BACHU ATANDIKWA TENA NA SHEIKH SAID, WANYAMA WALIZUNGUMZA Follow Us On: INSTAGRAM: / miladu_tv FACEBOOK: / babdeo miladu/ TIKTOK: www.tiktok.com... KZbin: / @babdeomiladu
Пікірлер: 653
@AthumaniAmiri-fv5zp4 ай бұрын
Mashallah huyu mr said ana sharaf kubwa atafika mbali sana nimempenda mshkaj ametoa waadhwi mwanzo mwisho hajashima karatas vyote anatoa kichwani alaf jamaa hajikwezi hana kibri
@JumaMHDaffa4 ай бұрын
Wala hana laptop😂
@jimjam-xg7rv4 ай бұрын
INSHA ALLAH
@fahmiiidrisa51104 ай бұрын
@@JumaMHDaffa 🤣
@AbdulhaliimAli4 ай бұрын
Kawaida hy. Ni ajabu kwenu nyny masufi wapumbav
@AthumaniAmiri-fv5zp4 ай бұрын
@@AbdulhaliimAli wapumbavu wazazi wako walio kuzaa nje ndoa
@fahmiiidrisa51104 ай бұрын
Dah Kama Namuona Mtume S.A.W akifurahi kwa kukusanyika umma wake kwa ajili yake
@mzulwa20063 ай бұрын
Fikra za mtume kwasasa hazipo kwenye bidaa zetu bali Palestine na masjid aqsa
Mash Allah tabarak Allah ahsani khaalyqin, Jazzak Allah kheri shekhe,
@amarhamid1234 ай бұрын
masha Allah ustadh said
@BethaSala4 ай бұрын
Mashallah allah akuhifadhi umesema yaliyo hakika
@bakariismail32744 ай бұрын
@@BethaSala 🤝👏🤝💯
@mohammadabdallahmzee38254 ай бұрын
صلى الله عليه وآله وسلم
@ABDALLAHSHAIBSALEH2 ай бұрын
Mashallah ❤ Allah akupe Umri mref Ili upate kutukumbusha kwenye mambo yakher inshallah
@rjqaasam45874 ай бұрын
صلوات ربي وسلامه عليه وعلى آله وأصحابه أجمعين
@shaibchat80544 ай бұрын
Swalluuuuu alayhi wasallimuuu taslimaaaaa
@Maherzain_Tz4 ай бұрын
Maaashallah ❤️ ❤️ ......Najua bachu ana andaa raddu 😂😂😂,,,
@allymbaya27014 ай бұрын
Hakuna cha kuraddu hapo!!
@sturbbornvideoz85473 ай бұрын
MashaAllah pakistans are very social and loving wallahi
@mohammedi88504 ай бұрын
MASHAALLAH waindi wa Pakistan leo wameguswa
@mbaroukkhalfani92444 ай бұрын
Waislamu wakikusanyika kwa kumsifu mtume muhammad s.a.w wanaumia na nafsi zao za umiy a ndio maana wanawatumia baadhi ya Waislamu kupinga maulidi
@KhamisSaid-n5w4 ай бұрын
@@mbaroukkhalfani9244 Hao khasira zao nihizo Dufu lakin mkusanyiko wanaukubali hebu watizame zaid watu wanaomswifu Mtume kwa kila aina ya furaha hao Mawahabi mbona hawaelewii
@taurehassan73994 ай бұрын
Bk na ujinga wko ni nani Aloona Pepo au jiwe likimsalimia mtume na ww unaamn?usiishi kw kufuata mkumbo ishi kw elimu na kutumia akili yko,usinatishe akili safrisha akili,kumbuka anaetajwa hpo ni mbora wa viumbe vyte na ni kipenz ch Allah na viumbe vyake miujiza kwke c tatzo hta kidgo ttzo ni akili yko inayofnana na kina abuu jahli hta waone kw macho watatia Ila miujiza ya mtume na kusema uchawi
@balkisamisi21314 ай бұрын
Allahuma sali anla Muhamadin wa Ali Muhamadin
@DiudaKozi-qu8sl4 ай бұрын
Dj said uliyotoa ushahidi wa beti ya bharazanj .Tunataka ushahidi wa kuzaliwa mtume wetu kuwa wanyama waliongo kama uongo sema usione tabu kuwa masufi ni waongo wanapenda kumzulia mtume (s aw)
@fahmiiidrisa51104 ай бұрын
@@DiudaKozi-qu8sl Bachu mikojo ilimtoka walio na elim na kujua nafas ya mtume wanajua na kuamin hlo jambo bila shaka yoyte
@eddieeddie27554 ай бұрын
Dj Said shekhe wa masufi.
