BARAKA MAGUFULI KAFUNGUKA MSIBANI CHATO "NAUMIA SANA, BILA MAGUFULI HATA HAPA NISINGEKUEPO"

  Рет қаралды 292,273

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 194
@dianashija5674
@dianashija5674 3 жыл бұрын
Kumbe baraka is so handsome
@jenifajuma5395
@jenifajuma5395 3 жыл бұрын
Sanaaaa Ni handsome mnooo
@agaowajouniar
@agaowajouniar 3 жыл бұрын
Tena mnooo halafu ana mwanya kazuree
@rajmkonje7149
@rajmkonje7149 3 жыл бұрын
Ushamtamani
@rajmkonje7149
@rajmkonje7149 3 жыл бұрын
Hamna haya
@salimsaid7200
@salimsaid7200 3 жыл бұрын
@@jenifajuma5395 M'meshakamata Usukani Sasa M'natutongoza Mchana Kweupeee Juwa La Sa 6 🤣🤣🤣🤣
@mnegaamina6085
@mnegaamina6085 3 жыл бұрын
Haijawai tokea rais kunyanyua watoto wa masikini namna hii
@neemamayombya4130
@neemamayombya4130 3 жыл бұрын
Jamani barakaaa hiyo sauti usiiongee tenaaa😭😭😭😭😭😭😭😭😭
@auntdorah9141
@auntdorah9141 3 жыл бұрын
Raisi mwenye Upendo wa kweli kwa kila mtu😭😭 Tulimpenda lkn Mungu kampenda zaidi. Alijitoa mpaka mwisho😭😭
@saumuhassan6365
@saumuhassan6365 3 жыл бұрын
Allah akupumzishe kwa Amani Rais wetu 🙏😭😭😭😭😭😭
@blasidajulius2240
@blasidajulius2240 3 жыл бұрын
Daaaaaaaah inaumaa sana Mungu ampumzishe kwa Aman Rais wetu😭😭😭
@matopeboybomba5732
@matopeboybomba5732 3 жыл бұрын
We mtangazaji unanenepa.sana
@mustyboymaalim2070
@mustyboymaalim2070 3 жыл бұрын
@@matopeboybomba5732 kuwa na adabu na ushughulike na maisha yako
@fhvbvgkvgc8073
@fhvbvgkvgc8073 3 жыл бұрын
@@mustyboymaalim2070 inaonekana anamfwatilia maisha yke xaana.
@mustyboymaalim2070
@mustyboymaalim2070 3 жыл бұрын
@@fhvbvgkvgc8073hao ndo wenye kuangusha uchumi wa taifa kwa ajili ya udaku na umbea
@habibasalim3092
@habibasalim3092 3 жыл бұрын
Usikufuru baraka magufuli eti isingekua magufuli nisingekua hapa
@zaitunali2208
@zaitunali2208 3 жыл бұрын
Kumbe baraka handsam maashaallah 🥰 kuwa na subrah kakaangu....allah awafanyie wepesi ndugu zetu watanzania
@amanimusenyi8217
@amanimusenyi8217 3 жыл бұрын
Ushamtamani tayar
@zaitunali2208
@zaitunali2208 3 жыл бұрын
@@amanimusenyi8217 kwani sini mwanaume lazima nimtamani...am wataka nitamani mwanamke
@amanimusenyi8217
@amanimusenyi8217 3 жыл бұрын
@@zaitunali2208 Sina maana hiyo😂 😂 😂
@baltazarymagata1146
@baltazarymagata1146 3 жыл бұрын
wabongo mnavisa😅
@mohamedhaji2200
@mohamedhaji2200 3 жыл бұрын
@@zaitunali2208 huna kosa kumtamani endelea
@grace.mungubariki.520
@grace.mungubariki.520 3 жыл бұрын
Poleni sana familia pamoja na taifanzima mana huo msiba umetugisa wa TZ wote mungu awape nguvu na azidi kuwapigania.
