ISRAEL yamchimba mkwara Erdogan ‘Utaishia kama Saddam Hussein’

  Рет қаралды 30,575

Simulizi Na Sauti

Simulizi Na Sauti

Күн бұрын

Пікірлер: 308
@MuniraShughuli-kc7vj
@MuniraShughuli-kc7vj 2 ай бұрын
Mungu azidi kukupa Umri Mzee wetu wa Uturuki in shaa Allah 🤲🌃
@Oldskulgemini9991
@Oldskulgemini9991 2 ай бұрын
Mzee wako wewe na nani? Shida udini mwingi, muda mwingine ruhusu ata akili ifanye kazi
@Williamstozzo
@Williamstozzo 2 ай бұрын
​@@Oldskulgemini9991😂anawaza dini wenzioo wako na maisha
@rayisadesigns2646
@rayisadesigns2646 2 ай бұрын
​@Oldskulgemini999 UTURUKI NDIYO DOLA LA OTTOMAN AMBALO HISTORIA YAKE INAONESHWA AZAM TV KUANZIA SAA NNE USIKU MPAKA SAA TANO KUPITIA TAMTHILIA ZAKE MBALIMBALI KAMA SULTAN, ERTUGRUL, THE OTTOMAN, BARBAROSSA NA SASA NI ALPARSLAN. HAWA WATU WAMEITAWALA DUNIA MIAKA ZAIDI YA MIA NANE NA NCHI YAO ILIKUWA KUBWA SANA NA ILIUNDWA NA MABARA MATATU, ULAYA, ASIA NA AFRIKA. WAZUNGU WALIPATA SHIDA SANA KUIDONDOSHA TAWALA YAO, KWANI NDIYO TAWALA PEKEE ILIYOTAWALA MATAIFA YOTE DUNIANI. WAO NDIYO WAASISI WA MODERN SAYANSI INAYOTUMIKA KATIKA TEKNOLOJIA YA SASA DUNIANI, BAADA YA VITA VYA KWANZA VYA DUNIA WAZUNGU WALIFANIKIWA KUCHUKUA BAADHI YA MAENEO YAKE HASA ULAYA YA MASHARIKI NA KUSINI, ASIA YA YA MAGHARIBI NA AFRIKA KASKAZINI NA MAGHARIBI. NA NDIPO BAADAE IKABADILISHWA JINA NA KIONGOZI WAO AITWAYE MUSTAFA KEMAL ATATURK PASHA NA KUITWA UTURUKI. WAO NDIYO WALIOIFUTA ISRAEL KTK RAMANI YA DUNIA, KWA KARNE NYINGI SANA ARDHI YA ISRAEL ILIKUWA CHINI YA HIMAYA YA UTURUKI ILIPOKUWA IKIITWA OTTOMAN. BAADA YA VITA VIKUU VYA PILI VYA DUNIA WAINGEREZA NA WASHIRIKA WAO WALIPOSHINDA KWENYE VITA HIVYO NDIPO WALIPOIRUDISHA TENA ISRAEL KTK USO WA DUNIA KWA KUIWEKA MAHALA HAPO TUNAPOIONA SASA KUPITIA LEAGUE OF NATIONS AMBAYO KWA MIAKA HIYO ILIHUDUMU KAMA LINAVYOHUDUMU BARAZA LA UMOJA WA MATAIFA (UN) MIAKA YA SASA. UTURUKI NDIYO BABA WA MATAIFA YA ULAYA NA NDIYO MAANA HAUWEZI UKASIKIA MMAREKANI AU MUINGEREZA ANAMVIMBIA MTURUKI, NI DOLA LINALOHESHIMIWA SANA NA NCHI ZOTE ZA HUKO KWA SABABU ALIZITAWALA. NA SASA JESHI LAKE NI MIONGONI MWA MAJESHI BORA KABISA DUNIANI LINALOTUMIA ZANA NA TEKNOLIGIA YA HALI YA JUU, KWA HIYO UTURUKI SIYO IRAQ YA SADAM WALA LIBYA YA GADDAFI, UKIWAZINGUA WANAKUZINGUA KWELI. HAO WATU WAO WANA ROHO NGUMU, MATAIFA YOTE YA ULAYA YANAOMBA HAO JAMAA WASIRUDI KTK MISIMAMO YAO YA ZAMANI WAKAAMUA KURUDI KWENYE OTTOMAN YAO, HAO WATU NI HATARI SANA NA NDIYO MAANA MUISRAELI KTK HUO MKWALA WAKE HAKUSEMA YEYE NDIYE PEKE YAKE ATAKAYEHUSIKA KUFANYA HIVYO, AMATOLEA MFANO WA SADAM MAANA YAKE KUONDOKA KWAKE MADARAKANI KULITOKANA NA KUCHANGIWA KIJESHI KWENYE UWANJA WA MAPAMBANO NA MUUNGANO WA MATAIFA ZAIDI YA AROBAINI YALIYOPELEKA WANAJESHI NA VIFAA VYA KISASA KUIPIGA IRAQ NA KUMUUA SADAM. MUISRAELI PEKE YAKE HATHUBUTU KUFANYA HIVYO, AKIFANYA HIVYO PEKE YAKE ATACHAKAZWA NA MTURUKI NDANI YA DAKIKA SIFURI TU, TEL AVIV YOTE ITASAGWA SAGWA NA KUWA KAMA UNGA...