@Maherzain_Tz4 ай бұрын
Maaashallah ❤️❤️❤️
@ndayambajefikirini72524 ай бұрын
Allah Allah Allah
@ShabaniAthumani-g4f4 ай бұрын
Allaahumma swalli wasallim wabaarik alayhi waalaa aalih
@FatmaJ-v7f4 ай бұрын
Jaman tusitukanane kw khitilafu ndog ndog sote tunatoa shahada mbili.,hakuw muislam.adui wa muislam mwezake , heb turud nyuma hata masahab walihitilifian ktk.baadhu ya maelekez ya Mtume s.a.w ten.wkt huo Mtume mwenyewe yup, ilipofik hbr kw kiongoz wa Umma , MashaaAllah. aliwaunga mkon makund yote mawili na kuwaambia wote wamepatia, mengin hayatajwa waz waz , engeza na ufahamu wako ..kish usimbeze aliye kinyume na wew hio.ndio.iman ya kweli.Tuwalinganie wale wanoenda kinyume na din waz waz.
@nuhuabdil70733 ай бұрын
❤❤❤ Mungu atupe mwisho mwema
@HajjsalimMJumaАй бұрын
Amin
@jumanjenga76822 ай бұрын
Masheik don't wash your dirty linens in front of the public.Keep your differences away from public.please.
@ummu-abubakar28404 ай бұрын
Waislamu tukitukanana nani atawaongoza wasiokuwa waislamu. Asomae maulid na asiyesoma sote ni waislamu.
@IssaHamisi-z2v4 ай бұрын
Hakika saidi elimu unayo MASHAA ALLAHU
@AmerJuma-e1w4 ай бұрын
Hana elimu yakushinda Quran , mbona upuuzi huu haukutajwa ktka kuran , acheni hizi mambo Kuna moto mkali tuendako, hizi mambo haziko ktka kuran wala sunna ya Mtume muhamad sw
@sulekhan71194 ай бұрын
@@AmerJuma-e1w Wewe jaamaa unakaa ni mjinga na mpuuzi sana fuata kinacho kufaa hata wewe kuna mengi wayafanya kwenye Q.urani hayapo
@abubakaromar61014 ай бұрын
@@AmerJuma-e1wkwani kwenu uwahabini hakuna upuuzi wa Uzushi?kuna kitabu kizima cha Upuuzi Uzushi wa mawahabi au hujui hilo?
@HemedSerious4 ай бұрын
Hawa sijui ni vipofu au viziwi? Yani wao yapo mengi nje ya Kur an wanayoyakubali na mengin kuyafanya kabisa. Lkn wao wajinga Hawa wamejipa cheo km dini ni ya baba na baba zao. Wakifanya wao hata km hayapo kwenye Kur an Wala sunna hakuna Tatizo wenzao wakifanya makelele km mbwa koko. Nyinyi mashindano ya Kur an kafanya mtume au maswahaba? Vigawanyo vya tauhid mmepata wapi mamwehu nyny?@@sulekhan7119
@HemedSerious4 ай бұрын
@@abubakaromar6101mshenzi na mnafiki mkubwa
@yassinm694 ай бұрын
Wallahi Shekh Muhammad bachu ni kiboko wenu .
@HamisiAli-n5p4 ай бұрын
Mbona bachu alikimbia my aqasha
@KassimHussein-b7f3 ай бұрын
Watu wa maulidi tuko wengi sana Alhamdulillah walotoka musirudi na ambao hamupo kwetu bakieni huko huko.
