EAST AFRICA menejimenti wakati mwingine sikilizeni hizi mambo wanazojadili watumishi wenu ni wazi uwezo wao ni mdogo sana. Hiki kipindi hakiwafai kabisa ninamashaka kama mliajiri watu ambao hawana taluuma ya kutosha Bali Nina Imani ni waoga tuh na ukiwa muoga ni vema ukae kimya ionekane hujaongea kuliko ukaongea Kwa kupindisha badae watu wakakuhisi wewe ni chawa
@melch3097Ай бұрын
True
@matalo0551Ай бұрын
Fact
@ibrahimgwasma1223Ай бұрын
Siyo lzm izungumzwe unachotaka wew
@REUBENIMWAMBUJULEАй бұрын
@@ibrahimgwasma1223 Ibra nitakuwa sijakukosea kama nitasema unachlewa kuelewa /ni mjinga. Katika ujumbe wangu ninekataa wasipindishe maneno/wajadili ukweli sio kupindisha hakuna sehemu nimeitaji waseme ninachotaka Mimi. NB: East Africa ni media kubwa nitakuwa mjinga kama nitashindwa kumwambia pale wanapokosea ikumbukwe ukiachana na malezi ya wazazi wko,mitaa Yako na washikaji na marfiki media pia ni mlezi akitoka kwenye misingi kataa katakata.
@REUBENIMWAMBUJULEАй бұрын
@@ibrahimgwasma1223 Ibra katika umri kama huu tutegemee umetoka mikononi mwa wazazi wako unajitegea mlezi wako mpya ni media na mazingira uishimo. Hatupaswi kukaa kimya tunapoona media inapotoka kiukweli kutoka moyoni EAST AFRICA ni media kubwa lakini wale walipewa kile kipindi ni waoga ndio mambo hawazungumzi kama yalivo sio kwamba hawajui no. Sasa na ss tusiposema watapotea. NB:siitaji waseme nachotaka but wafuate maadili ya kazi
@didimusirakoko9437Ай бұрын
Mwl alisema maadui wa mtz ni pamoja na ujinga, mnajadili namna ya mtu alivyokufa !!!! Kweli..? Mungu anatuona.
@ramadhanmahongole9293Ай бұрын
Tatizo la watanzania ni ubinafsi sasa hawa watangazaji wanazungumza kama vile haya mauaji na utekaji wao hayawahusu na kama vile wao sio watanzania ndomana hawajadili uhalisia kuonyesha nao wamechukizwa na utekaji unao endelea binafsi nawasikitikia sana watangazaji wa aina hii nawaona kama watumwa wa kifikra
@melch3097Ай бұрын
Hakuna mtangazaji hapa,
@melch3097Ай бұрын
Hakuna mtangazaji hapa,
@adammasegese1229Ай бұрын
kitu gani msichoelewa we need scottland team to investigate hili jambo
@ibrahimgwasma1223Ай бұрын
Scotland wenyewe nani anawafanyia uchaguzi wao
@AlexMlabaАй бұрын
watu kutekwa hajaanza Mzee kibao wenzetu wanaandamana hata kupandishwa bei mate itakuwa uhai wa maisha ya watu wasiandamane
@lucasathanas9554Ай бұрын
huyu dada afukuzwe kaz uwezo mdg mpen kufagia
@adeltuszakumuha9618Ай бұрын
Jinga sana, uchunguzi unavurugwaje?
@JELSONMAUKIАй бұрын
Sema watangazaji jamani 😪😪😪😪🥺🥺🥺🥺🥺 jaribu hara siku moja muwe mnaongea ukweli bila kuweka unafki na uchawa 🥺🥺🥺😪😪🥺🥺🥺
@YakuzaMwamlimaАй бұрын
Mtangazaji washati nyekundu mungu akubaliki kazana inaonekana unauzalendo
@yosephatMasanyiwa-oh1rlАй бұрын
Jadilili Kwa kutenda haki Mbowe ni mstaalabu sana bila hivo pale msibani kungenuka
@eunho9529Ай бұрын
lazima watokwe jasho kwa sababu wanajadili upumbavu, wapi uliona mwarifu akajichunguza mwenyewe na kuueleza uarifu wake.
