BALAA: HEZBOLLAH waiteketeza IRON DOME ya ISRAEL, vita kamili vyanukia?

  Рет қаралды 31,361

Simulizi Na Sauti

Simulizi Na Sauti

Ай бұрын

Tembelea sns.co.tz/ kwa taarifa zaidi

Пікірлер: 242
@thelonewolf4429
@thelonewolf4429 Ай бұрын
Mungu mwenye haki muumba wa mbingu na inch endelea kumupa guvu Putin wa urusi na wote wenye kupenda haki duniani .
@paschalfausitine7108
@paschalfausitine7108 Ай бұрын
Kabisa ndungu yangu
@paschalfausitine7108
@paschalfausitine7108 Ай бұрын
Kabisa ndungu yangu
@KilimbikeHaji-iy2fm
@KilimbikeHaji-iy2fm Ай бұрын
Mwenyezi mungu azidi kuwangamiza waiziraili naviongozi waoo popote walipo duniani amiiiiiiiiin
@martinisadru9899
@martinisadru9899 Ай бұрын
Kwanza hilo jina Israel! Unamjua alie wapa? Huyo mungu wako unaemwomba ni mungu wa mabua, maana, MUNGU wa kila kitu ndio huyo MUNGU wa Israel.
@abuuaisha6110
@abuuaisha6110 Ай бұрын
​@@martinisadru9899Mungu ni wa watu wote wala sio wa Israel peke yake wacha kulishwa pumba kanisani
@martinisadru9899
@martinisadru9899 Ай бұрын
@@abuuaisha6110 kama MUNGU anawapenda watu wote! Kwanini nyie waislamu njia yenu ni motoni? Mungu hahitaji kusimama kwa watu wote, nini maana ya jehanamu na pepo. Israel ndio taifa la mfano kwa mataifa yote, huwezi kuwafananisha Israel na sisi wengine, hiyo unajidanganya, soma vizuri historia ya hao Israel. Usipo ona ajabu, basi wewe upo kinyume na MUNGU kabisa. anzia historia yao kuanzia misri mbaka sasa walipo, usidanganywe kwenye vijiwe va misikitini kwenu, kua Israel thamani yao ni kama watu wengine. Ni Israel pekee, ndio walishushiwa chakula kilichoandaliwa peponi, na ni chakula bora kuliko cha hapa duniani, hata ADAMU hajawahi kula chakula kutoka peponi,,, alikula chakula kinachokuzwa na udongo, na hata sisi leo. Israel walianza kuuwawa tangu misri. Mbaka leo hawajaisha, na kabila lao ni dogo sana duniani, na vita yao humalizwa na MUNGU.
@ShabanKarim-tv3vn
@ShabanKarim-tv3vn Ай бұрын
Ninaanza kuamini ushindi wa urusi
@nassoromfumya7319
@nassoromfumya7319 Ай бұрын
Wateketee wote hao makafiri Laana za Allah ziwe juu yaooo washenzi Sanaa hao
@evelynemugeni2369
@evelynemugeni2369 Ай бұрын
Watateketea.damu za vitoto vidogo na wamama haziezi enda bure
@EdwardSamson-uf1ee
@EdwardSamson-uf1ee Ай бұрын
@@evelynemugeni2369 kwa hiyo huko mnako taka wateketee hawatakufa watoto na wakina mama ee..? msichanganye dini na siasa. Kila uhai wa mtu una thamani
@mwawekomiuda9779
@mwawekomiuda9779 Ай бұрын
@@EdwardSamson-uf1ee neno kafiri lipo ndani ya bibilia na lina maana moja kasome utafunguka ndugu yangu.
@Mgema001
@Mgema001 Ай бұрын
Akili za zako zilikirudi utamuomba Allah astopishe vita dunian ila siyo kushangilia upumbavu wa akili ulionayo
@godfreyfrugence4176
@godfreyfrugence4176 Ай бұрын
Sawa lakin hata mataifa yote yaishambulie Israel hawatoiweza maana tayari Mungu alishaibariki kwahy ikipigana na Israel isitegemee kushinda.
@AliNassor-qt6fm
@AliNassor-qt6fm Ай бұрын
Time will tell
@husseinhemedi9314
@husseinhemedi9314 Ай бұрын
Russia 🇷🇺🇹🇿🇷🇺 ndio mkubw wa mataifa soon
@mwawekomiuda9779
@mwawekomiuda9779 Ай бұрын
Hv unajua tz iki upande gani? Naona hujui .
