BARAKA MAGUFULI ARUDI NA WAZIRI JAFO ''NIMESIKIA UNA WAKE WATATU, KUNYWA MAZIWA UNENEPE''

  Рет қаралды 601,588

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 322
@abuuazhar3738
@abuuazhar3738 5 жыл бұрын
haki ya Mungu hiki ni kipajiiiii. Kama unaamini Mungu anaweza gonga like hapa
@didaashraff1024
@didaashraff1024 4 жыл бұрын
Baraka oyeeeee
@Tino_Official_tz
@Tino_Official_tz 5 жыл бұрын
🍁hii sauti anaipatia sana na vionjo vya mueshimiwa raisi wetu. Kama umegendua ina mamlaka hata kama anafanya "comedy" lkn bado unahisi kama ni Rais mwenyewe anaongea. Hongera sana kijana.🍁
@francisruambothetechnician
@francisruambothetechnician 5 жыл бұрын
Baraka fungua KZbin channel yako tafuta camera man kila unapopita weka videos zako zitakuongezea kipato na kuwa na kabrand kako.
@flightclubtanzania1638
@flightclubtanzania1638 5 жыл бұрын
Sure man
@paulebby1552
@paulebby1552 5 жыл бұрын
Kweli
@davidwalalason7630
@davidwalalason7630 4 жыл бұрын
Hapa umenena
@errydeo8865
@errydeo8865 4 жыл бұрын
good idea
@oscaryona6013
@oscaryona6013 4 жыл бұрын
Aisee umeongea point sanaaa... Ebu atekeleze ushauri wako
@kadijakk6384
@kadijakk6384 5 жыл бұрын
Penye ukweli uongo ujitenga baraka ndg yetu unaweza sana mwenyezi mungu akupe afya njema
@pulikisia7963
@pulikisia7963 3 жыл бұрын
Yani kama yeye vile, duh! Aendelee hivihivi hata kama mheshimiwa kaondoka.
@aymankhadija619
@aymankhadija619 3 жыл бұрын
Haki ya Mungu jamanii sasa huyu ni raisi auuuuu!!??,Manake nachekaga nikimsikiliza mwenzenuuu ana kazi ya kuwasimamisha viongozi tu na wanasimama😄😄
@festomishita3303
@festomishita3303 5 жыл бұрын
Yan hapo hao waheshimiwa wanatetemeka wanahisi n magu kabisa 😂😂😂😂😂 dah
@kajugaa4537
@kajugaa4537 5 жыл бұрын
Unajua kuna mda fulani akiwaita viongozi wanashtuka wanajua ni magu kweli mfano akisema mkurugenzi yuko wapi? Basi mkurugenzi anashtuka akijua ni magu kweli!! Haa haa haa baraka unaweza
@mtanzaniamzalendo7001
@mtanzaniamzalendo7001 5 жыл бұрын
Hahahah
@mamachris6811
@mamachris6811 5 жыл бұрын
Wasije dondoka kwa pressure Ha ha haaaaa
@nasraabdallah850
@nasraabdallah850 4 жыл бұрын
Nawanainuka kwaheshima kweli 🤣🤣🤣🤣
@chrispinjohn144
@chrispinjohn144 3 жыл бұрын
Nimecheka kweli ameinuka na akainama ishara ya kuheshimu
@richardmwandali7722
@richardmwandali7722 3 жыл бұрын
Brother baraka magufuri tishaa sanaa
@saidmilambo5717
@saidmilambo5717 5 жыл бұрын
Kama tangazo la asas lmefka penyewe
@paulebby1552
@paulebby1552 5 жыл бұрын
Katisha
@lewiskombole2917
@lewiskombole2917 4 жыл бұрын
Raia gani anajeuri ya kumuinua mkuu wa mkoa zaid ya huyu dogo magu😁😁😁
@yusufkechbow8153
@yusufkechbow8153 5 жыл бұрын
Kwa kweli..... MAZIWA YA ASASI.... Ni bora Sana, ni NAMBA MOJA Kila nikijaribu mengine.... Mepesi sana, sijui wanawake Maji Ila Asasi wanajitahidi Sana, huwezi kuchukiau, ....safi Sana ASASI endeleeni hivyo hivyo..... Naona hadi prezdaa kawakubali
@stevencherdiel9522
@stevencherdiel9522 5 жыл бұрын
Jiandae 2025 mzee Magu akistaafu uendeleze kidogo hata kwa awamu moja tu
@hassanmfaume4522
@hassanmfaume4522 3 жыл бұрын
Tayari kastaafu Maxima😃😁😄
@riobanobert9358
@riobanobert9358 4 жыл бұрын
That scout behind him took everything so serious 😅
@allanbrano5362
@allanbrano5362 3 жыл бұрын
He did his part perfectly well. He looked like a trained soldier
@allanbrano5362
@allanbrano5362 3 жыл бұрын
That brown boy in scouts uniform can make a perfect soldier
@wilfredmoshi6507
@wilfredmoshi6507 5 жыл бұрын
Da nimemkubalia sana huyu jamaa yaani hapo kwenye maziwa kafanya bonge la tangazo.Keep it up baraka.