@bestTransitTV-uo1hm3 ай бұрын
Muumini wakweli hutaka wenziwao wawe katika khayraat
@MagariSaid3 ай бұрын
Subhanallah
@misbahukhalifa32164 ай бұрын
اللهم صل على سيدنا محمد وعلى آل سيدنا محمد الطيبين الطاهرين. Ambao ataelewa ameelewa. Mtu ambae amjuwa Mtumi cheo chake huwezi kutukana wala kukosowa. Mpe Mtumi hishima yake ndugu zangu. عجبت لمن له عقل و فهم يرى هذا الجمال ولا يقوم. اللهم صل على سيدنا محمد وعلى آل سيدنا محمد الطيبين الطاهرين.
@masudimfaumekipande4 ай бұрын
كلام مداده من ذهب.❤❤
@KhamisBakar-ge4sp4 ай бұрын
Masha Allah🎉🎉
@AbbsharMaulid3 ай бұрын
Mashaaalah mungu akupe ujasiri na ilimu zaidi
@MudathirOmar-hh5ow4 ай бұрын
اللهم صل على محمد وعلى آل محمد۔۔۔۔۔
@Bosezizunae4 ай бұрын
bachu jitokezee🎉🎉
@fahmiiidrisa51104 ай бұрын
Aje ajikojolee 😂
@TwahirBurhan4 ай бұрын
ALLAH AKUJAALIE AFYA NJEMA SHEKH WETU BACHU UZIDI KUWAKOSESHA USINGIZI HAWA MASUFI
@kibedikamba76164 ай бұрын
Bachu hajawa shekhe yeye wala baba ake
@mzulwa20064 ай бұрын
Amin
@umbopaday4 ай бұрын
Niafadhali kutokuwa sheikh lakini uko kwenye siratul mustaqim kuliko kuwa sheikh bid’aawal fitani
@kibedikamba76164 ай бұрын
@@umbopaday nenda kasome wacha kuwekea upinzani waislam wenzio huo ni ukafiri wawazi kabisa.
@watichogutu41624 ай бұрын
SubhanaAllah Ukiangalia Hivi Kweli Hawa Ni Watu Wa kukosa Usingizi kuwa Ajili ya Ujinga Wa Bachu😂
@BabuSafari4 ай бұрын
Allah atujaliye kila la kheri sheikh wetu
@hythamhashiem44584 ай бұрын
اللهم صل وسلم وبارك على سيدنا وحبيبنا ونبينا وشفيعنا محمد وعلى آله وصحبه
@abasimwinyibovu30904 ай бұрын
Allahumma taQabbal duaa yaa rabbal alamiyn
@MAIMUNAABDALA-m4u4 ай бұрын
Mawahab wapuuz san
@NAYAB_SHIRAZ_OFFICIAL4 ай бұрын
Kweli
@warraich7869-fx24 ай бұрын
ماشاءاللہ Shekhe ubarikiwe بارک اللہ فی عمرک وعلمک وعملک ومن عملک الصالح
@mwaramially26514 ай бұрын
Mwalimu uko vizuri mashaallah
@AbrahmanAli-q4v4 ай бұрын
Mashallah❤❤
@MariamAbasi-b7t4 ай бұрын
صلی الله علیه وسلم
@taurehassan73994 ай бұрын
بارك الله فيك ❤❤❤❤❤❤❤
@imranbanda39634 ай бұрын
اللهم صل على محمد
@rejebakari43653 ай бұрын
فاسألوا من يعلم إن كنتم لا تعلمون
@abdallahmkomboz26794 ай бұрын
اللهم صل وسلم وبارك على سيدنا محمد وعلى آله وأصحابه أجمعين
@abdullahimahmoud12704 ай бұрын
Assalamualeikum mimi ni twariqa damu na sheikh Said na sheikh wangu ndugu yangu Alhamdullilah Ila tupunguze kuwapa wasio kuwa sisi faida na njiya ya kutuongelea nikimanisha (ndugu setup mawahabi na aslimiya kubwa wasio kuwa mawahabi wala sisi yani wasiokua wasilamu) haya matshi ya stihizai ati mtu kajikojolea na dhihaka zenginezo
