Kama unapenda mwimbo huu mwaka huu 2025 weka like hapa
@WallesMwengel10 ай бұрын
I love auntie bahati bukuku napenda sana nyimbo zako! I'm Muslim lakini I lovely so much your songs
@alikoandende73795 ай бұрын
Just become a Christian
@palukumuhindodieudonne6210Ай бұрын
Barikiwa saaana,ndugu moslem,milele na milele❤❤❤
@nicholasmulonzya915710 ай бұрын
2024 still watching this song.... Wapi likes za mum
@lauramulima469410 ай бұрын
Love it! Watching in 2024! She sings real life stuff!
@CharlotteJacques-y4n11 ай бұрын
Who else is watching it 2024❤🙏
@louvainkipimbye91429 ай бұрын
❤💖😴💖💞🌈🌹🙏🦄🙏🌈
@StarofB5 ай бұрын
❤
@samwelhong41153 ай бұрын
🖐✋✋👋👋
@jasmineakutan31042 ай бұрын
🖐️
@BrendahOseweАй бұрын
🖐️🖐️❤️❤️
@jeremiahndetei81426 күн бұрын
Na bado 2025 tuko hapa. Wapi likes za bahati bukuku the queen of gospel
@roselydiahakoya116914 күн бұрын
2025❤.. ....we are here😊
@catembula38399 ай бұрын
2024 am still here...wapi likes za dada yetu Bukuku❤
@mercymercy-on3ic Жыл бұрын
Mwotoh saaaaana 2024🎉🎉❤❤ ,keep shining bahati,big love from gulfee kadama originally from kenya ,hapo ndipo🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@GraceMachi-fn3ci Жыл бұрын
Anybody else watching it 2024🙏🙏🙏🙏🙏
@zahraabdul965226 күн бұрын
Tusameheane twanze upya mwaka mpya mambo mapya like za mama ziko wapi Mungu kampa kibali Cha kuleta msg nzuri atakae pata hii msg Mungu ampe umri mrefu ❤❤❤❤❤❤❤❤ happy new year 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@faithkenedy881 Жыл бұрын
2024 wakuu nipeeni likes
@freddyfredricks34354 ай бұрын
Here on sept 22nd '24..... still namtambua kama #mamaLao kwa gospel zinazoelimisha, kuonya na kuhimiza.❤❤❤ kenyans present as always
@AlvinManager4 ай бұрын
Bahati
@maryanneabungu51884 ай бұрын
Tuko hapa
@mercynjambi95402 ай бұрын
Hii Ni kenya
@JescaJeremia14 күн бұрын
Nipo hapa jamani
@Tinsiah26 күн бұрын
2025 mko wapi jamn
@deovlaksshao47972 жыл бұрын
Hongera sana mama yangu hadi leo nasikiliza sana wimbo huu kiukweli nimeupenda san maana unafundisha na kuelimika
@sylvestermatheka25 күн бұрын
Am here 2025 still listening to this good music na nimebarikiwa sana gonga like if you are here with me
@ubahibrahim910310 ай бұрын
Ninaposomaa. Neno la Mungu amri kubwaa ni upendo.🙏
@StephenObiero-w9o3 ай бұрын
The comment I was looking for kweli Amri Kubwa ni Upendo
@SarahPetro-w6o9 күн бұрын
Martha na bitris hiii nyimbo ni yenu 2025 mnatakiwa msameheane
@JescaJeremia14 күн бұрын
2025🔥wimbo huu unanipa faraja sana be blessed madam bahati bukuku🙏
@Diani_lifestyle-254. Жыл бұрын
2023 bado ni hit song...much love bahati🇰🇪🇰🇪
@emmashantel676410 ай бұрын
This is the family i came from , no peace even a single minute
@angel.K6673 ай бұрын
Same😢
@lennyonyango32242 ай бұрын
Hope God helps you solve the problem in your family 🙏
@RailaKassim21 күн бұрын
Tunavyogombania vitu vya dunia ndiyo tungekuwa tunagombania ufalme wa mngu wachungaji wasinge pata kazi ya kuhubiri kwa nguvu ili tuelewe tuuwone ufalme wa mngu
@violaiman48035 жыл бұрын
Nyimbo nzuri sana dada inayoyagusa maisha halisi ktk jamii Mungu azidi kukuinua ktk huduma yako
@michaelanyembe-nz6pl25 күн бұрын
02/01/2025 mko wapi
@kendecook46893 жыл бұрын
Who disliked this song🙆...nauliza nani alibonyeza hapo kwa kutopenda hii nyimbo..kindi inavyogusa aiseee...Mungu wengi yuko wapi ieeeh..Mungu bariki kila ameisoma hii
