POLISI WAFANYA MAZOEZI YA UTAYARI MBEYA

  Рет қаралды 5,043

ITV Tanzania

ITV Tanzania

Күн бұрын

Пікірлер: 19
@salumjrsaidjr7150
@salumjrsaidjr7150 Жыл бұрын
Daah Mdude na Mwabukus wawili tuu Mnatumia Nguvu kubwa ya Police 🤔Tz Bana Kwa kk
@OmaryAlly-x1j
@OmaryAlly-x1j Жыл бұрын
Kumbe na nchi yetu tunayo mabom ya kupambana na wahalifu
@CastorMwakipesile-gk9tu
@CastorMwakipesile-gk9tu Жыл бұрын
Wanafanyia mazoezi barabalan mh.
@josephatmhamiji4886
@josephatmhamiji4886 Жыл бұрын
Mtangulizeni mungu sana acheni kutumia madaraka kama fimbo acheni cheo ulicho nacho nidhamana yawatanzania
@thomastarimo
@thomastarimo Жыл бұрын
na wananchi msikubali ujinga wowote
@HijaSaid-xd7fg
@HijaSaid-xd7fg Жыл бұрын
Mazoezi kwa ajili ya wezi waliotajwa na CAG, na mafisadi wengine
@josephatmhamiji4886
@josephatmhamiji4886 Жыл бұрын
Huyu mkuu wamkoa analipwa nakodi yawatanzania nchi siyo yako niyawatanzania tumia hekima sana unapokuwa kiongozi wauma kauri yakusema askari wako huwalipi mshara nikodi zamasikini msiwapige vita wawakilishi wawa Tanzania 🇹🇿 tumieni hekima amani nikitu muhim sana
@DenisonTheonest-yj3mk
@DenisonTheonest-yj3mk Жыл бұрын
Nyie majinga
@elibarikipeter
@elibarikipeter Жыл бұрын
Mnalinda raia wa wapi achen kutuchanganya labuda wababe wenzen sio wanyonge wanyonge wanahali mbaya Sana na wamewachoka na mbaya zaidi mnachonishangaza kutumia nguvu kubwa yaan mnatumia gobole kuangua papai
@healingclinic698
@healingclinic698 Жыл бұрын
Ipo siku tu itafika ambayo huo upumbavu hamtaufanya kama maandamo ni uharifu sawaaa endeleeni tu
@nicolausminja689
@nicolausminja689 Жыл бұрын
😂😂😂 ITV mmekuwa hovyo kiasi hiki!mnadhani watazamaji wenu wote ni watoto au? Acheni unafiki.bora msinge report.
@fredrickmwakalinga6390
@fredrickmwakalinga6390 Жыл бұрын
Ani wakili mwambukusi anayedai maandamano ya amani wapumbavu na kujipendekeza kwa rais vitisho ya kipungavu wananchi wakijipanga wala si lolote wanacheza kodi zetu
@josephatmhamiji4886
@josephatmhamiji4886 Жыл бұрын
Wanafanyia mazoezi kinanani kuna magaidi gani Tanzania 🇹🇿 tumieni hekima viongozi kauli ambayo inatushangaza kiongozi anataja askari wake hiyo kauli haijatupendeza kama watanzania askari wote niwawatanzia
@mandelasamson8401
@mandelasamson8401 Жыл бұрын
Huyo ni Mwabukusi na Mdude guTU wajinga nyie
@peterdaimon-ug6fd
@peterdaimon-ug6fd Жыл бұрын
Bandari hamjatulindia mbona
🔴TAARIFA YA HABARI YA ASUBUHI, DISEMBA 24, 2024
ITV Tanzania
Рет қаралды 200
Majambazi sugu wakamatwa na polisi kwenye mpaka wa Burundi na Tanzania
6:03
Мясо вегана? 🧐 @Whatthefshow
01:01
История одного вокалиста
Рет қаралды 7 МЛН
IL'HAN - Qalqam | Official Music Video
03:17
Ilhan Ihsanov
Рет қаралды 700 М.
Chain Game Strong ⛓️
00:21
Anwar Jibawi
Рет қаралды 41 МЛН
Каха и дочка
00:28
К-Media
Рет қаралды 3,4 МЛН
Arson epidemic in Russia / YouTube blocked in Russia
12:45
NEXTA Live
Рет қаралды 329 М.
🔴TAARIFA YA HABARI YA SAA MBILI USIKU, 23 DISEMBA, 2024
58:15
ITV Tanzania
Рет қаралды 18 М.
True scale of Assad’s slaughter revealed at Syrian mass grave
22:33
Channel 4 News
Рет қаралды 1,3 МЛН
🔴TAARIFA YA HABARI YA ASUBUHI, 23 DISEMBA, 2024
29:56
ITV Tanzania
Рет қаралды 3,7 М.
Turkey's Power in Egypt: Leaders Stood as Turkish President Entered
7:57
Germany Election: AfD Candidate Alice Weidel on Election, EU, Trump, Energy
16:51
Мясо вегана? 🧐 @Whatthefshow
01:01
История одного вокалиста
Рет қаралды 7 МЛН