@abdullahimahmoud12704 ай бұрын
Na namshukuru sheikh wangu yeye kwa hikma na elimu akonayo sio yeye mwenye kusema mambo haya Allah akubarikiye na akuzidishiye elimu uzidi kututeteya na kuwatoa masikio Yao taka
@PhantomGhost-mt7pe4 ай бұрын
Mashaallah
@haridyhillaryndembo19464 ай бұрын
MashaAllah huyu sheikh ni kiboko ya bachuu😂😂😂 bachu anacho anacho kakutana nacho Mungu akupe umri mrefu sheikh said umesoma hakika, wasiojua wanaugua moyoni mtume asitajwe😂😂
@Cherehanitanzania4 ай бұрын
@@haridyhillaryndembo1946 labda kamzidi bachu kwa Kupiga gutaa🤣 sio elimu
@MwijakaSwalehe-dg4hw4 ай бұрын
Unamsifu kwa lipi,kupiga Gita na kucheza,twendeni nalo
@aliroro93444 ай бұрын
😂😂😂😂@@Cherehanitanzania
@aliroro93444 ай бұрын
Kamzidii kupiga twara na kua Dj wenu watu w bidhaaaa😂😂
@AmaniMhina4 ай бұрын
Hapo hakuna kutetea urongo😊
@adamkilembwe.4 ай бұрын
اللهم صل وسلم على سيدنا محمد
@saidrakwe87274 ай бұрын
Mashaallah ❤
@jimjam-xg7rv4 ай бұрын
MASHA ALLAH 💚💚💚
@MmohamediPoyo5 күн бұрын
ameeen ameeeen
@mrsiridiisiridii50223 ай бұрын
Bachu enre ka some wacha uchuki Ustashi Saudi enra Miele Mingus akubariki
@YAHAYAMOHAMEDI-sq3dr3 ай бұрын
Allahumma swalliiiialeyh
@kitosio4 ай бұрын
Asa nyny Wazushi mnamtandika Kijana anayesima na Sunna kwa Uzushi wenu mliopewa na watu wenu. Maana hakuna mtu aitwae Shekh kisha akaweza kumzulia Mtume huku akijuwa maangamizi yatakuwa juu yake. Kijana Maa shaa ALLAH. MNACHOKIFANYA NI SERA ZA KIYAHUDI NA UNASARA. MNAKUBALI BAATIL MNAIACHA HAKI
@Hafisa-ws8mw3 ай бұрын
Allah amuhifadhi shekh Muhammad bachu
@mzulwa20063 ай бұрын
Amin
@JumaOmar-ku6cr4 ай бұрын
Haya maneno aliyathibitisha nani jiwe alilisibitisha mwenyewe wanyama alithibitisha nani na watu walikuwepo
@halidijuma18844 ай бұрын
Wow maashaAllah,,
@OmarAlly-iz8ot4 ай бұрын
Ummah wa kiislamu maskini umefikishwa hapa na wazushi😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢! Yani ujinga na upotofu wa namna hii ndio wajinga wenyewe hupata mihemko ya kutoa viliomo mifukoni mwao, wenye njaa kali wataacha wapi maulidi wakati cha mjinga ndicho kiliwacho! Zama zaleo, ajabu sana, ujinga ndio elimu na elimu ndio ujinga, uongofu na njia ya sawa leo ni upotevu, upotevu na njia ya baatwil leo ndio Uongofu. Endeleeni kuyaharibu mafunzo ya Bwana Mtume Alayhisswalaatu Wassalaam, na fanyeni inda na fujo kubwa hadi siku ya kufumba macho yenu na kuingizwa kila mmoja kwenye mwanandani, hapo ndio mtaanza kuona tija ya huu ujinga wenu na upotevu wenu na uzushi wenu. Wendawazimu wa malaahy!