@sultanbakary4292
@sultanbakary4292 Ай бұрын
​@@mwawekomiuda9779Tanzania tupo neutral
@evelynemugeni2369
@evelynemugeni2369 Ай бұрын
For sure 👌
@atutweve4160
@atutweve4160 Ай бұрын
@@mwawekomiuda9779TUPO NEAUTRAL HAYO MANYANG‘ AU HAYAJUI KITU HATA HISTORIA HAYAJUI
@ezekiambise2595
@ezekiambise2595 Ай бұрын
God bless russia 🇷🇺
@SabraNassor-hv1xi
@SabraNassor-hv1xi Ай бұрын
free Palestinians
@imanuelnguya9277
@imanuelnguya9277 Ай бұрын
Asante sana mchambuzi wetu
@hemedjackson2261
@hemedjackson2261 Ай бұрын
Dj sma alisem hii iron dome nyepesi makombora ya Iran yalizuiliw na wamerekan, waengerezq na washirika wengine aly masubi akabisha akasem iron dome ya israel iko kiwango bora suala la mda tu
@ce-08
@ce-08 Ай бұрын
😂😂 iron dome ipo vizuri lakini Haina maana haitoharibika hata vifaru vya marekani ni Bora lakin vinauwezo wa kuharibiwa hata urusi anavifaa strong lakin navyo vinauwezo wa kuharibiwa vile vile issues hapo ni target kwamba umekiwah kabla hakija sense hatar
@josephwilliam5813
@josephwilliam5813 Ай бұрын
Ukuelewa,,,s 400 ZAIDI ya tatu zimesha aribiwa na ukraine na video zipo,,,hii mifumo yoote DUNIANI Ina function kupunguza TATIZO na sio 100% jaribu kuelewa Israel wanamfumo Bora kwani IMEKUA site na umekua na mafanikio ZAIDI ya 90%
@EdwardSamson-uf1ee
@EdwardSamson-uf1ee Ай бұрын
@@ce-08 wewe una akili hao wengine ni mihemko tu
@somoeomar4861
@somoeomar4861 Ай бұрын
Sasa ni waichakazee Israel irudi jangwaa,,,eeehh mola wangu itikia dua zetuu yarabii
@salymsuleiman2035
@salymsuleiman2035 Ай бұрын
Allahumma amiiin
@ce-08
@ce-08 Ай бұрын
Mungu apangiwi
@wilondjarama1427
@wilondjarama1427 Ай бұрын
Unaomba vita unajuwa vita ww waslamu sijui mna matatizo gani nyie
@charlesboniphace2249
@charlesboniphace2249 Ай бұрын
​@@wilondjarama1427 ogopa sana ndg Ako akiinga kweny hii dini akili zao zinahama
@JustinePatrinius
@JustinePatrinius Ай бұрын
Yani unaomba watu wauliwe umekuwaje wew.... Acha kumuingiz Mungu kwenye vitu vya ajabu
@user-xc5mk4ro2z
@user-xc5mk4ro2z Ай бұрын
Uwa wote mayahudi akiwemo uyo paka nyau laanatullwah
@charlesboniphace2249
@charlesboniphace2249 Ай бұрын
Tz wajinga ni wengi sana
@SADICKITHOMAS
@SADICKITHOMAS Ай бұрын
Tz hatutaki ushoga usagaji maadili ndo zetu Putin strong 💪
@evelynemugeni2369
@evelynemugeni2369 Ай бұрын
@@charlesboniphace2249the real jews ni Ethiopians na Eritrea
@FrenkfrenkFrenkfrenk-sf4hl
@FrenkfrenkFrenkfrenk-sf4hl Ай бұрын
Sio kosa lako mtume wengu muamadi ndo kakualibu akili musa myaudi yakobo myaudi yesu myaudi mama yake yesu myaud wale makafiri wa kialabu awata weza ata
@abuuaisha6110
@abuuaisha6110 Ай бұрын
​@@FrenkfrenkFrenkfrenk-sf4hlMuhammad ametengeza akili zetu akatuongoza katika njia ya haki lakini wewe unepotoshwa na Sheitan, Allah akuongoze katika njia ya sawa.
@HajiKlein-so1rk
@HajiKlein-so1rk Ай бұрын
Baba Putin 🇷🇺👏
@mapundawilliam370
@mapundawilliam370 Ай бұрын
Wanajitahidi kuungana lakini bado Israel ipo imara mno.keep it up Israel piga hao magaidi Waslamu maana niwengi mno. Wata tawanyika kwanjia 7. God bless Israel
@user-zn4jl5wy3d
@user-zn4jl5wy3d Ай бұрын
mbona unaweweseka si mlisema Israel itaimaliza vita kwa wiki moja? au unadhani hamas wakipewa silaha kubwa hao bwana zako huoni wataikimbia hata tel aviv?
@azizayassin3623
@azizayassin3623 Ай бұрын
Ni mambo ya muda tu kwende kazi hezoallah🎉
@raydanfrenk
@raydanfrenk Ай бұрын
Wakisha watandika ndy mnaanza kutia huruma
@fatumamwalimu5765
@fatumamwalimu5765 Ай бұрын
​@@raydanfrenkkwani wewe ndio uwa unawatandika? Hao Israel Acha watumike kama tissue mwisho wao unakuja, hakuna siku gaza wametia huruma usijidanganye
@8pistons194
@8pistons194 Ай бұрын
​@@fatumamwalimu5765hakuna mwisho wa israel amin kwamba
@bhaijanali5092
@bhaijanali5092 Ай бұрын
​@@raydanfrenkkwan nani alikuomba msaada?
