MwanaFA Featuring Alikiba - Kiboko Yangu (Official Video)

  Рет қаралды 1,982,508

MwanaFA

MwanaFA

Күн бұрын

#MwanaFA #KibokoYangu #AliKiba #SlideDigital
(c) Slide Digital
SMS [Skiza 8091962] to 811
MWANA FA SONGS ARE AVAILABLE WORLDWIDE ON ALL DIGITAL PLATFORMS
ffm.bio/ao7drgr
Follow Mwana FA on;
/ mwanafa
www.facebook.c...
Channel Administered by Slide Digital
Instagram: slidedigitaltz

Пікірлер: 1 100
@alimoha-ln1pt
@alimoha-ln1pt 8 ай бұрын
🔥🔥🔥🔥 Gonga like kama umefika hapa 2024
@TEYGA_DON
@TEYGA_DON 8 ай бұрын
Kama umekuja kusikiliza hii nyimbo 2024 like hapa tujuwane
@flamebooze.8429
@flamebooze.8429 6 ай бұрын
Niko area
@AthumaniAlly-t7x
@AthumaniAlly-t7x 2 ай бұрын
Namm nimeisikiliza TikTok ndo nimekuja kuichek
@RjMbwambo633
@RjMbwambo633 4 ай бұрын
Tunaotazama mwezi huu wa Sita gonga like hapo chini❤❤
@tinahlekule9045
@tinahlekule9045 4 ай бұрын
Anae sikiliza huu Wimbo leo tr 2/6/2024 aje chap anipe like zangu
@principal20
@principal20 7 ай бұрын
2024 gonga like hapa kama Bado unarudi kusalimia hapa mjini king kiba ft Fa
@allymussa9831
@allymussa9831 Ай бұрын
MwanaAFa kwasasa niwaziri maisha yaede kasi Sana goga like tuodoke
@mrbrian1703
@mrbrian1703 7 ай бұрын
Tulioko hapa 2024 tukae hapa👍🏽
@yusuphmpinge4066
@yusuphmpinge4066 9 ай бұрын
2024 nimeamkanayo hii humu mafundi wawili walikutana
@MasaweFransi
@MasaweFransi 25 күн бұрын
kama una check 2024 gonga like tujuane
@AminaMfaume-d7w
@AminaMfaume-d7w Ай бұрын
Nausikiliza huu Wimbo leo trh 21/8/2024 unajua langu unamwez wangu unatembea na roho yangu muheshimiwa mwana fa umetisha sana broo nakukubali jana leo na siku zote
@JosephSimbeye-h9x
@JosephSimbeye-h9x 7 ай бұрын
Kama wasikiliza 2024 gonga like tujuane❤
@flamebooze.8429
@flamebooze.8429 6 ай бұрын
@OmaryBakari-n1l
@OmaryBakari-n1l 21 күн бұрын
Safi sna brother mwanaf na Alikiba
@ibrahimayoubdhahabu984
@ibrahimayoubdhahabu984 9 ай бұрын
Kiba 2024
@suleimanmohammedali2502
@suleimanmohammedali2502 Жыл бұрын
2023 still n love with the song 🔥🔥🔥 big up mwana fa and king kiba,,,
@MutukuVincent-bn8gr
@MutukuVincent-bn8gr 9 ай бұрын
Sio mambo ya 2023 we always love it
@MaureenMmary
@MaureenMmary Ай бұрын
August 2024..who is here❤️
@edgariijr31
@edgariijr31 2 жыл бұрын
Uko kwny mikono salama coz nakuzimia sana
@raynaeafrica9464
@raynaeafrica9464 3 жыл бұрын
Tulokuja kwaajili ya ma legendary wetu hawa #MwanaFA + #Alikiba KING 2021 tujuane hapa gonga like twende sawa✍🇹🇿🇹🇿❤❤❤
@maryaidan7745
@maryaidan7745 3 жыл бұрын
Nilikopita niliteleza kwako we ndo kiboko yangu kingkib 😘😘
@ciphertz
@ciphertz 4 жыл бұрын
Kibaaaaaa Hapa ni kiungo mchezeshaji wa hii myimbo Umetishaa
@adamhashimu4462
@adamhashimu4462 4 жыл бұрын
Kabsa kauwa
@tinahlekule9045
@tinahlekule9045 2 ай бұрын
Silent ocean tangu zamani 💪💪💪 simba wa bahati
@ahmadkirungi4069
@ahmadkirungi4069 8 ай бұрын
Who is here in 2024!??
