Рет қаралды 75,964
Please watch: "Ijue Siri Kubwa ya Rangi NYEUSI - S01EP22 - Utabiri wa Nyota na Mnajimu Kuluthum"
• Ijue Siri Kubwa ya Ran... -~-
MNAJIMU Kuluthumu Salim Ndee maarufu kwa jina la Dk Love ni mnajimu wa nyota nchini. Kuachana na mpenzi wako katika mahusiano ni kitu cha kawaida. Lakini kuna njia za kuweza kumrejesha Mpenzi wako kinyota. Nyota zenu zinaweza kuwa na nguvu ya kuweza kuwarudisha mkawa pamoja tena. Awe Mke, Mume, au Wageni wa mapenzi. Kwa maswali usiache kucomment hapo chini na tutayabu maswali yenu.
Tembelea Facebook account / utabiriwanyota