@mapundawilliam370
@mapundawilliam370 Ай бұрын
Mwenzao wa Iran kakiona chamtema kuni,kwavile niwajinga basi hawakomi.Keep it up Israel piga hao magaidi
@user-zn4jl5wy3d
@user-zn4jl5wy3d Ай бұрын
huu ndio ukomo wako wa kufikiri? au unadhani hao wazayuni ndio wayahudi unaowaabudu?😅
@saidymbagalla6622
@saidymbagalla6622 Ай бұрын
Hilitaifa la kishetani naliona soon likifa kifo cha mende
@atutweve4160
@atutweve4160 Ай бұрын
MNA MATUSI SANA WAISLAM MBONA WEZENU SISI WASTAARABU? Ipo SIKU YENU MUNGU ATAWAJIBU 🙏🏿
@FrankDavid-en6on
@FrankDavid-en6on Ай бұрын
​@@atutweve4160Hii sio vita ya kidini wewe soma history vizur upate ukweli usiwe unadanganywa
@atutweve4160
@atutweve4160 Ай бұрын
@@FrankDavid-en6on nisome mara ngapi? Vita yeyote huaza matatizo ya kiuchumi, udini usiasa nk lazima vitu vyote viwepo wawapi wewe? Huoni WAISLAM ndo wamejaa hapa kuita watu makafiri na mashoga!!!!????
@MohamedAhmada-ie7ke
@MohamedAhmada-ie7ke Ай бұрын
Moto uliwaka mkubwa sana Israel tna mkubwa
@user-lv4cx1sc5d
@user-lv4cx1sc5d Ай бұрын
Kazi mzuri sanaa iyo iron dome ni ya mchongo kazi yao ni kuwaogopesha watu Ili tuamini Wana nguvu
@uwimana6533
@uwimana6533 Ай бұрын
Ongea unachokijua vita nikupigana siokumpiga mwenzio 😂😂
@user-lv4cx1sc5d
@user-lv4cx1sc5d Ай бұрын
Ongea wew
@uwimana6533
@uwimana6533 Ай бұрын
@@user-lv4cx1sc5d siumejifanya wewe fundi kujua
@Bittertruth-u4n
@Bittertruth-u4n Ай бұрын
Waasi wa Israel hawawezi kushinda vita
@emanuelsinyinza
@emanuelsinyinza Ай бұрын
Hafi hata moja.
@johannesssamsonambogo4125
@johannesssamsonambogo4125 Ай бұрын
Tunasubiri Free Lebanon
@radjabusuleiman6486
@radjabusuleiman6486 Ай бұрын
In Hollywood
@abdullahmanalex2306
@abdullahmanalex2306 Ай бұрын
Jidanganye
@AliNassor-qt6fm
@AliNassor-qt6fm Ай бұрын
Time will tell babaaa😂😂😂
@Siasia209
@Siasia209 Ай бұрын
Kajambe mbele kafir wew
@omarybakunda2554
@omarybakunda2554 Ай бұрын
Putini fanya kazi yako baba
@user-qq6mv6vh3e
@user-qq6mv6vh3e Ай бұрын
😂😂😂😂
@jimmykurya8554
@jimmykurya8554 Ай бұрын
Wasubiri majibu Watayapenda wenyewe
@MuniraShughuli-kc7vj
@MuniraShughuli-kc7vj Ай бұрын
Ovyoooo 😏
@user-ye4iy8jy2z
@user-ye4iy8jy2z Ай бұрын
Majibu kutoka wap na wao wasubiri kipiga soon kitawakuta mrusi kashaingilia kati
@OmariRajabu-cq3cg
@OmariRajabu-cq3cg Ай бұрын
Naomba.kuungwa.na.grup
@user-tq4lx9si1n
@user-tq4lx9si1n Ай бұрын
Wanacho ktafta ezbola watakipata somda mrefu mdasomwing tutahanza kumtaja Allah
@suleimanabdallah9823
@suleimanabdallah9823 Ай бұрын
Hizbullah sio hamasi kaka mwaka 2006 Israil alipigwa na hao jamaa
@user-tq4lx9si1n
@user-tq4lx9si1n Ай бұрын
@@suleimanabdallah9823 nani kakudanganya
@babiddi8620
@babiddi8620 Ай бұрын
Muulizen mmarekani ao jamaa ninani
@msarama5406
@msarama5406 Ай бұрын
Mwaka 2006 alipigwa na kufurushwa maeneo yote walitoikalia kwa mabavu kwa miaka 22 mpaka sasa hizbullah wapo mpakani tangu mwaka huo
@user-tq4lx9si1n
@user-tq4lx9si1n Ай бұрын
@@suleimanabdallah9823 sasa wanashndwa nn kufanya ivyoivyo kule ukingo wamagaribi
@user-pn4gt7wf8y
@user-pn4gt7wf8y Ай бұрын
Baadaye muanze kuliakulia tuslaumiane maana mtaanza kulaani
@hajjiomary2383
@hajjiomary2383 Ай бұрын
Safi sana mda utasema watu wanaendelea kujipanga
@user-jh9yv1zp1l
@user-jh9yv1zp1l Ай бұрын
Choko wew wakianz kupigw uanze kumtj Allah wenu hap mpend vita
@fatumamwalimu5765
@fatumamwalimu5765 Ай бұрын
​@@user-jh9yv1zp1l kwani Allah ndio kero lako? Jifunze kuheshimu iman za watu,kilicho kufanya umtaje kwa kwa kashfa ni nini?
