Asema leo mate yamemtoka kaona bajia na mix..heheh
@RuhysKitchen10 ай бұрын
@@asmahakeem2077 hahahaha kumbe tupo wengi
@edithmwasulama70054 ай бұрын
Mazipenda ila process yake sasa
@JumaAthman-c4o3 ай бұрын
Hongera dada mie aisha
@RuhysKitchen3 ай бұрын
Asante sana.. aisha yupi?
@zainabissa243310 ай бұрын
Mashaallah yummy ❤❤
@RuhysKitchen10 ай бұрын
Thank u maa 😘 💓
@hashimissa244910 ай бұрын
MaashaAllah Original Indian Traditional Food healthy and tasty
@RuhysKitchen10 ай бұрын
Thank u 💓
@fatmasalim829310 ай бұрын
Mashallah tabarak allah nice one sister ❤❤❤❤
@RuhysKitchen10 ай бұрын
Thank u my dear
@halimaesmail762810 ай бұрын
Yummy 😋 😋
@RuhysKitchen10 ай бұрын
Thank u dear
@MustaIssa10 ай бұрын
Mashallah
@RuhysKitchen10 ай бұрын
thank you
@alsam488110 ай бұрын
Yummy Masha Allah.👌😋
@RuhysKitchen10 ай бұрын
Shukran
@saeemaabdulatif1310 ай бұрын
yummy 😙😙
@RuhysKitchen10 ай бұрын
Thank u dearest 💓 jana nakukumbuka nasema mbona sioni comment ya shuna wangu
@saeemaabdulatif1310 ай бұрын
@@RuhysKitchen aww my heart i’m ur number one supporter😙❤️
@RuhysKitchen10 ай бұрын
@@saeemaabdulatif13 thank u love
@MariamSaidy-g2r6 ай бұрын
Asane sana
@RuhysKitchen6 ай бұрын
Karibu my dear ♥️
@a.85610 ай бұрын
Ahsante
@RuhysKitchen10 ай бұрын
Karibu dear
@ElizabethLaizer-h5i3 ай бұрын
Haziwekwi backing power?
@RuhysKitchen3 ай бұрын
Hapana haziwekwi baking powder wala hamira aina yoyote.. ni muhimu kunde uziroweke kwa muda usiopungua masaa 8 ili ziweze kuvimba wenyewe
@lubnamdaud312810 ай бұрын
❤❤
@RuhysKitchen10 ай бұрын
Thank u
@salimibrahim540710 ай бұрын
mashallah
@RuhysKitchen10 ай бұрын
Thank u 💓
@MwlKai5 ай бұрын
Hizo kunde umemenya na nini
@RuhysKitchen5 ай бұрын
Zinakua zipo tayari za mapande na ukizirowanisba kwa muda usiopungua masaa 6 basi ukizikosha tuu maganda yanatoka wenyewe. Uwe unazikosha kwa maji mara 3 au zaidi zinazodi kusafika na kutoka magamba yote
@hawamojous221510 ай бұрын
huweki magadi soda kidg jibu plz
@RuhysKitchen10 ай бұрын
Samahani sijafaham magadi soda ni nini ? Ina jina jengine?
@RuhysKitchen10 ай бұрын
Kama umekusudia kuweka hamira ili ziumuke hapana siweki.. kunde ukizirowanisha kwa masaa mengi angalau masaa nane basi zinaumuka tuu bajia zako.. i hope itakua nimekujibu
@TatuChristopha8 ай бұрын
Eti Dada mbona bagia zangu za kunde zinakuwa ngumu nikipika
@RuhysKitchen8 ай бұрын
Jee umefata njia hii nilioelekeza hapa ?
@brettobrien52449 ай бұрын
🌷 Promo>SM
@RuhysKitchen9 ай бұрын
Thank u
@mshanahafsa594610 ай бұрын
Chatni ni nini
@RuhysKitchen10 ай бұрын
Chatni ni appetiser ambayo imetengenezwa kwa nazi fresh ilokunwa na pili pili na ndimu ,chumvi , na maji ya kotmiri unaweza kuweka na embe mbichi kdg na usage kwenye blender weka maji kdg ili ikusaidie kwenye kusaga
@RuhysKitchen10 ай бұрын
Majani ya kotmiri sio maji nimekosea kuandika samahani
@mshanahafsa594610 ай бұрын
Nzuri sana WhatsApp number please
@RuhysKitchen10 ай бұрын
Njoo instagram page cook_with_ruhina dm then nitakupa number siwezi kuweka number hapa Public dear. Asante