@oswardkabasa5855
@oswardkabasa5855 4 жыл бұрын
Daaaa!!!
@zittotv9972
@zittotv9972 5 жыл бұрын
Wafanya Kazi wangu nyinyi mtakunywa chai Hahahahahaaaaaaaaaaaaaa
@MYCYOBEL
@MYCYOBEL 4 жыл бұрын
Hawa viongozi safi sana wamerespond vizuri bila dharau.
@wailesdeus3764
@wailesdeus3764 5 жыл бұрын
Safi Sana baraka.. viongoz wanaitika Sauti ya Rais Magu wala hawakaidi jamani 😂😂 kipaji na ujasiri wako ndio msingi wako.. nakutabiria makubwa zaidi.. maana ninavyoijua serikali haitakuacha hivi hivi..❤️
@zittotv9972
@zittotv9972 5 жыл бұрын
Wailes Deus ndo isha mwacha hivo kijana
@kassimomari4786
@kassimomari4786 4 жыл бұрын
Hahahaha nimecheka sana kuigiza sauti kajisahau kajikuta magufuli tayar
@ابوعبدالرحمن-س5ز3ض
@ابوعبدالرحمن-س5ز3ض 4 жыл бұрын
Mimi nimemkubali baraka magufuli anajua sanaaaaaa kuigiza sauti ya mh magufuli
@wilkinssimkoko7920
@wilkinssimkoko7920 4 жыл бұрын
Asee kwa Sauti imekaribia sana kufanana ila manenoo ni 100% safi sana. Fuata ushauri wa Smart Technology
@holidaytripstanzania
@holidaytripstanzania 5 жыл бұрын
Kakayangu BARAKA MAGUFULI unapiga kazi nzuri. Ila ukitaka kufanikiwa zaidi fungua acount za KZbin na Instagram. Angalia mwenzako kutoka UGANDA teacher MPAMIRE anakula maisha hongera kaka
@azizaz1628
@azizaz1628 4 жыл бұрын
Baraka magufuli hapa umetisha sana💪
@Johnmasanja27
@Johnmasanja27 4 жыл бұрын
😂😂🤣 uwii jaman huyu jamaaa ni shidaah
@zuberikamote2078
@zuberikamote2078 5 жыл бұрын
Eti wasaidi wngu nyinyi mtakunywa chai🤣🤣🤣🤣🤣
@benjaminabisemba5331
@benjaminabisemba5331 3 жыл бұрын
Hii ndo picha ya Magufuli kabsa , atakayekuwa anafuta machozi
@minyarothomas8167
@minyarothomas8167 4 жыл бұрын
Hii kitu naiangalia mpaka leo 😂😂😂
@MAFUNDISHO1
@MAFUNDISHO1 4 жыл бұрын
Kipaji na Ubunifu so perfect
@briannyiti8234
@briannyiti8234 5 жыл бұрын
Bod guard tu mimi😂😂😂
@jacklinejacksone1165
@jacklinejacksone1165 3 жыл бұрын
We mimi kabisaa pamoja na🤣🤣🤣🤣 kwamba tunamajonzi ya rais😭 wetu
@nayopamlimbatv1382
@nayopamlimbatv1382 4 жыл бұрын
Adi raha nakukubari sana Mr.Presedent Baraka Magufuri
@bnsonimakle1155
@bnsonimakle1155 2 жыл бұрын
I like it very impressive...
@talfritz1936
@talfritz1936 3 жыл бұрын
I just love this guy. Even as I don't understand what he is saying due to colonial damage to us in Cameroon, am so proud of you East Africa and magufuli in particular. African children will never forget you and your spirit shall never depart from us. From Cameroon, we celebrate your dreams Tanzania and East Africa. Asante. I wish i will ever have the opportunity to learn your language which is african language
@husseinshabani9522
@husseinshabani9522 5 жыл бұрын
Nikimsikiliza Jamaa Anakipaji sana.Mungu Amsimamie Ampe Afya Tele.