@kasimubangu18754 ай бұрын
Nasaha zako zuri akhii ila mwisho punguza ukali wamaneno
@elbattawy28644 ай бұрын
Lete hoja kama unampenda Mtume S.A.W, acha matusi
@athumanisagafu4 ай бұрын
sa uzushi uko wapi hapa? Hebu na ww toa unachikijua ww si Cha kipuuzi
@fahmiiidrisa51104 ай бұрын
@@OmarAlly-iz8ot Maneno yako yamejaa chuki jamaa ila sisi hatutaacha kumfurahikia mtume حتى يأتينا اليقين
@HamisiAli-n5p4 ай бұрын
Pole lakin maulid hatuachi 😂
@maadinaJuma4 ай бұрын
Said mche allah acha uongo unapenda umaarufu hayo mtume amethibitisha mimba ya mtume nani kakusimulia
@aliali-oe8dq4 ай бұрын
Elimi yako ime bobeya upande mmoja ,kwaiyo huwez juwa kinacho ongelewa katfte elmu na ww utete usalafi wako
@fahmiiidrisa51104 ай бұрын
@@maadinaJuma Kasome acha ushabiki
@kombomakame95414 ай бұрын
Mama Amina ndie aliyesulia Maajabu yaliyotokea wakati alipochukuwa mimba na kumzaa Mtume MUHAMMAD s.a.w. Hayo ni mambo ya kihistori.
@husseinsuleiman6144 ай бұрын
USUFI NI UOZO, alhamdulillah kwa sunna
@abasimwinyibovu30904 ай бұрын
Allahumma swalliy wasallim alayh
@OmarAlly-iz8ot4 ай бұрын
Wallaahi namshukuru Allaah Mola wangu Mlezi kwa kunitoa kwenye kundi la watu wapotevu kama hawa, pamoja na kundi kubwa la familia yangu.
@wazirikipanga3254 ай бұрын
Usiwe mpumbavu ww tuu
@AbrahmanAli-q4v4 ай бұрын
Hunaadabu mjinga uliekua hautaki watu wamfaham Mtume SAW nenda kasome kwanza ujifunze Adabu za wanavyuon pumbavu zako
@salmaanfaqiih4 ай бұрын
Kwahiyo aliebakia kuwa ni Mpotevu kwenye Family yako ni Baba yako au nani tena?! Malizia maneno hebhu
@ismailowino28664 ай бұрын
Alhamdulillah akhui,Allah azza wa jal aendelee kuwaweka nyote kwenye istiqama
@ShafiiBakari-rk9np4 ай бұрын
una mengi ya kushukuru Allah shekheee...zaid ya hayo
@سعدياقوت-ت2خ4 ай бұрын
Ma shaa allah Sheikh Said 😂😂😂😂umenimaliza uko fiti😂😂😂😂
@MarkazRayhan-fe7fq3 ай бұрын
ألحق يظهر وفقك الله اخي الكريم محمد وبارك الله فيك
@MohamedHamadNyange4 ай бұрын
Bachu anawaumiza sana Allah atuongoze tufuate Quran na sunna
@SalumuNgaida4 ай бұрын
اللهم صل وسلم على سيدنا محمد وآله واصحابه وسلم
@AllyAme-h9e4 ай бұрын
Mashallah
@khalidbinsunkar54094 ай бұрын
اللهم صل وسلم وبارك عليه وعلى آله وأصحابه وأزواجه وسلم تسليما كثيرا
@RashMash-l1b2 ай бұрын
haya watuambie hii c ni nyimbo ya kihindi sasa hatakama hauna elimu lakini hili pia bado huoni kuwa huu ni uzushi mtupu,yani mungu anazidi kudhihirisha kuwa haya mambo ni uzushi haufai kufatwa kisha we tetea ebu muogopeni allah bhana acheni upuuzi,makhurafi nyinyi.
