Shalom chief apostle nimekuelewa natubu kuanzia Leo popote nilipokosa kwa ukaidi wa moyo wangu na kutokutii wakubwa iwe wazazi na wengine ninaowakumbuka na nisio wakumbuka naomba MUNGU anisamehe naomba taa yangu iwake tena amen
@Rose-xv8ym2 жыл бұрын
Mungu Akutumia zaidi juu yawatu wake nabalikiwa sana nahuduma yako mtumishi kuna sehem umenitow Mungu Akutumia zaidi
@atubwenekapange28022 жыл бұрын
Hili Neno Mungu kakutuma kwangu mtumishi ,yan n Mzito kusikiliza mahubir ila sjui nmefikaje ad nkafungua kweny mahubir haya
@rimepeter7893 жыл бұрын
I tap on this anointing pray and receive my deliverance in the NAME of JESUS CHRIST of Nazareth AMEN and AMEN, 🙏
@ellymusa55984 жыл бұрын
Amen Apostle,, Kila nitazamapo mahubiri yako nabarikiwa mnoo
@emmasidi94462 жыл бұрын
pastor hili neno limenigusa ni mm sielewani na mamangu ,siwezi maliza mwaka bila kulaniwa mama yangu, 😭😭😭😭 eee mungu ni samehe ukawashe taa yangu upwa. pastor taa yangu imezima ,oooh yesu ni samehe mimi na tubu🙏🙏🙏🙏 hili jambo nimefanya ni mepunguziwa mshahara nikiwa saudia😭😭😭😭
@Forester__2 жыл бұрын
Too powerful, Thank you Jesus, Nuru Yangu imekuja.
@yvonnemashuda30044 жыл бұрын
Ahsante Baba Apostle..hili somo zito jamani,Nashukuru Mungu kwa neema ya somo hili..
@lindsay64152 жыл бұрын
I listened to this message yesterday and prayed this prayers … my prayer point this week May the Lord have mercy and deliver my soul in Jesus name. Amen
@joachimmakonya61614 жыл бұрын
I receive in JESUS name apostle mtalemwa the man of God
@neemandemno67484 жыл бұрын
Wow. This service is among the best service I ever know. Bless u Apostle
@terryjones63093 жыл бұрын
Watching from Kenya. Thi apostle is my favourite
@isaacmagambo40154 жыл бұрын
Wahubiri wanao hubiri ginsi huyu mtumishi anafundisha niwachache saana katika hiki kizazi
@raveenagasper84913 жыл бұрын
Amen🙏🙏🙏nakukubali wewe baba
@agapeishabakaki47484 жыл бұрын
Nashukuru Baba mlezi. Nimebarikiwa sana na mafundisho haya. Ubarikiwe sana baba. More wisdom and Grace baba.
@missionaryemmanuelf.kitaly44054 жыл бұрын
Chief Mungu akubariki sana
@johnnashauri61564 жыл бұрын
Nami napokea kwa jina la Yesu wa Nazareti
@merymrema4204 жыл бұрын
Ameni mtumishi MUNGU nisaidie
@sarahwanjala66013 жыл бұрын
Napokea taa yangu upia leo hii katika jina la Yesu nabarikiwa nikiwa Saudi Arabia
@basilkihanga80194 жыл бұрын
Nakushukuru Mungu kws kutusamehe na kutufanya tuanze upya na taa zetu kurud mikononi mwetu in Jesus name Amen.
@eliwajamkese72934 жыл бұрын
Nice speech apostle
@user-wq1yu2jv2l6 ай бұрын
Apostel ndoto inajirudia sana kuwa mme wangu adumbukia shimon na watoto nasio mara ya kwaza inajirudia shimoni
@stellamkude45634 жыл бұрын
najiunganisha na ibada ya vijana, nuru yangu imerejea nitakaloenda kuanzisha sasa alitarudi nyuma katika jina la Jesu kristo nimeomba. Ameeeen
@georgiamkwaya26414 жыл бұрын
Thanks to the LORD for bring back my light. Thank you my mentor for this teaching and deliverance may GOD increase and continue to use you for us more than before more than ever,I love you.
@rahabnkya82763 жыл бұрын
ASANTE SAAANA APOSTLE MUTALEMWA. SI BURE NINA TUMIA MUDA NA NETWORK KUSIKILIZA VIDEO ZAKO HADI MWISHO. UMENIJENGA NA HAKIKA BUNDLE NITAJITAHI KUWEKA ILI NIYAPAKUE KIROHO NIJAZWE UFAHAMU, MAARIFA NA TOBA. YOU'VE INSPIRED ME HEARTEDLY IN JESUS NAME I PRAY YOU LIVE LONGER FOR THE PURPOSE OF LIFTING OTHERS IN DIRE NEED OF WORD. AMEN.