@nahlahassan-fd6le
@nahlahassan-fd6le Жыл бұрын
Haishuk hadhi nyimb hii❤❤❤
@eliasakhamisi9619
@eliasakhamisi9619 4 жыл бұрын
Alikiba aliimba chorus ambayo hamna mtu anayeweza kuiimba He is the king
@adamzakariazakaria578
@adamzakariazakaria578 3 жыл бұрын
Ever
@udizungwahimalaya5213
@udizungwahimalaya5213 3 ай бұрын
Kabisaaaaaaaa
@udizungwahimalaya5213
@udizungwahimalaya5213 3 ай бұрын
Kunywa sprite bariiiiiiiiid nipe lipa namba
@KalilimehboobKhan
@KalilimehboobKhan 4 ай бұрын
Mi naumizwa na Tausi mke mkubwa mi nampenda plz popote ulipo listening me i love you
@DaliCamussaJoaoCamussa-qc7nv
@DaliCamussaJoaoCamussa-qc7nv 9 ай бұрын
Nilitamani wafanhe Tena ngoma
@clovicemusobozi3891
@clovicemusobozi3891 20 күн бұрын
We ndo kiboko yangu 💃💃❤️❤️🥰❤️❤️
@irenengowi7654
@irenengowi7654 Жыл бұрын
Asee hinyimbo sichoki kuskiliza myaka yote f a kiba saliti
@AbdulazizNur-ro7pt
@AbdulazizNur-ro7pt Ай бұрын
BABA ALI NAKUPENDAAAA TU MBONAAA❤❤❤❤
@JoeMziwanda
@JoeMziwanda Жыл бұрын
This 2023 but gomaaa bado halichujiii tuuu🔥
@nashonwilliam1235
@nashonwilliam1235 5 ай бұрын
Mbonge moja la Ngoma kuanzia colus na mistari hatar
@akbarambary
@akbarambary Жыл бұрын
2023 keeping good music alive
@zuenahamoud1532
@zuenahamoud1532 Ай бұрын
Mmmmhhh hovyoooo nyorooo yamamako
@drkailemboztv9424
@drkailemboztv9424 5 жыл бұрын
2019 still watching tatizo 👑 kibaa like tujuane teamkiba
@jasminerasul150
@jasminerasul150 5 жыл бұрын
dr kailemboztv upo ??? Kitambo san
@omaryjuma3399
@omaryjuma3399 5 жыл бұрын
dr kailemboztv
@momadentambo8955
@momadentambo8955 4 жыл бұрын
Wewe mze unajua sahna
@hellenrichard187
@hellenrichard187 Жыл бұрын
Am here in 2023 my favorite song ❤
@zainulabideen6955
@zainulabideen6955 2 жыл бұрын
Sisi ni watuwazima, we list it when stress take us.....trusted
@eliahpeter1569
@eliahpeter1569 4 жыл бұрын
Kibokooo Kabisaaaaa
@JaphetBujash
@JaphetBujash Жыл бұрын
Matajiri wa saut walikaa na kutengeza kitu kizuri ❤kina ishi daima
@deesimbajr4606
@deesimbajr4606 5 жыл бұрын
mwana fa & king kiba mtabaki kuwa juu kwa ngoma kali hii kama nawe umeipenda gonga like
@youngmeku5159
@youngmeku5159 2 жыл бұрын
Shani ...hii nyimbo ni kwaajili yako. We pekeako ndo umeniweza.
