Bahati wewe nita kukubali hadi kaburini 🙏🏽🙏🏽 mungu akuzidishie
@mosesallanadam19553 жыл бұрын
Hongera sana kalumbu gwangu, Mungu akubariki sana mputi!!!
@phanicemagare20492 жыл бұрын
God bless you bahati nitaendelea kusikiza nyimbo zako
@juliaschipa3202 жыл бұрын
I love the way she answers questions, though the questioner was too first, but she answered in gentle manner...great Bahati love you here Kenya...😘🥰
@user-xp4lg5bk8d2 жыл бұрын
Nimependa sana jinsi anavyojibu maswali, yani Kimungu kiroho, wow nakupenda sana Bahati🙏🙏🙏💕💕❤️♥️barikiwa mama wa Gospell
@madoratv2 жыл бұрын
AMENIII. USIACHE KUANGALIA MADORA TV NA USISAHAU KUSUBCSIBE ILI UWE WA KWANZA KUPATA TAARIFA
@agneskongolo460 Жыл бұрын
Dada mungu akubari saaana kwa kujibu uko kiroho unastahili kuwa mtumishi mkamiliifu acha waseme watalala
@florafulugunya68492 жыл бұрын
Hongera sana pastor Bukuku
@florahemmanuel83232 жыл бұрын
Wow,proud of you woman of God I love jinsi unavyojibu maswali hakika aliyo ndani YAKO akiwa mkuu unakuwa na ujasiri.Mungu WA Mbinguni azidi kukupeleka Utukufu Hadi Utukufu Kwa huduma alizo weka ndani yako
@madoratv2 жыл бұрын
ASANTE KWA KUTAZAMA MADORA TV
@nashondaniel35923 жыл бұрын
Uko vizuri sana lafiki yangu kisabella
@bellatvonline3 жыл бұрын
Asante sana
@stellasisiko26322 жыл бұрын
The song of bahati bukuku is so blessing
@johnchoma25222 жыл бұрын
Mtangazaji na muuliza maswali jitahidi kutulia na kupanga maswali yako vizuri ili upate kujua ni kitu gani unataka kwa mteja wako. Bado una safari ndefu ya uandishi lakini umejitahidi
@evalineokuku81082 жыл бұрын
Hasante dada pia mwimbaji mwenzangu umenibariki kwa hayo umeyazungumzia niabaraka Sana Amina Amina
@deborahdelly62542 жыл бұрын
Nakupenda sana pst bukuku nabarikiwa nawe
@modeemojombo56622 жыл бұрын
Unauliza maswali km unafukuzwa??? Pangilia maswali yako
@annethmwasuluka95222 жыл бұрын
Dadaangu pungua kidogo,sauti ya zege,na mamlaka,pungua kidogo nkamu,haujashuka bado upo juu
@fortunatabangili23682 жыл бұрын
Umenifurahisha Sana bukuku unajibu vizuri Sana🙏🙏🙏
@julliettiramwenia74813 жыл бұрын
Nakupenda sana bahati bukuku you are my best
@juliaschipa3202 жыл бұрын
I love the way she answers questions, though the questioner was too first, but she answered in gentle manner...great Bahati love you here Kenya...😘🥰ñ
@henesysolomon81962 жыл бұрын
Nimekupenda Sana mdogowangu bahati unajibu kwa hekima Sana mungu azidi kukuinua
@festinamwakipale391910 ай бұрын
Unajibu vizuri bahati
@petrochaula32082 жыл бұрын
MTANGAZAJI UNAMAPEPE KAMA BABA LEVO NA PUA LAKE
@samwelmarmo3547 Жыл бұрын
Aminaaaa dadaaa
@joyceregani97782 жыл бұрын
Mtangazaji hivyo
@rosekadzokadzo14012 жыл бұрын
ALL the best mchungaji...
@maxwellezekiel68112 жыл бұрын
Safi sana bahati
@lizmass42533 жыл бұрын
Uliza maswali kwa utaratibu tu
@SamweliMollel-uw2gu Жыл бұрын
Kweli kbs mtmishi god bless
@dorisotiende21522 жыл бұрын
Mchungaji bahati u baraka kwangu. Mungu akubariki
@issacklyandala66693 жыл бұрын
Hapa mi sielewi, #WOKOVU UNAKO KWENDA AAH NAMIMI NTAKUWA NABII #Karibia narudi KKT au KATOLIKI au NYUMBA NITU HUNJOMBE !! Hapa hamnaga kitu ##DAR NIMEMKUMBUKA SEDEKIA , aliejikana kwelikweli mungu amlipe sawasawa, hawa waliobaki: bukuku's, rose's, shushu's, nk, tutawalipa sisi c wanataka hela " tutawapa"NGULUVI UNANGE UWIIIIII!!!
@jolemerci21552 жыл бұрын
Mimi nauliza uyu yesu wa imbaji wana ô musema eti anawabaliki ni yesu ni aye mujuwa ? lasivyo mbona yesu hatakagi watu Wa ku penda vipodozi ? Huyu mama mufalme zumaridi ndie kafundisha wa mama wa Tanzania ku jifanya wa chungaji makanisani ?