@fatumamwalimu5765
@fatumamwalimu5765 Ай бұрын
​@@user-jh9yv1zp1l sasa na wewe si umtaje shetani wenu!!!! Au umekatazwa? Acha chuki na utoe maoni ya maana chuki zitakuuwa ,pumzi zisikudanganye
@user-jh9yv1zp1l
@user-jh9yv1zp1l Ай бұрын
@@fatumamwalimu5765 mmzid bhn ,sahv wana wapig israel mnashadadia upumbv ,kam ilivyokuw kwa hams ,ngj waanz kupigw ss mnabadilish manen mn mtaj allah ,sijui allah nd Nan anaspot vita
@wadantz123
@wadantz123 Ай бұрын
​@@user-jh9yv1zp1lChoko mama ako mbwa mjinga ww
@msafirimatingo6065
@msafirimatingo6065 Ай бұрын
Naona watu wanafurahia Israel kupigwa ila wakipigwa wao kila siku wanalia utasikia umoj wa mataifa hauwaon israel wanaua watu
@charlesboniphace2249
@charlesboniphace2249 Ай бұрын
😂😂😂😂
@EdwardSamson-uf1ee
@EdwardSamson-uf1ee Ай бұрын
Kwa Masikitiko makubwa naona watu wa dini fulani wana shabikia sana upande fulani uteketezwe na uharibiwe ila upande wao ukifanyiwa hivyo wanahisi ni kuonewa, na wanataka kuiaminisha dunia nzima hivyo. kuna shida sana kwenye hii dini inayo furahia vifo vya watu wengine kwa sababu tu sio watu wenye dini sawa na wao🥲🥲
@user-ye4iy8jy2z
@user-ye4iy8jy2z Ай бұрын
Ndio ni kwasababu hatutaki ushoga kama nyie viongoz wenu wanavyobariki ndoa za jinsia moja America na izrael wote wanaruhusu ushoga au na wewe upo ndan yao
@msarama5406
@msarama5406 Ай бұрын
Na wa dini fulani nao wanasikitika na kutamani hizbullah wapigwe
@EdwardSamson-uf1ee
@EdwardSamson-uf1ee Ай бұрын
@@msarama5406 Hezbollah ni nani..!?
@EdwardSamson-uf1ee
@EdwardSamson-uf1ee Ай бұрын
@@msarama5406 Soma Comment alaf utaelewa
@sultanbakary4292
@sultanbakary4292 Ай бұрын
​@@EdwardSamson-uf1eehisbollah ni kundi la watu wanaopigania Hali hawataki kutawaliwa na mashoga Yan mwanaum anapigwa pumbu na mwanaum mwenzio unakubali vp akutawale
@johannesssamsonambogo4125
@johannesssamsonambogo4125 Ай бұрын
AMNA VITA KUBWA APO MTANGAZAJI, KWANZA IYO VITA ITAPIGANIWA LEBANON, APO MATAIFA YA KIISLAM NA UN, WAANDAE CHAKULA KWAAJILI YA WAKIMBIZI WA LEBANON
@salumabdallah2990
@salumabdallah2990 Ай бұрын
Hakuna siku israil imeshinda kwa hizbollah wale sio hamas ndugu😂
@johannesssamsonambogo4125
@johannesssamsonambogo4125 Ай бұрын
@@salumabdallah2990 Sawa
@abdullahmanalex2306
@abdullahmanalex2306 Ай бұрын
Hao sio HAMAS jichanganye
@johannesssamsonambogo4125
@johannesssamsonambogo4125 Ай бұрын
@@abdullahmanalex2306 Sawa ngoja nijidanganye mimi kubishana siwezi, Lakini kumbuka ata Hamas mlisema ivo ivo, Sasaivi mnasema free Palestine
@sultanbakary4292
@sultanbakary4292 Ай бұрын
Kwahyo hiyo iron dom umeshambuliwa ikiwa Lebanon au
@israel1331
@israel1331 Ай бұрын
Siyo kweli, walichofanikiwa kukilipua ni decoy iron dome, silaha inayotumika kwa maonesho tu
@AjiaMohamed-rt5pb
@AjiaMohamed-rt5pb Ай бұрын
Unajitekenya😅😅
@user-ye4iy8jy2z
@user-ye4iy8jy2z Ай бұрын
Jina lako tu linaonesha unataman ungeenda wewe huko vitani ila soon mtaomba poo mashoga nyie
@emmadora7848
@emmadora7848 Ай бұрын
