BALAA! "HAKUNA MITANO TENA HAPA, HAJALI UHAI WA BINADAMU WENZAKE, IMENIUMA SANA, TENA NI MWANAMKE"

  Рет қаралды 3,447

Mwanzo TV Plus

Mwanzo TV Plus

Күн бұрын

Пікірлер: 13
@bertinkimati2674
@bertinkimati2674 Ай бұрын
Samia amejisahau mapema sana. Amesahau nguvu ya mungu na inavyotenda kazi. Vilio nchi nzima yeye hahali anachowaza ni kujiweka madarakani hata ikibidi watu wafe. Tuzidi kumuomba mungu atajibu maombi yetu.
@precioussao7065
@precioussao7065 Ай бұрын
Yanamwisjo na mwisho wake hayuko mbali ukiishi Kwa upanga utakufa kwa upanga.poleni Sana WA Tz
@PiusKimaro
@PiusKimaro Ай бұрын
Tumkatae kwakutokumpa ushiikiano wa kitu chochote.awatumie police kuendeleza ukatili wake kwa tamaa ya maharaja.cv ni zip tunamwimba?
@RamadhaniKitala-gx6wc
@RamadhaniKitala-gx6wc Ай бұрын
Pole sana dada hii tz ukiongea ukweli tu basi umekwisha upo hatarini ccm na viongozi wake cjui ni sheria na police wake mtihani wallah watu wanapotea rais haja kwa kuwa aliyepotea ni chadema chadema hana damu wa roho
@CharlesMarupa
@CharlesMarupa Ай бұрын
Kweli ndugu, kwani maandamano yanahitaji kulindwa na silaha?au yanahitaji kukodisha vifaru vya vita? kwani maandamano ni vita? maandamano ya amani hayahitaji kulindwa na silaha yoyote.Hata waandamanaji hawabebi silaha yoyote. Kwahiyo kwenye maandamano polisi wasibebe silaha yoyote.Mungu awabariki.
@yusuphhabibu1474
@yusuphhabibu1474 Ай бұрын
Maisha ya digidigi na uko nyumbani kwenu Tz kweli jameni
@fredrickmwakalinga6390
@fredrickmwakalinga6390 Ай бұрын
Ukweli huyu mama hafai hata ubalozi wa nyumba kumi mbaya zaidi wajinga wanamkubali kwa sababu wanazozijuwa
@bertinkimati2674
@bertinkimati2674 Ай бұрын
Kuna kitu mnatakiwa kuelimisha watu wakiweko hao viongozi wa serikali. Kuwa ikitokea mtu akatoa taarifa zako na ikapelekea ukapata madhara yoyote aliyetoa taarifa zako na yeye anawajibika kushiriki kosa Hilo na atashtakiwa yeye kama yeye au kuunganishwa kwenye uhalifu husika. Hata makampuni ya simu kisheria hawapaswi kuwapa polisi au kuruhusu mtu au kikosi kuingilia maongezi ya simu za watu bila kibali cha mahakama au kwa wale ambao tayari mahakama imewakita na hatia ya ugaidi. Mfano hapa marekani simu zinaweza kuingilia lakini kwa wale ambao wamewekaa kwenye list ya kihalifu au kwa zile zinazotoka na kwenda nchi zilizopo kwenye list ya kigaidi. Ikitokea wakaingia faragha yako na unajua ukiwashtaki wanalipwa fidia.
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 Ай бұрын
Sasa wewe ni muuza Keki halafu unaichokoza Serikali jasho litakutoka tuliza mzuka mama
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 Ай бұрын
Hivi unaache kushughulika na watoto wako na uko nyumba ya kupanga unauchezea Serikali pole mjukuu wangu
@HassanKibwana-h3w
@HassanKibwana-h3w Ай бұрын
Atapitishwa tu chezea ccm wewe
@precioussao7065
@precioussao7065 Ай бұрын
Yanamwisjo na mwisho wake hayuko mbali ukiishi Kwa upanga utakufa kwa upanga.poleni Sana WA Tz
'Matokeo ya Uchunguzi kuhusu kupigwa kwangu risasi bado mpaka leo'
51:24
BBC News Swahili
Рет қаралды 115 М.
🔴TAARIFA YA HABARI YA SAA MBILI USIKU, 20 NOVEMBA, 2024
ITV Tanzania
Рет қаралды 2,2 М.
бабл ти гель для душа // Eva mash
01:00
EVA mash
Рет қаралды 9 МЛН
Happy birthday to you by Secret Vlog
00:12
Secret Vlog
Рет қаралды 6 МЛН
This Game Is Wild...
00:19
MrBeast
Рет қаралды 114 МЛН
MAKONDA HACHOMOKI | TUHUMA ZA SHAMBULIO DHIDI YA LISSU
5:28
Wasafi Media
Рет қаралды 49 М.
бабл ти гель для душа // Eva mash
01:00
EVA mash
Рет қаралды 9 МЛН