@fatimahamisi9235
@fatimahamisi9235 3 жыл бұрын
Daah 😭😭😭😭
@judithrichard2665
@judithrichard2665 3 жыл бұрын
Pole baraka
@bintimohamed2646
@bintimohamed2646 3 жыл бұрын
Oh my GOD 😭😭😭😭😭😭🙏🏽🙏🏽🙏🏽💔💔💔💔✋✋🇰🇪 May he soul Rest In Peace BABA Daah painfully really 😭😭🤫💔💔🙏🏽🙏🏽🙏🏽
@janekikoti2179
@janekikoti2179 3 жыл бұрын
Amen jirani mwema
@lightnessdaniel7965
@lightnessdaniel7965 3 жыл бұрын
Nakupa pole baraka tunafurahig Sana na familia yangu ukiigiza Kama maguful usiache uwe unamuenzi
@faudhiatmasoud4025
@faudhiatmasoud4025 3 жыл бұрын
Uyu kaka yupo kwny machungu mnooooo..
@kelvinkidanga9214
@kelvinkidanga9214 3 жыл бұрын
Daaaaahh jamani sitaki kuamini kuwa baraka yule wa zamani kumbe alikuwa kijana hivi daaah rest in peace magufuri 😭😭😭😭
@vincentnyawa
@vincentnyawa 3 жыл бұрын
Watching from the Sand beaches of Malindi Kenya. Tuwe pole sote
@angelorocco894
@angelorocco894 3 жыл бұрын
instablaster...
@fadinarashidi4520
@fadinarashidi4520 3 жыл бұрын
mungu anachukua anacho kipend wa Tanzania tumebaki na jonzi yasiyo kwisha ila Baraka endelea kutu fariji kwa saut ya baba insha anllah
@hussenyassin3499
@hussenyassin3499 3 жыл бұрын
Dahh pole san tumeumia san kuondokewa kwa mzee wetu
@عباسعباس-ش9ه4ت
@عباسعباس-ش9ه4ت 3 жыл бұрын
Mm nakushauri uendelee hivyo hivyo kuwakumbusha wananchi wasisahau maneno ya baba yetu
@allyhuyu1892
@allyhuyu1892 3 жыл бұрын
Tuseme tu kwamba maumivu haya yamewagusa waafrika wote kwani uwepo wa jpm madarakani bara lote la afrika, america sikwambii ulaya mpaka Asia walikuwa wakiifuatilia Tanzania kwa karibu na waione mwisho wake kwahiyo kifo hiki kimestua ulimwengu mzima
@khadijasalim3546
@khadijasalim3546 3 жыл бұрын
😭😭😭😭 innalillah wainnailayh rajuun
@tatubadi9010
@tatubadi9010 3 жыл бұрын
😭😭😭😭😭Inauma Sana..
@eliasbufula2482
@eliasbufula2482 3 жыл бұрын
Baraka, nimefurahi kuona ukihojiwa katika tukio hili, naamini kabisa kwamba ni kweli umeumia mno. Mungu akutie nguvu, ikibidi viongozi waliobaki waendelee kukupa nafasi.
@mariamramadhani3860
@mariamramadhani3860 3 жыл бұрын
Baraka uende kwa mama jesca umpe faraja
@wabo_199
@wabo_199 3 жыл бұрын
Poleen sanaaaa
@justinmutabazi7353
@justinmutabazi7353 3 жыл бұрын
Pole Sana kijana, na Watanzania kwa Ujumura kbsa Musiba mugumu Sana
@pelusiemanueli6926
@pelusiemanueli6926 3 жыл бұрын
😭😭pole San balaka magufuli
@agaowajouniar
@agaowajouniar 3 жыл бұрын
Kumbe Baraka ni Handsome wa nguvu Leo nimekuona vizuree saaan
@agaowajouniar
@agaowajouniar 3 жыл бұрын
@Dorka Kazunde Ameen thummah Ameen,🙏🙏🙏🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿😭😭😭😭
@rajmkonje7149
@rajmkonje7149 3 жыл бұрын
Ushamtamani wenawe hujaacha tu?