Acha watu wapate furaha ,ironedome halisi Iko Tel Aviv ,Sasa moto ulukiwaka huko mpakani ,ila Kwa sababu wanapata furaha hata Kwa uongo acha wapate furaha
@jumaali4893
@jumaali4893 Ай бұрын
UNAUMIA UKIWA WAPI😅😅😅​@@emmadora7848
@user-zn4jl5wy3d
@user-zn4jl5wy3d Ай бұрын
endeleeni na ndoto
@kephatourssafaris
@kephatourssafaris Ай бұрын
Uraaaaaaaaaaa 🇹🇿👍
@user-ki7hd3lg2q
@user-ki7hd3lg2q Ай бұрын
Dj asma alisema hii iron dome haijawahi kukutana na siraha zenye nguvu kama za urusi watu wakabisha . Iron dome inakutana na makombora dhaifu ya kutengeneza na sukari
@user-ki7hd3lg2q
@user-ki7hd3lg2q Ай бұрын
Sorry ni dj sma
@user-eg1ts2fu9z
@user-eg1ts2fu9z Ай бұрын
sema hiyo caption
@pesaspy_tv
@pesaspy_tv Ай бұрын
Kiko wapi 😂😂😂 si walisema hiyo ayani domo yao haipigiki
@CharafimalisalimoAli-qw3hk
@CharafimalisalimoAli-qw3hk Ай бұрын
WACHA INYESHE TUONE PANAPO VUJA. MANA HAWA WASHENZI WA MARECANI NA MWANAWE AU MUMEWE MU IZRAELI WAMEJIPA UJURU WA KUMUUWA YEYOTE BILA KUSHTAKIWA DUNIAHII.
@EdwardSamson-uf1ee
@EdwardSamson-uf1ee Ай бұрын
Unajua serikali ya iran na saudi arabia zinaua watu wangapi kwa mwaka..?
@georgekimasaofficial1629
@georgekimasaofficial1629 Ай бұрын
Kama wameshambulia huu mfumo na umekufa basi waingie ndani wakaipige Israel mana ake si hakuna tena ulinzi ndani kwa Waisrael.😂😂😂😂
@user-sr8tc8ke6q
@user-sr8tc8ke6q Ай бұрын
Kimeshindwa kuzuia
@user-rc2ye4ri6t
@user-rc2ye4ri6t Ай бұрын
Waisrel wakiuliwa hwatangazi
@mudriqahmed3666
@mudriqahmed3666 Ай бұрын
Akipigana na Lebanon atasababisha kuzidiwa kwa vita mana hata weza kumudu harama ya vita sehem tatu kwa wakati mmoja
@michaelkavavila7371
@michaelkavavila7371 Ай бұрын
Mwaka 67...waliungana ivivi....lakini nchizingine ziliishia kufunga mkataba wa amani na israel..na mrusi hata sahau na yeye ndo alisimamia huo mkataba ili kuokoa wanajeshi wake. Sasa yetu macho
@immaomarwa5122
@immaomarwa5122 Ай бұрын
Usiamin unachosimuliwa😊
@zanzibarsmzenji
@zanzibarsmzenji Ай бұрын
Israel,hawezi kusimama peke yake ,nguvu nyingi zinatokea Kwa msaada wa magharibi ,akisimama peke yake hata hamas haiwezi
@MaulidiMrisho-uj1tb
@MaulidiMrisho-uj1tb Ай бұрын
hii yote ni mipango yao kutaka kuwasha moto sehem nyingine hawana lolote wanatengeneza mazingira ya kuuwa watu sehem nyingne
@emmadora7848
@emmadora7848 Ай бұрын
Waandishi muwe mnafatilia mambo kiundani basi ,acheni kutuma vitu visivyo na ukweli ili kupata watazamaji wengi na kuwapa watu furaha isiyo ya kweli ,
@sultanbakary4292
@sultanbakary4292 Ай бұрын
Ukweli ni upo haya tuambie muisrael
@emmanuelsunday8325
@emmanuelsunday8325 Ай бұрын
Hezbora hawezi kupoteza mda wake . Yeye anamtafu mjinga mwenzake iran
@mudriqahmed3666
@mudriqahmed3666 Ай бұрын
Hataweza kupigana na lebanon
@AbelsonGidion-vo1uj
@AbelsonGidion-vo1uj Ай бұрын
Wanajitekenyaa too Israel ni shuhuli nyingine
@hubman6780
@hubman6780 Ай бұрын
Ukisema Israel maana yake ni kizazi Cha Yakobo TU je sisi wengine sio wa Mungu Eti I stand with Israel unajua maana yake?
