Kutoka AL FATAH TV . Usisahau ku like, comment naku subscribe kwenye chanal Alfatah tv online kwa mawasiliano zaidi piga simu: +255 777 858 490 #AlfatahTvOnline #AlfatahCharitableAssociation #ZANZIBAR
Пікірлер: 99
@mohammedmbarouk11292 ай бұрын
Mashallah 🥰 🥰 huyu nakumbuka n8po skuli darasa la tatu anakuja skuli kutupa mawaidha.. Mashallah.. Allah ampe umri mrefu azidi kulingania ktk dini yetu ya kiislam amiin 🤲
@hilalrashidmohamed85282 ай бұрын
Ulisoma mwanakwerekwe nini?
@kombojuma28072 ай бұрын
Mashallah miaka ya 1990 alikuja kutupa dawa school 100+ Allah amlipe their pamoja na ss.
@alimau79392 ай бұрын
Huyo anafanya kazi ngumu Allah amlipe kheri za dunia na akhera
@AliSaid-zh8oi2 ай бұрын
MashaAllah nmefarijika sna kumwoona babu moyo Allah ibariq inshaAllah tangu mdogo namwoona kwenye hizi harakat alhamdulillah Allah amlipe pepo kila hatua yake
@Alimohd-w5s2 ай бұрын
Ooohhh Masha Allaah Babrooh Allah akulipe kheri na akupe huurun ghiin wengi hukuona mpumbavu lakini Allah anajua kaziyako
@suleimannassor32762 ай бұрын
Sheikh mau allah amlipe kheir mzee wa pandani
@sheikhanasser47142 ай бұрын
Ndugu Suleyma "Allah" Andika kwa herufi kubwa Shukran
@omarmohammed51572 ай бұрын
Amiiin shukran sana
@sheikhanasser47142 ай бұрын
TABARAKA ALLAH MA SHA ALLAH ALHAMDELILAH BLESSED 🤲🤲
@AlkafaaMarket2 ай бұрын
Asalam aleykum nimefurahi sana kumuona babu roho niliamza kumuona shuleni mitiulaya pemba wete pia kwenye ijitimai na Mambo yakheri mungu akuzidishie umri mrefu wenye kheri inshallah shukran sana alfatah tunawapata vyema oman shukran
@alikidungura94192 ай бұрын
Huyu mzee mungu ampe umri mrefu afanye ibada
@MohdMohd-fv1my2 ай бұрын
Mashallah Allah amlipe kheri zaidi na atupe sote mwisho mwema...Mzee toka 96namkumbuka
@jumamohamed48082 ай бұрын
Huyu mze Allah Ampe Afya njema na maisha maref na malipo makubwa hapa duniyani piy kesho akhera Nakumbuka wakati akija shuleni kwetu na mashaAllah walimu alikua wanampa nafasi hta kama nimuda wamasomo inapigwa kengele tunakuja Ana anza kutoa mawaidha
@handhalhandhal46082 ай бұрын
Mashallah, mzee wangu huyo. Miaka ile nipo Skuli ya Msingi alikuwa anakuja mara kwa mara kutulingania. Mwenyezi Mungu amlipe kheri inshallah.
@nasraalismailiy51882 ай бұрын
mashaAllah mjomba wangu allah akuzidishie ilmu😊
@BakarKhamis-cr8ug2 ай бұрын
Sheikh mau mashaallah
@AbuuMuawiyya2 ай бұрын
Ameena inshaallah kwa sote kila mwenye kujitoleya katika kheir allah amlipe kheir ya duniya na kheir ya akhera
@bishweko2 ай бұрын
Masha'allah huyu Babu bado yuhai❤❤❤❤nakumbuka nimekutana nae mwaka 2011 Pemba chake chake❤❤❤❤❤
@SalumSafkim2 ай бұрын
Mashallah mzee Allah akupe umri mrefu mzee wetu nakumbuka unakuja nyumbani kwetu pemba maeneo ya konde hadi nyumbani mwetu ndani
@salumkhamis78182 ай бұрын
ALLAH ana nguvu zote uwezo wote ni wake ,sifa zote ni zake anaemtaja ALLAH Mi nampenda sana
@masoudhamad15922 ай бұрын
Guys, huyu mzee hii kazi ameanza zamani kiasi, Allah amlipe kheri Insha-Allah
@BimHamdi2 ай бұрын
Mashallah nimejifunza kitu ALLAH azidi kumuweka amzidishie afya njema ameen
@Samsungjprime-ww9ve2 ай бұрын
Mashaallah nimefurah sana kumuona Babu yng jirani yetu kipenzi chetu Sheikhe mau au babu roho
@abkhamsalshamte4292 ай бұрын
Barrakaallah me namkumbuka tangia nasoma kwerekwe B darasa la 1 😢 Lkn mambo bado magum jamani wazee ndo awo ss vijana tufikirie zaid juu ya daawa inshaallah. ❤
Mashallah bamkwe wangu Ndugu na bamkwe wangu Al miskiri
@suleim5052 ай бұрын
BABU NENO ,, kitambo sana markazi kianga miaka karibia kumi na tano na zaidi namkumbuka: kwa hakika sioni tofauti ya umri wake miaka ile na sasa ambapo naangalia record hii😳,, madai wanatunukiwa kupewa umri mrefu na miili imara.