@MelvianLizz4 күн бұрын
Imeweza 🎉❤❤❤
@bevalinekadenyi4413 Жыл бұрын
Wangapi tunaangalia huu wimbo 2023
@liliannyamiel5774 ай бұрын
2024 Mimi hapa watching The message never grows old
@HappyWaya-b2p2 ай бұрын
Kama waamin wimbo huu unaleta upatanishi❤like
@PeterWilison-k4e2 ай бұрын
2024 tujuane Kwa like
@iamamooh25910 ай бұрын
2024 button >>>>>>>>❤
@EriqusterMururiАй бұрын
Nani mwengine anaona hii30th of November 2024
@angel.K6673 ай бұрын
Napenda sana huu wimbo❤
@evaristangelo8856 Жыл бұрын
Ubarikiwe mama, ubarikiwee🎉🎉
@jackeminja96949 ай бұрын
2024 here alive🎉
@marylaizer Жыл бұрын
Wimbo mzuri sana binafsi mm umenifundisha sana wangapi tupo nayo 2023👊
@joangrace3784 Жыл бұрын
Artist, gospel musicians must learn from this lady.every song of her you learn something.thankyou Her respectable Bahati Bukuku, i respect you from Kenya.i Salute you.
@freddyfredricks34357 ай бұрын
And thats y her every release is a hit song. She is always inspired by the holy spirit in every song she releases. Yaan zake zote hakuna wimbo namba two. Zote ni first class,on point❤❤❤❤❤
@KambimaeZiro Жыл бұрын
Hongera mama bahati
@Georgevasco-ld8be9 ай бұрын
10.04.2024... like hapa
@ernstdarius82362 ай бұрын
17/11/2024❤ Miami FL USA
@peninandungesammy Жыл бұрын
2023 still listening this song ❤wagap tuko pamoja 🙏 am your neighbor country 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪❤❤❤❤
@major698 Жыл бұрын
Wangapi tunaskiza Huu wimbo 2023 Mungu atutendee wema maana shetani hututenganisha
@ndakiNyalali Жыл бұрын
Bahati bukuku your the greatest Gospel singer and you inspired more people's who are in bud situation and fill that God gift are protesting all time,I remember the time when the train accedent ocour your song touched all people ,may God bless you
@YohanaMarciana9 ай бұрын
Asante sana ubarikie bahat bukuku nimeskiliza ii nyimbo nimefarijika sana 🙏
@nicky-eu8ln Жыл бұрын
On behalf of my ancestors, family, friends, church mates and my wicked landlord I would like to say that this is a certified master piece which even the children yet unborn shall listen to. Those who gat no hard feelings for Bukuku let's gather here so that when u like my comment I come back for this master piece 🙄🙄🙄
@anabadow9213 Жыл бұрын
Good
@Beldine-p7gКүн бұрын
Wenye tunasikiza 26th January 2025 on Sunday si mbarikiwe🙏
@cosmaskisilu66922 жыл бұрын
I really love your songs dadangu Bahati, especially when she says, "Ninaposoma Neno LA Mungu, amri kubwa ni upendo....🙏🙏🙏ongezewa neema dadangu
@patrickmulama90192 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/bHbaYnRsit6JZrs
@JewelDevinDewanАй бұрын
2024 herw as i urge mwaipajas to find reasons to forgive each other and bring peace back in their family ❤❤❤God grant them wisdom
@VivianSolomon-j3r4 ай бұрын
Anybody else watching it in 2024
@MaannLenah Жыл бұрын
Am here 2024 😊😊😊😊😊❤❤❤❤ this woman has the blessings and spirits of God 🎉🎉
@irennyende29274 жыл бұрын
Exactly what am in now in my life, the song exactly describes my life,in a foreign country and fights back home, oh God change this in jesus name
@marystella05173 жыл бұрын
Ctyerý
@marystella05173 жыл бұрын
Ts
@marystella05173 жыл бұрын
4
@nikolaushamis82963 жыл бұрын
Hongela dada unaujupe mzuli
@hellenwanjugu88483 жыл бұрын