@raymrash
@raymrash 2 ай бұрын
😂😂😂😂..mzee wenu!?...
@Jurbeg
@Jurbeg 2 ай бұрын
Mzee wako bongo😏😏😏
@ImanSaid-ox3po
@ImanSaid-ox3po 2 ай бұрын
Maasha'allah Dunia inaanza kunoga sasa
@hajjiomary2383
@hajjiomary2383 2 ай бұрын
Erdogon mtu wa kazi na ivyo ndo inapaswa kuwa ana cha kupoteza ukifa mda wako umekwisha .much love erdogon mtu wa kazi .sadam husein Robert Mugabe mohamed ghadafi wote walisema aya sasa tunayaona
@emmadora7848
@emmadora7848 2 ай бұрын
Amesubiri mpaka Gaza imekuwa flat ,kachelewa sana ,anaongea sana vitendo 0
@jumamussantuiche
@jumamussantuiche 2 ай бұрын
​@@emmadora7848ata kusema na kulani ibada
@tekashisixtynin9threewithd727
@tekashisixtynin9threewithd727 2 ай бұрын
Yani achaneni na ISRAEL ✊🏾
@allahisone6386
@allahisone6386 2 ай бұрын
​@tekashisixtynin9threewith d727 WAO NI ZAYUNIST NASII TAIFA LA MUNGU KAMA WANAVYO SEMAGA
@Oldskulgemini9991
@Oldskulgemini9991 2 ай бұрын
Ukifa mda wako umeisha sio😅 wakati nchini kwenu Kuna mambo ya ajabu yanaendelea ila mkobize kujifanya mashababi kwa mambo yasiyowahusu, kama kufa muda wako unakuwa tumefika tungewaona hapa nyumba kwenu mnafanya kitu kwa akili ya nchi yenu, nyie kutwa kuwazia nchi za waarabu shenzi
@msukumamnywamaziwa2785
@msukumamnywamaziwa2785 2 ай бұрын
marekani ni inchi yenye viongozi mashertani na wametapakaa damy
@MayaAlamari
@MayaAlamari 2 ай бұрын
Allah akuhifadhi mturuki huna baya
@snkhannassoro2404
@snkhannassoro2404 2 ай бұрын
Unafik wote wa magharib lazm wote udhihirike
@aminatanzanya7475
@aminatanzanya7475 2 ай бұрын
Erdogon anapaswa kupew saport hasa nchi za kislamu kwan hawaon yanayoendelea Palestine. Mungu ambariki katik safar yake
@BonifasiMichaer
@BonifasiMichaer 2 ай бұрын
Endeleeni kumshauli ujinga
@paulvimbamvula9508
@paulvimbamvula9508 2 ай бұрын
Sasa wa Islam akiwunvana munafikiliya itawezekana kumpiga mu Israel? Ashawai kuwapigwa wa Islam inchi zaidi 7
@j4amas5
@j4amas5 2 ай бұрын
@@paulvimbamvula9508 mwaka gani? na alichukua muda gani? Na leo ni muda gani kashindwa kumaliza sio nchi kikundi tu cha Hamas? Mambo yanabadilika usiishi kihistoria
@aminatanzanya7475
@aminatanzanya7475 2 ай бұрын
@@j4amas5 swali zuri sana
@aminatanzanya7475
@aminatanzanya7475 2 ай бұрын
@@BonifasiMichaer kuna video ukiona jinsi watot na walemavu Walivyokufa huwez ongea huu ujinga
@MohammediKihimbwa-bj4pf
@MohammediKihimbwa-bj4pf 2 ай бұрын
Wao ndiyo magaidi inch za magharibi
@ramadhanikivunde615
@ramadhanikivunde615 2 ай бұрын
Let's also discuss about kinana and so we can know where is makonda
@SwedyMohamed-vt5zm
@SwedyMohamed-vt5zm 2 ай бұрын
Hii dunia inatawaliwa na Mazayuni wa kiyahudi ambao ndio chanzo Cha matatizo mengi hapa duniani.Mfano Hawa ndio husukuma ajenda za ushoga.
@shabanibussara8454
@shabanibussara8454 2 ай бұрын
Exactly
@emmadora7848
@emmadora7848 2 ай бұрын
Hao mashoga wa huko kwenu nani kawafundisha hayo? Ushoga ni tabia ya mtu ndio maana hata kwenu wapo toka kitambo
@LucyNgowi-m5z
@LucyNgowi-m5z 2 ай бұрын
Yule polis wa Zanzibar aliyekua akifanyiwa hivyo vitendo wa Israel walikwenda huko Zanzibar kumfundisha?ushoga tabia ya mtu binafsi hakuna aliyeshikiwa bunduki awe shoga
@ZariaAbdullah-r5t
@ZariaAbdullah-r5t 2 ай бұрын
Chimbiko lamashoga ni mayahudi ndio wanao ongoza ushoga dunia Kate wazulumu nchi wanazo ziweza qakipata Mali wanazitumia kueneza ushoga hata papa nishoga na wala hajifichi anaweka wazi mwenyewe
@ronniemalima6325
@ronniemalima6325 2 ай бұрын
😂😂😂😂 ​@@LucyNgowi-m5z
@shebbylove3140
@shebbylove3140 2 ай бұрын
Kwani wao Israel ni nini duniani kwaiyo awawezi kushikwa?
