Рет қаралды 16,524
Huku serikali ikitangaza mikakati inayochukua kuokoa maisha na kusaidia waathiriwa wa mafuriko nchini, hali inazidi kuwa mbaya kwa waathiriwa kaunti ya Garissa. Kufuatia kuharibiwa kwa barabara ya kuelekea mjini Garissa kutoka madogo, bei za bidhaa imeongezeka maradufu huku utumizi wa boti ukisalia kuwa njia pekee ya kutoka sehemu moja hadi nyingine.