asantesana mwalimu wetu vitu vizuri unahisi raha kujuwa vitu vipya
@salhasaleh67254 жыл бұрын
wallahy nasikia harufu mashalla☺☺☺
@aromaofzanzibar4 жыл бұрын
Basi njaa tupu hapo
@mauamahzey77338 жыл бұрын
wooh thanx very much my dia. I didnt know how 2 cook vitumbua. asante unatusaidia sana
@aromaofzanzibar8 жыл бұрын
+maua mahzey My pleasure, thanks for your support
@ZainabJolie8 жыл бұрын
mashallah shukran sn ukhty . tumajifunza mengi kupitia video zako .Allah akulipe kila la kheri
@aromaofzanzibar8 жыл бұрын
+Jolie Sabimana Shukran nyie pia for the support, amin kwetu sote
@Bisekoson8 жыл бұрын
wow! shukrani sana kwa mapishi yako, recipe ni rahisi na kila kitu kinafanyika kwa urahisi . hebu tuwekee vitu vingi kadri uwezavyo ya vyakula vya nyumbani. hongera sana
@aromaofzanzibar8 жыл бұрын
Ahsante sana for your support, means a great deal
@Bisekoson8 жыл бұрын
your welcome, hizo chips za mihogo zinanikumbusha enzi za utotoni wakati naishi Unguja, kwa urojo na badia utajiramba. lol
@aromaofzanzibar8 жыл бұрын
Yap mie pia lakini hizi hazina age limit na ndio nimeweka the whole series za video
@maasumchehraa61388 жыл бұрын
Maa Shaa Allah Allah atakulipa kwa msaada wko tunanufaika sna.. na pia nilikua naomba utufahamishe jinsi ya kupka meatcake
@aromaofzanzibar8 жыл бұрын
+Maasum Chehraa Thank you dear, Inshallah lakini itachukua time maan nina request za vitu vingi. Nitajitahid
@chinaboy20348 жыл бұрын
Yeeees kweli dadaangu tufunze na muhogo wa nazi maana tumeimiss sana...tujarbu kupika jpo htutopata km muhogo wa nyumban
@aromaofzanzibar8 жыл бұрын
Inshallah, muhogo rahisi sana kupika na huko Abu dhabi unapatikana mzuri sana
@williamrodrigues37466 жыл бұрын
mzuri saana. asante
@Som-Hanoolaato8 жыл бұрын
Ma sha Allah, Asante saana sister Ramadan Mubarak, Baarak Allahu Feekum for sharing.
@khaulaal-baalawy69186 жыл бұрын
Bismillah Mashallah Leo Napika Hii Kitu.
@aromaofzanzibar6 жыл бұрын
Inshallah
@husnamohammed81996 жыл бұрын
Izo kunde na nn chooko
@mziwandabakers82974 жыл бұрын
Shukran dada 👌👌👌
@marwahmohammed63027 жыл бұрын
Ma shaa Allah TabarakAllah...Shukran
@naimahmohd39186 жыл бұрын
MashaAllah nimefaidika sana dadangu shukran
@kulwanhigula58837 жыл бұрын
wooooow asante Dada,,,ila Mimi nilikosea nilisaga kunde bila kuzikoboaaaaa
@salmasaidi28755 жыл бұрын
Shukran kwa mapishi mazuri Basi mi hupenda kueleza kwako yaani mashaa ALLAH
@aromaofzanzibar5 жыл бұрын
Shurkan, najitahidi nitakavyoweza. Alhamdulilah
@sabihaali81547 жыл бұрын
mashaallh mung akufnyie wepes
@meislive52348 жыл бұрын
jazakallahu kheir shukran sana kwa mapishi Yako inatusaidia sana aswa sisi tulio M bali na home
@aromaofzanzibar8 жыл бұрын