@tekashisixtynin9threewithd727
@tekashisixtynin9threewithd727 2 ай бұрын
Vidume hao✊🏾✊🏾✊🏾🇮🇱🇮🇱🇮🇱
@AllySibila
@AllySibila 2 ай бұрын
Mashoga wale​@@tekashisixtynin9threewithd727
@ZariaAbdullah-r5t
@ZariaAbdullah-r5t 2 ай бұрын
Utawana nividume kwasababu wewe nikipofu unae tembea
@LucyNgowi-m5z
@LucyNgowi-m5z 2 ай бұрын
Wao ndio wameishikilia dunia kwa kila kitu kuanzia teknologia wao pia walikua ni taifa teule la Mungu lakini wamepatachangamoto ya kushambuliwa na maadui kwasababu walimuasi Mungu kwahiyo Mungu amewaacha ndio unaona wapo kwenye mateso yakushambuliwa mara kwa mara natayari shetani anawatumia kulipiza kisasi na kuua watu bila kujali
@nixsonmkamba2895
@nixsonmkamba2895 2 ай бұрын
Et ni taifa teule😢
@sayidabdillah8505
@sayidabdillah8505 2 ай бұрын
Uturuki Allah sw atawapa nguvu juu ya washenzi wa Israel
@ahmedymahmudu9532
@ahmedymahmudu9532 2 ай бұрын
Si kweli sio kila siku ni ijumaa Ninyi mashoga wa dunia
@bujsaudaselemani5562
@bujsaudaselemani5562 2 ай бұрын
Allah atamlinda naao mashetani wa ulaya
@msodokidasilva6739
@msodokidasilva6739 2 ай бұрын
Time will tell
@sayidabdillah8505
@sayidabdillah8505 2 ай бұрын
I like turkey
@josepheriah5977
@josepheriah5977 2 ай бұрын
Ajichanganye sharing yke
@adamchaka-vl7yk
@adamchaka-vl7yk 2 ай бұрын
Hiyo mikwara Kwa Uturuki,Wakiambia ukweli hawataki.Mbwa wakubwa Israel
@DafiMohamed-dz8xk
@DafiMohamed-dz8xk 2 ай бұрын
Hovyo kabisa mayahudi maisha yamebadilika Iraq sio uturuki jaribuni
@HumphreyAloyce-on1vl
@HumphreyAloyce-on1vl 2 ай бұрын
Mlisema hivyohivyo kwa Iran hatimae rais wao wakamla kichwa Kwaiyo punguza mikwara😑
@DafiMohamed-dz8xk
@DafiMohamed-dz8xk 2 ай бұрын
@@HumphreyAloyce-on1vl nipe evidence ya rais wa Iran kuuawa na mayahudi
@annasolomon9855
@annasolomon9855 2 ай бұрын
​@@DafiMohamed-dz8xkkwani mpaka uoneshwe , haya tuachane na rais na huyu gaidi alouliwa ndani ya Irani 😊😊😊?
@TatuKhatib-f1u
@TatuKhatib-f1u 2 ай бұрын
Sote ni mungu tumeletwa duniani kwa lengo moja tuu kumuabudu . Haya tunayoyafanya ni mambo ya kishetani .na hakuna taìfa la mungu wala nini watahukumiwa tu hao siku sio nyingi ​@@annasolomon9855
@TeddyDickson-w5p
@TeddyDickson-w5p 2 ай бұрын
Nilichogundua Israel ni marekani,marekani akimwàcha Israel mwenyewe anapigika tu,wamemjazia sifa nyingi sana,anapigika kawaida
@ramadhanhassan5285
@ramadhanhassan5285 2 ай бұрын
Nabaki na huzuni tuu juu ya wapalestina nikiwaona jinsi wanavyo uliwa tena kwamakusudi mungu kua pamoja na uturuki ili washindwe israel
@geoffreymagessa289
@geoffreymagessa289 2 ай бұрын
Hujui hata unachokiomba nini. Hamas ndio waliowasababishia wapelestina matatizo yote hayo. Unapaswa kulilaani kundi la kikaidi la Hamas siyo Israel.
@RahmaMfaume-sp2oj
@RahmaMfaume-sp2oj 2 ай бұрын
MWENYEZI MUNGU atunusuru Amin wale wote wanashabikia lzilaili MWENYEWE MUNGU anawaona mtajuta lpo siku.Kwasababu wale wanampinga MUNGU.
@annasolomon9855
@annasolomon9855 2 ай бұрын
😂😂😂😂
@flicafande4474
@flicafande4474 2 ай бұрын
Bravo Türkiye korkma. #Erdogan_bizim_liderdir
@ashahassan2120
@ashahassan2120 2 ай бұрын
Wamuue Kwani wenyewe wataishi Milele mmbwa hao wawauaji
@archbordygodfrey2614
@archbordygodfrey2614 2 ай бұрын
Nyokoooo,Israel isicheze na Turkey......Israel itapata shida kubwa.
