Usomaji wa Biblia unahitaji umakini mkubwa na Muda pia lakini tunaweza kutumia njia rahisi na kufanikisha na tukawa tunaweza kusoma bibblia kila siku .
Пікірлер: 19
@bdaimon092 жыл бұрын
Ubarikiwe mno mtumishi wa Mungu nimejifunza kitu kikubwa mnoo
@bungadettu5636 Жыл бұрын
Hongera sana
@alphoncekagoshi9415 жыл бұрын
Ubarikiwe
@helgerthadeus11394 жыл бұрын
Waooow I love this
@anithabenson24645 жыл бұрын
Asante sana
@pendojeremiah91115 жыл бұрын
Be blessed
@mukamaabdalazake16405 жыл бұрын
thanks a lot for sharing with us
@michaelramadhan94664 жыл бұрын
Asante
@justinmmbando53865 жыл бұрын
Asante sanaaa
@user-te1vg6dc2hАй бұрын
Ufunuo 22;10
@juliussanane18605 жыл бұрын
Ubarikiwe dada
@user-bh7nb2kn5o7 ай бұрын
Samahani mbona Kuna muda huwa naguna nakuwa naimbaaa
@victorbaraza2 ай бұрын
Je nina weza kusoma biblia ya kwenye simu pasipo kununua hardcopy?
@kijweninawinnie2 ай бұрын
Ni sawa ila nafikiri hardcopy ni nzuri haina distractions
Lazima ukimaliza kusoma utulie kuweza kufafakari lakini unaweza ukachukua hii mistari ukaandika chini sehemu itakayo kua rahisi kusoma
@user-lb1nb2ls9g7 ай бұрын
Kwakuwa umeamua kuwasaidia watu iliwasome biblia, jitambue mwenyewe kwanza, kuwa, hadhira yangu wanatumia lugha gani, kisha tumia lugha yao kwa utulivu, usihangaike ktkt ya lugha ambayo,sio yawasikilizaji wako, nimependa nia yako ninjema sana, ila lekebisha hapo kwenye lugha, kama kingereza kiwe kingereza tu, kama kiswahili kiwe kiswahili tu, apana KISWA-ENGLISH,
@kijweninawinnie7 ай бұрын
Asante kwa maoni ,BWANA akutangulie🙏
@JohnGamma-qq2gqАй бұрын
ulivomuelewesh aongee kiswahili au kingereza kumuelekea kinayemfaa hiyo kuchngny yake haielewek Wooow nimependa sana ulivomuelewesh