@adammakoye4198
@adammakoye4198 5 жыл бұрын
Tatizo huko kutunzwa tunzwa kutamlemaza akasahau hizi view zetu zilikuwa ni pesa yke. Pia
@emanuelleopod3949
@emanuelleopod3949 5 жыл бұрын
Fact mkuu
@allyndambwe4354
@allyndambwe4354 4 жыл бұрын
Huyu jamaa anajua Mpaka mapozi ya magu aisee
@mbilimatungaraza4510
@mbilimatungaraza4510 2 жыл бұрын
😂😂😂😂 hapo kwenye msisitizo wa mahusiano mazuri ni amaizing sana!!
@abrahburaheze8879
@abrahburaheze8879 4 жыл бұрын
daaaah😂😂😂😂aka kajama bana kananichekesha
@ambakisyemwakinunu2002
@ambakisyemwakinunu2002 5 жыл бұрын
Huyu jamaa yuko vizuri aisee😂😂
@hajatishufaa5425
@hajatishufaa5425 3 жыл бұрын
Haha😁😁😁😁
@patrickkwibe4431
@patrickkwibe4431 11 ай бұрын
😂😂😂huyu Jamaa anaweza ❤❤❤❤
@karimmohammed2596
@karimmohammed2596 3 жыл бұрын
vizur ila nimejisikia hadi uzuni RIP magufuli 🙏
@kasimuyahaya4010
@kasimuyahaya4010 5 жыл бұрын
Unatisha baraka magu hongera kwa kuiga style ya mh rais
@andersonchibule4761
@andersonchibule4761 5 жыл бұрын
Nice speach...... Thumb up broh.
@gerodimkulu8062
@gerodimkulu8062 5 жыл бұрын
Wasaidizi wangu mtakunywa chai😀
@francismkenda
@francismkenda 5 жыл бұрын
Daaah😂😂😂😂 shikamoo mheshimiwa
@saumusalimuhassan2499
@saumusalimuhassan2499 3 жыл бұрын
Rest In Peace Rais Wetu 😭😭😭😭
@alwattanchinga
@alwattanchinga 4 жыл бұрын
Hahahahahahaa God bless you brother 🤣🤣🤣🤣, nafurahi sana, magufuli amebarikiwa sana, yaani yuasaidiwa siasa na watu wake,raha sana walai
@hayasaboyofficalmusic2902
@hayasaboyofficalmusic2902 5 жыл бұрын
Tanzania vipaji tunavyo ila ndo havina usimamizi
@Tino_Official_tz
@Tino_Official_tz 5 жыл бұрын
🍁Daah huyu jamaa ni noma. Embu fungua tuu KZbin account yako ukusanye hizi video zako uongeze kipato.🍁
@jameskalolo7795
@jameskalolo7795 4 жыл бұрын
Tino upo kaka
@Tino_Official_tz
@Tino_Official_tz 4 жыл бұрын
@@jameskalolo7795 nipo ndugu yangu
@Tino_Official_tz
@Tino_Official_tz 4 жыл бұрын
@@jameskalolo7795 0658066777 nicheck kwa number hii ndugu yangu
@iddytemba9362
@iddytemba9362 3 жыл бұрын
safi sana kaka mungu akuongoze sana
@furahamakama505
@furahamakama505 3 жыл бұрын
Comedian I like it
@zuhuranadahhinda1366
@zuhuranadahhinda1366 4 жыл бұрын
Walahi unakipaji ❤️❤️❤️❤️
@MakongoMahery
@MakongoMahery 4 жыл бұрын
Baraka Magufuli Oyee, Jamaa Anajua sana
@elizabethmeru3256
@elizabethmeru3256 3 жыл бұрын
Wsaidizi mtakunywa chai 😂😂😂😂
@kastuliamos656
@kastuliamos656 2 жыл бұрын
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀❤️😀❤️❤️❤️❤️❤️❤️ Barak
@TALLUBOY
@TALLUBOY 5 жыл бұрын
We jamaaa unajua sana duh kama namsikiliza uncle Magu
@johnyoye4275
@johnyoye4275 3 жыл бұрын
Our next President after John Pombe is Seleman Jaffo.
