Nashauri tukiwa tua design barabara zetu tufikilie long terms sasa izo barabara zinaminywa alafu baadae tunaingia tena gharama kutanua ikiwepo gharama za kulipa fidia kwa majengo yaliyopo karibu na barabara
@amanijampion3045 Жыл бұрын
askari mnapata tabu sana katika kusimamia barabara hii
@SelijusMalambo5 ай бұрын
We mfipa wa laela mzima
@GlennMsemwa Жыл бұрын
Mwanangu George nimekuona hongera sana kwakutia comments 😀
@IsraelSiame-o7z Жыл бұрын
Mbona kama barabara hii ina maigizo mengi,barabara hiyo si ilishafanyiwa desin muda mrefu na walishasain