@RESTITUTAMOLLED-mp3ppАй бұрын
daaa!!!,huyo dada mmmmm!! moyo wake sijajua umebeba nn!hapo ingekuwa interview Sam tu ndio angekuwa amefaulu.dada mnafiki
@magallahramadhani8762Ай бұрын
Hawa jamaa waoga sana sana sana. Ni heri kipindi hiki kisingekuwepo. Namna wanavyojadiri kiuoga sana na kichawa sana. Radio inajina kubwa lakini watangazaji ni hovyo kabisa.
@RamadhaniKitala-gx6wcАй бұрын
Hivi huyu dada zimo kweli hana upeo wa kiwa mtangazaji😮. Kaka wa shati jekundu upo vizur maashallah
@TrustElbashilАй бұрын
Watangazaji apo studio mnaona Raha sana kujadili kauli ya mbowe badala ya kumuunga mkono nyie mnacheka lakini ikumbukwe kuwa hao walio potea Wana ndugu zako wanalia
@bwanashambatanzania5178Ай бұрын
Msijadili kama hamuwezi kwenda kinyume na serikali. Chakateni mapenzi na mpira.
@YoabuNdabhahaАй бұрын
Hawa wachambuz ni wapuz hivi wamekulala Nini Hawa mbona sativa walisema tusublie mpaka Leo wamesema Nini? Wacha wenye Niya ya kuishinikiza serikar wafanye ilimladi hawatavuluga aman na wawe hawana silaha tu
@nestor384Ай бұрын
Katika kitu Management inapaswa kuwa nacho makini ni aina hii ya waandishi.. Majuha Wanafikiria jamii iko na akili kisoda kama yao! Management inapaswa kufukuza wote wanaitukana jamii kwa hypocrisy wanayoifanya! Stupid!..
@davisnyandindi4917Ай бұрын
Hiv hz comment uwa wanazisoma au maana kama wanasoma nahis huy dada angejifunza ktu kimoja kikubwa sana
@JELSONMAUKIАй бұрын
Mmi mwenyewe nimewaza 😅😅😅😅
@laninjeje8290Ай бұрын
East Africa tv imeajili watu wenye uwezo mdogo wa kufikiria sana
@YOSHUAMWAMPETAАй бұрын
SUALA LA MAUAJI HATA KAMA LILIKUWA LA KISIASA LINAHAMISHWA KUWA LA KITAIFA KWASABABU LINAGUSA MOJA KWA MOJA MAISHA AU UHAI WA KILA MTU BILA KUJALI NI MWANASIASA AU SIO MWANASIASA.
@AbelJohn-tx4inАй бұрын
Huyo mtangazaji ana mtazamo mfu kabisa, umeshaambiwa watu hawana imani na uchunguzi wa vyombo vya ndani
@IbrahimMaduloАй бұрын
Dawa yao ni kuisusia redio yao na tv yao kuzifuatilia wakome kuwa machawa
@NtamamiloGibsonАй бұрын
Kama mngekuwa na kipimo kabla ya kuvamia mada, mgeacha kabisa. Kiufupi hsunjui chochote utadhani wanafunzi wangu wa Form One.😂😂😂😂
@dismasmtui965Ай бұрын
Uchawa mbaya sana, Huyu dada hana yofauti na wayangazaji wengi wasio na uelewa na wanatakiwa warudi shuleni wakasome upya
@dietrichoswald34Ай бұрын
Exaud ana mahaba na wahalifu. Uchunguzi unafanywa na nani ! Exaud unategemea nini zaidi ya kudanganywa. Polisi wajichunguze unategemea nini. Kichwa chako kizito kuona
@rashidkapileАй бұрын
Nawauliza hapo studio upotevu watu na mauwaji mnalichukuliyaje?Na ni wantanzania halisi
@malkavoice2570Ай бұрын
Issue ipo kwa SATIVA guys iko wazi jamaa anaishi na kashaelezea namna ya kuteswa kwake na kunusurika hivi kweli wabongo mnataka Mungu afanye nn. Waandishi zcheni kujiuma uma huu ni wakati wa mungu ccm iondoke na kila kinywa kinachojitambua nchi hii kitamke hilo na kuchukua hatua za kiraia kabisa tunasimamisha kazi hata kwa one week simple sana kumfikia aliyeko juu ya mamlaka na kugundua wapi anapaswa kuwajibika
@emmanuelmwakyoma5746Ай бұрын
Ndani ya moyo wa huyo dada namuona Tulia kubeza mambo muhimu ya nchi mnajifanya mnaakili sana kwa uhai wa watu
@AkidaDaudiАй бұрын
Kwani wale walikuwa wanawauwa viongozi wa ccm rufiji tuliambiwa Ni akina Nani?