@LucyNgowi-m5z
@LucyNgowi-m5z 2 ай бұрын
Usisahau nyuma ya pazi yupo mmarekani
@AFRICA_D669
@AFRICA_D669 2 ай бұрын
@@LucyNgowi-m5z isisahau nyuma ya turkie yupo Russia A.K.A usoviety Brics ya sasa 😊😊
@zainabuabdul7852
@zainabuabdul7852 2 ай бұрын
​@@LucyNgowi-m5zusisahau kuwa Turkey ni mwanachama wa nato
@emmadora7848
@emmadora7848 2 ай бұрын
Tangu hiyo Turkey 🦃 yenu umeanza kuongea Leo tunakaribia miezi tisa but hakuna kitu zaidi sana biashara zake na Israel zinaendelea 😂😂😂
@IddyAmir-gq1jr
@IddyAmir-gq1jr 2 ай бұрын
Israel hamuwezi uturuki hiyo mikwara yote ni kumtegemea marekani
@MohammediKihimbwa-bj4pf
@MohammediKihimbwa-bj4pf 2 ай бұрын
Edogan siyo ashura
@Yussuf-b3b
@Yussuf-b3b 2 ай бұрын
Erdogan hongera kwa kauli yako maana umeongea UKWELI ,WAISRAEL WANAWAUWA WAPALESTINA UATAFIKIRI WANYAMA ,HII HAIKUBALIKI LAITI MATAIFA YOTE YA MASHARIKI YA KATI WENGEKUWA WANATOWA KAULI KAMA HII ISRAEL ASINGEFANYA MAUWAJI YA AINA HII ,,KILA DAKIKA MOJA MPAKESTINA MMOJA ANAUWAWA KWA MUJIBU WA TAARIFA ZA UMOJA WA MATAIFA
@allykwaya
@allykwaya 2 ай бұрын
Hao ndo Maraisi shupavu
@RaibebeBebe
@RaibebeBebe 2 ай бұрын
Mda wa kuwatishs watu umeisha unafk wote marekan israil uko wazi sasa
@FahadAbubakari
@FahadAbubakari 2 ай бұрын
Hawa mabwana waarabu wamewashinda Leo wanatishia watu waliwahi danganya watu wao ndo wanaakili kuliko mtu yeyote na wapuuzi wakaamini Hawa wanamifumo ya propaganda ilotukuka kama hujui unaweza waaamini ndio maana Leo kwa Mara ya kwanza nchi ka Spain inawapinga kitu ambacho awali hakikuwahi fikiriwa kikatokea wamedekezwa kwa miaka
@dannywillson5874
@dannywillson5874 2 ай бұрын
Wajalibu waone wao wanaishi kama zaman now maisha yamebadilika 😂😂😂
@Oldskulgemini9991
@Oldskulgemini9991 2 ай бұрын
Unavyokomenti unadhani mnajuana vile kumbe upo huku mbali kabisa ila shobo na waarabu Sasa kisa dini tu😅
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 2 ай бұрын
Ndioo Ajaribu aone kitakachomkuta km ye mwanaume ukweli
@unjuusalvatory5331
@unjuusalvatory5331 2 ай бұрын
Inaandikwa Reccep ila inasomeka Rejep
@WadySaidi
@WadySaidi 2 ай бұрын
Waisraeli hawana lolote kazi yao kubwaa kuwadanya watu kama ni taifa lenye nguvu kwani hata uyo metanyooko anayetembeza bakuri marekani ana uwezo gani wa kumtishia mtu amulize mwenzake ametembeza bakuri Hadi NATO yao lakini wapi Bado netanyoko tunamtafuta kidogo akamatwe
@israelmwasota
@israelmwasota 2 ай бұрын
Ina nguvu za kisiasa (political strength). Kubali usikubali Israel hata isipokuwa na kitu inapenya popote. Political strength ni muhimu hata kuliko nguvu za kijeshi Hutaki😂😂
@WadySaidi
@WadySaidi 2 ай бұрын
Nguvu ya kijeshi ipi wew kumbe manyumbu mnapelekwa tu nchi yenye nguvu inaimba misaada
@WadySaidi
@WadySaidi 2 ай бұрын
Pumbavu ww
@israelmwasota
@israelmwasota 2 ай бұрын
@@WadySaidi I am sorry, nikajua naongea na mtu mwenye akili timamu. Watu wenye akili timamu wanaongea kwa hoja sio kuendeshwa na hisia.
@WadySaidi
@WadySaidi 2 ай бұрын
Hata Mimi nilikuona mapema una hakili timamu kumbe wameshazikontro waisrael
@aliabdallah8456
@aliabdallah8456 2 ай бұрын
Waarabu wengi ni mashoga hawana umoja ni kama wanyama nyumbu wamedanganyw a wakamuua Sadam Hussein alafu Gadafu na hadi leo hii wanapata tabu nchi nchi zao hakuna amani kwa ujinga wao
@ZariaAbdullah-r5t
@ZariaAbdullah-r5t 2 ай бұрын
Asilimia kubwa ya warabu ni wanafki nadichokitu kinacho wasambaratisha
@africanmandetraveler2847
@africanmandetraveler2847 2 ай бұрын
Nakubaliana na wewe mkuu unakuja Iran ilivyorushwa drones na rocket kibao israel Jordan taifa la kislamu ndo waliisaidia israel kudungua hizo rocket .Waarabu wanafiki sana.