@stiviemshuza446
@stiviemshuza446 3 жыл бұрын
Mpangilio wa speech 100%
@danneismail5442
@danneismail5442 5 жыл бұрын
Nakubali 💯
@oliverkyando9897
@oliverkyando9897 4 жыл бұрын
Uko vizuri Baraka
@soloartist_ivanvespalusind1609
@soloartist_ivanvespalusind1609 4 жыл бұрын
Inabidi sehemu ambazo Magufuli anashindwa kufika anapoalikwa wewe ndo umkaimu maana inaleta Radha inayofananafanana
@kimaugymnast
@kimaugymnast 4 жыл бұрын
Talent Representing from Kenya
@stewardmbena3737
@stewardmbena3737 5 жыл бұрын
Tanzania bana ni,nchii inayo sapot sana ujinga 😁 ,😀
@prophetantonyraymondy7165
@prophetantonyraymondy7165 4 жыл бұрын
Uko sawa
@nyotamapene5059
@nyotamapene5059 4 жыл бұрын
Safi sana! Ila afupishe kidogo maana inaweza ikawa inabore.
@agaowajouniar
@agaowajouniar 4 жыл бұрын
Mara nying anafupisha ila ni hii tyu ndo karefusha,maan katoa zawad ile kidog ndo imerefush
@vulfridakessy7148
@vulfridakessy7148 3 жыл бұрын
Nyie huyu kaka nimeamua kumchek baada ya msiba wa Uncle. Duniani wawili wawili..huyu jamaa Mungu azidi kumuinuaa
@عباسعباس-ش9ه4ت
@عباسعباس-ش9ه4ت 3 жыл бұрын
Mashaalah
@hassanimussa5776
@hassanimussa5776 4 жыл бұрын
Dah,you made my day baraka
@mtanzaniamzalendo7001
@mtanzaniamzalendo7001 5 жыл бұрын
Jamaa anampatia Sana my Presdaa
@tonyi6807
@tonyi6807 3 жыл бұрын
Safi idumu
@dinho6292
@dinho6292 5 жыл бұрын
usimalize bajeti ya Ikulu😂😂😂😂😂
@astrinomgesi6875
@astrinomgesi6875 5 жыл бұрын
Safi baraka
@athumanichato9644
@athumanichato9644 4 жыл бұрын
Kwa kweli umeweza kuigiza sauti 100 sauti ya magufuli
@alexkabendela6699
@alexkabendela6699 3 жыл бұрын
R I P JPM
@abbasmohamed5066
@abbasmohamed5066 5 жыл бұрын
baraka hujawahi kuniangusha,dah unajua kaka!
@lazarocharles5085
@lazarocharles5085 5 жыл бұрын
Upo vzr sana unaweza.
@OpportunityTvchambuaonline
@OpportunityTvchambuaonline 4 жыл бұрын
Very creative!!!
@humairamajengo6616
@humairamajengo6616 3 жыл бұрын
Hakika tutakumbuka mema yake mungu akulaze pema peponi baba yetu 😭😭😭
@hamisimageni7834
@hamisimageni7834 4 жыл бұрын
Ana bodyguard Jamaa... Dah
@patrickmfundili3392
@patrickmfundili3392 5 жыл бұрын
Umetisha
@mickwealthy500
@mickwealthy500 4 жыл бұрын
Nice work
@ramahamis5793
@ramahamis5793 3 жыл бұрын
Pumzika kwa AMANI mpendwa WETU j p m vita umevipiga mwendo umeumaliza shujaa WETU wa TANZANIA
@barakamarwa9796
@barakamarwa9796 3 жыл бұрын
Nayeye ana mlinzi nyuma
@gilliardgodfriend5745
@gilliardgodfriend5745 5 жыл бұрын
Awe anamsaidia Raisi kufanya kampeni mkoa kwa mkoa
@michaelsiweya6500
@michaelsiweya6500 4 жыл бұрын
Chee..chee ..chee...Vangoshya...Yaani Magufuli kabisa...Kipaji hicho hakika
@bjzee1981
@bjzee1981 5 жыл бұрын
We magu mdogo hicho ni kitambiiii au ni unga wa ngano
@hassanpyallah8750
@hassanpyallah8750 5 жыл бұрын
100% baraka magufuri
@kabhikachambala3392
@kabhikachambala3392 4 жыл бұрын
#Millard Ayo . Nahisi Jafo ndie raisi ajae
@anuaryally6177
@anuaryally6177 5 жыл бұрын
Baraka magufuri unaweza
@drmtangi3649
@drmtangi3649 5 жыл бұрын
Huyu jamaa ninouma ana weza
@stevencherdiel9522
@stevencherdiel9522 5 жыл бұрын
Aisei we we hata JPM akisema amegairi au anastaafu tutakupa wewe
@gregorychogelo2013
@gregorychogelo2013 5 жыл бұрын
Hahaha... safi sana!!
