BALAA ZITO! TUNDU LISSU ARUDISHA FOMU KIBABE HUKU AKIVALIA BULLET PROOF, ATOA MANENO MAZITO

  Рет қаралды 11,705

Mwanzo TV Plus

Mwanzo TV Plus

Күн бұрын

Пікірлер: 51
@ShalomNissitv
@ShalomNissitv 3 күн бұрын
Lissu Mungu akulinde
@NebaMwaipasi
@NebaMwaipasi 3 күн бұрын
Lisu mungu mwema Yuko upande wako
@MagdalenaNyakitale
@MagdalenaNyakitale 3 күн бұрын
baba tunakushukuru kwa kurudisha fom lakini uliyempa ndo walewale ila mungu akusimsmie ushinde
@mangashajunior242
@mangashajunior242 4 күн бұрын
LISSU LISSU LISSU😂😂😂😂
@JumaPhinias
@JumaPhinias 3 күн бұрын
Kamanda mungu yupo na wanao jaribu kukutengenezea mazingira ya kufa watakuacha ukiwa hai ila watapotea bila kujua
@daudimaembe3360
@daudimaembe3360 3 күн бұрын
Ndani ya CHADEMA kuna siri nzito ambayo bado haijawekwa hadharani.Tutaendelea kuijua taratibu taratibu.
@Petermunema-p1m
@Petermunema-p1m 3 күн бұрын
Mungu akulinde... tunakupenda sana
@mpendamema3694
@mpendamema3694 3 күн бұрын
😂😂 vijana hawa wanapenda utani nyie mpo siriaz mtu na mwenyekiti wake wanachezeana
@kashindisimon5265
@kashindisimon5265 Сағат бұрын
Hiki ni Chuma kingine 😂😂😂
@anosiata8242
@anosiata8242 3 күн бұрын
Lissu mungu akutangulie.
@IreneRama-jp6pm
@IreneRama-jp6pm 2 күн бұрын
Asante lisuuuu
@watuwamungutaifalamungu.6108
@watuwamungutaifalamungu.6108 3 күн бұрын
Good bigi
@Leodimk-n5c
@Leodimk-n5c 3 күн бұрын
Wali wa kushiba unaonekana tu kwenye sinia 😊😊
@MaulidHimidi
@MaulidHimidi 2 күн бұрын
Wazimu umemuanza
@stapinuswilliam860
@stapinuswilliam860 4 күн бұрын
Lisu lisu ✌️✌️✌️✌️✌️✌️✌️✌️✌️✌️
@Mrsalt-z9m
@Mrsalt-z9m 3 күн бұрын
Lissu juu
@mlekwa
@mlekwa 3 күн бұрын
Abduli aliletwa na nani mh. Lissu
@MfalmeAloyzmwinuka
@MfalmeAloyzmwinuka Күн бұрын
Namy nakushkulu sana kwakuludisha fom lakin watu huku chin wanaku ombea sana hata mm nakombea san ushimde uchaguz mngu aongoze najuwa tutavula ukipta tundulis
@rebekakulwa6159
@rebekakulwa6159 3 күн бұрын
Kuna mnyama fisiem anasema eti unataka uonewe huruma ni mnyama. Na nusu
@meckmussa1840
@meckmussa1840 5 сағат бұрын
Afu mbowe na lisu ni wajanja wao wanajua nani atapita
@noelykaminyoge9678
@noelykaminyoge9678 3 күн бұрын
Mnakishushia chama heshima, haukua wakati wa kufanya hayo unayoyafanya maana hata waliokua wanakuamini watapoteza imani na wew... 😢
@EstherSamwel-vk4wb
@EstherSamwel-vk4wb 3 күн бұрын
😮😮😮😮😮jisemeee ww binafsi usitujumlishe sawa,kujihami ni muhimu saana muache yeye ndo anatafutwabna sio wewe
@Werema3760
@Werema3760 3 күн бұрын
Ulimsikiliza vyema Lisu lakin? Shida sio chadema bali wasiojulikana wananjama ya kumsingizia mbowe
@Bilioneabichwa331
@Bilioneabichwa331 3 күн бұрын
Tunakupenda sana anti pasi ila nashauri na kichwani vaa helmet itapendeza sana
@KayagwaElisha
@KayagwaElisha 3 күн бұрын
😂😂😂😂😂
@laurentshedrack4256
@laurentshedrack4256 3 күн бұрын
yaaani kaanza kuchanganyikiwa sijui😁😁😁😁😂😂😂😂😂😂😂😂😂​@@KayagwaElisha
@masoudchegeka9752
@masoudchegeka9752 3 күн бұрын
😂😂😂
@EliyaMatinda-n7i
@EliyaMatinda-n7i 3 күн бұрын
Ivi lissu huwa anatumia kilevi gani😂😂😂😂 kichwa ngumu
@Mrsalt-z9m
@Mrsalt-z9m 3 күн бұрын
Kuku wew
@godfreyLeka
@godfreyLeka 3 күн бұрын
Strong ile ya Manyara, ndio maana imara
