Poleni Sana. Tunategemea serikali kupiia wizara ya uchukuzi itschukua hatua za haraka. Pamoja na njia nne tunaomba ufanisi zaidi kupanua huduma za customs ili kupunguxa siku za kukaa boda kabla ya kuvuka.
@MohammedJaizan-yf5yt Жыл бұрын
Huu mradi utapigwa Dana Dana kwenye malipo (compensation)mpaka ufikie kwenye utekelezaji ni mwaka 2030
@philemonmagesa5548 Жыл бұрын
Magufuri angelikuwepo wenda hiyo barabara ingelikuwa imeshaanza kujengwa
@AlfaSaa-j4h Жыл бұрын
Viraza wanaongoza nchi na watu wa hovyo wapuuzi tu Nendeni kwa Kagame mkajifunze Tanrods na viongozi ni viraza
@marykyusa8212 Жыл бұрын
Ni hatar sana kwamagar ya petrol kupanga folen muda mrefu ilhal raia n weng kuzunguka eneo hlo.
@wozanawewoz979 Жыл бұрын
Lakini upande wa zambia ndio kumeozaa kabisa , waafrika tunatia aibuu kabisa na viongozi tunao yaani aibu tukika uko kutembea na kurudi nje hadi aibu kuonyesha wazungu picha wakikuuliza hebu tuone picha basii ulipotokaaa 😂
@rizikiminga3010 Жыл бұрын
Mmmmmmh kwa foleni iyo kwa mfano roli moja ya mafuta ikilipuka kinacho tokea mji huo ni janga la taifa ,,,,, serikali ifanye kazi yake
@AnithaMunuo Жыл бұрын
Yaan kaongea sahihi yule dreva itakuwa ni historia Tunduma hakuna ataye pona
@Optionxll_Playz1 Жыл бұрын
Watalamu wetu hawana maana kabisa ,manake moto ukiwaka hapo Hakuna atakaye pona .
@BilaliMuhammad Жыл бұрын
Tunduma shida
@t1910j11 ай бұрын
Ujinga gani huu. Fanyeni kazi muwashughulikie watu haraka badala ya kuwaweka siku kadhaa. Sio kutengeneza barabara tu.