@agaowajouniar
@agaowajouniar 3 жыл бұрын
@@rajmkonje7149 Mmmhh,🤐🤐🤐🤐🤐
@mustyboymaalim2070
@mustyboymaalim2070 3 жыл бұрын
😭😭😭😭 congratulations baraka...usijali kaka sote twa elekea huko... poleni sana kutoka kenya
@asumpternjojo6296
@asumpternjojo6296 3 жыл бұрын
Pole Sana baraka
@hawamazengo5807
@hawamazengo5807 3 жыл бұрын
Ni huzuni kweli kweli 😭😭😭🤦
@ceciliambui5972
@ceciliambui5972 3 жыл бұрын
Sana tena
@estomiailomo7844
@estomiailomo7844 3 жыл бұрын
Mm mwenyewe jmn ningependa huyu baraka apewe cheo chochote Ili aweze kuienzi sauti ya hayati babaaetu magufuli kwa vitendo mama etu samia suluhu mwangalie huyo kijana kwa jicho la pili na watanzania tutajivunia maana anajua kutumia sauti vzl km babaaetu jony pombe magufuli
@deuspeter6276
@deuspeter6276 3 жыл бұрын
REST IN PEACE PAPAA 🙏🙏🙏😭😭😭😭
@ramadhanyusuph7633
@ramadhanyusuph7633 3 жыл бұрын
😭😭TUTAMKUMBUKA SANA MAGUFULI MAANA KAFANYA MAKUBWA KWA MIAKA MICHACHE UTAZANI KAKAA MIAKA 50 MADALAKANI WENI WAO KUJIMILIKISHA MALI KUTUACHIA MABARABARA YA VUMBI HUYU ALIJITOLEA KWA AJILI YA WATANZANIA NA KUSEMA MGAMBO WATAFUTE KAZIA YA KUFANYA NITALALA NAO MBELE KWA MBELE 😭😭😭😭😭😭😭😭👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻
@azaelieliyud1463
@azaelieliyud1463 3 жыл бұрын
Nakukubar sana
@dorcaskidoti249
@dorcaskidoti249 3 жыл бұрын
Huyu kijana na Harmonize walipendwa sana na JPM, JPM alimwambia Harmo akagombee ubunge tandahimba.😭😭😭
@shanifesto9037
@shanifesto9037 3 жыл бұрын
Pole baraka,,tumuombee tu hatuna njisi
@biggestnasritv2601
@biggestnasritv2601 3 жыл бұрын
THE BIGGEST BOSS NASRI
@paulinacherement2534
@paulinacherement2534 3 жыл бұрын
SUBHANNA LLAH alhamdulillah ALLAH AKBAR
@onesmojustice2348
@onesmojustice2348 3 жыл бұрын
Kumbe jamaa handsom😃😃😃
@ivaniavianarodrigo7201
@ivaniavianarodrigo7201 3 жыл бұрын
sio kidogo sana tu.
@mishibabu8946
@mishibabu8946 3 жыл бұрын
Hahaa
@mohammedabdala7526
@mohammedabdala7526 3 жыл бұрын
ni mzuri mkaka uyu me nilijuwa ni babu tumeumia kwakweli namsiba wababa yetu
@maabate1272
@maabate1272 3 жыл бұрын
😂😂😂 mwenyewe cjaamini
@zenadaudzena2849
@zenadaudzena2849 3 жыл бұрын
Haswa mwanya imechangia
@ernestndauka9301
@ernestndauka9301 3 жыл бұрын
Nashukuru kwakua mmeweza kufanya kile nilicho waomba!! Mm nishabiki wako namba Moja kwa kila video unazotoa!! Nimefurahi kumuona Baraka Magufuli!! Akihojiwa leo!! Na nilitamani apate nafasi toka Mwanzo!!
@jenifajuma5395
@jenifajuma5395 3 жыл бұрын
Juzi pia kahojiwa Ila sikumbuki Ni tiv gani Tena kahojiwa akiwa amekaaa Ni kuhusu huu msiba wa mzee wetu
@ernestndauka9301
@ernestndauka9301 3 жыл бұрын
@@jenifajuma5395 Sikuona hiyo!! Ila kwa Ayo tv nilitamani wamfuate maana kwa kipindi kile alichukua ana vuma walimsumbua Sana
@Aminaamina-cg8sf
@Aminaamina-cg8sf 3 жыл бұрын
Alihojiwa NA ALAMA ONLIVE TV Ile kahojiwa liundani zaidi
@allyhuyu1892
@allyhuyu1892 3 жыл бұрын
Anakidonda kifuani, pole Baraka tumeumia wote na wengi sana tutateseka kutokana na pengo hili huku tukijua kabisa kazi ya mola haina makosa
@tuwenasitv9695
@tuwenasitv9695 3 жыл бұрын
baraka pole sana kaka
@christinemapendo1584
@christinemapendo1584 3 жыл бұрын
Olala 😭😭😭😭😭
@hawamazengo5807
@hawamazengo5807 3 жыл бұрын
Jaman magufuri alikua mzungu wa roho ee mungu mpunguzie ghazabu ya kaburi.
