Mchungaji wangu Msigwa, hii damu utaishi nayo. Muombe Mungu neema ya msamaha! 😭
@peterjosephat66857 күн бұрын
Waandishi machawa kama hawa wanaharibu nchi msiba hauna chama kumbuka Alie tangulizwa kinyama ana ndugu wa vyama vingine pia acheni uchawa
@user-ju4mi1qx5b7 күн бұрын
Tunakwenda wapi Tanzania Tanzania Tanzania Tanzania Tanzania machozi Yanatoka bila kikomo kwanini mnauwa watu kisa cheyo kula kwenyewe taabu tena kuuwa jamani eeee mungu tusaidie
@rebekakulwa61597 күн бұрын
We mwandishi siyo. Wanachama tu. Kwa wanakijiji wa hapo wote ni chadema