@hamisirashidi1894
@hamisirashidi1894 5 жыл бұрын
King kiba juu sana
@ShantyLady-u9l
@ShantyLady-u9l 2 ай бұрын
Tujuane familia hii ya king❤❤❤
@samsonpiusgervas220
@samsonpiusgervas220 4 жыл бұрын
Kama bado waskiliza hii ngoma 2020 gonga like kwa wingi 😃😃
@justiceAlice
@justiceAlice 7 ай бұрын
Saa uyo ndio alikiba nanijua jameni
@princeyoh2059
@princeyoh2059 3 жыл бұрын
In Mombasa Kenya still the best song by 2021 🇰🇪🌴 wapee likes...yeebaaba!
@halimaamiry6764
@halimaamiry6764 3 жыл бұрын
Duuuh hili dude ni noma
@charleschachasibena7454
@charleschachasibena7454 8 жыл бұрын
KIBA BABA YAO
@joshuasakwa1548
@joshuasakwa1548 10 ай бұрын
King kiba atazeeka, FA Atazeeka but hii ngoma itaisha miaka million moja
@fasterwalker1464
@fasterwalker1464 4 жыл бұрын
King is King Love you Kiba
@BadoMartense
@BadoMartense Ай бұрын
Falsafa ❤❤❤❤❤
@mkamilifusimba7322
@mkamilifusimba7322 5 жыл бұрын
Leo Tarehe 26/07/2019 Bado nasikiliza hii ngoma inanimaliza kabisa Gonga like hapa Kama upo namimi
@hajihassan4901
@hajihassan4901 Жыл бұрын
2023 Tunasonga nayo
@DaliCamussaJoaoCamussa-qc7nv
@DaliCamussaJoaoCamussa-qc7nv 6 ай бұрын
Mwana fé uliwaza kueli Kwa alikiba ngoma paka Leo mbando umpia
@AssaniZubeli
@AssaniZubeli Жыл бұрын
God music 🎶 2023 naomba like zenu nikiwa 🇲🇿 ❤
@IssaMussa-d9h
@IssaMussa-d9h Жыл бұрын
Kila mtu ana kiboko yake na sio kwa sio kwa sifa moja
@IbrahimMkwama-m3n
@IbrahimMkwama-m3n 8 ай бұрын
Acha tupunguze mawazo2024 gonga like
@saidsoud5967
@saidsoud5967 4 жыл бұрын
Demu kweli kiboko yao..mwana fa ni mkali sana
@brk4real
@brk4real 5 жыл бұрын
Kama bado unaiangalia hii ngoma 2019 gonga like hapaa tujuane
@bishopwilliamabol
@bishopwilliamabol 5 жыл бұрын
Nimepita nimeteleza wewe ndo #Kiboko yangu #KingKiba #Eebaba
@saidihmunahshaaban7781
@saidihmunahshaaban7781 4 жыл бұрын
Gud ngoma IPO furesh
@godfreymnzava3069
@godfreymnzava3069 3 жыл бұрын
Mafundi wamekutana
@saidimafutari3877
@saidimafutari3877 2 жыл бұрын
Sawa mku
@paulmwashigadi3536
@paulmwashigadi3536 Жыл бұрын
Sitaki kukujua😂
@emmanuelmasele311
@emmanuelmasele311 Жыл бұрын
Love ❤️ for this song Kiboko yangs like
@salimaziz9858
@salimaziz9858 4 ай бұрын
Siwezi elezea jinsi navyokuzimia Nikicheza na moyo wako, unacheza na wangu pia Nafsi yangu ilishapotea, siwezi hata kujitetea Ka ulitoroka peponi uzuri ulivyokuenea
@NClaude-qk3gb
@NClaude-qk3gb 2 ай бұрын
Alitoroka peponi!!hawa wajama watatuua na maneno
@aloycejames3447
@aloycejames3447 4 жыл бұрын
Jamaa kama rapper upo vizuri Sana sema siasa sasa dah
@josephmoshi8196
@josephmoshi8196 5 жыл бұрын
Tuloangalia ngoma baada ya Twitter ya #mwanaFa tujuane hapa the thing is realy 🙌🙌🙌
@nananana4885
@nananana4885 4 жыл бұрын
Yaani alikiba akiitikia wimbo lazima uwe babu kubwa