@richardnganya2311
@richardnganya2311 3 күн бұрын
Hakika wahenga walisema "KAMA HUJUI KUFA CHUNGULIA KABURI". Watu tushindwa usukununu ? Scrutiny ...! Thinkig before decisions
@DavidDanken-uf7kp
@DavidDanken-uf7kp 3 күн бұрын
Banson hamuamgalii tundu lisu uson hii inatupa picha gan.
@cesaryaudax6647
@cesaryaudax6647 3 күн бұрын
Tunategemea kwa umoja wenu kama Chadema mpambane na vyama vingine na siyo mwenyekiti na makamu! Mnakela
@EmmaculateGembe
@EmmaculateGembe 3 күн бұрын
Wacheni wagombee wote kwani kuna tatizo gani?Si ndiyo democrasia yenyewe?
@hamadkhamis6572
@hamadkhamis6572 2 күн бұрын
Sasa umevaa bullet proof unatuonesha mbaya wako yuko ndani ya chadema kama ni hivyo kwanini unawalaum police na vyombo vya usalama. Itabidi utafute na helmet.
@minazsaid2470
@minazsaid2470 3 күн бұрын
Jeshi la mtu mmoja
@mangashajunior242
@mangashajunior242 4 күн бұрын
Hiyo ni staili yake hata kwetu ipo unaandaa watu wanakuja kukiomba....
@MfizoCrypto
@MfizoCrypto 3 күн бұрын
Hawa wanasiasa haha bora tubaki na kijani yetu tu watatuletea sera za wale
@Mrsalt-z9m
@Mrsalt-z9m 3 күн бұрын
Ujinga elimika
@aronlubango7934
@aronlubango7934 3 күн бұрын
Oky
@hashimkassim7043
@hashimkassim7043 3 күн бұрын
Tupo pa1 kura yangu unayoo
@songombingo108
@songombingo108 3 күн бұрын
Lissu ni kichwa hasa
@HellenLemilya
@HellenLemilya 3 күн бұрын
Kumbe kunaweza kua na hongo kwa wapiga kura
@hamisijuma3276
@hamisijuma3276 3 күн бұрын
Kisa Cha chama kuwa baridi, Ukweli utakuweka huru Amin 🙏
@hamisidd8124
@hamisidd8124 3 күн бұрын
Hata Kama nyie hamliamini jeshi la polis Kila siku nikutukana vyombo vya ulinzi na usalama lakini ndo vinawalinda acheni ubabaishaji musiwadanganye watanzania
@MasaweMasawe-r5b
@MasaweMasawe-r5b 3 күн бұрын
Ukistajabu ya musa utaona ya firauni
@ulimbagakipole3971
@ulimbagakipole3971 3 күн бұрын
Mashitaka ni mazito.
@jdanny497
@jdanny497 3 күн бұрын
Msig2a amekugharimu
@mbarakahaji4302
@mbarakahaji4302 3 күн бұрын
Unavaa bulet pruf uonewe huruma,tatizo wewe ni msanii c mwanaciasa.
@stevenmulenda4545
@stevenmulenda4545 4 күн бұрын
Ni kweli umevaa bullet lakini kichwa kipo wazi upande wa juu shingoni na kwenye mabega pako wazi risasi nzinapenya sasa Kwa Nini walau usiongeze ulinzi Kwa gari la ziada liwe nyuma Yako hatua 200 Kila unapoenda pia uombe silaha za kununua na uweke walinzi wenye shabaha hasa askari jeshi wastaafu Ili walau uwe salama Kwa hili tishio na omba wananchi wakuchangie kuwalipa walinzi
@jdanny497
@jdanny497 3 күн бұрын
Usidhani unapendwa sana
DONE AND DUSTED: This will FINISH Ruto...
1:07:13
Herman Manyora
Рет қаралды 2,8 М.
Cat mode and a glass of water #family #humor #fun
00:22
Kotiki_Z
Рет қаралды 42 МЛН
小丑教训坏蛋 #小丑 #天使 #shorts
00:49
好人小丑
Рет қаралды 54 МЛН
The evil clown plays a prank on the angel
00:39
超人夫妇
Рет қаралды 53 МЛН
The Best Band 😅 #toshleh #viralshort
00:11
Toshleh
Рет қаралды 22 МЛН
TUNDU LISSU AANIKA MADUDU YA CHADEMA
9:25
Wasafi Media
Рет қаралды 26 М.
Lissu Ataja UTAJIRI WAKE, Nchi YATETEMEKAAAAA!!!!!
17:15
SUPER TAMUTAMU
Рет қаралды 163 М.
Cat mode and a glass of water #family #humor #fun
00:22
Kotiki_Z
Рет қаралды 42 МЛН