Nataka mimbo ya bahati bukuku, Mungu amubariki sana 🙏🙏
@bernadetahonde99722 жыл бұрын
Kazi Yako ni njema Mama barikiwa Sana Mungu azidi kukuinua zaidi na zaidi.
@janemumbua73532 жыл бұрын
Hongera sana mama bahati kama unacho kibali kingini na ukitumie usije onekana kama yule mtu alizika tarada yake badala ya kutumikisha...I like the song waraka WA amani it blesses me so much God bless you.
@lovenessibrahimu67303 жыл бұрын
Uchungaji Mungu Akuite Ukijiita Utakimbia Barikiwa Sana Dadaa Watu Wanafikiri Ni Rahisi Mie Hata Umamaa Mchungaji Tu Siwezi
@williamgeorge1504 жыл бұрын
bahati toa nyimbo mama, we need you
@edicekemunto71233 жыл бұрын
Mungu aendelee kukulinda,kukubariki na kukuneemesha AMINA
@deborasamweli83623 жыл бұрын
Mungu akuzidishie neema nyingi saana muchungaji ubarikiwe na mungu
@joycegesare15713 жыл бұрын
Asante ushuda msuri , mungu akubariki sana kwa kutumia kalama yako
@nclaud.n91013 жыл бұрын
Natamani sana kujua #bahati_bukuku yuko wapi! Ninyi ambao mnamsogerea eti tunahamu ya zile dozi ao mtupe mitandao ambako tunaweza mfwata...
@eliyamwaipopo58732 жыл бұрын
Waimbaji wengi hawa aminiki ndoa zao zime vunjika awana ushu uda wao mbovo sana wakiongozwa natamaa zapesa pia wanao washabikia wana ufaham mdogo sana wa kimungu acha magugu nangano vimee pamoja
@joycekibona30583 жыл бұрын
Mimi napenda sana wimbo wa waraka wa Amani MUNGU AKUBARIKI
@sarahsalehe-zk6yu Жыл бұрын
Mungu akupe Maisha marefu my dada
@ماربيلا-ب4ن2 жыл бұрын
Haleluhya mungu ni mwema nikiwa saudia asante sana
@sharonmuhonja3532 Жыл бұрын
nampenda bahati Sana yani Sana
@stanslausbernard59502 жыл бұрын
Umesema kweli kabisa mtumishi wa Mungu.
@florahemmanuel83233 жыл бұрын
Umeongea point kabisa mwana wa Mungu Ni kweli ukiwa na kitu cha tofauti lazima kutakuwa na upinzani mkubwa Sana Ukiona hauna mashambulizi ujue hauna kitu kitakacholeta madhara
@vickydan28692 жыл бұрын
Napenda nyimbo zako mama na zitaishi mpaka kiama
@christopheraine64463 жыл бұрын
Jamani huyu dada ametumwa na Mungu
@quiholoafonsoluvumboluvumb5925 Жыл бұрын
Adoro esta senhora.
@esterfungo31052 жыл бұрын
Hongera
@qrolymzava39652 жыл бұрын
Safi sana dada angu barikiwa sana
@rachelsimbeye96372 жыл бұрын
Mungu akubariki mama
@Semenimussa-i7x8 ай бұрын
Nampenda sana
@julianakavula81952 жыл бұрын
I love your voice mama
@zachariadoro10732 жыл бұрын
Kesho ni fumbo ni storia ya kweli family ya mfikemo mbeya, Mimi sio mkazi wa mbeya Bali ni mfutiliaji na shabiki wako
@jovanafidelis28022 жыл бұрын
Sauti yake naipenda sana vile ilivyo nzito ivyo ndo naipenda sana
@rizikiruwa71163 жыл бұрын
Barikiwa dadangu
@priscardanier82643 жыл бұрын
Nimekuelewa sana
@achouraachoura57633 жыл бұрын
Haki wala✍️
@LydieFAiDA-mo6mi Жыл бұрын
Bahati bukuku dunia haina uruma
@moisemuhindotayiswika53172 жыл бұрын
Bahati bukuku namupenda ila ombi langu ni atengeneze FILAMU ya WIMBO wa UMEWAZIDI WOTE
@GasperKissend9 ай бұрын
Naomba kufaha mama yng bahati unawatoto wangp
@agnesslucas47442 жыл бұрын
Amina
@celinekanonge28292 жыл бұрын
Nîmes wafata Lubumbashi
@irangamariekulimushi16873 жыл бұрын
Ushuhuda nzuri
@alexraphael31774 жыл бұрын
Mkifika wa 4 mniambie saw
@pimgee72373 жыл бұрын
Amen
@evodiaeverist86753 жыл бұрын
Huuni mwisho wadunia kwasababu maandiko matakatifu yanasema nyakati zamwisho dini itakua nibiashala kamabiashala zingine
@mwatebelalugano85312 жыл бұрын
Kitabu gani hicho kinaeleza kuwa dini itakuwa biashara kama biashara zingene?
@geoffreymwasaghua1721 Жыл бұрын
Mbona hukuombea ndoa yako dada?
@saladaniel92744 жыл бұрын
Wa tano
@berthamassawe14984 жыл бұрын
Wakwanza
@MJ-ye7dd3 жыл бұрын
Sa mwataka mwimbaji afungue baa? hahaha Bahati
@zakayombangoissaya56974 жыл бұрын
Wa pili
@jeanettemwakalonge71682 жыл бұрын
Mungu akubariki Bahati bukuku nakupenda sana mama
@mamaommi56962 жыл бұрын
Ninyakiti za mwisho wimbo huu barikiwa,na wimbo huu nininivkina wagombanisha aaaaaaa bahati barikiwa sana maam