@irene Nyende uko nchi gani? I have the same issue
@mosesatya3386 Жыл бұрын
I'M BACK 2023😊😊😊😊😊😊😊❤❤❤❤❤❤❤❤MISSING THE SONG
@eileensigwa4478 Жыл бұрын
Anybody else watching it 2023😊
@Leahakino271 Жыл бұрын
❤❤❤❤❤
@juliusmusyoki78 Жыл бұрын
Here I am ❤
@tiyavictoria6402 Жыл бұрын
Niko hapa 😅😅
@elivinebochere5977 Жыл бұрын
❤❤❤🎉
@malcelalihawa6034 Жыл бұрын
01,01,2024
@OKELLOJackson-t4d2 ай бұрын
I❤the song 🎉
@nicholasmunyao70144 жыл бұрын
Kama unasikiliza ujumbe huu wa Dada Bukuku Siku ya leo,,let us embrace LOVE, as Jesus Christ taught us loving one another,, HV a good day
@barakajacobs45394 жыл бұрын
Amen
@nicholasmunyao70144 жыл бұрын
@@barakajacobs4539 God is great to us,, even during this pandemic we will over come it @ baraka kaygee
@barakajacobs45394 жыл бұрын
@@nicholasmunyao7014 Hakika tutashinda kwa jina la Yesu Kristo
@sylviakadeha32614 жыл бұрын
Amen
@naamanielifuraha334 жыл бұрын
@@nicholasmunyao7014 ...h3
@GasparMwandoeАй бұрын
Bahati hapa kwahii nyimbo Yako napenda Sana Tena Sana Japo nyimbo zako nazipenda Lakini Hii kiboko mungu akupe maisha marefu uendelee kutupa miziki zakutugusa miyoyo🙏🙏🙏👍
@johnkwienda88915 жыл бұрын
Wimbo huu una funzo nzuri kwa watu wote. Tuishi kwa kupendana bila mmoja kujipendelea mwenyewe,na hivyo tutakuwa na amani...
@JaphethKinanga9 ай бұрын
All-time Gospel guru.
@D.W1895 жыл бұрын
Who's watching in 2019? Gonga like tukisonga mbele.. Mad love ❤ from +254 🇰🇪
@lydiaaruba66705 жыл бұрын
Mimi hapa still watching from Doha Qatr🙌🙌
@emmahkali85145 жыл бұрын
Nabuha mwa silimo 2020
@VivianAnyangi7 ай бұрын
Wale wa 2024 wote nawataka hapa na likes🎉🎉🎉❤
@rhodahj71214 жыл бұрын
Who is watching with me 2020,,its real in daily life lazima msamaha tuwachilie nobody knows of tomorrow be blssd for this song bahati
@mariamatieno66133 жыл бұрын
2021
@winifridaoyuma95172 жыл бұрын
U
@hellenwagila74742 жыл бұрын
Yes ukweli bahati
@shazmamasawe78152 жыл бұрын
J@@mariamatieno6613 ud52
@ABELMUGEMUАй бұрын
Bahati bukuku respectful nyimbo Zina ubora siku zote endelea kutufulahisha na kutufunza ya Dunia nakukubali sana
@jessyjacob24332 жыл бұрын
She such an unqure singer her songs are always relate problems which are facing in the society Bukuku be blessed we still wanna hear more beautiful songs from you
@baudouinsenga78102 жыл бұрын
My favoris song thanks my sister bukuku 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩from Drc congo
@mamalaozphilemon.88005 жыл бұрын
Wale tunaangalia 2019 mwisho wa mwaka pitia apa tumuachie like zke mama ytu Habati bukuku😘😘😘
@prospermarko76845 жыл бұрын
Hongera mamaa kazi nzuri mung akubariki
@zaitunimzimbiri5935 жыл бұрын
jimbo inagusa maisha ya wanadamu
@ceciliamndeme74414 жыл бұрын
Wimbo mzuri Sana Mungu akubariki Sana mtumishi wa Mungu aliye hai
@MercyChebet-ik8pw9 ай бұрын
Ur songs is really nice i love it❤❤❤❤❤❤❤kma unapenda nategea rip yko
@miriammuthoka4827 ай бұрын
Wenye tuku hapa 2024 wapi likes 🎉🎉
@JaimeSilva-mf6fg Жыл бұрын
Eu gostei do video😊
@JaimeSilva-mf6fg Жыл бұрын
🤑 Jaime Evandro
@Aicha-i7u Жыл бұрын
Que Dieu te bénisse ma sœur,sa s'est passé dans ma famille,ta chanson me console et me pleuré,akuna upendo kati ya familia yangu
@centrine68474 жыл бұрын
Hizi zote ni mbinu za shetani kama hakuna kitu kigeni kwenu
@rhinakiza5 жыл бұрын
Amen nikweli kabisa wambiya waje leo kwa kuwa atujui ya takao tokea leo💕💕