@Sidik-d7e2 ай бұрын
MASHALLAH SUBANALLAH ALLAH AKBAR ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@muddybreezy45952 ай бұрын
Mm nimesoma wawi pemba mwamba amefika Mashaallah
@HusseinMbuguni2 ай бұрын
Ma shallah uyoo mzee watu wanamchukulia poa lakini ni hazina kubwa
@SalumMmaka-o6w2 ай бұрын
Ashazeeka daah wakitambo Sanaa mie nilikua namuona chakechake pba
@AbdallahHemed-j7k2 ай бұрын
Inshaallah Allah akulinde na fitnah Babu yetu na akupe umrimrefu uwe alama Ana elimu ya ukumbusho kwa zanzibar na wazanzibar na watawala wakufahamu uyasemayo Inshaallah
@khatibabass31062 ай бұрын
Kwa wazanzibar au waislam?
@yahyasabil9212 ай бұрын
Shukran babu roho
@Hshajak20212 ай бұрын
Ma shaa llah Allah akulipe kheir kubwa
@bentybenty23432 ай бұрын
Masha ALLAH ❤ ❤ ❤ 🎉🎉🎉🎉🎉. LAILLAHA ILLA ALLAH.
@huseinshedrack61802 ай бұрын
Maasha Allah❤❤❤❤
@MohammedAmeir-c4v2 ай бұрын
Alla akulipe lila la heri
@bintsalimalbimany2872 ай бұрын
Mashallah namkumbuka Babu roho Akipitia maeneo mbali mbali sana sachool bado yupo Hai Mashallah maskin akil zakitoto ilikua nikimuona namkimbia,😢Et namuogopa😅Allah ampe umr mrefu wenye kher maskin bado hajafikiria kuoa, na si mchanga tena Kadarallah wamaashaa faala
@salehsuleiman12182 ай бұрын
Namkumbuka sana mzee masha allah
@Aishaalmindhir2 ай бұрын
kitambo kweli ilikua akipita tunamuita babu roho moyoni allah kifuani allah allah akuhifadh
@edyboyChamilion2 ай бұрын
Kesho apite dukani kwangu inshallah mombasa sokoni nimpe box ya Betry kwa ajili ya spika
@fahadbabuy2 ай бұрын
Apite au umfuate😂😂😂
@لبيد-ك7ل2 ай бұрын
Izo betri tia kwenye icho kichwa chako kilichokua hakina akili na kejeli zako izo
@Muba-rf1eb2 ай бұрын
Mashallah miaka ya zaman nipo primary school konde pemba alikua anakuja najina ndo Hilo Babu roho
@SalumSafkim2 ай бұрын
Hhh pia mm namkumbka anakuja kwetu upembani konde hahah😮😅
@fahadfaraj64742 ай бұрын
Fidel Castro napo akipita sana siku hizo Allah amlipe na kumhifadhi niko USA ila nlipo muona nmefurahi Wallah.
@mhrmahir37562 ай бұрын
@@fahadfaraj6474 fahad gan wee upo american
@Whitegold75552 ай бұрын
Allah awajaze kila la kheri
@WahidaAlharthi2 ай бұрын
Hongereni ❤
@ZuenaSharifu2 ай бұрын
Mashallah ❤
@tahyiatahyia7922 ай бұрын
Allah atakulipa kheir nilitamani kila safar yangu nnayoenda nikutane na yeye
@Nabiilkhamis2 ай бұрын
Una mpa chochote au unataman kumuona tu
@MohammedAmeir-c4v2 ай бұрын
Mashallahu
@IlyasaJuma-cc3ee2 ай бұрын
Rohoni Allah moyoni Allah❤❤❤❤
@yasser_yosa2552 ай бұрын
Mashallah🎉🎉🎉
@ibnusleyyum97432 ай бұрын
MashaaAllahu.....Babu roho
@ismailbakkali26802 ай бұрын
MashAllah hazina
@djafarsangara94652 ай бұрын
Masha Allah
@timetravellor53672 ай бұрын
Allah amlipe Janna , huyu mm namkumbuka Toka mdogo mpaka Sasa yeye anapigania daawa
@SaidAlawi-sv1op2 ай бұрын
Nakumbuka kipindi hiko nipo darasa la tatu skuli ya Ziwani Pemba, ni zamani sana mwaka 94 huyu mzee alikuwa anakuja skuli kutupa mawaiza. Sasa hivi nakaribia miaka 40. huyu mzee Allah amuhifadhi.