@dhakomodherooherokoko6037
@dhakomodherooherokoko6037 3 жыл бұрын
Acha kutumia neno "mzungu" hapa..kwani mzungu ni nani?
@williamsmith8782
@williamsmith8782 3 жыл бұрын
@@dhakomodherooherokoko6037 right
@menyajoseph9729
@menyajoseph9729 3 жыл бұрын
ilonipengo kubua sana mungu atusitiri
@tusajigwemathias1808
@tusajigwemathias1808 3 жыл бұрын
Pole Baraka jamaniii
@lydiathomas2905
@lydiathomas2905 3 жыл бұрын
Pole sana kijana. Kweli baba alikuwa anakupenda.
@mejammoleli2325
@mejammoleli2325 3 жыл бұрын
Ni kweli kabisa
@floridajonhmatata4365
@floridajonhmatata4365 3 жыл бұрын
mmh xo handsome
@mariamakanu1690
@mariamakanu1690 3 жыл бұрын
💔💔😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
@bentajoseph7298
@bentajoseph7298 3 жыл бұрын
Tumuombee baba yetu rais mpendwa Magufuli roho yake itulie kwa amani...Ndugu zangu watanzania tuwe pole...mimi niko Kenya na inauma sanaa ...
@rachelpease7302
@rachelpease7302 3 жыл бұрын
So painful 💔😢
@charlesmyamba8531
@charlesmyamba8531 3 жыл бұрын
Pole Sana tumempoteza baba etu kipenz
@kassaramadhani1903
@kassaramadhani1903 3 жыл бұрын
Kwel kaka nakup honger kwa ushaur wako lazim tushikaman ss wenyew jamn mm nalia nakuumia
@Njachama1776
@Njachama1776 11 ай бұрын
MWENYEZI mungu amlinde
@dizelakituleKitule-qx6ss
@dizelakituleKitule-qx6ss Жыл бұрын
Inaumiza sana babaangu kipenzi manguu
@shamilakarimu3820
@shamilakarimu3820 3 жыл бұрын
Baraka anafanana na maguu😥😥😥😥😥
@khadijaomari9344
@khadijaomari9344 3 жыл бұрын
kweli kabisa
@shamilakarimu3820
@shamilakarimu3820 3 жыл бұрын
@@khadijaomari9344 umeonae😥😥
@amacachatraders6198
@amacachatraders6198 3 жыл бұрын
Chuma kimeenda dahhhh.
@dorothycherono6295
@dorothycherono6295 3 жыл бұрын
Poleni sana
@gracembaka5689
@gracembaka5689 3 жыл бұрын
Kwakwel nimeumia sana, na sizan kama kutatokea mzalendo kama magufuli, anae penda wanachi kama familia yake..dah 😭😭😭😭😭😭😭😭😭
@yordanyona1234
@yordanyona1234 3 жыл бұрын
Jamani Rais alipenda Sana wanyonge ambao tupo wengi
@salimhassan4770
@salimhassan4770 3 жыл бұрын
Mama Samia MUNGU akutangulie ktk kazi yako
@Noah-se3ni
@Noah-se3ni 3 жыл бұрын
Interview Baraka umehongeya vinzuri sauti yako kama ya Raisi mangufuli Kweli kwali.