@anniemartin60054 жыл бұрын
Binafs nabarikiwa Sana na mafundisho ya apostle Mtalemwa Mungu azidi kukubariki🙏🙏🙏
@lydiachriss84264 жыл бұрын
Amen Amen I receive in Jesus mighty name, Thank you so very much Chief Apostle for this powerful revelation I'm changed and delivered
@felistermohamed8414 жыл бұрын
Amen Apostle I receive in Jesus mighty name
@pasteurmardocheemwale2023 Жыл бұрын
Wewe ni baba mtelemwa 🌷🇨🇩
@deborahdelly45324 жыл бұрын
Napokea taa yangu kuwaka katika Jina la Yesu amina amina
@jamesdioniz32434 жыл бұрын
Nimbarikiwa sana Nuru yangu iliyopotea imerejea, ubarikiwe sana Chief Apostle
@marymsami82424 жыл бұрын
Amen my Apostle Am blessed
@stellawalter35844 жыл бұрын
Amen nuru yangu umekuja, nitaanza kwa upya
@rohinichudasama80244 жыл бұрын
Amen!!! I'm extremely blessed and I shall testify in the mighty name of Jesus
@zubedamnindi34664 жыл бұрын
Amen. Ubarikiwe mtumishi wa Mungu.
@farajamkuchu84584 жыл бұрын
Asante sanaaa apostle umekua msaada mkubwa maishani mwangu Mungu akubariki sana taa yangu imewaka tena
@kenonpeter3692 Жыл бұрын
Amen Papaa
@norbertanthony33744 жыл бұрын
Amen my Apostle nimejifunza mambo makubwa sana
@meleniaelikana73453 жыл бұрын
Amina mtumishi wa mungu
@bejishful4 жыл бұрын
Amen and amen. Nuru yangu imekuja! Haleluya!
@happyngulo47224 жыл бұрын
Napokea Nuru yangu ilio potea 🙏🙏🙏
@Forester__2 жыл бұрын
Msingi wa Vijana upo kwa wazazi " Chief Apostle"
@sarahmbihi54714 жыл бұрын
Watching from dubai. Ahsante sana kwa ufunuo mkuu.😭😭😭🙌🙌🙌Nuru yangu imekuja Ahsante Yesu🙏
@calvinchazzy54834 жыл бұрын
God is great...thank you for the word my mentor chief apostle.
@vailethywalter56744 жыл бұрын
Thanks man of God bless you
@rahelpilos44524 жыл бұрын
Amen barikiwa sana taa yang inawa
@rosemarymallya44583 жыл бұрын
GOD I CONNECT AND REPENT MY SINS AGAINST MY SPIRITUAL AND BIOLOGICAL PARENTS🤲🤲🤲AND NW I RECEIVE MY BLESSING FRM THEM AGAIN IN JESUS NAME I RECEIVE🤲🤲🤲🤲🙏🙏🙏🙏
@vickymahanga77343 жыл бұрын
Thx chief apostle
@flavianchuwa15334 жыл бұрын
Amina apostle
@sarahakyoo27714 жыл бұрын
Am blessed pastor
@samsonmgonja40144 жыл бұрын
Napokeaaaa Nuru yangu ktk jina la Yesu
@essaumabigi6693 жыл бұрын
Sio kwa kuvaa vibaya huko kwa waumini wako🏃🏃🙄🏃🏃
@angelkanoga21752 жыл бұрын
Amen
@erickelisa10664 жыл бұрын
Ubarikiwe Sana Mtumish wa Mungu
@gracekwila56744 жыл бұрын
Taa yangu imewaka tenaaa..... Kwasababu wewe ni Mungu wa rehema umenirehemu pale nilipokosea,, Napokeyaaa! nimejifunza kitu kikubwa sana
Asante ulinisaidia sana siku hii yaani umenena na mm baba. Ninashukuru
@Sammymsangi2224 жыл бұрын
Napokea maono hoyo mtumishi
@hannahgodsonjoseph74574 жыл бұрын
Amen chief
@prophetjaymzungu41754 жыл бұрын
Daddy God Bless you
@damariskasiga82583 жыл бұрын
I RECEIVE IN JESUS NAME
@mariahgaudence5434 жыл бұрын
Asante mtumishi nimepona
@mwilemakala55784 жыл бұрын
Ameen dady
@stellanyaga81974 жыл бұрын
Mtumishi Wa mungu unikumbuke na maombi
@justinenjau79364 жыл бұрын
Mtumishi wa Mungu pamoja na kanisa linaomba sana kwa ajili yako. Kwa msaada zaidi wa kiroho piga namba zinazoonekana kwenye screen yako juu kushoto +255717960901 +255753728189
@rehemathomas11604 жыл бұрын
Yani mtumishi nikama ume niongeleya mimi nakumbuk kunakitu baba alinikataliya nisifanye nikafanya mpaka sasa najutiya kwanini siku sikiya yale maneno yababa
@UsafiMichael-mc8kt Жыл бұрын
Kitu gani tuambie wengine tupone mtumishi
@janethcharles59174 жыл бұрын
I receive
@amosjeremiar80064 жыл бұрын
Ameen apostle
@amosjeremiar80064 жыл бұрын
Napokea kwa Nina LA Yesu kristo
@godfreybenedictor99584 жыл бұрын
Nimekuelewa pastor
@pamphiliamghamba4448 Жыл бұрын
Samahani nauliza unapatikana kwenye Chanel Gani kwenye TV. Natamani watoto wangu wasikilize mafundisho yako live.