@saidsuleiman90182 ай бұрын
Asalam alaikum shekhe rashid naomba no yko nataka nionane na mzee
@AminaOthman-b4f2 ай бұрын
Mashallah
@Asha-jt8zf2 ай бұрын
Haifai
@Kakh-c9r2 ай бұрын
Kutoka Oman
@jailanmwazini98492 ай бұрын
Huyu mzee toka sisi tunasoma kwerekwe, hua navaa bango kifuan Allah amlipe her
@ally25402 ай бұрын
Babu roho endelea na allah yupo nawe mpaka mwisho wa maisha yako toa dawa alie jaaliwa atakuelewa
@SAtt-lz1wl2 ай бұрын
Mashaallah Babu vbao ❤❤❤
@ALIALI-s3k8o2 ай бұрын
Allah amlipe pepo huyu Inshalla
@omarmohammed51572 ай бұрын
Amiiin shukran sana
@UlfaRashid2 ай бұрын
Mm nakujua ulikuwa unakuja shuli ya ziwani unatoa mawaidha ila masikini mara nyingi unazushiwa kifo cjui kwa nn
@mfaumemkigoma43702 ай бұрын
Mzee anafuraha yakudumu japo hana pesa,hiiyo ndio dini yahaki
@Asha-jt8zf2 ай бұрын
We mtangazaji utakuwa ulishajua kama hajawahi kuowa ulitaka uwape watu faida tu.kwanini kuanza tu ukamuuliza suala la mahusiano ya ndoa. Hafai
@hamidakhalfan783213 күн бұрын
Babu rohooo kumbe upooo
@OmarMohamed-zf8dp2 ай бұрын
Huyu mzee za Mani alikuwa ana vibao anajiandika zeni ana chora ni miaka 35 Yuma na mkumbika
@khamcfaki67812 ай бұрын
maustadh wa kimadhehebu wanakitu Cha kujifunza sana kwa huyu ustadh,lengo lake ni daa'wa tu Hana mambo ya fitna na kusema mashekhe wengn.Allah amjaalie aondoke na Shahada pmj na cc kwa pmj
@Kakh-c9r2 ай бұрын
Nakuomba muwalike Tena huyu Mzee wetu
@mohdsaad27362 ай бұрын
❤❤❤❤😊😊😊😊
@edishaa31082 ай бұрын
Kifuani Allah...
@Najdi3582 ай бұрын
Mie namkubali hana mambo ya kurushiana vijembe mitandaoni yy na neno la Allah Basi, penda sana
@yasser_yosa2552 ай бұрын
🥰🥰🥰🥰🥰🥰
@Happy-be8hh2 ай бұрын
Huyu namjua vizuri ilikua akija msikiti wa al-khalili pemba, ilikua tunacheka sana
@BASUPA012 ай бұрын
Allah umpe heri
@shadrackkhamis74392 ай бұрын
Nnimekaa naye pujini sana
@ALIALI-s3k8o2 ай бұрын
Mimi namkumbuka niko darasa la sita nipo kwerekwe D
@hafia.0562 ай бұрын
Wazee wetu tupeni dawar eeeee
@MAPETEE2 ай бұрын
Nakuomba Shekh Suleiman umwite mkewak Malim seif Aje Atoe historia ya kipenz chetu Al marhuum Malim seif
@sharfumbarouk61682 ай бұрын
Acha siasa hapa tunazungumzia Dini huyu mzee kipenzi chetu Allah ampe khatma nje kwa juhudi yake ya dawa takriban Pemba mzima na Unguja
@nassornassir-ho3iw2 ай бұрын
Neno
@SALIMTV-vo7es2 ай бұрын
Shehia ya pandani kilmni kaskazini pemba wilya ya wete
@BASUPA012 ай бұрын
Nyumbani kabisa
@karzaihaji27652 ай бұрын
Nimemkumbuka San.amefanyakazhiyo tangia sisi tupowadogsan shule na Leo tumeshazeeka na yeye amezeeka pia.hakun shule ambayo hajapita huyu Mzee kwa upande Wa Pemba.amenikumbusha mbali San kipindi cha mapumziko skuli ya Jadida WETE watotowote walikuwa wanamkimbilia.ninachompendea zaid hana kashfa.
@jumajuma36792 ай бұрын
Anaanza tuu, kwa kujitambulisha na kabila na nasabu yake. Yeye anatokana na waarab wa oman kabila Almiskry. MUMEMUELEWA?
@salimkhamis36382 ай бұрын
Iwe tumemuelewa au hatujamuelewa, hii itasaidia nini?