Chutney and ukwaju recipe 👉kzbin.info/www/bejne/h4HZkpyImc-JbKc
@osobahmed5684 Жыл бұрын
What do you use of you dont how white cow peas
@muhahabiby26554 жыл бұрын
Masha Allah always th best kwa kueleza every step Allah akujazih kheir mpnz.
@tajiriskitchenswahiliflavo17234 жыл бұрын
Ameen rabib alamin...Shukran 😘
@sankofaman41125 жыл бұрын
Asante sana dada kwa kutukumbusha nyumbani, tukiwa mbali tunapata faraja.
@tajiriskitchenswahiliflavo17235 жыл бұрын
Karibu sana kaka brother 😊
@mwanawetumwatumwa3000 Жыл бұрын
Ma Shaa allaha 👌
@farahmohamud66813 жыл бұрын
we're.nimpishi.maalum.mashallah.mashallah
@tajiriskitchenswahiliflavo17233 жыл бұрын
Shukran sana
@safiaothman10983 жыл бұрын
Maa Shaa Allah
@mwanaishambili2415 жыл бұрын
Mashaallah dda leo umeniwai izo bajia vle nazipenda wacha tu shukran sna 😘
@tajiriskitchenswahiliflavo17235 жыл бұрын
Kumbe tuko wengi dadangu😍
@mwanaishambili2415 жыл бұрын
@@tajiriskitchenswahiliflavo1723 😀😁 kbs
@vennesawasai2864 Жыл бұрын
Ni lazima ziwe kunde nyeupe nyekundu haziwezi?.
@umruqayya9569 Жыл бұрын
Unaweza na tam zaid
@khadijabadawy83didaa855 жыл бұрын
Masha ALLAH go girl
@sofiaahmad19263 жыл бұрын
I like this receipe I will try it Ramadhan inshaallah.
@tajiriskitchenswahiliflavo17233 жыл бұрын
Insha'Allah
@gladyswamiori5424 жыл бұрын
asante Sana tahiti kitchen kwa kunifunza kutengeza bhajia za kunde. Niko na swali mtu anaweza weka maji anapotengenza bhajia za kunde kwa kutuumia mixture au blender yenyewe
@tajiriskitchenswahiliflavo17234 жыл бұрын
Asante sana dear, ukitumia Food processor kama mm hautaweka, but ukisaga kwa Blender itabidi uweke maji ndio usiuwe blender yako.
@maryochola1788 Жыл бұрын
Yummy 😋
@mwanambaniabdalla86204 жыл бұрын
Maa.shaa Allah.
@swalehhassan39074 жыл бұрын
YES
@ramadhanrajabahmad3003 жыл бұрын
Hongera😁😂😃😄
@magdalenembelle20882 жыл бұрын
Niiiice. Where can I get the mixer?
@katananzaro87213 жыл бұрын
Been looking for this for a while. God bless you.
@tajiriskitchenswahiliflavo17233 жыл бұрын
Ameen dear
@magrethhaulee99984 жыл бұрын
Nimeelewa
@NamsifuMnzava-hy9es Жыл бұрын
Nice ukwaju 😋😋😋
@sata38673 жыл бұрын
So easy and a healthy snack especially for kids. Thanks for the good work.
@tajiriskitchenswahiliflavo17233 жыл бұрын
Most welcome dear and thanks for the support 😘
@marionciano85193 жыл бұрын
Asantaaaaaa🙏🏽😊
@neyshao24925 жыл бұрын
Love it
@nasrasirat457 Жыл бұрын
Napenda video zako. Lakini toa mziki
@marionchebet71294 жыл бұрын
Thanks a lot ...I finally have this recipe
@tajiriskitchenswahiliflavo17234 жыл бұрын
Most welcome 😊
@brianchivatsi1771 Жыл бұрын
I want to ask, hizi maganda watoa na mkono ama kuna venye zinajitoa automatic after soaking?
@maddemadetv4452 жыл бұрын
je can you kaanga iwe stew?
@faazatiali5 жыл бұрын
😋😋😋😋They look so yummy 😍mashallahh
@tajiriskitchenswahiliflavo17235 жыл бұрын
Yes dear so yummy😋
@usa23422 жыл бұрын
Looks delicious!