@eliasmedutieki7578Ай бұрын
Kweli umegundua hilo
@mwinyibazazi9653Ай бұрын
subiri yamkute..
@balexendersun2793Ай бұрын
Msiaribu nchi yenu Tanzania ni moja ya nchi Africa tuna tegemea bro uko nyuma sana na hauna moyo
@EzekiaMtwaleАй бұрын
Sijajua vigezo vya Hawa waandishi kuwa ktk hizo nafasi! Yani maisha ya watu mnadiliki kuongea kwa KUJIPENDEKEZA asee ni upuuzi kwel!
@EmmanuelChrispin-bo5xhАй бұрын
Watanganzaji bwna wabongo. Ngoja nisikilize daimond na mboso
@JumaHassan-z6lАй бұрын
Kaka wa shat jekundu mungu atakulipa kwa hekima na ukweli ktkt mjadsla huu
@AliSalim-yu4moАй бұрын
Huyu dada vp jmniii!hapa hakuna agenda balu ni haki za watu na miongoni mwa kazi za vyama vya siasa ni kukosoa Serikali na kutetea watu wanaodhulumiwa ili Wananchi waone na wachukuwe maamuzi sahihi!
@bazilmateru915Ай бұрын
Hii radio Ishikawa ya CCM. Hawatangazi kwa ajili ya watanzania
@EmanuerKaloriАй бұрын
Kwan huo uchunguz unafanywa nanani, kumbe nyie hamna uchungu na maisha yetu litawafika hata nyinyi
@ivanrobert3071Ай бұрын
Siwezi kusikiliza huu upupu baada ya kuview heading imenifanya nijue nini kinazungumziwa humu na nimejiridhisha ni upuuzi mtupu na uchawa unaozungumzwa humu.
@emmanuelmwakyoma5746Ай бұрын
Watangazaji uchwara sana
@SaidislamBates-cy1upАй бұрын
EAR mnajiharibia
@CondradShayoАй бұрын
Maji kabisaa
@GhaniaSaid-u5kАй бұрын
Na wao iko ck watanyooshwa
@AlphaBarageti-ru5xjАй бұрын
Siasa kujihusisha na mambo ya kijamii au kiuchumi ni kawaida. Kwani vyombo vya habari kuzungumzia mapenzi au maisha ya familia yasiyo ya familia zao huwa ni kutafuta umaarufu wa mtangazaji au chombo cha habari,?
@danielkansoАй бұрын
Baadhi ya waandishi wengine bana uchawa nao ni shida nyee watangazaji kwa nini msizungumze kuhusu watu waliopotea ngoja haya ambayo familia zingine zinapitia basi ingekuwa yenu sasa
@magallahramadhani8762Ай бұрын
Mbona kama wanatongozana studio? Eti "WATU WAO"? Mada imewazidi watangazaji. Watangazaji hawana content za kutosha. Watangazaji ni machawa. Watangazaji wana uwezo mdogo sana kujadiri mambo ya kisiasa. Watangazaji wamejitoa kwenye hili jambo la utekaji. Wanajadiri kama vile wao haiwahusu chochote. Pumba tupu
@mathiaszakaria7052Ай бұрын
Kumbe kuna watangazaji machoko kiasi hiki,kama hamuwezi kujadili mambo ya kisiasa achaneni nayo.Angalau huyo wa shat jekundu ana idea ila wenzake ni mambulula tena minofu ya samaki
@georgekazaula3123Ай бұрын
Watangazaji jaribu kusoma sana ili mjadili vitu ambavyo mna ufahamu navyo. Hivyo mjue tofauti ya dhana zifuatazo maana ya siasa, itikadi za kisiasa, uenezi wa siasa ,kampeni za kisiasa ,misingi ya kisiasa, uendeshaji wa siasa na nina anahusika na siasa.nk
@louisnyaki1936Ай бұрын
Wachambuzi uwezo wao mdogo Sana, hawana uwezo WA kutafsiri hotuba, maandamano ni baada ya siku kumi na mbili wanaingilia vipi uchunguzi?