@HusseinSaguti-sj9nh
@HusseinSaguti-sj9nh 2 ай бұрын
Tn bora hao mashioga kila mwaka wanakutana israel na kuuazimisha Na kutaka ukue Hawa waarabu mm siwapatiii jibu Mbaya zaid iran anaepambmbna hawamtaki Wao wamemkumbatia marekan ndio best yao Hata kulaan hawawez
@HusseinSaguti-sj9nh
@HusseinSaguti-sj9nh 2 ай бұрын
​@@nusalim3389cc nimasikin hatuna uwezo km wao
@emmadora7848
@emmadora7848 2 ай бұрын
​@@HusseinSaguti-sj9nhtatizo mna ubaguzi sana ,Irani akipambana mnaanza sema sio waisilamu ni washia Hilo nalo janga ,second ,nchi nyingi za kiarahu by now wanataka amani na wanapambana kukuza chumi za nchi zao angalia ,Saidia ,Qatar, Jordan , Singapore,Oman hawana muda tena na vita ambavyo wanajua vitawagharimu Miaka na miaka
@FrenkfrenkFrenkfrenk-sf4hl
@FrenkfrenkFrenkfrenk-sf4hl 2 ай бұрын
Izraer inapigana na nnchi nyingi kisilisili
@Godfreyolekidongo
@Godfreyolekidongo 2 ай бұрын
Uturuki sio kama hamasi , Hezbollah, Wala wakordi wa Yemen , wajichanganye Sasa ndowatajua .
@mgolozicrispin5126
@mgolozicrispin5126 2 ай бұрын
Hyo sio iraki wasijichanganye ata kidogo wataumia
@josepheriah5977
@josepheriah5977 2 ай бұрын
Edogan afe
@IsayaNgoiva
@IsayaNgoiva 2 ай бұрын
shida ya haya yote ni marekani hakuna kingine ndio chanzo ya matatizo ya dunia
@mwawekomiuda9779
@mwawekomiuda9779 2 ай бұрын
Aaaah wapi hatutaki!!!! Eti waziri wa nje wa izrael anasema nini? Sadam ?Dunia yote watu wako macho hawathu tena uchafu ule. Na huu ndio mwisho wao.
@hamadikombo1492
@hamadikombo1492 2 ай бұрын
Kabisa aani mm naamni Sadam Hosein Muammar Gaddafi ingekuwa zama hzi wasinge uwawa Ile ilikuwa zama za Giza sio Sasa Kila kitu kipo wazi
@annasolomon9855
@annasolomon9855 2 ай бұрын
​@hamadimbina Raisi ameuliwa kwenye helcopta pamoja na huyu Gaidi ameuliwa chumbani Iran 😊😊😊 hio ni zamani?? Hakuna kinachoshindika kwao..😊kombo1492
@salehkhamis-ob8ln
@salehkhamis-ob8ln 2 ай бұрын
Tunaishi Dunia ya mwisho sasa dalili kubwa kubwa zinaanza kujitokeza. ni kutokea kwa vita ulimwengu mzima
@stevenialbert5033
@stevenialbert5033 2 ай бұрын
Taifa la mungu
@yumbebacar
@yumbebacar 2 ай бұрын
Lipi taifa lá Mungu? m medanganyua nyie vi pofu,Du nia itawa rekebisha lakini si ku sudi lenu, Mungu hawezi kuwa na taifa la ki shoga, kwanza Mungu há pendi vishoga
@yumbebacar
@yumbebacar 2 ай бұрын
yani hawa makafiri wana fanya kusudi ku uwa watu kwa sasabu wa na jiamini,sasa watu wa nyamaze wa funge midomo wa kae wa kiwa angalia hao wana po uwa raia huko Gaza,na Falestina,ai wezekani
@muhammadmbaraka4515
@muhammadmbaraka4515 2 ай бұрын
Waisrael ni waoga sanaaa..ikiwa watakosa misaada kutoka kwa nchi za maghrib
@emmadora7848
@emmadora7848 2 ай бұрын
Nani muoga ? Edgan ndio muoga maana toka mwaka Jana alaropoka tu lkn hakuna kitu amefanya😢
@hundredcopies2719
@hundredcopies2719 2 ай бұрын
Amalize dhamana yake Kama raisi ni kheri kwake kutetea Waislam wenzake Allah Atamnusuru siku ya Malipo #kila nafsi imehukumiwa kifo
@mutambukamubaraka
@mutambukamubaraka 2 ай бұрын
👍🇷🇺🇷🇺💪🇵🇸🇵🇸🇷🇺♥️👌
@mohammedhamad9392
@mohammedhamad9392 2 ай бұрын
😊😊😊😊
@leonardalphonce8924
@leonardalphonce8924 2 ай бұрын
Hebu jaribu kuingia israeli uone tunavokuchapa mpaka ukirudi uturuki koti lako limechanika
@othmanmaulid4867
@othmanmaulid4867 2 ай бұрын
