke hawihivooo kampikie mandazi mumeo
@nassoraliy3871
@nassoraliy3871 13 сағат бұрын
Bachu usimjibu huyo shahwa zinamsumbuwa
@abdulkhalfan8586
@abdulkhalfan8586 11 сағат бұрын
BACHU WACHA KUSEMA UONGO UNAPATA DHAMBI
@Hamis-ks1sy
@Hamis-ks1sy 13 сағат бұрын
Uzuri wa masufi kila mtu wa sunna ni wahabi mpka Ibn Taimiyyah Wahabi hali ya kuwa huyo Abdulwahaab hamjui na wanawakaririsha watu wao kuwa wahabi watu waovu lakini siku wakisoma wanaona usufi ni uwendawazimu wanauacha kweupeee😁😁😁😁
@RamadhaniShembilu-l1e
@RamadhaniShembilu-l1e 14 сағат бұрын
Yani wewe dada huna elimu yoyote, huku labda umekuja kutafuta waume tu tangulini maulidi yakawa dini???
@NurdinMirandu
@NurdinMirandu 20 сағат бұрын
Mashallah
@ramiyawetutv
@ramiyawetutv 19 сағат бұрын
Tabarakallah
@JumaOmar-ku6cr
@JumaOmar-ku6cr 12 сағат бұрын
Yaani mabidaa hawana mipaka naanzisha dufu unjoo wewe ucheze tafuta na wenzako tumeambiwa tusherehekee kwa kila mtindo wa wakati huna adabu fedhuli wewe
@YussufYussuf-w9m
@YussufYussuf-w9m 11 сағат бұрын
Dada kombe lako unamtukana mwanachuni matusi ya nguon HIV Wewe utakufa na ukimwi Kwa umalaya Mwenda wazimu we
@IbrahimuSaid-z7e
@IbrahimuSaid-z7e 11 сағат бұрын
Alafu mwajiita salafi wa kuwaita ovyo wanawake Malaya hujasikia amesoma Quran, ni malaya gani anayefundisha na kusoma Quran hvi, Natamani nikupe kubwa ngoja nikupe kubwa zaidi. Allah akuepushe na maneno machafu yenye kinyaa kwenye mdomo wako ikiwa mdomo wako huo unautumia kusoma Quran. Allahumma ameen
@abuuhandhallah7567
@abuuhandhallah7567 18 сағат бұрын
Uyu mdada kwanza anamume ? Tuwache kutete maulidi na kujibu hoja apo alipo amekosea kosa tena kubwa lakurushasautiyake mtandaoni mtoto wakike sautiyake nouchi inapaswa aistiri yeye nakuienua ndio nn ili asikike au aonekane kwamba nayeye yupo
@hilalkhalfan1452
@hilalkhalfan1452 14 сағат бұрын
Kama VILE wanawake wa kiwahabia wanaporikodiwa kutoa sauti nyororoo za kusoma quran Na kusalimia wanaume mbele ya ummati wa kimataifa Bila haya wala AIBU. Suluhisha nyumbani kwako kwanza kunaungua
@HemedAbdullaSuleiman
@HemedAbdullaSuleiman 14 сағат бұрын
Jibu hoja acha kelele
@abuumaryam1922
@abuumaryam1922 14 сағат бұрын
Dada umekosa haya wewe
@habibuchakusaga7981
@habibuchakusaga7981 20 сағат бұрын
We mwanamke hujajitambua poit yamsingi ni asili yaudhu ni ktk dini asili ya maulid si ktk dini na ndo maana hayana formula maalum
@HemedSerious
@HemedSerious 20 сағат бұрын
Wewe ndio mjinga kabisa unamaanisha
@HemedSerious
@HemedSerious 20 сағат бұрын
Wewe na huyo mwanamke ni Bora uyo mwanamke
@HemedSerious
@HemedSerious 19 сағат бұрын
Wewe umejitambua wapi wakati kasema uongoa kweli? Kwanza hakujibu na zaidi kasema uongo.
@fadhilimusa9732
@fadhilimusa9732 19 сағат бұрын
Kichwa cha bachu hakielewi sjui ubongo wake umeingia najsi? Kaingia choo cha kike ngoja aelimishwe nawanawake wenzake
@SuolFat
@SuolFat 16 сағат бұрын
Jibuni hoja mawahabi
@ediamir-m8l
@ediamir-m8l 20 сағат бұрын
kutafute mume akuowe,mwanamke uso na haya ,unaelimu gani weye ya kufanya raddi wambie walokutuma waje wao
@NurdinMirandu
@NurdinMirandu 20 сағат бұрын
Anaendana na bachu huyo maaana bachu hana elimu kama huyo dada
@HemedSerious
@HemedSerious 20 сағат бұрын
Mwanamke kasema kweli bachu karopoka hakujibu chcht ata mm tu najua,
@HemedSerious
@HemedSerious 20 сағат бұрын
Yani ata mwanamke kamshinda akili , bachu halina akili kbsa
@Twariqabaalwy
@Twariqabaalwy 19 сағат бұрын
Wewe umeowa?
@SuolFat
@SuolFat 16 сағат бұрын
Sasa hapo ndio umejibu hoja
@YussufYussuf-w9m
@YussufYussuf-w9m 11 сағат бұрын
Iyo mineno Yako mchafu ukaitoe siku ya kiyama bachu kafanya rad Kisha kamuombea Dua shekh Wewe unamtukana mwanachuni kwanini akataze madufu wakati kila mtu anamuadhimisha mtume atakavo acha upuuz
Крутой фокус + секрет! #shorts
00:10
Роман Magic
Рет қаралды 31 МЛН
Когда отец одевает ребёнка @JaySharon
00:16
История одного вокалиста
Рет қаралды 11 МЛН
小路飞嫁祸姐姐搞破坏 #路飞#海贼王
00:45
路飞与唐舞桐
Рет қаралды 27 МЛН
USTADH MAHFUDH AKIELEZEA KUHUSU ALHABIB MUHSIN BIN SYD ALI BADAWY
21:15
Ahmad Badawy Tv
Рет қаралды 1,7 М.
BACHU BAADA YA KUMJIBU SHEIKH AFUNDISHWA NA MWANAMKE ZANZIBAR
17:57
RAMIYA WETU TV
Рет қаралды 23 М.
Nini hukmu ya kumsomea Maiti Qur'an ambaye ameshazikwa? | Shk. Mohammed Al-Busaidy
4:50
Masjid Al-Tawba Makorora Tanga
Рет қаралды 10 М.
UBORA WA KUWALIWAZA WASIOKUA NA KITU  SHEKHE NASSOOR BACHU
16:24
Madrasatulfurqani Tv
Рет қаралды 175
RADDI YA KIELIMU KWA SHEIKH SAMEER ZULFIKAR | 02 | Muhammad Bachu.
44:57
Muhammad Nassor Bachu
Рет қаралды 4,7 М.
PROPHET IPM AWATAJA WANAOTAKA KUMUUA
30:26
IPM TV
Рет қаралды 4,8 М.
Крутой фокус + секрет! #shorts
00:10
Роман Magic
Рет қаралды 31 МЛН