@ce-08
@ce-08 Ай бұрын
Rud kusoma tena dini
@lukasielibariki3181
@lukasielibariki3181 Ай бұрын
Vita hawapi bila mipango
@HappyAlbatross-us3bg
@HappyAlbatross-us3bg Ай бұрын
God bless Russia coz is the only county which love human rights
@josepheriah5977
@josepheriah5977 Ай бұрын
Wmelipua Karb na iron dom arzin
@GabrielSky64
@GabrielSky64 Ай бұрын
Tukumbuke Israel ina nyukria na netanyau kwa mwenendo wake hana akiri nzuri. Napata shaka sana nawasiwasi dunia inapo elekea
@sultanbakary4292
@sultanbakary4292 Ай бұрын
Russia kasema atasambaza silaha angamiz Kwa mataifa yote ambayo yapo against na marekan kwahyo hisbollah watapata silaha hatar zaid ikiwepo nuclear mana lengo ni kukumoana kila mtu apoteze pia Iran inasemekana analo bomu la nuclear na Hawa hisbollah maboss zao ni iran
@AFRICA_D669
@AFRICA_D669 Ай бұрын
Ukwel
@mudriqahmed3666
@mudriqahmed3666 Ай бұрын
Mana kuna makundi zaidi ya ma4 yanaitamani Israel akijipindua kupigana na Lebanon ataiona dunia chungu tutasahau habari ya pelestina tutaanza kuiombea Israel
@user-oh8ig2cy9q
@user-oh8ig2cy9q Ай бұрын
Unautindio wa ubongo
@charlesboniphace2249
@charlesboniphace2249 Ай бұрын
Ngoja tusubiri majibu,uzr israel inauwaga viongozi wakubwa 😂😂 Wakupigwa wanaanza kulalamika israel inauwa watu wasio na hatia😂😂
@FranckDaniel-cc5rg
@FranckDaniel-cc5rg Ай бұрын
God bless russia
@bimumaulid1171
@bimumaulid1171 Ай бұрын
MSOMAJI NANI???
@MUSTAPHAMCHUCHA-sp3tq
@MUSTAPHAMCHUCHA-sp3tq Ай бұрын
hakuna cha irone dome hapanguvuanayo urus achasiasa wewe
@meckmussa1840
@meckmussa1840 Ай бұрын
Israel taifa kubwa
@SAMA-jw4fr
@SAMA-jw4fr Ай бұрын
Ura Uraaaaaaaa aluta continua Lebanon finish them
@emmanuelminja3128
@emmanuelminja3128 Ай бұрын
Leo ally masubi kalewe nn mbona anaongea kama yuko bwax
@RajabuHussein-to7jz
@RajabuHussein-to7jz Ай бұрын
Putin ndie mwamba siyo huyo shoga retanyahu
@atutweve4160
@atutweve4160 Ай бұрын
POLE PALIUMA ALIVOKUTANUA MIGUU??😫😫NAWEZA KUHISI DUH POLE SANA SHOGAANGU
@josepheriah5977
@josepheriah5977 Ай бұрын
Sas gaza itakua lebanon
@user-qq6mv6vh3e
@user-qq6mv6vh3e Ай бұрын
Macho yetu ngoja tusubiri
@Niika870
@Niika870 Ай бұрын
Isarel itawamaliza subir munaichokonoa wenyewe,mkidundwa mnaanza kulia
@paschaljuma3312
@paschaljuma3312 Ай бұрын
Labda akaue watu sio wanajeshi maan hana uwezo wa kupigana na wanajeshi
@paschaljuma3312
@paschaljuma3312 Ай бұрын
Wakienda kuua raia wanaweza kufanikiwa ila kumbuka 2006 israel alichakazwa na hawa hawa jamaa
@abdullahmanalex2306
@abdullahmanalex2306 Ай бұрын
​@@paschaljuma3312hajui huyo shoga anabweka tu anadhani Hezbollah ni Hamas
@user-ts9lp4rm9j
@user-ts9lp4rm9j Ай бұрын
Wasije wakapiga kelele tu
@JeremiahMwalukosya-eh5nf
@JeremiahMwalukosya-eh5nf Ай бұрын
Warabu akili nindogo sana wanataka vita harafu uwezo kupigana hawana sio mda watanza kulia Lia tena nakusema islael niwanyama hawa watu niwatu niwavita sana islael
@amossamwel8795
@amossamwel8795 Ай бұрын
Mda siyo mrefu mtaanza kusikia kilio kule Lebanoni na kuongea kuomba msaada subirini muone
@sultanbakary4292
@sultanbakary4292 Ай бұрын
Hao washawah kupigana Toka 2006 na hakupatikana mshindi hao jamaa wapo wengi na kila cku wanaongezeka na wanasilaha za kutosha
@JajiZakayo-fw9mk
@JajiZakayo-fw9mk Ай бұрын
Wewe liongo kila siku unawadanya waislamu na kuwavimbisha vichwa na hali hawana nguvu yeyote juu ya Israel
@somoeomar4861
@somoeomar4861 Ай бұрын
Wenawee usiletee udini wakati Israel yenyewe hahawatambui na ukristo wenu
@Awatee
@Awatee Ай бұрын
Wee mjinga kweli ao wazayun wako wanaweza vita vipi zaid ya kuua watoto wanawake wazee na kubomoa majumba nenda BbC uko hujaitwa huku
@fatumamwalimu5765
@fatumamwalimu5765 Ай бұрын
😄🤣😂😆😄🤣😂😆, kwani ukweli ndio kuvimbisgwa waislam vichwa? Udini unakujaje hapa, amkeni basi maana Israel waislam ni wengi kuliko wale wanaojiita wakiristo, wakiristo Israel ni 1.8%, waislam ni 18% na hao waliobaki ni Judaism, wakiona wanaojiita wakiristo wanawatemea mate
@hajjseif5737
@hajjseif5737 Ай бұрын
kwahio ww unawasapoti mayahudi?kwa lipi?kuua raia?