Sio Operation sema Mauaji
@shabanibussara8454
@shabanibussara8454 2 ай бұрын
Sawa sawa
@GabrielSky64
@GabrielSky64 2 ай бұрын
Kama kafa Rais wa Iran adui number moja wa Israel basi hawa wayahudi hawashindwi kitu wakiamua lao
@jibriladat5749
@jibriladat5749 2 ай бұрын
Iran unatumia helicopter za marekani ila uturuki wanaunda Helicopter zakwao nandege kubwa zakivita Uturuki ni number 2 kwamajeshi Nato
@somymoivanlukumay4198
@somymoivanlukumay4198 2 ай бұрын
@@jibriladat5749 ata angekua namba moja ingekua tuu kama mkate kwa israeli!israeli ni simba wa kabila la yuda asiyekosea mawindoni 🔥🔥🔥🔥🇮🇱🇮🇱🇮🇱
@AlimachiusFaustine
@AlimachiusFaustine 2 ай бұрын
Wape waislam ushabiki Kila siku lakn ukweli unajulikana kwamba Israel is still so powerful
@salimfaraj5509
@salimfaraj5509 2 ай бұрын
Zama za Sadam zimeshapita huu wakati mwingine mambo yamebadilika
@mohammedhamad9392
@mohammedhamad9392 2 ай бұрын
Mambo yamebadilkka sasa naamini hilo
@annasolomon9855
@annasolomon9855 2 ай бұрын
Watu wasipende vita vina garimu maisha ya watu na kuporomosha uchumi wa nchi 😊😊
@AbdallahBakar-oc3ue
@AbdallahBakar-oc3ue 2 ай бұрын
Mungu imalize marekani mbona unaiyogopa
@omarnicesang5507
@omarnicesang5507 2 ай бұрын
Mungu hawezi ogopa viumbe alivyoviumba kamwe
@KassimMwembe
@KassimMwembe 2 ай бұрын
Hpn usivuke mipaka ndg yng Mwenyez Mungu ameshakadiria haya yote lkn mwisho wao upo hawatabakia milele kk mbwa hawa.
@AFRICA_D669
@AFRICA_D669 2 ай бұрын
😁😂😂😂😂
@Officialjidaa-sn9cs
@Officialjidaa-sn9cs 2 ай бұрын
BIG UP ISLAEL 😂😂😂
@kafwimbimilambo8556
@kafwimbimilambo8556 2 ай бұрын
Sio muda wote mwenye nguvu hushinda
@EnikoSanga
@EnikoSanga 2 ай бұрын
Wanatafuta kichapo
@majidikhatibu7479
@majidikhatibu7479 2 ай бұрын
Kwaiyo wao wanavo wauwa wapalestina mbona hawanyongwi Mm mwenyewe natamani nikawaidie wapalestina
@tekashisixtynin9threewithd727
@tekashisixtynin9threewithd727 2 ай бұрын
Kwan wakati hao HAMASI walivyoruha izo kombora walitaka wafe wanyama ama wanajeshi si walitarget kwenye raia sema kutokana na ulinzi wao wakazuia unazani yangetua chini watu wangap wangekufa 🥹✊🏾✊🏾🇮🇱🇮🇱🇮🇱
@Golanh4786
@Golanh4786 2 ай бұрын
Ndiyo ule msemo ukitaka kumuua mbwa mpe jina BAYA.
@FredCharles-u3z
@FredCharles-u3z 2 ай бұрын
Ila dunia imeamka saizi sasa 2003 leo na 24 nani wakumuonea mwingine
@IsackIsacksamson
@IsackIsacksamson 2 ай бұрын
Israel ni taifa la miujiza ,nyetanyahu ni more than u think alishasema ujasus tunao amerika tupen silaha
@abuusaid3297
@abuusaid3297 2 ай бұрын
Kila jambo linamwishowake,izrael itafk mwisho wa ubay wake
@zebedemirambi3067
@zebedemirambi3067 2 ай бұрын
Israël ♥️🇮🇱♥️ TAIFA LA MUNGU ♥️♥️♥️🇮🇱
@brownshirima5924
@brownshirima5924 2 ай бұрын
Hawo wa israel. Wanapiga na gang ambalo alina vifaru wala ndege nusu mwaka. Wahii israel zamani bhana sasaiv hawatish tenah
@mohammedhamad9392
@mohammedhamad9392 2 ай бұрын
Nguvu yao imebadilika sasa
@somymoivanlukumay4198
@somymoivanlukumay4198 2 ай бұрын
Mungu Wa israeli Ndiyo Mungu wa Kweli na hapana Mwingine🇮🇱🇮🇱🇮🇱na ndiyo MUNGU Wangu❤❤❤
@wekezauchumi7440
@wekezauchumi7440 2 ай бұрын
So mungu wako anaeneza dini yako kwa kuua watoto wasio na hatia eeh? Hao watoto aliwaumba shetani eeh
@somymoivanlukumay4198
@somymoivanlukumay4198 2 ай бұрын