@watchme5678
@watchme5678 4 жыл бұрын
2020 for king
@fatumangalomba4749
@fatumangalomba4749 Жыл бұрын
Noma sana hii ngoma alikiba anajua sana
@halimamustafa3624
@halimamustafa3624 4 жыл бұрын
2020 anyone? Old is gold
@hijahalmasi5975
@hijahalmasi5975 7 ай бұрын
Mwana FA tunakutambua pande hii🇰🇪...ngoma tunaicheza miaka yote💯💯💯💯
@majimoto2398
@majimoto2398 10 ай бұрын
Gonga like za mbunge weti na King of Kings ❤❤❤ nyimbo nadhani inatoboa 2030 hii
@SulutaniMaclab
@SulutaniMaclab Ай бұрын
As long Alikiba he still in the game others singers the are still in trouble
@dastonamichaels1854
@dastonamichaels1854 5 жыл бұрын
Yani mwana fa hii ngoma yako haitoisha utamu ...much respek from 001
@Kingfaizalkanafloo256
@Kingfaizalkanafloo256 2 жыл бұрын
King 👑 kiba Am could KING 👑 𝑓𝑎𝑖𝑧𝑎𝑙 mwenyewe
@AlhajiHusseni-st4os
@AlhajiHusseni-st4os Жыл бұрын
Kama ndio unaiskilza tena leo 2023 like again @mwana fa
@darbychannel354
@darbychannel354 Ай бұрын
Daah mh. Naibu waziri 🎉🎉🎉
@alexkihika
@alexkihika 2 жыл бұрын
"Kila shetani ana mbuyu wake, wewe ni mibuyu mitatu ; ukiamua unitumikishe mwenzio nitalala na viatu; Najionea majabu, najionea mapya mamangu; Hakuna mapenzi hivi popote kwenye ulimwengu; Siwezi elezea jinsi ninavyo kuzimia; Nikicheza na moyo wako nacheza na wangu pia;
@mussaemanuel3848
@mussaemanuel3848 4 жыл бұрын
Tulikuepo tupo na tunazidi kuwepo
@mwamastn5312
@mwamastn5312 Жыл бұрын
2023 here we go
@abdallahmuhammad8703
@abdallahmuhammad8703 Ай бұрын
Keeping the good music alive
@adamhashimu4462
@adamhashimu4462 4 жыл бұрын
KING KIBA PROFESA WA MZIKI BONGO IMEISHA🔥
@janethndial5759
@janethndial5759 Жыл бұрын
Saaaana❤❤❤❤
@arnoldbaya3794
@arnoldbaya3794 Жыл бұрын
Leo kaapishwa kama naibu Waziri Wa sanaa What a history 2023
@ayubuadamu8587
@ayubuadamu8587 3 жыл бұрын
2021 still the best love collaboration ever🙌
@deejeeyadamzkijanawao4302
@deejeeyadamzkijanawao4302 2 жыл бұрын
Best combinega of the year 2021 majibu baada mabingwa ya bongofleva kufanya kazi kimoja
@jamalmuye9206
@jamalmuye9206 9 жыл бұрын
kiba u just killed it wacha kina diamond wanengue na tarabu we needed such hits biiiiiiiiiiiiiiiiig up bro pia ww nikiboko ya kamama kangu
@princeyoh2059
@princeyoh2059 Жыл бұрын
2023,,hii nyimbo kiboko yangu🔥💪🏻
@wizkiba8530
@wizkiba8530 3 жыл бұрын
King kiba saluti kaka ngoma bado ya moto mno like kama unaenda nayo 2020 huu mwaka
@3malis
@3malis Жыл бұрын
Oyaaa oyaaaa 🔥 2023 tuko hapa
@sophiamsigala7515
@sophiamsigala7515 Жыл бұрын
2023 tupo nayo hii ngoma
@SameerSuge
@SameerSuge 26 күн бұрын
Hili goma limenipa dem wa kishuwa🙏ni unyama sana
@rodrickrobert3393
@rodrickrobert3393 8 ай бұрын
2024 wengine wanajribu wanajua kitanchotokea 😂
@demflani4621
@demflani4621 4 ай бұрын
Moto sana.