@hassanissa4792
@hassanissa4792 3 жыл бұрын
Daah , magufuli mpk alikuwa anapata muda wa kuchati na dogo duuuh
@gaspertyme
@gaspertyme 3 жыл бұрын
Imeniuma sana kaul ya tutaonana kesho dah R I P DADY
@queenjayztz8615
@queenjayztz8615 3 жыл бұрын
Kumbe barak ni mvulana ivi Dah MAGU wetu😢😢
@teedullah5708
@teedullah5708 3 жыл бұрын
Pole sn baraka
@wabo_199
@wabo_199 3 жыл бұрын
Naitwa wabo
@jhhail8633
@jhhail8633 3 жыл бұрын
pole sana kaka
@teddymwageni1763
@teddymwageni1763 3 жыл бұрын
Msifadhaike mioyoni mwenu, Bwana ametuumbia nafsi zinazoonja mauti
@nuruelmada9570
@nuruelmada9570 3 жыл бұрын
Oohhhj!!! Mungu Nisaidie saidie, Pole sana Baraka
@emmanueljohn7
@emmanueljohn7 3 жыл бұрын
Huyu Jamaa ukichanganyikiwa unaweza fikili ni mtoto wa JPM maana wanafanana hatari. Jinsi alivyompenda MPAKA kafanana nae Hadi sauti
@deuspeter6276
@deuspeter6276 3 жыл бұрын
🙏🙏🙏😭😭😭
@generozakayoza8482
@generozakayoza8482 3 жыл бұрын
Pole kijana magu
@happinessaron2110
@happinessaron2110 3 жыл бұрын
Daaa bado ciamin jaman naona kama picha vile ciamin Kwa Kwa kwel pumzika Bba mwendo umeumaliza
@petrocristian5364
@petrocristian5364 3 жыл бұрын
Hakika baraka nimeamini unamaumivu makali sana kiukweli imetuumiza watanzania wote msiba huu ni fundisho kwetu tuyaishi mema aliyotuonyesha baba yetu Hayati Joseph Pombe Magufuli
@kombozimbwilo4289
@kombozimbwilo4289 3 жыл бұрын
Naumia sana
@khadijaomari9344
@khadijaomari9344 3 жыл бұрын
kumbe baraka ni kijana nilijua ni mtu mzima
@princemoudy5377
@princemoudy5377 3 жыл бұрын
Khadija mumeo niko hapa mohammed@khadija
@brendaleonard6134
@brendaleonard6134 3 жыл бұрын
Dogo upo vizurii
@carloskietimutinda579
@carloskietimutinda579 3 жыл бұрын
Baraka omba wananchi angalau udiwani ama ubunge basi uchape kazi kama alivyo tufunza baba yetu Magufuli angalau atafurahia huko aliko
@emmapaul1766
@emmapaul1766 3 жыл бұрын
Labda muibe kura kama kawaida yenu
@dorcaskidoti249
@dorcaskidoti249 3 жыл бұрын
Kweli kbs wangu.
@giloogilo6589
@giloogilo6589 3 жыл бұрын
Baba Magufuli,kwa kweli alisaidia wengi sana Tanzania hii.Watu hawaitakii mema Inchi yetu lakini Mungu yupo nasi mpaka dakika za mwisho na hatutarudi nyuma Watanzania.Baba Magufuli atalala mahali Pema peponi.Yaani inasikitisha Inchi yetu nzima.
@mimiwewe6617
@mimiwewe6617 3 жыл бұрын
Mkuu tutakumisi kweli kweli rip
@shitengeshitenge481
@shitengeshitenge481 3 жыл бұрын
baba yetu magufuli pumzika kwa Amani kweli umetusaidia sana watanzania kutuonyesha kuwa hata Tanzania tanaweza sana kujiendesha sisi.
@pendolazaro4686
@pendolazaro4686 3 жыл бұрын
Jaman
@tamaraseff.9707
@tamaraseff.9707 3 жыл бұрын
Poleniii
@manish-fp1fb
@manish-fp1fb 3 жыл бұрын
"Wasiotakia mema taifa letu...".. teh teh, watu wanaongea kwa kumezeshwa hata kujiongeza hawajui... akili za kuambiwa unachanganya na zako. PM na yule kibichwa cha embe wamewaambia uongo waziwazi.. lakini utakuta boya mmoja anacheza mule mule kwenye tune zao, kama misekule.
