No video

BARABARA SABA (7) ZINAZOHARIBU AFYA YAKO

  Рет қаралды 671

MASOMO YA KARNE

MASOMO YA KARNE

Күн бұрын

Kutokana na aina ya maisha watu wengi wanayoishi . imechangia ongezeko kubwa la magonjwa yanayotokana na mifumo ya maisha hivyo kuchagua barabara (lishe) ambazo huchangia ongezeko kubwa la magonjwa na vifo tazama video hii kjifunza mengi.
TAZAMA VIDEO ZANGU NYINGINE:
1. MAMBO 15 USIYOYAJUA KUHUSU IBRAHIM- • MAMBO 15 USIYOYAFAHAMU...
2.MAMBO 14 YA KUEPUKA WAKATI WA KULA- • MAMBO 14 YA KUEPUKA WA...

Пікірлер: 18
@floraboniphacemwita6839
@floraboniphacemwita6839 3 жыл бұрын
Hongera sana MWL wangu wa T-dadaz.
@masomoyakarne5122
@masomoyakarne5122 3 жыл бұрын
Asante Mwanafunzi wangu Flora. Najisikia amani kutiwa moyo na Mwanafunzi wangu. Wasalimie wote wanafunzi wangu wote wa Tinde Girls. Subscribe and Share more to others
@gidsonmarko9800
@gidsonmarko9800 Жыл бұрын
nakufatilia sana na unazidi kunibariki
@abdulshaban8136
@abdulshaban8136 3 жыл бұрын
Mafunzo mazuri kaka mgomba.
@masomoyakarne5122
@masomoyakarne5122 3 жыл бұрын
Asante sana. Mungu atukuzwe zaidi
@shijannjonge5313
@shijannjonge5313 3 жыл бұрын
Mungu akuzidishie
@masomoyakarne5122
@masomoyakarne5122 3 жыл бұрын
Asante kakaangu Shija au Lameki
@eliasmwita9547
@eliasmwita9547 3 жыл бұрын
Hongera sana my school mate, na collage mate!
@masomoyakarne5122
@masomoyakarne5122 3 жыл бұрын
Waoooo 🤣😂😅 shukrani sana pia kaka Elias. Tuombe uzima na fursa zaidi ili tuwe mbaraka kwenye jamii kadri muda unavyoruhusu
@yourchoice6427
@yourchoice6427 3 жыл бұрын
Safi Sana mkuu Mungu akubariki
@masomoyakarne5122
@masomoyakarne5122 3 жыл бұрын
Amina, jina la Bwana litukuzwe sana
@thehopevoicetz8829
@thehopevoicetz8829 3 жыл бұрын
Nimebarikiwa
@masomoyakarne5122
@masomoyakarne5122 3 жыл бұрын
Amina sana, jina la Bwana litukuzwe
@petrotumainitv
@petrotumainitv 3 жыл бұрын
Barikiwa sana mtumishi, mbadala inashauriwa kutumia asali na sukarigu....SUKARI YA KIWANDANI (REFINED SUGAR) INASHUSHA KINGA na kibaya zaid INAUA UWEZO WA UBONGO.....
@masomoyakarne5122
@masomoyakarne5122 3 жыл бұрын
Shukrani sana mtumishi wa Bwana, hongera kwa nyongeza nzuri pia. Karibu sana
@petrotumainitv
@petrotumainitv 3 жыл бұрын
CHUMVI, nzuri kiafya inayoshauriwa kutumia kwa kiasi, ni ya MAWE, au HIMALAYAN SALT....Chumv ya kawaida ina madini makuu aina tatu, wakati ya mawe ni zaidi ya aina arobaina na HIMALAYAN SALT zaidi ya aina 80.....
@masomoyakarne5122
@masomoyakarne5122 3 жыл бұрын
Ubarikiwe sana
@petrotumainitv
@petrotumainitv 3 жыл бұрын
@@masomoyakarne5122 Amina
MAMBO HAYA MANNE (4) LAZIMA YAKUPATE
20:59
MASOMO YA KARNE
Рет қаралды 634
MAMBO SABA (7) YANAYOFANYA UKATE TAMAA
13:03
MASOMO YA KARNE
Рет қаралды 387
Fortunately, Ultraman protects me  #shorts #ultraman #ultramantiga #liveaction
00:10
The Joker saves Harley Quinn from drowning!#joker  #shorts
00:34
Untitled Joker
Рет қаралды 71 МЛН
Magic trick 🪄😁
00:13
Andrey Grechka
Рет қаралды 50 МЛН
Little brothers couldn't stay calm when they noticed a bin lorry #shorts
00:32
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 20 МЛН
MAMBO 14 YA KUEPUKA WAKATI WA KULA
10:43
MASOMO YA KARNE
Рет қаралды 879
MAMBO HAYA 3 NI HATARI KWA AFYA YAKO
9:05
MASOMO YA KARNE
Рет қаралды 5 М.
UKWELI WA AJABU KWA KARNE HII -UTANGULIZI
8:19
MASOMO YA KARNE
Рет қаралды 435
NJIA 6 MUNGU ANAZOTUMIA KUZUNGUMZA NA MWANADAMU- EV. MGOMBA
12:55
MASOMO YA KARNE
Рет қаралды 204
LIVE : SABATO YA KUITIMISHO  || MAKAMBI MTAA WA ZANZIBAR CENTRAL 2024
1:13:10
LIVE || MAFUNDISHO MAKUU || KAMAMBI MTAA WA ZANZIBAR CENTRAL 2024
36:09
FAHAMU MATENDO  8 MAKUU YA MUNGU KWA ULIMWENGU- EV. MGOMBA
5:43
MASOMO YA KARNE
Рет қаралды 160
Fortunately, Ultraman protects me  #shorts #ultraman #ultramantiga #liveaction
00:10