Рет қаралды 33,018
Mnajimu Kuluthum anatueleza jinsi Nyota yako inavyoweza kukusaidia katika maamuzi haya.
Kama kawaida, usisite kutuachia maswali yako.
Kujua Nyota yako kabla ya kufungua biashara yako ni muhimu sana. Kama unamaswali utatupigia simu au tuachie comment hapo chini.
Tembelea Facebook account / utabiriwanyota