@زيتونتنزانيا
@زيتونتنزانيا 3 жыл бұрын
Mtangazaji kavimba macho amakweli magufuli kajua. Kutuliza
@pelesmwaipopo4382
@pelesmwaipopo4382 3 жыл бұрын
pole yetu sote Baraka
@asteriambwei3349
@asteriambwei3349 3 жыл бұрын
Pole baraka itaendelea kuect tumkumbuke j p m
@okellocollins9343
@okellocollins9343 3 жыл бұрын
Ayo kwani umebadili sura nini???
@estermathias8354
@estermathias8354 3 жыл бұрын
Baraka asante kwa mchango wako
@jacklinejosam3713
@jacklinejosam3713 Жыл бұрын
Duh
@nasrinairi9556
@nasrinairi9556 3 жыл бұрын
🤦🏻‍♂️💪💪🇹🇿
@charlzcon6812
@charlzcon6812 3 жыл бұрын
Niliwahi kwamwambia Baraka katika page yake wala hapaswi kuogopa na tena anayo bahati kubwa kumuigiza kiongozi akiwa hai, sasa ni mwanzo mpya tena kwa Baraka kumuigiza Mh. baada ya kifo.
@aminamwivita7690
@aminamwivita7690 Жыл бұрын
Rest in peace polen tn sn
@annaelia2651
@annaelia2651 3 жыл бұрын
😭😭😭
@ceciliambui5972
@ceciliambui5972 3 жыл бұрын
Pole sana
@teresiapetro2548
@teresiapetro2548 3 жыл бұрын
Huyu atawalizawatu badae siku akimuigiza Jemedariwetu Hayati Magufuli.
@andrewkilave3532
@andrewkilave3532 3 жыл бұрын
Vido vidox
@jephutantigwanamba6923
@jephutantigwanamba6923 3 жыл бұрын
R.i.p
@hadijaangura6572
@hadijaangura6572 3 жыл бұрын
Vidox umenona. RIP MAGU
@MariamMohamed-oz6it
@MariamMohamed-oz6it 3 жыл бұрын
Yaaan kumbe we umeona eeh
@n.o.m4385
@n.o.m4385 3 жыл бұрын
afu kuna boya yuko nnje kule kwa wazungu ambao wana nia ya kumtumia kuja kusainisha mikataba ya kipuuzi ambayo mzee alitumia nguv zake nying kuzivunja, ana ropoka tu ujinga kule
@josephemmanuel3175
@josephemmanuel3175 3 жыл бұрын
Msenge tu huyo beberu mweusi
@frankcosta4986
@frankcosta4986 3 жыл бұрын
Asubutu aone,kwa sasa watanzania tumeamka,baba yetu ameacha ametupika tumeiva kwelikweli,kiakiri ma kiueledi.
@janekikoti2179
@janekikoti2179 3 жыл бұрын
We asijaribu shoga yule kabsa tutaandamana nchi nzima kama anataka aolewe tu
@jenifajuma5395
@jenifajuma5395 3 жыл бұрын
Kwakuwa tumejua Nia yake nibora abaki huko huko au Kama akija aje kwaajili ya Mambo mengine na familia yake watanzani saivi tumeamka
@hyasintndimbo2998
@hyasintndimbo2998 3 жыл бұрын
Mi ctamani ata kusikia sauti yake uyo Beberu mweusi, Tutamtafuta ata sisi Wananchi akileta ungese😠😠
@yohanakinyere5422
@yohanakinyere5422 3 жыл бұрын
Laa
Enceinte et en Bazard: Les Chroniques du Nettoyage ! 🚽✨
00:21
Two More French
Рет қаралды 42 МЛН
Try this prank with your friends 😂 @karina-kola
00:18
Andrey Grechka
Рет қаралды 9 МЛН
It’s all not real
00:15
V.A. show / Магика
Рет қаралды 20 МЛН
MAGUFULI Amekutana na Jamaa Anayemuigiza Sauti Yake!
6:20
Global TV Online
Рет қаралды 130 М.
MAMA APELEKA BARUA YA MAPENZI KWA RAIS MAGUFULI - "RAIS NAKUPENDA SANA"
3:38
Enceinte et en Bazard: Les Chroniques du Nettoyage ! 🚽✨
00:21
Two More French
Рет қаралды 42 МЛН