@lukasielibariki3181
@lukasielibariki3181 Ай бұрын
Makombola elfu hamsi irani ilirusha laki moja
@abdullahmanalex2306
@abdullahmanalex2306 Ай бұрын
Tupe ushahidi kama Iran ililusha Kombora 100,000
@user-bl3vk3vt2o
@user-bl3vk3vt2o Ай бұрын
Kipigo kikishuka mtaanza kusema israel 🇮🇱 taifa la magaidi taifa la wahuni mkiachiwa mnajitunisha okey sawa sawa muda ufike muanze kulia tu
@aishaarusha894
@aishaarusha894 Ай бұрын
Ndo unacho kijua ichi mvuja mavi
@user-bl3vk3vt2o
@user-bl3vk3vt2o Ай бұрын
@@aishaarusha894 fuatilia fact acha kelele na kuongea tu
@user-bl3vk3vt2o
@user-bl3vk3vt2o Ай бұрын
@@aishaarusha894 kwaiyo kwa akili yako ww heziburah wataweza kuishinda israel 🇮🇱 hivi umefikilia au ushabiki unakusumbua tu ww
@aishaarusha894
@aishaarusha894 Ай бұрын
@@user-bl3vk3vt2o wana weza vizuri kabisa ngoja uone
@ameirzapy1318
@ameirzapy1318 Ай бұрын
Waisrael weusi 😂 wakali kweli kweli
@ce-08
@ce-08 Ай бұрын
Hapo wakuonewa huruma ni Hezbollah tu maana yy n kikund tu wao ndyo wataumia sana vita itakuwa Lebanon na sio Israel hasara ya kwanza kuharibiwa kwa miundo mbinu ya nchi japo na wao watampga kwa sehemu flan sababu watakuwa wanapgana
@pesaspy_tv
@pesaspy_tv Ай бұрын
😂😂😂😂😂😂 waislaer wa buza
@mussammanga7791
@mussammanga7791 Ай бұрын
@@ce-08 Wameshindwa na Hamas kikundi kidogo, watakuja waweza Hezbullah?
@evelynemugeni2369
@evelynemugeni2369 Ай бұрын
@@ce-08vita vya Hamas vimewashinda na
@ce-08
@ce-08 Ай бұрын
@@mussammanga7791 dj sma uwa anasema twende kwenye fact sasa kama kweli Hamas amemuweza Israel kwanini hajamrudisha nyuma Israel mpaka sasa vita Bado inaendelea labda unambie alichofanikiwa Hamas nikustahimili vita mda mrefu tofaut na matarajio ya mataifa ya magharibi kuwa wangewezwa kuchakazwa Hamas siku chache lakini usiniambie et Israel hamuwez Hamas
@barackbrysonramsey
@barackbrysonramsey Ай бұрын
Wakianza kuchapwa usianze propaganda
@sultanbakary4292
@sultanbakary4292 Ай бұрын
Wafe tu mbwa hao Israel
@raydanfrenk
@raydanfrenk Ай бұрын
Wakisha watandika ndy mnaanza kutia huruma
@sultanbakary4292
@sultanbakary4292 Ай бұрын
@@raydanfrenk hao sio hamas hao wapo vizur walishawah kupigana na Israel mwaka 2006 na hakupatikana mshindi kwahyo hii ni mara ya pili
@BenjaminMetanyau
@BenjaminMetanyau Ай бұрын
​@@sultanbakary4292usisahau na nch za kiarabu ziliungano zote zikapigika na izilaer 🤣🤣🤣 hivyo msijipe moto sana 2006 wari pona2 laund hii watakaangwa 🤔🤔🤔natusisikie free ezbron 🤣🤣 mnaanza kusifia sana mnamaliza Kwa kulala Mika sana
@phestostanley4019
@phestostanley4019 Ай бұрын
I stand with Israel
@evelynemugeni2369
@evelynemugeni2369 Ай бұрын
I stand with Africa.
@josephmkinga9509
@josephmkinga9509 Ай бұрын
wasije wakaungana2 na souz, span ili kuishitak israel kama hamas walivo mwanakulitafuta mlizien sasa wapalestna
@patricknyiti5303
@patricknyiti5303 Ай бұрын
Acha kuchekesha watu wewe
@jumaali9310
@jumaali9310 Ай бұрын
Pasta is not professional, utafanyaje interview ukiwa na Walking stick, at the sametime the walking stick all over the place. Sometimes learn to behave.