+Meis Live Shukran , hamna tabu madhumuni ni kusaidiana
@azisaazisa15337 жыл бұрын
shukran sana dada mungu akujarie kilalakher
@aromaofzanzibar7 жыл бұрын
amin
@rosemaryawuor73366 жыл бұрын
my dear baada ya dengu ya pili nn
@maimunahemedinkuyah54898 жыл бұрын
Thanks for nice food
@aromaofzanzibar8 жыл бұрын
You are welcome dear, thank you fro your support
@ahmedyoung73007 жыл бұрын
MaaShaAllah
@shufaaeid82144 жыл бұрын
Ma sha Allah
@rahmaabdallah20536 жыл бұрын
Allah akujalie kher
@aromaofzanzibar6 жыл бұрын
Amin
@azzaalmaamry766 жыл бұрын
MaashaaAllah shukran ukhuty
@aromaofzanzibar6 жыл бұрын
Afwan
@hajraaboud36988 жыл бұрын
Mashallah nzuri 😍
@aromaofzanzibar8 жыл бұрын
+Hajra Aboud Thanks dear, you are always cheering me
@hajraaboud36988 жыл бұрын
+Aroma of Zanzibar: My pleasure!! I always learn new tricks and tips from your recipes, really amazing Mashallah 😘😘😘 Jazzaka Llah
@aromaofzanzibar8 жыл бұрын
+Hajra Aboud Good to know that I could be of some help
@aminaibrahim9814 жыл бұрын
cjawahi kuchanganya kunde na choko kwa ajili ya pishi hili....! vp inaweza ikawa ni nzuri zaid eee...?
@aromaofzanzibar4 жыл бұрын
Ni kwaida tu, mie nimezoea
@mamycute38425 жыл бұрын
Hii food processer nimeitafuta sana sijaipata
@aromaofzanzibar5 жыл бұрын
Mimi nimenunnua amazon zamani sana
@fadhilaamiri84988 жыл бұрын
mashaAllah
@careca74768 жыл бұрын
Safi....
@habibtysalim23044 жыл бұрын
Mashaallah
@salmaismail94737 жыл бұрын
thank u for ur knowledge..i am frying mine as i comment.
@aromaofzanzibar7 жыл бұрын
Cool, enjoy!
@khadijaamour76544 жыл бұрын
Waweza tia hamira
@aromaofzanzibar4 жыл бұрын
Hamira haihitajiki hapo
@amenaamena22837 жыл бұрын
asante sana
@benedictashirima91136 жыл бұрын
Asante nimejifunza hapo
@mariamothman85128 жыл бұрын
Yummy😍😍😍😍😍😍
@salhaali55408 жыл бұрын
mashallah
@paulwabandi11397 жыл бұрын
Salha Ali mbona vikurya vingi ninaona pilipili kila kona
@abudebinabri12876 жыл бұрын
naomba unitumie upishi w mapera y maziwa
@aromaofzanzibar6 жыл бұрын
Mimi sio mpishi wa labania, jaribu kwa Shuna's kitchen
@fauziahassan35174 жыл бұрын
Mashaallah kumbe kunde unachanganya na choroko
@aromaofzanzibar4 жыл бұрын
Sio lazima lakini mie napenda hivyo
@zulfahhussein5056 жыл бұрын
Assalaamu alaykum warahmatullahi wabarakatuh My uhkty naomba radhi yaani je waweza kuniandikia recepe ya nbajia
@aromaofzanzibar6 жыл бұрын
Aleikum musalam, recipe ya bajia ipo kwenye link hii kzbin.info/www/bejne/gKvEnoN7fqeMhJo
@zulfahhussein5056 жыл бұрын
Aroma of Zanzibar Shukran wa JazakaAllah kheyra
@nuraseifnassor41548 жыл бұрын
asante sana naomba uelekeze Zanzibar pizza inavopikwa please
@manshahshah72007 жыл бұрын
Pls fundisha mix
@metalcombat44707 жыл бұрын
I miss those things!