@samsinwa99905 жыл бұрын
Yammy
@FaithsHappyKitchen5 жыл бұрын
Tamu sanaaaa👌👌i like them with chatni and a cup of masala tea 🍵
@tajiriskitchenswahiliflavo17235 жыл бұрын
Yesss hun same here is more delicious with chutney. Thank you for the visit 😘
@FaithsHappyKitchen5 жыл бұрын
@@tajiriskitchenswahiliflavo1723 don't mention it, am part of your family now.
@saadaissa22345 жыл бұрын
Lv u
@machochocate98143 жыл бұрын
What's that in the bowl it looks yummy
@tajiriskitchenswahiliflavo17233 жыл бұрын
Mayonnaise and ketchup
@nawalalofi9282 Жыл бұрын
بكره بسوي, شكرا😍🤝 Asnte
@justjj9934 Жыл бұрын
Ungali ikata tukaona ndani..
@peninakilango56953 жыл бұрын
Vakula va watoto
@tajiriskitchenswahiliflavo17233 жыл бұрын
Penina kilango. Na vawatu wazima ni vpi?
@sofiaahmad19263 жыл бұрын
Woow, it's look yummy 😋. Naomba kuuliza, kunde nikiblend kisha niweke kwa freezer, nikitaka kupika huwa zina badilika rangi na kuwa nyeusi sio kama rangi ya kunde? Naomba nijulishe.
@tajiriskitchenswahiliflavo17233 жыл бұрын
Sijawai jaribu lakini ninahakika zitakua sawa tu
@lucymauakisyanga80764 жыл бұрын
Whao so yummy
@tajiriskitchenswahiliflavo17234 жыл бұрын
Thank you
@rezeekybeiby15195 жыл бұрын
Waaaah masha Allah zikolea viungo
@tajiriskitchenswahiliflavo17235 жыл бұрын
Tena sanaaa
@rajabumajoro18125 жыл бұрын
Unaweza kusaga kutumia blanda yoyote ile ata yakutengenezea juice?
@tajiriskitchenswahiliflavo17235 жыл бұрын
Ndio unaweza lakini utumie maji kusaga
@vanessawanjiku29592 жыл бұрын
Hey dear izi si lazima mtu aweke baking powder
@bipoposhabani55282 жыл бұрын
,, venesa dear usitie baking , hizi hazitiwi
@shetijay2 жыл бұрын
Bajia haziwekwi baking powder,dah hii kali xaxa.
@acybenson79225 жыл бұрын
Hio sauce ya bhajia za kunde fanya video
@tajiriskitchenswahiliflavo17235 жыл бұрын
Hiyo ni ketchup na mayonnaise tu😊 but niko na video ya chatni, pilipili na ukwaju
@sharleenoyiera13563 жыл бұрын
Nikiweka kwa moto, zinaachana zote. How can i make the balls fry bila kutokana?
@tajiriskitchenswahiliflavo17233 жыл бұрын
Ulizisaga na nini?
@sharleenoyiera13563 жыл бұрын
@@tajiriskitchenswahiliflavo1723 hoho, kitungu maji na dhania
@usa23422 жыл бұрын
Tajiri How do you make sauce for fritters? Thank You
@tajiriskitchenswahiliflavo1723 Жыл бұрын
Mayonnaise and ketchup
@usa2342 Жыл бұрын
@@tajiriskitchenswahiliflavo1723 thanks!
@ummirashid81514 жыл бұрын
I love it so much
@tajiriskitchenswahiliflavo17234 жыл бұрын
Thank you
@zahrahajj41555 жыл бұрын
Nc
@tajiriskitchenswahiliflavo17235 жыл бұрын
Thanks
@bellebellebelle54853 жыл бұрын
Hio grinder ulinunua wapi? Nimeitafuta Nairobi kwote. Please help a sister. Thanks.
@tajiriskitchenswahiliflavo17233 жыл бұрын
Jaribu maduka ya kuuza vyombo pia Tusky's wako nazo
@assilaa20074 жыл бұрын
Hiyo sousse ni yanin natak kufany yn umefanyaje?