@@wekezauchumi7440 walianzisha uchokozi wenyewe acha wapate mshahara waho kama walijua wataleta shida kwa watoto wasingeichokoza israel acha wakipate💪💪🇮🇱🇮🇱🇮🇱
@ZariaAbdullah-r5t
@ZariaAbdullah-r5t 2 ай бұрын
Makafiri wanapenda zulma wali mzulumu sadamu husein na wamesha zulumu wengi kwa kuwasingizia mambo mengi tuwaone wao wakiishi milele makafiri yao dunia pamoja na wanafki
@zainabuabdul7852
@zainabuabdul7852 2 ай бұрын
Israel hana uwezo wa kuipiga Turkey
@swalehemusa4546
@swalehemusa4546 2 ай бұрын
Uyu nata paka anasemaje vile yy na mashoga wenzake kma cjamsikia vizur
@jimalhussein3215
@jimalhussein3215 2 ай бұрын
Hapo jihad
@lucasngalawa8826
@lucasngalawa8826 2 ай бұрын
Kumbe mlimuua sadam Kwa uonevu wenu Leo mnaropoka wenyewe
@DanielKigesa
@DanielKigesa 2 ай бұрын
Ssa hata kama wakiropoka watafanywa nn
@FocusMsimbe-k5m
@FocusMsimbe-k5m 2 ай бұрын
Ombeni Amani Acheni ushabiki wa kidini
@ismailbuchwa398
@ismailbuchwa398 2 ай бұрын
Kaka Raisi wa uturuki ni kwa sihili Rajabu Twaybu
@nakalikyumile3234
@nakalikyumile3234 2 ай бұрын
Hili taifa la mashoga israel linadekezwa mno
@paschalfausitine7108
@paschalfausitine7108 2 ай бұрын
Siwapendi wazungu , washenzi. Bora. Putin ,izi,mbwa, za uray, bc ,tyu,
@AbelsonGidion-vo1uj
@AbelsonGidion-vo1uj 2 ай бұрын
YESU kristo aliwafia msalabani ao ambao uwapendi
@PasserbyMan-ju8ky
@PasserbyMan-ju8ky 2 ай бұрын
​@@AbelsonGidion-vo1ujIvi ujinga mtaacha lini?
@emmadora7848
@emmadora7848 2 ай бұрын
Hapa tu unatype kwenye app yao😂😂😂
@MsAggie5
@MsAggie5 2 ай бұрын
Hao waisrael ndo waliosababisha vita ya Iraq lakini kwa sasa hawataweza, America hawezi kufanya ule ujinga tena
@josepheriah5977
@josepheriah5977 2 ай бұрын
Achaapigwe kama hamas
@gihungaselemani8727
@gihungaselemani8727 2 ай бұрын
Hiv Iraq na Turkey wap n wap
@ce-08
@ce-08 2 ай бұрын
Erdogan hana vitendo anaongea sana ila vitendo hana
@hassangaddafi2347
@hassangaddafi2347 2 ай бұрын
Putin baba lao ❤❤🇷🇺🇷🇺🇷🇺 Free Palestinian ❤❤🇵🇸🇵🇸🇵🇸
@AbdulMichael-g4o
@AbdulMichael-g4o 2 ай бұрын
Eti Putin nyokonyoko yule Putin porojo hamna Cha maana kale kanchi kadogo kamemshinda mmarekn atawezana nae
@abuusaid3297
@abuusaid3297 2 ай бұрын
Hakika edogani umeshika pazuri! Endelea kuwashataa ili waarabu wenzio waione njia,kwani wapogizani
@melanialeonard4031
@melanialeonard4031 2 ай бұрын
Au kama Ibrahim rais unapigwa na kitu hata huwezi kumlaum mtu itabaki tu kazi ya mungu haina makosa
@mussabukarasha5775
@mussabukarasha5775 2 ай бұрын
israel anategemea msaada wa nato
@paulvimbamvula9508
@paulvimbamvula9508 2 ай бұрын
Vita za Kidini.....sisi wa Christu tunajuwa Turkey 🇹🇷 itaingiya kwenye vita na uTuriki utakwisha vibaya. Ezekiel 38 bibiliya lishayandika. Israel itapambana na kama ataingiya vitani Israel ana uwezo wa vifaa hadi nuklia
@HawaBakari-u6q
@HawaBakari-u6q 2 ай бұрын
We shoga huna unachokijua zaid ya ujinga umekujaa had matakon
@HusseinSaguti-sj9nh
@HusseinSaguti-sj9nh 2 ай бұрын
Israet hawaina uwezo wwt Zaid inategea mbeleko ya marekan ungereza na nato Kila cku wanaomba silaha marekan
@kassimkhalid1185
@kassimkhalid1185 2 ай бұрын
Waisrail ni waoga wanategemea inchi za kimagharibi kama nato walipo vamia Irag..Uturuki ni inchi yenye Unguvu sana si kama Iragi.