@hassanmohamedabdalla41083 ай бұрын
حديث منكر يصف الحمل والميلاد: ذكر السيوطي هذا الحديث وحكم بنكارته في الخصائص (1/ 47) وقال: أخرج أبو نعيم عن ابن عباس قال: (كان من دلالات حمل رسول الله أن ... )
@smilevideocreatorsznz4 ай бұрын
Mimi naomba connection wapi napata display kama hiyo please
@MazagaMbogo4 ай бұрын
Mtume wetu jaman twampenda nyoyoni hayafichiki mapenzi ukipenda
@Arkhamz_954 ай бұрын
Anaempenda mtume anamfuata kwa sunna zake na sio kumzulia mambo 😅😅😅
@Khatib-xp6fp4 ай бұрын
Katika uislam hakuna kusherekea kuzaliwa siku ya mtu wanaofany hivo ni watu fulani
@HemedSerious4 ай бұрын
Pia hakuna mashindano ya Kur an, hakuna vigawanyo vya tauhid pia hakuna kuhitimisha Kur an mwezi wa Ramadhan. Acha unafiki unakemea usioyapenda na unayoyapenda unayamazia ata km hakufanya mtume Wala hakuna ktk Kur an. ww ni mnafiki. Km ni mkweli, nithibitishie hayo nilokuambia km alifanya mtume au maswahaba au yameamrishwa kwenye Kur an....😅😅😅😅😅😅😅 Mnafiki mkubwa
@Khatib-xp6fp4 ай бұрын
Ww hata utafute vip kusherekea kuzaliwa ni tabia za manasara
@haridyhillaryndembo19464 ай бұрын
@@Khatib-xp6fp Kama wewe hukusherekea yan haukufurahishwa kuzaliwa mtume basi ujue Allah s. w aliona ni jambo zuri kwake mtume wake hawezi zaliwa bila tukio, mwaka wa tembo akaleta tukio litukumbushe siku kazaliwa surat fil. Familia ya mtume walifurahia kuzaliwa mtume s. a. w na ilikua ni faraja kwa mzee abumutwalib ambaye alimpoteza mwanae babake mtume. Nasisi hatuwezi iacha siku kazaliwa mtukufu wa daraja ipite bila tukio. Mungu s. w na malaika zake wanamtakia rehema mtume s. a. w sisi ni nani tusimsalie swalallahu aleih wasalaam siku ile kazaliwa. Sasa jiulize kama aya yasema "innallaha wa malaikatahu yusalluna ala nnabiy, YAA ayuhalladhina amanu swalu aleih wassallim tasliima" Je ni rehema kiasi gani Allah s. w alimtakia mtume wake siku anazaliwa? Ukumbuke mtume ndiye rehema ya Mungu kwa viumbe wote "wamaa arsarnaka illa rahmati Lil aalamiin". SIO kila kitu ni lazima ukione direct ktk Quran Ndiyo kikubalike ktk dini Utaweza kukiona kupitia sunna au jitihada za wanazuoni na makubaliano yao.
@khatwabshee21874 ай бұрын
Shukran sheik saaiiid
@suuahmed714 ай бұрын
Maa shaa ALLAH Ustadh Said. MUNGU akuzidishie elmu uzidi kutunufaisha zaidi na zaidi. Na MUNGU akuhifadhi na hassad wasio kupenda
@la_raib9534 ай бұрын
Ni nani alieona ama kusikia wanyama wakizungumza wakati wa kuzaliwa Mtume,na ni Mtume pekee ndio aliepewa huo uwezo na Allah sw na sie mwemgine ndan ya Umma wake
@dullahsaleh85074 ай бұрын
Wewe ulijuaje na sio mtume?
@mohamedindalo26634 ай бұрын
Awez kuwa kiboko ya bachu yuko vzr sna
@mohdkhatib2234 ай бұрын
Tatizo la masufi ni kuendelea na upumbavu. Yeye huyo dj said mbona kwenye mjadala hakusema na alishindwa kutetea uzushi huo wa wanyama kusema?
@Maherzain_Tz4 ай бұрын
@@mohdkhatib223hukuona kwamba bachu alishndwa kujibu na kukimbia kiti,,,,,hapo bado namtasem😂😂
@spartachize1224 ай бұрын
@@Maherzain_TzBachu sio kwamba alikimbia ni mbaya kama unatoa point na mtu bdo hakuelewi anarudia swali lile lile
@darajanida4 ай бұрын
@@spartachize122 sasa aende swali jengine wakati suali alilouliza halija jibiwa
@spartachize1224 ай бұрын
@@darajanida alilijibu tena kwa ufasaha lkn Said alijifanya hajaelewa
@MuslimBakar-uf6xd4 ай бұрын
Mtume s.a.w. anatuambia tujilazimishe kufata suna zake na suna za makhalifa zake Leo nynyi mpotuu dini mnaipeleka ndivyosivyo haki mnaipeleka kuwa batili
@lovecouples44 ай бұрын
Wew Dini umeipeleka wapi umeitangaza wapi !?