@tajiriskitchenswahiliflavo17234 жыл бұрын
Nimetumia mayonnaise vijiko 2 ketchup kijiko 1 na pilippili za kuponda kavu yani chilli flakes 😘
@assilaa20074 жыл бұрын
@@tajiriskitchenswahiliflavo1723 Owh Thanks maa 🥰 recipe yko nzur pia😊
@vickysamwel14864 жыл бұрын
Thx
@tajiriskitchenswahiliflavo17234 жыл бұрын
Most welcome
@suraiya76644 жыл бұрын
I was looking for this recipe for a long time . Thanks a lot 👍🏾
@tajiriskitchenswahiliflavo17234 жыл бұрын
Most welcome
@WanjaAthuman-v2c3 ай бұрын
❤😅😅
@msakosua60224 жыл бұрын
Love these bajias! Was wondering can you use tinned black eye peas? X
@tajiriskitchenswahiliflavo17234 жыл бұрын
You mean canned black-eyed peas? Yes, you can.
@msakosua60224 жыл бұрын
@@tajiriskitchenswahiliflavo1723 thank you 😍😍😍😍
@stanleyotieno55574 жыл бұрын
Hey...where do you buy your black eye peas ? Have looked for them in Mombasa but found none 😪😪😪
@tajiriskitchenswahiliflavo17234 жыл бұрын
In Mombasa, they have it everywhere but the red ones.
@stanleyotieno55574 жыл бұрын
Thanks for the reply but again do I just buy the whole ones ama zile zimesagwa (don't quite remember their actual name)
@a.8565 жыл бұрын
Yummy😋
@HildaTemba-ik3ek Жыл бұрын
Kumbe siyo lazima kuweka unga wa ngano na hamira
@ericshelton31625 жыл бұрын
Make a nice snack
@tajiriskitchenswahiliflavo17235 жыл бұрын
Oooh yes
@leonardgichia63935 жыл бұрын
Tajiris realy wanted to knw hw to prepare the real bahjias...aside from the normal viazi karaee😂😂😂
@tajiriskitchenswahiliflavo17235 жыл бұрын
Now you know 🤣🤣🤣
@aminasaid77364 жыл бұрын
Unachemsha the blacked eyed peas mwanzo ama?
@tajiriskitchenswahiliflavo17234 жыл бұрын
Hapana hauchemshi.
@ashraphgaming68164 жыл бұрын
mbona bajia zangu zawa back
@tajiriskitchenswahiliflavo17234 жыл бұрын
Umezionguza basi
@laveraatieno71793 жыл бұрын
Njia gani nyingine ya kusaga kunde badili ya blenda ama food processor
@tajiriskitchenswahiliflavo17233 жыл бұрын
Ponda kwa kinu
@laveraatieno71793 жыл бұрын
@@tajiriskitchenswahiliflavo1723 changamoto nimekuwa nayo ni wakati napika zimeachana,,,nifanye nini?
@tajiriskitchenswahiliflavo17233 жыл бұрын
@@laveraatieno7179 Umesaga na maji mingi ndio maana, ukiona hivyo unazichuja maji
@natepam44864 жыл бұрын
Huweki amira ?
@tajiriskitchenswahiliflavo17234 жыл бұрын
Hapana huweki.
@LucyTesha-s5x9 ай бұрын
Na je kama maganda hayajatoka
@tajiriskitchenswahiliflavo17239 ай бұрын
Sio lazima yatoke yote dear, sababu hayata kudhuru.
@JoinaMilton Жыл бұрын
Cali poda ndo nn kwa kiswahili tafadhali
@annkaranja32014 жыл бұрын
Black eye peas ni the same na white peas,?,,ambayo nimenunua supermarket..naona kaa za fanana
@tajiriskitchenswahiliflavo17234 жыл бұрын
Yes is the same thing. Inategemea ni wapi uko.
@annkaranja32014 жыл бұрын
Asante sana Tajiris kitchen ,,am in Nairobi kenya,,
@tajiriskitchenswahiliflavo17234 жыл бұрын
@@annkaranja3201 Karibu sana sister
@mwajumbetajiri37715 жыл бұрын
Hiyo blenda ya bajia niletee na mm niuze bajia
@tajiriskitchenswahiliflavo17235 жыл бұрын
🤣🤣🤣🖐 ushaipata basi
@5efamily2574 жыл бұрын
Hio blenda inaitwaje nikaitafute madukani please
@zahramauba48215 жыл бұрын
we dada umenitia njaa zaonekana tamu
@tajiriskitchenswahiliflavo17235 жыл бұрын
Tena sanaaa 😋
@safiam52854 жыл бұрын
Napenda mapishi yako lakini sijapenda hilo kucha mpishi awe msafi wa mikono hasa kucha
@tajiriskitchenswahiliflavo17234 жыл бұрын
Asante sana. Na umeona uchafu wa kucha ama kucha ndefu? Pili chakula hukili wewe.