@priscadulay69332 жыл бұрын
Kafungue kanisa na ww wacha atumikie kusud la MUNGU kwenye maisha yake huna mamlaka ya kuhukum pia hujui maandiko ni bora ukaa kimya soma maandiko vizur heren zilikuwepo mikufu ilikuwepo kip cha ajabu
@tinahpeterpetertinah5755 Жыл бұрын
😅😅😅😅
@benwiz79075 ай бұрын
Mzee husiongee kitu pasipo ushaidi
@apphiaamani1242 жыл бұрын
Dada bahati Mungu akubariki sana..... nakupenda bure!!!!
@mrkelvin68462 жыл бұрын
Bahati bukuku
@USHINDICHANNEL Жыл бұрын
God bless you mtu wa mungu
@agnesjimmy11882 жыл бұрын
Mungu azidi kukuinua
@lucymtenga Жыл бұрын
Hongera dada bahati
@mwajumabakari37302 жыл бұрын
Mm nimekupenda mtangazaji unajua kuuliza maswali bgp kwako
@witnesshamisi7282 жыл бұрын
Ameen
@johannes41273 жыл бұрын
Johannes from tz Jesus is the best
@sebonikegobi62442 жыл бұрын
Hongera Mungu akutangulie
@rabekamwanja17472 жыл бұрын
Nakupupenda Sana bahati
@dorinekansime3856 Жыл бұрын
Mungu aku bariki
@pastormzirayofficial20482 жыл бұрын
Hongera Mtumishi wa Mungu
@neemagenerose32072 жыл бұрын
Va de l'avant maman. Que Dieu vous bénisse abondamment.
@nevitadam39782 жыл бұрын
Amen amen amen amen amen
@slimmyalicia76333 жыл бұрын
🔥🔥🔥
@nclaud.n91013 жыл бұрын
Mtupe tafadhali kuta za social media tutamfwata #mchungaji_bahati_bukuku sisi ambao tupo nje ya nchi ya Tanzania.
@florafulugunya68492 жыл бұрын
Pastor
@NiyizigamaClaudine2 ай бұрын
Nguo inabana hadi unashindwa pumuzi....
@fifinice32392 жыл бұрын
Ubalikiwe sana mama
@adammwambiji42702 жыл бұрын
Mtazaji jitaid kutulia! Kwan unamapepe adi mpangilio wa maswali unaukosea
@brownbisege92792 жыл бұрын
Uyu dada shairi zimeisha
@lucyadagala41672 жыл бұрын
Love you bahati
@madoratv2 жыл бұрын
AMENI
@victorineamos36202 жыл бұрын
fanya kaziyamu usi hangaliye mtazamo wamwana damu pambanatu bishop
@kyungudaisy16333 жыл бұрын
Bukuku mwenye sauti!penda wewe sana
@emmanuelhatangimana3431 Жыл бұрын
MUNGU ukubari mno
@brownbisege44612 жыл бұрын
Ziachilie sasa
@gosbertmuta54212 жыл бұрын
Anawezasasa ujue unafk hautaisha, Sasa et mwemwele🤣sasarose muhando ana wimbo unaitwa hivo?
@gipsonmosha18572 жыл бұрын
Mbona haka kadada ni kale kalimbia swal la mchumba
@onesmokiria8772 жыл бұрын
Niyeye 😄😄😄nilikuwa napitia comment nione je mmegundua Hilo? Naona umejua ,,,itakuwa hii channel Ni ya bahati bukuku labda
@madoratv2 жыл бұрын
NI YEYE ANAITWA KISSABELA MICHAEL NDIO MTANGAZAJI MKUU WA MADORA TV
@rweyemamueustace17062 жыл бұрын
Kichwa cha maneno " ..baada ya kuapishwa..." Wa-Kristo hatuapi, Mathayo5:33-37
@rabekamwanja17472 жыл бұрын
Yees ni kusimikwa sio kuapishwa
@rabekamwanja17472 жыл бұрын
Au kuwekwa wakfu
@lizychris47762 жыл бұрын
Binti wapi mbn kashazeeka jmn
@agnesssanga65442 жыл бұрын
Huyu mtangazaji sasa
@pendoziamaregesi78522 жыл бұрын
Ñ
@markjoseph56982 жыл бұрын
Ninasubiria hyo album
@jolemerci21552 жыл бұрын
Hivi hizi hereni vipodozi n'a kazalika ni yesu kweli huyu wa mbinguni ndie mu naye ringia kweli ? Mbona nasikia ga hatakagi mekap kuna nini Tanzania ? Mbona wa imbaji hawakuwa hivi hapo hawali mufalme zumaridi ndie mungu alie waita muwe wa chungaji ? Sio mungu aliumba mbingu n'a nchi wa mama wajidayi kuwa wachungaji makanisani tena wapiga wimbo zumaridi amefanya mambo
@madoratv2 жыл бұрын
AMENIII. USIACHE KUANGALIA MADORA TV NA USISAHAU KUSUBCSIBE ILI UWE WA KWANZA KUPATA TAARIFA