@aromaofzanzibar7 жыл бұрын
Ndio maana I make these videos so you can make your own ;) kwani uko wapi
@mauamahzey77338 жыл бұрын
naomba utufundishe meat cake plzzzzz
@aromaofzanzibar8 жыл бұрын
+maua mahzey Inshallah itakuja pia
@janemichael41934 жыл бұрын
Asante dada
@verachikulupi80635 жыл бұрын
safi sana asante
@betinakima2968 жыл бұрын
hi would u mind if u show me the recepe of half cakes
@safiaibrahim92337 жыл бұрын
salams too U aroma hiyo ni dengu.ama
@aromaofzanzibar7 жыл бұрын
Hizo ni aina ya kunde zinaitwa black eye pea , dengu ni tofauti
@yulsinaseif75585 жыл бұрын
hujui kumenya😂
@aromaofzanzibar5 жыл бұрын
Sawa...wewe unojua fundisha
@zakiaabdallah88416 жыл бұрын
Shukran habibty
@salmamasoud60558 жыл бұрын
Asante my dear
@nurdinali30925 жыл бұрын
Asante my kama huna food processer unatumia nn
@aromaofzanzibar5 жыл бұрын
Tumia kinu usage
@mnnm17098 жыл бұрын
shukran 👍
@maimunasaidi38058 жыл бұрын
Maashallah mie nafurahia sana recepees zako naomba unifundishe jinsi ya kutengeneza ule urojo wenyewe shukran
@aromaofzanzibar8 жыл бұрын
Maimuna Saidi, video ya urojo nimeshaweka kitambo tena , bonyeza hii link utaona kzbin.info/www/bejne/mYnPlqSLqJeBd9E
@maimunasaidi38058 жыл бұрын
Shukran daa
@fardeenazad60614 жыл бұрын
Samahani Dada mm sijui kupika vitumbua vya kuku he unaweakuni saidia
@aromaofzanzibar4 жыл бұрын
vitumbua vya kuku recipe nimeweka hapa kzbin.info/www/bejne/m6DCXpljetynqtU
@fardeenazad60614 жыл бұрын
@@aromaofzanzibarshukran mamy
@rahmaa.naim.93916 жыл бұрын
MaashaAllah tufundish kupika izo njugu.samahan dada nikuuliz mbegu za gilgilan kwa kizungu zinaitwaje?
@aromaofzanzibar6 жыл бұрын
Mbegu za giligilani zinaitwa coriander seeds , ukiangalia video yangu ya english utapata ingredients zote in english dear, hizo njugu nimenunua tu sijafanya mie
@rahmaa.naim.93916 жыл бұрын
Aroma of Zanzibar asant nitumie link
@aromaofzanzibar6 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/g3LalGmopJacg6c
@rahmaa.naim.93916 жыл бұрын
Aroma of Zanzibar ahsant
@rahmaa.naim.93916 жыл бұрын
Mashaallah asant san nilikuw cjui kupik badia za kund lakin umenifundish shukran kumbe hazitiw hamira badia za kunde?
@aromaofzanzibar6 жыл бұрын
No badia hzaitiwi hamira
@rahmaa.naim.93916 жыл бұрын
Aroma of Zanzibar ok badia za dengu tufundishe kupik
@aromaofzanzibar6 жыл бұрын
Rahma Ayoub. Inshallah
@rahmaa.naim.93916 жыл бұрын
Aroma of Zanzibar ok
@babykwambs5 жыл бұрын
Baking powder ni lazima ?
@aromaofzanzibar5 жыл бұрын
Baking powder inalainisha , huo ni uamuzi wako kama utatumia au la
@kayechalu71422 жыл бұрын
Kwanini unachanganya na chooko?
@aromaofzanzibar2 жыл бұрын
Sijachanganya chooko kwenye chips dear sijui umrona wapi
@nourasfavrecipes.8 жыл бұрын
Hello, Can you please put a recipe of "muhogo wa nazi".