@tumaininyundo34165 жыл бұрын
Kama sina hiyo mashine na brenda pia sina nitatumia nini kusaga
@tajiriskitchenswahiliflavo17235 жыл бұрын
Unaeza kuponda kwa Kinu
@anasiamacha25434 жыл бұрын
Tumaini Nyundo Kinuuu
@Maryam-uv2qj5 жыл бұрын
Kunde unaroweka masaa mangap
@tajiriskitchenswahiliflavo17235 жыл бұрын
Nimeeleza video ikiaanza
@cutiethuma99314 жыл бұрын
Ukiblend kisha iwe maji maji wafanyaje ishikane
@tajiriskitchenswahiliflavo17234 жыл бұрын
Utachunga hayo maji na chujio
@herbieberr34683 жыл бұрын
Zangu pia zinkua maji,wacha nkachuje
@mwajumbetajiri37715 жыл бұрын
Hizo bajia zataka viazi hapo mambo yakuvurunga
@tajiriskitchenswahiliflavo17235 жыл бұрын
Tena vile viazi vyako 😋
@justjj9934 Жыл бұрын
Jamani tunaona mikono tu, sura hakuna...
@tajiriskitchenswahiliflavo1723 Жыл бұрын
Sasa sura ndio inayopika?
@justjj9934 Жыл бұрын
Ingali kuwa uzuri pia kumuona mpishi wetu.. Shukran
@naturelle10974 жыл бұрын
Ama kweli wewe dada wataka tuachike hizo kunde kama magamba ya juu yametoka yatakiwe ibakie nyeupe tuu hivo vitu vyeusi inamaana magamba ya juu hayajatoka Hio sauce yaitwaje + what are the ingredients Unfollowing you immediately
@tajiriskitchenswahiliflavo17234 жыл бұрын
Kalahari M. Tena wachelewa mkware wewe uliokosa Mume. Ati wataka tuachwe na Mume mwenyewe huna nyooo, njoo America nikupe shemegi yangu akustiri. Hii ni comment ya 3 leo endelea tu usichoke, nenda kwa kila video uka comment na usichoke. Usione waniharibia bali wanitengezea upo.
@RukiaLaltia4 жыл бұрын
Subhanallah yaani wanawake wengne hata hamuna hayaa wala hamuoni vibaya , haswaa muko na roho ya aina gani mufunze mapishi na pia kutukana watu mutukane,sawa sisi ni binadamu twakosea lakini sio kwa kuchamba mtu tena live kwa video yake Hebu jishtukiziye na ikiwa hupendi pishi tafuta unayepempendaaa huyu hajatumwa nu mtu anayekujua daa halima 😡😡😡😡ati unfollow you immediately kwani ukiunfollow ndio wamkosesha riziki
@tajiriskitchenswahiliflavo17234 жыл бұрын
@@RukiaLaltia Lakini nishamcheka sister, ni wale wasio na muelekeo bora katika maisha yao. Yani maisha kwao yamekuwa magumu hadi wameshindwa ku make. Jealous yao Halima kukicha yuwaendelea.
@khadijabadawy83didaa854 жыл бұрын
Subhanallah mungu akuongoze kwakweli nakama umetumwa basi sio haki munavofanya. Umeona mapishi yake hayakufai siutoke tu.kwani alikwambiya u subscribe channel yake??
@rozzywanjala4644 жыл бұрын
Kalahari M acha wivu angaa ata kidogo tuoneshe zako oooh wewe kweli ni ile kamati ya roho mbaya na kupika pia hujui,acha roho chafu na Mungu atakubariki jamani
@aminarashid-m6g10 ай бұрын
Maasha Allah
@lestherusitukanesanasomaam133910 ай бұрын
Je siwezi kukoboa kisha nikasaga unga wake itakuaje bila kulowela?