Mashaallah Tabarak Allah Sheikh wetu wa ULAMAA (MKALIMANI)umetuwezesha kuelewa anachokisema huyu Dr ambae atawezesha kutafasiri Qurani in swahili.ALLAH AKUJALIE MWISHO MWEMA
@ustadhisimbula86222 ай бұрын
Twashukur sana allah amlipe kher mama yetu huyu kwa juhud kubwa allah atamlipa zaid
@shijakuligi26742 ай бұрын
Assalamu alykum ndugu za gu mashekh na mamuma mama huyu anatufaa sana kwa ajili ya ahera yetu mashalah naomba tumpe ushirikiano hapa na kisho kiyama ni muhimu sana...
@maftahmusa95132 ай бұрын
maana ya neno kwa neno sio tafsiri hiyo ni kamusi haiwezi kuleta maana halisi ya tafsiri
@maftahmusa95132 ай бұрын
Word to word translation is not a traslation is a dictionary
@IbraFareed2 ай бұрын
@@maftahmusa9513im sorry akhy Where did you get this information??
@maftahmusa95132 ай бұрын
@@IbraFareed why not is simple because translation from two differennts language should have dificiency due to nature of languages which needs anorther words for suitable meaning . so if u translate word to word that is a dictionary
@IbraFareed2 ай бұрын
@ Dictionary is a book or electronic resource that lists the words of a language (typically in alphabetical order) and gives their meaning, or gives the equivalent words in a different language, often also providing information about pronunciation, origin, and usage. While Word for word translation or literal translation is the rendering of text from one language to another one word at a time with or without conveying the sense of the original text.
@aishajuma78002 ай бұрын
Mwenyezi Mungu awafamyie wepesi katika safari yenu hii ya mama aliekuleteeni kitabu Cha Quran tukufu kwa tafsiri ALLWAH akujaze gheri Inshaa ALLAH ❤
@AndulHida-hs5py2 ай бұрын
Mash Allah tabarak Allah ahsani khaalyqin, Jazzak Allah kheri.
@UlfaRashid2 ай бұрын
Allah akujaze kher mama yetu
@samsamaail64472 ай бұрын
Mufti wetu allah akuongezee umri mrefu
@TheresiaSebastian-v2b2 ай бұрын
Jazakha llah kheir
@zandys46862 ай бұрын
Kuna mambo mengi sana ya kuzingatia ndgu zngu waislamu katika hii clip. Mufti anakosaje proper internet/ICT facilities ndan ya ofisi yake? How come kiongozi wa waislamu Tz anashindwa kua conversant na lugha ya kiingereza ? How come tutaendana na speed ya maendeleo kidunia kama hatuna kiongozi mwenye huo upeo? Mapungufu ni mengi sana kwa mwenye kuzingatia. Nini kifanyike? Nashauri kwakua Dsm apa waislam kibao wapo wafanya biashara wa vifaa vya ICT pls help this with the office ya mufti wetu atleast iwe uptodate jaman ..... ata apate smart tv with full time internet. Mufti afanye juhudi binafsi au asaidiwe kufunzwa walau basic English speaking language. Hii itabadlisha sana upeo hata wa kufkiri, tukubali tukatae kuijua tu lugha flan mf kiingereza tyar upo katika nafasi nzuri sana kuyaelewa mengi ambayo dunia yanapitia. Inshallah wallahul mustaan.
@arashe63512 ай бұрын
@@zandys4686 Rudi darasani ukajifunze somo la Adabu. Huenda iyo ikawa ni kher zaidi kwako.M/mungu akufanyie wepec 🙏
@topfreelancer51512 ай бұрын
@@zandys4686 wazo lako zuri. Ila Mimi najua utaalam wa mtu sio lazima utaalam huo uwe kwa kingereza. Yeye ni mtaalam wa dini.
@TunauzaSimu-fn2ff2 ай бұрын
AllahuBariq
@TunauzaSimu-fn2ff2 ай бұрын
Mii nasema hv. Wapo ambao nafac wanaiweza na wanajua wanalugha zaidi. Ila ni nani amepewa hiyo nafac kama hajui bac km ulivyosema awezeshwe. Mama SAMIA akipelekewa hili In shallah najua hataki atakuwaza maneno ya vjn. Anawapa watu vingapi juu ya mangapi aache hili la ALLAH
@sumbulan2 ай бұрын
Wewe una proper internet ?