@ibrahimtesha2733Ай бұрын
Sio siasa, ni mtu amekufa na kuna njama za kuficha ukweli
@BrightonkatabaroАй бұрын
Hivi unawezaje kutenga utekwaji na mauaji yanayoendelea na siasa?
@bahatielias6443Ай бұрын
Haya majinga kabisa ,watu wanatekwa Kila mala halafu serikali haiwajibiki ,acha watu tudai haki zetu
@VidothLemaАй бұрын
Huh ndio wakati sahihi maana tukichelewa wanatusaulisha na ndio sababu wamepewa siku kumi
@StephenMpallangeАй бұрын
Ninyi watangazaji hamna weledi wala uwezo wa kujadili masuala nyeti kama haya ninyi jadilini michezo tu huko labda mtaweza.
@AlphaBarageti-ru5xjАй бұрын
Issue si kukamilika kwa ripoti Mnakumbuka alichofanyiwa waziri Nape na ripoti yake? Huwezi kusubiri ripoti ilihali utekelezaji wake unajulikana.
@LudovicAlfredyАй бұрын
Huyu jamaa akili haifanyi kazi wangapi wametekwa na kuwawa ishatoka lipot achaushamba wewe mtangazaji wa nguo nyeusi
@HonorataMafalaАй бұрын
Umaarufu wakati watu wanakufa?? Watu wanapotea watu wakae kimya?? Kemeeni haya mauwaji acheni hizo mnazoulizana. Kemeeni.
@AlexMlabaАй бұрын
tatizo taasi nyingi Tanzania mpaka vyombo vya habari ni chawa wa ccm sio wazalendo
@bourybouryslov3927Ай бұрын
Wenzangu Mnawaelewa Hawa Watangazaji Au Hamjawaelewa Km Mimi Inaonesha Hao Wanakadi Zao Za Ccm Mfukoni Wanashindwa Kuelewa Haya Mambo Yakutekwa Na Kupotea Hata Waandishi Wa Habari Wenzao Washapotezwa Km AZORI GWANDA Na Wengineo Ktk Suala Hili Hayupo Alie Salama Sio WANACHAMA WA CHADEMA TU
@StideAlexАй бұрын
Uko poa sn jamaa achana na uyo Dada na huyo masuti meusi ukpo poa sn
@charlesmtangi9046Ай бұрын
Njaa Zina wafanya muone kuwa kila kazi mnaiweza Kuna Kaz zingine mna bidi mjifunze kukataa man naona kabisa niwatu mliokaa apo kwaajili ya njaa tu na mnafanania na mafundi kushona kabisa Sasa najiuliza kwann mpo apo😢😢😢😢😢😢????
@GjkKessyАй бұрын
Nilijuwa vyombo vya habari vingewaunga mkono kuishinikiza serikali kujali na kulinda uhai wa vijana wetu walopotea kumbe mpo hapo kusubiri mishahara
@AlexMlabaАй бұрын
watanzania mambo yanayotekea nchini tusiwaachie Wana siasa hayamambo yanatuhusu wote
@suntasocietyАй бұрын
Waandishi WA habari Tz bwana wanaongea kama wao hawapo kabsa ktk suala hili la utekaji. Nchi hii imejaa ubnafsi tu
@LuganoMwakalinga-p3kАй бұрын
Kati yenu mnaojadili maandamano ya chadema moja jinga jinga mnoo na halina utu kabisa pumbavuu
@malkavoice2570Ай бұрын
Hivi uchunguzi huo unafanyikaje na unafanywa na nani ninyi jamaa. Raia wote tunapaswa kuandamana ili tupate haki. Hii mpaka lini wakubwa zetu?!!