@ssaa7495
@ssaa7495 Ай бұрын
Hawezi kuitetekeza Israel kwa namna yeyote
@mudub0etz
@mudub0etz Ай бұрын
Mash0ga w0te dunian wataaangamizwa.... ishatabiliwa watakuja na kuangamizwa. N swala lamuda t. 😊😊😊
@sultanbakary4292
@sultanbakary4292 Ай бұрын
Hahahahaha😂😂😂😂 waisrael weusi mmekuja juuu
@ngoyaboy1590
@ngoyaboy1590 Ай бұрын
Aliekwambia nani Alf Israel hii sio ilee walikuwa wanasemea
@mwawekomiuda9779
@mwawekomiuda9779 Ай бұрын
Hajutambui mjinga anaachwa tu.
@HamzaMbasha
@HamzaMbasha Ай бұрын
Kuna ya kale na kuna hii ya kishetani hapo wakristo ndoo mnashindwa kutofautisha... Hii Israel inasapot mashoga wazi wazi
@ev.eliezangiruketv8902
@ev.eliezangiruketv8902 Ай бұрын
HAKUNA YEYOTE ANAYEWEZA KUISHINDA ISRAEL... SHALOM ISRAEL❤❤❤❤
@muzafarsharif9465
@muzafarsharif9465 Ай бұрын
ok Israel mweusi tumekuelewa😂😂😂
@user-jh9yv1zp1l
@user-jh9yv1zp1l Ай бұрын
Nik na israel ,piga hao kam hamsas ,sahv wanalia lia tu wameach kumtj allah wao
@fatumamwalimu5765
@fatumamwalimu5765 Ай бұрын
Sasa wewe umekatazwa kutaja shetani wenu? Unakerwa na wanaomtaja Allah!!! Ulitaka wakutaje wewe?
@fatumamwalimu5765
@fatumamwalimu5765 Ай бұрын
Wanamtaja Allah na hawalii acha unafki, wewe mwenyewe ushapigwa na dunia ndio chuki zinakuongoza, maskini hata uskizi umekurupuka na povu!!
@MohamedAhmada-ie7ke
@MohamedAhmada-ie7ke Ай бұрын
Ana mjua vyema Lebanon uyo ndio maana kaufyata na kashapewa onyo kua akijiingiza vitani na Lebanon ata umia sana so atulie
@saidkhatib9146
@saidkhatib9146 Ай бұрын
Allah anatajwa kila sekunde
@sadikaden5468
@sadikaden5468 Ай бұрын
Zionists hawana chaoo huko Palestinia wata fukuzwa kama panya wewe agaliatu.
@daudimchileg307
@daudimchileg307 Ай бұрын
Israel itashinda tuuu
@user-tq4lx9si1n
@user-tq4lx9si1n Ай бұрын
Israel ashinde malangap
@LylyShaban
@LylyShaban Ай бұрын
Nyooo kenge ww haitotokea
@user-tq4lx9si1n
@user-tq4lx9si1n Ай бұрын
@@LylyShaban wekweli unahuluma nawatu wagaza
@hajjseif5737
@hajjseif5737 Ай бұрын
mungu kasema taifa lao litaanguka tuu au utawasaidia ww?
@user-tq4lx9si1n
@user-tq4lx9si1n Ай бұрын
@@hajjseif5737 mungu mwenye siww nanduguzako wahalabu
@athumanmtavangu4411
@athumanmtavangu4411 Ай бұрын
Myahudi atengenea pote(kundi) ndani ya uislamu lenye mrengo na litakalo mtii ila lipo ktk sura ya upinzani kwa nje nalo ni Shia hivyo ili kutekeleza mission zake anawatumia.Tuweni makini Sana ya Haya makundi Lebanon inachukuliwa muda si mrefu na Israeli
How Hezbollah Israel Military Strategy Work?
10:34
AiTelly
Рет қаралды 295 М.
ISRAEL yamchimba mkwara Erdogan ‘Utaishia kama Saddam Hussein’
2:51
Simulizi Na Sauti
Рет қаралды 10 М.
Best KFC Homemade For My Son #cooking #shorts
00:58
BANKII
Рет қаралды 63 МЛН
A little girl was shy at her first ballet lesson #shorts
00:35
Fabiosa Animated
Рет қаралды 12 МЛН
Heartwarming Unity at School Event #shorts
00:19
Fabiosa Stories
Рет қаралды 22 МЛН
Erdogan adai Uturuki inaweza kuingilia kati vita vya Gaza
2:24
Simulizi Na Sauti
Рет қаралды 4 М.
New tfc sports car yellow colour kardya
0:27
Ruhul Shorts
Рет қаралды 8 МЛН
Не хватило бензина встал на трассе
1:01
чоооооооооооооо
Рет қаралды 2,6 МЛН
🤣ПОКУПАЕТ МАШИНУ У ДЕВУШКИ
0:35
MEXANIK_CHANNEL
Рет қаралды 9 МЛН
Самая кровавая бандитская тачка
0:39
Леха Беспалый
Рет қаралды 1,9 МЛН
ПРОКАТИТЬ С ВЕТЕРКОМ?..💨
0:20
Хранилище Легенд
Рет қаралды 337 М.