@chefbestfood
@chefbestfood 2 ай бұрын
sisi china russia na north koea hatuwezi ruhusu edorgan tumpoteze
@NuhuHamisi
@NuhuHamisi 2 ай бұрын
Magaidi yanayolindwa na maghalibi nchi za kishetani
@mapundarajabu5416
@mapundarajabu5416 2 ай бұрын
Walificha ila leo wanatoa sili wenyewe sadam na viongozi wengen walio uwawa na malekan kwa kvuli cha nato awauwa na makosa kama tunavyo zani ila MUNGU nimwema nanyie zamu yenu imefka
@NafuuTaib-u8q
@NafuuTaib-u8q 2 ай бұрын
Km wanataka kujua dunia niyawatu wote siyo ya marekani na Israil tu na wamguse mturuki hamas tu juzi anarudi kulia na kuomba msaada marekani
@AliNassor-qt6fm
@AliNassor-qt6fm 2 ай бұрын
Hizi sio zama za Saddam , mmeshindwa kumtoa Bashar al asad syria israel msitishe watu
@kahemachowdry7346
@kahemachowdry7346 2 ай бұрын
NATO ni Mbwawitu Kama ilivyo Izraeli
@raymrash
@raymrash 2 ай бұрын
Anataka yamkute ya raisi wa Irani😂😂😂
@JajiZakayo-fw9mk
@JajiZakayo-fw9mk 2 ай бұрын
Eti mjinga mmoja anasema Israel anatembeza bakuli jidaganye kama ujui kuwa hiyo ni mbinu ya kuwapumbaza
@JamalKanani
@JamalKanani 2 ай бұрын
Bila marekani israel atoboi kamwe
@mohammedhamad9392
@mohammedhamad9392 2 ай бұрын
Israel atoboi kabisaaa mtu akiamua ameamua Rais Edogan Ingia ukawasaidie wenzako wanataka pepo ya Allah 😊😊
@MzeeKigogo_
@MzeeKigogo_ 2 ай бұрын
Huyo mpuuzi wa Uturuki hawezi kufanya chochote mbele ya Israel. Ajaribu aone moto wake
@HusseinSaguti-sj9nh
@HusseinSaguti-sj9nh 2 ай бұрын
Najuzi alikua apga magot aomba msaada wa silaha aendlee kupewa
@MzeeKigogo_
@MzeeKigogo_ 2 ай бұрын
@@HusseinSaguti-sj9nh na wewe nenda kaombe silaha kama utapewa. Au unadhani zinagaiwa kama njugu
@nick1o7bang17
@nick1o7bang17 2 ай бұрын
Mkwara wa kutengemea msaada kutoka US ila amna kitu wanaweza
@DaudiHamisi-un2uu
@DaudiHamisi-un2uu 2 ай бұрын
Kwani vita vya Gaza ni vya NATO
@zuberisalum2004
@zuberisalum2004 2 ай бұрын
NATO na Israel nikitukimoja. Kaka
@kassimbayuu
@kassimbayuu 2 ай бұрын
Kama ataingia basi huenda akatolewa nato
@mohammedhamad9392
@mohammedhamad9392 2 ай бұрын
Bora wamtowe aingie kwenye Chama la Wagga 😊😊 Brics
@ibrahimmakungu9711
@ibrahimmakungu9711 2 ай бұрын
Watabaki peke yao duniani
@KatemboJeremica
@KatemboJeremica 2 ай бұрын
sikiliza wewe mtangazaji wa habari kuwa una ongea ukweli izi habari zako ni uwongo sikiliza kitu ni kwambie uturuki sio nchi ya kuvamia siasa ya pale ni Kali sana ivi una fahamu uwezo wa uturuki kwa kijeshi au kwa silaha ni nchi ya nne duniani sasa ivi ina ongoza kwakila kitu
@gilbertkalanda9354
@gilbertkalanda9354 2 ай бұрын
Who are you demons, muamue mustakabali wa dunia
@ramadhanikalungwana8377
@ramadhanikalungwana8377 2 ай бұрын
Mnavyotamba utafikiri mna nguvu!! Watu wanahangaika kuzimaliza nguvu za samsoni!! Zikishaisha mtakosa pa kujificha Bora hata huyu saadam Hussein!! Kumbe ninyi ni mashwetwan kabisa!! Dam ya Iraq iliyomwagika bila sababu mliona sawa? Hats huko Gaza mnaona sawa tu!! Ni ulimwengu au kipindi cha shetani hiki!! Kumbe mnajua uovu wenu?
Миллионер | 1 - серия
34:31
Million Show
Рет қаралды 2,9 МЛН
How it feels when u walk through first class
00:52
Adam W
Рет қаралды 23 МЛН
Synyptas 4 | Арамызда бір сатқын бар ! | 4 Bolim
17:24
When Royal Guards Fight Back!
8:08
Fighting Spirit
Рет қаралды 7 МЛН
Why Turkey Has Finally Had Enough of Erdogan
9:48
TLDR News Global
Рет қаралды 256 М.
Hiki ndicho kinachomfanya Marekani na Israel wamuogope Iran
35:23
How drone technology is changing warfare | BBC News
16:46
BBC News
Рет қаралды 128 М.
Iran threatens US, allies ahead of Israel retaliation | LiveNOW from FOX
15:13
Миллионер | 1 - серия
34:31
Million Show
Рет қаралды 2,9 МЛН