@Hemedmikole-r9eАй бұрын
Wewe kaa usubilie lipot watanzania wamechoshwa na haya mambm
@IbrahimMaduloАй бұрын
Kama serikali haitoi majibu ya maswali haya tangu mwaka jana wafanye nini zaidi ya kushinikiza
@laninjeje8290Ай бұрын
Wewe unasema sio sahihi kuanza maandamano unatombwa na wachawi sio bure, watu wanaendelea kutekwa na kuawawa tukae kimya tusubiri
@Zaynabahmed-ey4zuАй бұрын
Ivi kwanini asisubiri tamko la Polisi kwanza? Haraka ya nn mbowe
@adammasegese1229Ай бұрын
Huyo dada hamna kitu kabisa mwenye miwani mr sam ndio anafaa kua hapo
@JacobMakwilo-u6eАй бұрын
Yaani watangazaji wetu ni hovyoo kabisa subiri ndugu yako siku akitekwa ndio utaelewa si hayajawakuta
@clemenceparokolaАй бұрын
Dada mtangazaji,kuwa na hekima KATIKA mambo yanayo husu uhai wa mtu
@SaidHamad-d3nАй бұрын
Musimsahau na yule Dada yetu walivom,baka na kumrikodi ni Hao Hao walinzi wa nchi
@TomasiklistophaMwinukaАй бұрын
Wedada akili huna yaniwewe uuwe mtu nili uchukulie kigezo cha sera yako yauchaguz maswali yaajabu sana nanakuona unapenda watu wanapokufa
@PeterchipembaАй бұрын
Ninyi mna uhafifu wa kudadafua kunyumbulisha pia kujadili mambo,,
@solomonsaitabau4461Ай бұрын
Huyu dada Mungu amkoseshe mtoto awe mgumba maisha yake yote mana hata akizaaa atatuletea wajinga wengine katika taifa
@JELSONMAUKIАй бұрын
Du tumefika uko
@ShadrikSikaonga-ru2ipАй бұрын
Selekali mpaka sasa wanachunguza kupigwa kwa lusu na lisasi
@alfredhutaАй бұрын
Kila mtu ana haki ya kutoa maoni lakini kuna baadhi ya mambo hayatakiwi kupindishwa.
@salmakirundu2076Ай бұрын
Mimi sijawaelewa kbs
@CanBoy-iu4mzАй бұрын
Viongozi wetu jifunzeni kuhusu mambo yayovuruga amani ili wananchi tumishe tunu za taifa letu. Watanzani tudumishe amani yetu
@willsoniissayaАй бұрын
Nyinyi kwani mtaandamana auuchawa unawasumbua
@DavidKaguluАй бұрын
Tupo tayari kwa maandamano
@HamisiSamweliАй бұрын
Maandamano lazima nyie watangazaji hamna jipya ni vibaraka wa chama tawala hamna uchungu na wenzetu hamfai kwanza et tuache kuandaman angali wenzetu wanatekwa na wasiojulikana tena kwa nchi yenye aman
@DavidKaguluАй бұрын
Matahira haya huyo anayewalipa mshahara ana hasara kubwa
@nkoyiisack6808Ай бұрын
Hii redio ni ssm sugu
@HASSANWAZIRIGAOАй бұрын
KANDA YA PEMBA NA UNGUJA INAKUHUSU NINI ULISHASEMA WATU WA HUKO AKIWEMO RAIS HUWATAKU
@FocusmachumuMwizarubiАй бұрын
Watangazaji nyie ni watu wa ajabu maana haya mambo mnaona kama nyie hayawahusu
@eliahbukukumwaikuju7403Ай бұрын
Huyo dadaenu mpumbavu Sana,Ajenda ya kisiasa watu wanakufa? Mnaajili watu gani hao hawajui ht ethics
@khalidmamdadi1072Ай бұрын
Huyo dada amesomea wapi huo uwandishi wahabari mbona haeleweki
@HamisiZubery-of1glАй бұрын
Dad ivi una ogopa nin kwenye jambo hili loho ya mtu ime toka
@kaguripenina63Ай бұрын
Kaka mchambuZi uko vzri hao wandishi xaxa wanagugumiatu
Badala ya kusema watanzania wenzetu walio tekwa na kuuawa nyie mnasema "WATU WAO" kama vile nyie hayawahusu, ubinafsi ubinafsi ubinafsi mpaka siku yawakute nyie ndo mjue kumbe haya matukio hayafai
@EzekiaMtwaleАй бұрын
angalau huyo jamaa mwenye shirt jekundu kama anajielewa vile lkn hao wengne mmh!
@akeloonyango1987Ай бұрын
Upeo wao ni mkubwa tuu
@samwela.kasamalo2113Ай бұрын
Nyie watangazaji wote wasenge, kuma nyie
@AmraniRamadhaniАй бұрын
Mtuhumiwa ata jichunguzaje na nyie mnajadili kitoto