@gervascharles5253
@gervascharles5253 3 жыл бұрын
Kama bado unaiskiliza mwaka huu 2090 gonga like twende sawa😁
@hamzamussa2576
@hamzamussa2576 Жыл бұрын
Corabo yangu kuwahi kutokea Tanzania
@fatmaruvu1989
@fatmaruvu1989 Жыл бұрын
This one will forever have me💆‍♀️
@brunonillan8001
@brunonillan8001 4 жыл бұрын
Yeeeeeeebaba
@jumaajumbe2485
@jumaajumbe2485 4 жыл бұрын
2020 october
@mohdomar35
@mohdomar35 Жыл бұрын
2023 hemu tujuane
@kibajetihassan6218
@kibajetihassan6218 4 жыл бұрын
Kiba hii umeniuwa Sana naanza kukubari
@suleimankemba173
@suleimankemba173 4 жыл бұрын
Kama bado unaangali hii ngoma 2020 tujuane.
@reganelvis4578
@reganelvis4578 8 ай бұрын
Here we Gooo 2024
@gangmore9091
@gangmore9091 4 жыл бұрын
Leo tarehe 17/7/2020 bdo hot kote nilipopita nimeteleza ila kwako nikoboko yngu 😊😊🤓
@alisonmaiya5907
@alisonmaiya5907 Жыл бұрын
Goma haliishi mauguvu na mautamub❤🎉❤😊
@fungafungatv448
@fungafungatv448 4 жыл бұрын
Hii ndy kolabo Bora Tanzania haitotokea wale wa 01/01/2020 weka like tujuwane tunao watching this song
@kingsumalee7211
@kingsumalee7211 Жыл бұрын
The hit all the tym 2023
MwanaFA Feat G Nako  - Mfalme (Official Video)
4:05
MwanaFA
Рет қаралды 1,4 МЛН
Barakah The Prince, Alikiba - Nisamehe
4:28
BarakahxAlikibaVEVO
Рет қаралды 2,8 МЛН
💩Поу и Поулина ☠️МОЧАТ 😖Хмурых Тварей?!
00:34
Ной Анимация
Рет қаралды 2,1 МЛН
OYUNCAK MİKROFON İLE TRAFİK LAMBASINI DEĞİŞTİRDİ 😱
00:17
Melih Taşçı
Рет қаралды 13 МЛН
Bike Vs Tricycle Fast Challenge
00:43
Russo
Рет қаралды 106 МЛН
Bonge La Nyau Feat  Ali Kiba - Uaminifu Video   (Swahili Music)
4:02
BongeLaNyau
Рет қаралды 1,4 МЛН
MwanaFA feat Linah - Yalaiti (Official Video)
5:34
MwanaFA
Рет қаралды 2,1 МЛН
Professor Jay ft Diamond Platnumz -  Kipi Sijasikia ( Official Video )
4:06
Mapenzi Run Dunia
4:35
Alikiba
Рет қаралды 438 М.
Alikiba - Seduce Me (Official Music Video)
3:22
Alikiba
Рет қаралды 16 МЛН
Suma Lee-Hakunaga HQ
4:25
fahmi salum
Рет қаралды 320 М.
MR  BLUE FT  ALI KIBA - MBOGA SABA (OFFICIAL MUSIC VIDEO )
3:43
Tundaman Feat  Ali kiba    Msambinungwa Official video
3:35
Tunda Man
Рет қаралды 568 М.
Alikiba & Christian Bella - Nagharamia (Official Music Video)
3:59
MwanaFA - We Endelea Tu (Official Video)
3:34
MwanaFA
Рет қаралды 1,7 МЛН