@UlfaRashid2 ай бұрын
Tunaihitaji zanzibar iwekwe kwenye somo la dini na iwe na kipindi maalum ktk kufundishwa na walimu wa vyuoni pia wapewe iwe inafundishwa kila siku i in shaallah
@MwajumaWakingombe2 ай бұрын
Masha'Allah
@ayubuzomboko-l3z2 ай бұрын
Asalam alaikum Allah awalipe kher walosambaza ujumbe huu..Lakin pia namuomba Allah,kwajina hilii (ya Qahhaar)lifanye Kazi yake jina hili kwa wote waliokomement matusi,dharau,kedi,kwa huyu mama pamoja na mashekhe zetu Hawa na wengene ambao mwenyez mungu ametuwekea..Biqawlihi (Walikulli Qawmin haad)
@MohamedMeja2 ай бұрын
Asalamu alkumu jamaa hii quruan mungu ndio atahifazii hakuna mwenginea toeni shakaa
@ramadhandiwani34102 ай бұрын
Alhamdulillahi Yupo kizee lakini analingania dini na uzee wake vijana baadhi yetu hatuna muda wakulingania dini yetu Tafadhalini tusome na tulingania watu
@IsmailOmarDahir2 ай бұрын
Manshaalah but panahitajika masheikh wasomee IT kwa wakati huu
@saudaumar33542 ай бұрын
mashallah ispokuwa yeye azungumze hindi na english je vipi atajua tafsiri ya kiswahili?Inshallah
@ZainabuMkomwa2 ай бұрын
MashaAllah Allah akubariki mama kwajuhudi zako kubwa
@abutwalibishabani42992 ай бұрын
Mufti yuko vizuri watu muelewe hilo sio geni kwawasomi namufti kashawaambia shekh mohamadi ayubu kafasiri neno kwaneno nawanafunzi wake wanajuwa alhmdulilah niwatu wakae darasani wapate nakla tuache ujanja janja tusomeshwe kwanakla
@FatmahHassan-p6g2 ай бұрын
Mashallah
@abubakarnyerere52632 ай бұрын
Mi nampongeza ila ili chofanya ni ku copy na kupaste tafasri za wasomi hajatafsri muwe waelewa na wachambuzi wa mambo
@SalimAbdulla-gw5rq2 ай бұрын
Kwa vile ni jambo la kheri tutalikubali ila mashekh wakubwa na wanaokubaluka wakichunguze icho kitabu na Mufti wetu usikurupuke kwani saivi watu hujibadilisha kuonekana wema kumbe ndo wauwaji wa kubwa wa dini yetu ya uislam.
@AbdallahKifundo-t5e2 ай бұрын
Akida yake ni gani, pia tuwekewe historia ya utafutaji wake wa elimu ya dini ,asije akawa ni bohora ,shia au kadiani ikala kwetu wa TZ ila tuko macho alhamdu lillah
@MiriamAziz-z5t2 ай бұрын
ALLAH S.W. AMBARIKI HUYU MAMA MGENI WETU....AMIN.
@IssaAbdallah-rt2sh2 ай бұрын
Hiyo.kujua kwako.wewe kunasaidia nini mbele ya mnyezi mungu muache muft wetu afanye kazi ya mungu lugha nini nduguyangu wewe
@mussamtupa2 ай бұрын
Hawezi kuitafsiri Qur an. Ikiwa hiyo rugha yenyewe huijui then ahamishe kutoka ktk Lugha usio ijua kwenda ktk lugha usioijua Itakuwa utakosea sana.
@qaboosabdulrrahmaan13142 ай бұрын
وجود الترجمان عند مكتب المفتي هذا لا يدل على عدم معرفته باللغة الانكليز و انما هو مجرد عملية تقسيم للوظاءف بين موظفي المكتب ، فكيف لو تولى هو بكل شيء بنفسه ؟ واستخدامه اللغة المحلية فهذا تشريفا و تعظيما و افتخارا بلغتنا السواحيلية كما يفعل القادة الاجنبية فهم لا يتحدثون بلغة غيرهم
@JokhaSaid-e1c2 ай бұрын
Kuna jamaa Mojave huko Shimyanga alitafsiri juju amma neon kwa neno mpaka Leo ninayo copy yake
@aooshosho42552 ай бұрын
Kwani kabla yake kulikuwa hakuna walimu wa kutafusiri Quran neno kwa neno mbona siwaelewi vile....
@iponamna2 ай бұрын
Ikiwa huyu Ukhti haelewi Kiswahili, atawezaje kuitafsiri Quran kwa Kiswahili?
@SalumuKhamis-e1t2 ай бұрын
Akiwabohora au Hindu kwani amezungumzakibaya au amekashifu watanzaniatuache kuwawajuajiwakilajambo
@huriyaomar33132 ай бұрын
KWA NINI IKIWA NI MFASIRI HAZUNGUMZI LUGHA YA KIARABU LUGHA YA QURAAN ANAZUNGUMZA ENGLISH LUGHA YA KIKAFIRI? MAANA HAWA MASHEKHE WOTE SI WANAJUA KIARABU!! TUNAJIDHARAU NA TUNAJITATANISHA HATUELEWEKI!!!
@JosephBalebanga2 ай бұрын
Hakuna lugha ya kikafiri hapa duniani lugha zote ni Za Allah ameziumba maneno hayaja kaa sawa ila kiarabu fasaha ndio lugha bora zaidi kwasabu ndio lugha ya ibada, mtume na peponi shukran
@abuuuyaynah88012 ай бұрын
Hapa hakuna tafsiri yeye kasoma wapi kasomeshwa na Nani
@McT-m1m2 ай бұрын
Kwa hiyo hata kipindi cha mtume wanawake walikuwa wakikaa hivi na wanaume ila ndo kisasa kila kitu
@IbraEmmanuelGere2 ай бұрын
@@McT-m1m shukran kwa kuliona hilo
@UmmuJauzan2 ай бұрын
Kwanza tujue elimu yae na sissilayake na awesome wapi
@salumabdallahkaziiendelee96542 ай бұрын
Kazi nzur Maashaallah Apongezwe bila Shaka wasomi watakua wameikagua kazi yake. Allah amuongoze ktk kheri na amzidishie juhudi ya kuitumikia Dini
@IbraFareed2 ай бұрын
Skiliza video yote kaelezea hayo maneno mufti حفيظ الله
@WazirMwenda2 ай бұрын
jaman wasije wakawa wametumwa kutuchukua mazaifu yetu baadae waanze kuchakachua koraani jama ivi ikiachwa kama ilivyo kunaubaya gan jaman mbona me namashaka