@la_vida_ian Жыл бұрын
My favourite song..naipenda sana😊mbarikiwe wote
@stvonlineke7 жыл бұрын
im a muslim lkn nampenda huyu mama nyimbo zake naziskiza zinamafunzo sana thumbs up👍👍👍 mum bahat bukuku
@mariamadil55207 жыл бұрын
Mi pia nampenda n am a muslim
@yasintasam44117 жыл бұрын
ubarikiwe 👩yangu
@irenesadro54627 жыл бұрын
Queen Licious nice
@arkardigidawet51466 жыл бұрын
Queen Licious ✅
@lebahatikivuyo69416 жыл бұрын
Queen Licious unasikilisia wapi mskitini na edi phone au😂😂😂
@perisnyaga.youtube75226 ай бұрын
Lord 😢we pray for peace 🕊️ peace in our families , marriages and at work places. People are hating others for no apparent reason,. You find mtu anakichukia kesho mkipatana hakuongeleshi na mlikua marafiki wa dhati ,na ukijaribu ulizia Hana sababu ya kukosana nawe .. Mungu tusaidie
@RhodaRhoda-q7e Жыл бұрын
Nani tuko pamoja 2023 kwa wimbo huu
@rehemandindamutinda6337 Жыл бұрын
Who else is here the last day of 2023 , thank you God 🙏
@meshackkilonzo7624 Жыл бұрын
2023 tupo site
@mwola Жыл бұрын
Barikiwa Mrembo wa YESU Our LORD of SALVATION.
@zuhenaomar20875 жыл бұрын
Am amuslim too watching from Kenya iyo wimbo imenifurahisha coz hatupatani kwa familia yangu ivo ivo
@raphaelmwamakimbula9642 Жыл бұрын
Dada Bahati Bukuku,Mungu akubariki sana! Napenda sana jumbe Mungu anakutumia kuwasilisha kwa jamii ktk Yesu Kristo Bwana wetu na nuru yetu💯♥️👏
@Xaphtr3 жыл бұрын
What a blessing this song is.... 😂 Can't stop listening to it. I'm from Cameroon 🇨🇲 but I'm in love with Kenyans 🇰🇪 😂 😍
@jacksonsilvery59633 жыл бұрын
This is Tanzanian gospel singer
@philo_the_barber2 жыл бұрын
@@jacksonsilvery5963 😂😂😁😁
@sherifaali72682 жыл бұрын
This is Tanzanian looh
@peninandungesammy Жыл бұрын
She's from Tanzania but feel loved dear kenya is the pride of country 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@zilpamboya68222 жыл бұрын
Many songs of Bukuku it's a history to our families where by we should accept God to have a way in our families
@situmajunior29462 жыл бұрын
I love listening your songs mamy,it makes me to remain strong no matter how the situation is hard,your message from your songs is so powerful and inspiring ♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️may the Almighty God continue to strengthen your Gospel ministry to serve more and give hopes to those who go through difficulties and broken hearts 💔💔
@claresc6352 жыл бұрын
Nliposkia,habari,hizo
@JessicahMunyao-pc8sg Жыл бұрын
2023 bado wimbo wapendeza kazi nzuri bahati bukuku
@agnesalfred7555 жыл бұрын
Huu wimbo unagusa sana familia ya mama angu ....yaani kama umewatungia wao
@davidmohamed432911 ай бұрын
I just love this song so much it reminds me of my past
@christabelokullo57736 жыл бұрын
Nyimbo za Bahati zina mafunzo sana, may God continue blessing her
@liliansyokau8583Ай бұрын
Finishing strong 2024 💪, am really trusting God for peace in my family ❤, may God restore us
@terryannemumbua34215 жыл бұрын
Mungu azidi kukubariki Dada Bahati nyimbo zako zinanijenga kiroho
@Nacy-vt5ybАй бұрын
Ninaposoma neno la mungu amri kubwa ni upendo mungu ni upendo praise God hallelujah
@enockmarani31396 жыл бұрын
wimbo mzuri.hakuna haja ya kujukiana.forgive n forget period.GOD bless u
@simondismas3604Ай бұрын
Ujumbe huu utufikie wote tunawadharau mama zetu.