@aromaofzanzibar8 жыл бұрын
Inshallah
@ABDULHADI-me7cz8 жыл бұрын
Aroma of Zanzibar am like nice respy thank u do much
@rukaiyaahmed85907 жыл бұрын
Salaams can we use frozen muhogo from a packet?
@aromaofzanzibar7 жыл бұрын
I dont see a problem, you can try
@zuhuramniwasa10635 жыл бұрын
Asante sana Aroma, nikuulize kitu Olive Oil ndiyo mafuta ya mzaituni,
@aromaofzanzibar5 жыл бұрын
Ndio ni mafuta ya zaituni
@zuhuramniwasa10635 жыл бұрын
@@aromaofzanzibar Asante sana
@bahsanibrahim36366 жыл бұрын
Asc mummy waeza saga kwa blender ...alafu baking powder yasaidia na nini
@aromaofzanzibar6 жыл бұрын
Blender kama hatumii maji sana kusaga, baking powder inafanya ziwe laini
@bahsanibrahim36366 жыл бұрын
Aroma of Zanzibar shukran aunty...Ramadhan kareem
@rehemasalim92427 жыл бұрын
Masha Allah
@husnamohammed81995 жыл бұрын
Izo kunde ichochengine chooko au nn izo
@azzamahamdu70394 жыл бұрын
🥰🥰🥰🥰🥰😋😋😋😋😋
@hamidurashida78346 жыл бұрын
da Aroma.. muhogo wa Nazi please
@aromaofzanzibar6 жыл бұрын
Inshallah
@winnieadipo82915 жыл бұрын
What is Chokoo in English please?
@aromaofzanzibar5 жыл бұрын
Green grams
@winnieadipo82915 жыл бұрын
Thank you dear
@aishasaleh2916 жыл бұрын
jamn ujatia chumvi mbn😁
@aromaofzanzibar6 жыл бұрын
Kwneye kitu gani, wakati mwengine natia lakini hua nasahau kuonyesha na pia situmii chumvi nyingi
@catherinesebastian59087 жыл бұрын
mi napnda mapishi yako na unajitahd san asnt kw hilo
@aromaofzanzibar7 жыл бұрын
Nashkuru
@mariamshariff64366 жыл бұрын
Assalaam Aleikum Warahmatullahi Wabarakatuh Ramadhan kareem wa saum makbul
@ummunifaljabry22667 жыл бұрын
shukran jazakka Allahu kher ukhti
@athmanbello3805 жыл бұрын
Ni lazima kuweka baking powder
@aromaofzanzibar5 жыл бұрын
Baking powder inafanya ziwe laini
@mwanaishambili2416 жыл бұрын
Bi aroma umepotea wp
@aromaofzanzibar6 жыл бұрын
Mimi nipo naposti video kila wiki inaonyesha hauja turn notification button yako ndio maan hunioini
@mwanaishambili2416 жыл бұрын
Cpati notification ndio maana nikauliza maana napenda zko
@latb27476 жыл бұрын
aroma tufundishe pudding
@aromaofzanzibar6 жыл бұрын
Inshallah
@hawalashikoni59128 жыл бұрын
is it lazima kuweka baking powder kweny bajia?
@aromaofzanzibar8 жыл бұрын
Baking powder inafanya ziwe laini kudogo, kama huna si tabu
@hawalashikoni59128 жыл бұрын
Akhsante
@dianamodest92606 жыл бұрын
Kama unatengeza kwa biashara si inabidi ukaushe juani maana kukamua kama ivo si itakua inachosha au
@aromaofzanzibar6 жыл бұрын
Ni vizuri kukamua kutoa maji zinakauka haraka hata kwenye jua
@fatimadalrymple6697 ай бұрын
Anakamua 😂
@aromaofzanzibar6 ай бұрын
kuna ubaya??
@hawaahmed37824 жыл бұрын
MashaAllah
@nuraseifnassor41548 жыл бұрын
asante sana naomba uelekeze Zanzibar pizza inavopikwa please