@halimanangati.iconnect18464 жыл бұрын
NIMEPOKEA Katika jina la YESU ! Umenifungua macho na masikio AMEEN
@salmakiyabosiriyamachoziha87564 жыл бұрын
Aman napokea naokota taa yangu iliyozimika leo mungu nihulumie sana .
@rosealex86404 жыл бұрын
Unanibariki sana baba
@samsonmgonja40144 жыл бұрын
I receive my light
@farajahrogath25064 жыл бұрын
💖💖💖
@agnecally17703 жыл бұрын
I reserve
@brightonsalvatory79414 жыл бұрын
Hiv kanisa liko wap mtumish
@Devothakimei4 жыл бұрын
Lipo makongo juu. Ukifika mlimani city, njia chuo kikuu cha ardhi, hapo kwenye geti la mlimani city kuna bajaji, ukipanda waambie unaenda kanisani ECG, lipo kituo cha mashine.
@brightonsalvatory79414 жыл бұрын
@@Devothakimei nipo na private car
@brightonsalvatory79414 жыл бұрын
Siku nikitaka kuja hili nisipotee
@douglaskimala99254 жыл бұрын
@Brighton Salvatory ukitoka mliman City unapanda na njia ya Chuo Kikuu UDSM, baada ya daraja unachukuwa njia ya kuelekea Makongo juu of which unakuwa kama unazunguka Chuo cha Aridhi, pia kwenye hio njia utakutana na daraja la pili then after kuna sharp corner (kona kali) ukimaliza tuu hiyo kona kuna ukuta upande wako wa kulia na kuna gate pia kubwa jeusi but juu kuna kibao cha kanisa ECG. So ni hapo hapo...karibu sana sana, kwa info zaidi call 0717960901
@hassanbukambu9164 жыл бұрын
Yaani kumuelekeza mnamzungusha Sana cha msingi amlipe dereva bodaboda atangulie yeye amfate nyuma hadi kanisani
@stellamugure43214 жыл бұрын
Doto yangu nilibebwa paka juu ni kaonyecwa ivio this was on Friday 3am na walikuwa ahina yote umulii lakini lire wingu linifunika badaye nikaonyeshwa adui watatu
@justinenjau79364 жыл бұрын
Shalom mtumishi wa Mungu, asante kwa kutuma ulichoota. Ninaomba upige namba zinazoonekana kwenye screen, video wapo watumishi wa Mungu watakusaidia na kuomba pamoja na wewe juu ya hicho ulichokiota 0717960901, 0753728189
@kimsaid76434 жыл бұрын
Ameeeeeen Ameeeeeen Ameeeen
@apchanel25414 жыл бұрын
Sante apostle nimepokea nuru mpya
@jacquelinepallanjo29884 жыл бұрын
Mungu akubariki sana mtumishi, nabarikiwa sana na masomo yako
@careencharlescharles97494 жыл бұрын
NILIOTA NIKATIWA TIKETI NA BOS NIABA NDOKE NILIVYOAMKA ILIPITA NUSU SAA BOSI AKASEMA NIONDOKE KWAKE HANITAKI YANI NILIFUKUZWA KAZI NILILALA MCHANA NIKAAMKA SAKUMI.KUMI.NA MOJA NIKACHISHWA KAZI NILIHITAJI KUOMBA USIKU SIKUWAHI
@justinenjau79364 жыл бұрын
Asante sana kwa kushare ndoto hiyo uliyoiota. Tungependa kusikia kutoka kwako na kuomba pamoja. Karibu, piga namba hizo zinazoonekana kwenye screen yako uzungumze na kuomba pamoja na watumishi wa Mungu +255753728189
@victoriamahanga37814 жыл бұрын
I revd
@ctuniversityfellowship49474 жыл бұрын
Am blessed chief apostle
@salomepaul17374 жыл бұрын
Unapatikana wapi,? TOA numba ya simu, vizuri tuelekeze kanisa la YESU liko wapi? God bless you,
@Town_Of_Enoch3 жыл бұрын
Anapatikana Dar es salaam makongo juu!! Nipigie nikuelekeze vizuri 0788 465 289
@kaizamulinda6333 жыл бұрын
Mara maono mara ndoto...that's a challenge in making a hoax!