@sarahmukewa68572 жыл бұрын
I have listened to this song more than 3timea 😊😊😊😊😊😊lovely servant of God
@paulinebarasam14914 жыл бұрын
Bukuku nyimbo zako ziko top
@malongomukirya28637 жыл бұрын
Bahati ww Ni level nyingine kabisaa Mungu azide kukulinda Amen!
@massastephen25977 жыл бұрын
malongo mukirya
@ashelinaawadhi67115 жыл бұрын
siri ya famiria
@elizmutai95624 жыл бұрын
AMEEEN AND AMEN
@lawmaina78Ай бұрын
Sio rahisi kihivyo dada, ndugu wanadhulumiana ardhi, inakua fulu mapanga na chuki, hauwezi kutenganisha ugomvi wao kirahisi.
@gladysnjeri17626 жыл бұрын
Dancers wako wamejitolea kwa kweli barikiweni sana n to you mum big up nakupenda sana my role model na mungu akupee maisha marefu uzidi kunibariki na nyimbo zako
@SusanOnyangi Жыл бұрын
No matter the situation is nothing is permanent ya Kesho haijulikani 🙏🙏🙏
@salummohdnyiga97607 жыл бұрын
Inspiration song Even am Muslim but I really like ur songs. Motivation and courage
@kensakwa88125 жыл бұрын
That's good bro
@samuelosumba30645 жыл бұрын
What about being muslim
@enocksagatyotieno59965 жыл бұрын
Welcome to christianity my brother
@rhodamuro38194 жыл бұрын
From for wodw lefdewfffdedsisszzslxfd Sswe3wwww Wwjg wwssed ,2234 gv W
@GotribeKihaka-cx8ex Жыл бұрын
Karibu kanixani kwetu tuna patikana Dsm wilaya ya ilala kipunguniB machimbo CAG CALVARY ASSEMBLES OF GOD upendo miracle center
@Gigi999mkg6 жыл бұрын
Jamani kusema ukweli namuelewa Bahati Bukuku kupita ninavyoweza kuelezea... Bwana akutetee na hila za mwovu dear😘
@andrewn92786 жыл бұрын
Asat dada
@joneskhayanje24814 жыл бұрын
From Kenya lhave blessed with your song mom 👏👏
@Lia3277810 ай бұрын
I love this song❤I wish I knew what it was about
@elineokusiluka96837 жыл бұрын
Wimbo unagusa maisha halisi katika jamii zetu. kwa ujumbe huu wengi tutabarikiwa Mungu akubariki uzidi kufanya kazi nzuri zaidi zenye jumbe za kukomboa jamii.
@leahjepchirchir59095 жыл бұрын
Her songs has strong message am blessed
@elizabathh62704 жыл бұрын
Amen🙏🙏🙏Luna Ushindi Kwa Kuamini
@monicadavid28334 жыл бұрын
Hey
@julihanjosephyjs63614 жыл бұрын
Samahani nauliza uyu mama yu hai au amefariki maana ukitizama Mara jeneza Mara ivi sipati jibu ,napenda nyimbo yake akiimba baada ya mafanikio wanaokuzalau leo watakusalimia kwaheshima napenda nyimbo zake japo sijuwi kuimba nami sio mcrist.