@وزيرهالوزير-ذ8س4 ай бұрын
Wallahi usufi ni uzandaqa
@kitosio4 ай бұрын
Kwanini tusiondowe ujinga kutumia mwnendo wa Maswahaba tena wengine walibashiriwa pepo hapa2, na hawakumzulia Mtume s.a.w
@muhamadkhalid49763 ай бұрын
Huyu sio kiboko ya bachu bali hajui kitu mbele ya bachu na akapige goti asome sunna za mtume (s.a.w) NB Dini sio matamanio ya nafsi tusomen sana 😢
@RashMash-l1b2 ай бұрын
masufi wallahi wamepotea wazi kabisa ,lakini masikitiko niwale wasio jitambua ndio tuna wahurumia maskini,yani inabidi haki ibainishwe ili tuongee wale wasio na ilimu,hawa jamaa wamepote na wanapoteza watu sana,tunamuomba mungu atuongoze na kuwaongoza ndugu zetu haswa wale wanyonge wasio na elimu.
@rashidkusema28034 ай бұрын
Wah,,kidogo niseme n wahindi
@hbaba.4 ай бұрын
Twambie mnyama gani amezungumza hatuzungumzii mawe na miti hapa
@QuthamAbdalla4 ай бұрын
DJ saidi Wacha urongo subhaanallah !!! Humuogopi Allah wewe
@@HassanmohanmedAbdulrahman sasa kam mpotovu mbona alimfanya bachu mikojo ilimpita? 🤣
@HemedAbdullaSuleiman4 ай бұрын
Mawahabi hawamjui mtume...ukimsoma asa Mtume (s.a.w) basi kuna vitu huwez kushangaa wala kukataa ila km hujasoma Historia yake utaona kuna vitu km haviwezekani...Huyo ni Mtume... Mbora wa viumbe wote halaf unajifananisha na ww😂😂😂
@ismailowino28664 ай бұрын
Yaani huyu mzuka aweza kuwa kiboko ya Bhachu😆😆
@fahmiiidrisa51104 ай бұрын
Ile mikojo umeisahau iliomtoka bachu? 😂
@aljahuur4 ай бұрын
Wamuona mzuka huo bachu alikojoa na akanya kwenye kiti
@jumakitato42484 ай бұрын
Bacho ambae hana akili timamu ndio atamuelewa ila hanakitu yule bado sanaa
@fahadbabuy4 ай бұрын
Serious shekhe anasema uongo hadharani? Hakika Allah atalipa tuhuma hizi….dah eti unasimama kutangaza sheikh Bachu kajikojolea?! Tena hadharani!!! Wallah hii laana
@jabirhussein41804 ай бұрын
Mawahabi wanaumia sana wakiona mtu anajua ilimu halafu anajishughulisha na kuimba kaswida au kupiga dufu 😂😂😢😂
@abeliever68234 ай бұрын
Namuomba mwenye channel kubadilisha title title inaleta image ya vita Na mawaidha hayamtaji mtu yoyote جزآكم الله خيرا
@islamseyffden77234 ай бұрын
Kiboko ya bachuu 🔥🔥kwel😂 aliwaacha vitu chini
@HamidMAMBASANDIONYUMBANI4 ай бұрын
INALILAHI WAINAA ILEHI RAJIUUN
@hassanmohamedabdalla41083 ай бұрын
Su'ala ni mimba ya mamake Amina na mzungumzo ya wanyama dalili yale sahihi
@mzulwa20063 ай бұрын
Hizo kauli za barazanjeh kupingwa na bachu sio wa kwanza yeye bali alianza sheikh Faris miaka ya 1986 bachu anarudia sasa cha kushangaza leo said anaonekana mtu wa maana kumpinga bachu bila ushahidi wowote.
@aliroro93444 ай бұрын
🤣🤣🤣..Ati Shekh uyoo ni DJ Saidi Jamaa la bidhaa toa album basi Maulidi bidhaaaaaaaaaaaa