@luomusicchannelfromtanzani5650
@luomusicchannelfromtanzani5650 5 жыл бұрын
Umetiishaaa
@UzalendoNaUtu
@UzalendoNaUtu 4 жыл бұрын
Huyu bana, anaongeaga vya Magufuli kabisa. Ipo siku anaweza kutumbua kweli
@aliabass9392
@aliabass9392 3 жыл бұрын
Maasha allah! kipaji.
@zuberikamote2078
@zuberikamote2078 5 жыл бұрын
Anautani na anko maguu😂😂😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@mashimbazephania3511
@mashimbazephania3511 5 жыл бұрын
Ndiyo huyo anatoka iringa kwa hyo ni lazima ai2mie hyo nafac ndo utanzania, leo utani umempa maisha
@frankjoely3313
@frankjoely3313 5 жыл бұрын
We ndo unautani kwan anatukana? Nidham za woga bhana! Shida kweli.sasa Kama unaona Hadi mawaziri anawaita wanaenda unadhani kakurupuka?
@monamtoo2646
@monamtoo2646 3 жыл бұрын
Daaah, uko vzr mnooo
@jacksonbohbahck6307
@jacksonbohbahck6307 5 жыл бұрын
Kwanza skauti yuko vizur kanuna kweli kweli
@linusrohomoja8856
@linusrohomoja8856 5 жыл бұрын
jamaa unaweza sana
@winfredbespoke8440
@winfredbespoke8440 5 жыл бұрын
Dah asee uko vzr mno, unajiamini halafu sauti kama Magu
@davidwambura5915
@davidwambura5915 5 жыл бұрын
Fungua account yako KZbin usiwaze faida waandishi hizi views ni pesa
@allyjuma189
@allyjuma189 5 жыл бұрын
David Wambura o
@majaliwamsigwa3974
@majaliwamsigwa3974 5 жыл бұрын
David Wambura msaidie nyie wenye upeo,unaweza ona yeye hafahamu kuwa ni pesa hizo
@abrahburaheze8879
@abrahburaheze8879 4 жыл бұрын
niews 100 ni kias gani
@jandpelectronics363
@jandpelectronics363 4 жыл бұрын
True
@mamadida6100
@mamadida6100 3 жыл бұрын
Dah unauma kwakweli lkn hakuna jins
@hatamimnimempendabulejaman1596
@hatamimnimempendabulejaman1596 3 жыл бұрын
Yaani wee acha tu siku mwenyew alivyomuonaga alicheka
@stephanosimkoko630
@stephanosimkoko630 3 жыл бұрын
Huyu jamaa anaweza sana.
@mtanzaniamzalendo7001
@mtanzaniamzalendo7001 4 жыл бұрын
Huyu Jamaa anajielewa
@charlesgeorge2855
@charlesgeorge2855 3 жыл бұрын
Duh kapatia sana huyu jamaa
MASANJA AIGIZWA LIVE NAYE AKIWA HAPO HAPO
14:23
FEEL FREE CHURCH Dar es salaam
Рет қаралды 910 М.
BARAKA MAGUFULI AMVUNJA MBAVU WAZIRI MKUU,AWAITA WABUNGE
6:30
Global TV Online
Рет қаралды 502 М.
Маусымашар-2023 / Гала-концерт / АТУ қоштасу
1:27:35
Jaidarman OFFICIAL / JCI
Рет қаралды 390 М.
BARAKA MAGUFULI LIVE KWENYE MAADHIMISHO YA CCM MIAKA 43
8:49
Alama Online TV
Рет қаралды 42 М.
Duh! Barakah Magufuli AMVUNJA MBAVU Rais MAGUFULI, Amwagiwa PESA..
5:08
Global TV Online
Рет қаралды 665 М.
RAIS MAGUFULI ALIVYOKWENDA BENKI KUU BILA KUWATAARIFU
8:03
Millard Ayo
Рет қаралды 2 МЛН
Jk Comedian alivyokutana kwa mara ya kwanza na Rais mstaafu Kikwete
9:57
Jamaa kaigilizia sauti ya Jakaya Kikwete mpaka Watu wakacheka
13:13
Millard Ayo
Рет қаралды 3,3 МЛН