wachezaji wa SC Sfaxien wampiga refa baada ya goli la pili la Kibu/Viti vya ng'olewa!!

  Рет қаралды 7,748

UBA TV

UBA TV

Күн бұрын

Пікірлер: 147
@HusnaSalumu-x2x
@HusnaSalumu-x2x 2 сағат бұрын
waarabu wanapenda figisu tukiwa kwao sie kwetu tunaheshimu kanuni sasa wao wanakeuka Shelia haya walie sie ubaya ubwelaaaaa ✈️ unaumia ukiwa wapi kwetu ❤👉😄😄
@IbrahimBinbenya
@IbrahimBinbenya Сағат бұрын
Lazima mrudi maiti mkenda kwao
@Abdulmateleka
@Abdulmateleka 2 сағат бұрын
Huyu refa bingwa wa kukumbuka muda
@HabibaSaidishabani
@HabibaSaidishabani Сағат бұрын
Kwani dk za nyogeza zinafidia jaman
@IbrahimBinbenya
@IbrahimBinbenya Сағат бұрын
Kupoteza muda sio sibabu dakika zilikuwa meisha
@kabujeasukile5462
@kabujeasukile5462 2 сағат бұрын
Refa kayataka yote haya
@TwalibumsaaMusharaba
@TwalibumsaaMusharaba Сағат бұрын
jamani wana simba umeshindwa kiwachapa hawa kichapo cha mbwa awa fara waleta fujo kwetu kipa ndo kachewesha md kuongeza refa sawa😂😂😂😂😂
@ffMbiro
@ffMbiro 56 минут бұрын
Naomba serikali yetu ifanye uhuni kidogo hapa wananchi wanaheshimu sana serikali si kwa ujinga wanaotufanyia hawa waarabu koko
@DismasDismaskete
@DismasDismaskete 2 сағат бұрын
dakika zimeongezwa za wote kilicho wafanya wasifunge ni nini
@zaiogy5787
@zaiogy5787 Сағат бұрын
😂😂😂😂😂yaan
@jascinthakameleki104
@jascinthakameleki104 Сағат бұрын
Dismas upo sahihi kabisa
@lukasmaro4280
@lukasmaro4280 Сағат бұрын
Alaf chakushangaza refa huyuhuy ataenda kuchezesha marudian rna akiwa na ulinz mkali natimu moja ikicheza bila mashabiki nimekaa😂😂😂
@alexandernyambo7739
@alexandernyambo7739 2 сағат бұрын
Mmmmh sipati picha Simba wakienda huko kwa hawa jamaa.... Wataua mtu hawa jamaani Mweeeeeh
@israelkisaila8401
@israelkisaila8401 Сағат бұрын
Hivi bado hatujaenda eeee? Wanatoka Nchi gani? Halafu CAF WANAPENDA KUPANGA TIMU ZA TANZANIA KILA MARA NA WAARABU😢
@hamismwaya6475
@hamismwaya6475 2 сағат бұрын
Wamezoe kung'oa viti
@samsonsike1262
@samsonsike1262 Сағат бұрын
Warabu wabovu kama nimuda kuzidi ulizidi Kwa wote mbona wao hawakufunga?
@IsakaSamson-y3h
@IsakaSamson-y3h Сағат бұрын
Wao wasubiri tu nyundo ya CAF
@saidhamza5318
@saidhamza5318 2 сағат бұрын
Hata kama wangepata hy point moja ingewasaidia nn waarabu..au ndo wametafuta chakufa nacho japo inaumaga hy dk za jioooooooooni😳👀
@bcozhenry2698
@bcozhenry2698 2 сағат бұрын
Haki ni muhimu kuliko points za kupewa
@aikaivan9952
@aikaivan9952 Сағат бұрын
​@@bcozhenry2698sasa ngoja nikuulize wenyw walivyojilaza uwanjani km wazazi ulitaka iwaje??? Emmmmm ukooooooo
@israelkisaila8401
@israelkisaila8401 Сағат бұрын
​@@bcozhenry2698wamepewa wamefunga uhalali?🎉
@DouglasBilishanga
@DouglasBilishanga Сағат бұрын
Ila Simba sijui kama kwa Mkapa mnacheza hivi na tunajua kabisa nje huwa ni wanyonge basi tumuachie Mungu tu
@DouglasBilishanga
@DouglasBilishanga Сағат бұрын
Hii bado kwa Kayoko
@obedimitwe4642
@obedimitwe4642 2 сағат бұрын
Wao walipoteza muda kwa kulala sana ni haki refa kufidia muda uliopotea
@mrafm7285
@mrafm7285 Сағат бұрын
Mbona hata ulaya ipo hii zinaongezwa dkk 5 but refa anafidiya zake 2
@Bandugu-b5p
@Bandugu-b5p 2 сағат бұрын
Wao kujiangusha wanaona sawa
@CalvinNjovu-w6e
@CalvinNjovu-w6e 2 сағат бұрын
Ubaya ubwelanga 😂😂😂🎉
@Ratifarashidi-x7i
@Ratifarashidi-x7i 2 сағат бұрын
piaga.lefa.uyo
@judnesstemba7252
@judnesstemba7252 Сағат бұрын
Wangefunga wao wangempiga lefa
@elneliajustine
@elneliajustine 57 минут бұрын
Wao wangelifunga wangelalamika?
@GeradMallya-j5g
@GeradMallya-j5g 2 сағат бұрын
Utajua ww
@PoulinSimon
@PoulinSimon 14 минут бұрын
Refa anamakosa yake pia
@JOHNMGINA-f1d
@JOHNMGINA-f1d 2 сағат бұрын
Refa hana kosa wanapenda sana kupoteza mda refa kafidia mda waliopoteza
@hamismwaya6475
@hamismwaya6475 2 сағат бұрын
Hivi Hapo viti kang'oa nani
@BeaSHAYANAHunterson
@BeaSHAYANAHunterson 2 сағат бұрын
kuna mtu kala teke 😮😮😮😮😮
@masterlyrics5
@masterlyrics5 2 сағат бұрын
Kaanguka ikabidi ajikalie pembeni😂😂😂😂
@mzeke-r9h
@mzeke-r9h 2 сағат бұрын
Sema mashabiki wa Tanzania tupunguzeni unyonge hao waarabu walitakiwa kuchapika hapo
@BonifaceSanga-sk7xg
@BonifaceSanga-sk7xg Сағат бұрын
Unawachapaje wakati wameonewa, kwanza dk saba ziliongezwa kw sababu gani jana mazembe walipoteza sana muda lakini refa aliongeza dk 4
@mzevanilla7532
@mzevanilla7532 Сағат бұрын
​@BonifaceSanga-sk7xgAcha ushamba
@elneliajustine
@elneliajustine 56 минут бұрын
Mbeleko hata ww itafute hiyombeleko
@EmmanuelSima
@EmmanuelSima 3 сағат бұрын
Aibu kwa soka la Africa tunapiga hatua ila maafisa wa michezo mnatunyima raha kuna haja gani viti vyetu kung'olewa kwa uzembe wako?????It's big shame in football
@taseleli9181
@taseleli9181 3 сағат бұрын
Uzembe upi aliofanya waambie jamaa zako waache kupoteza muda makusudi najua Utopooooo umevimba mpaka basiii 😂😂😂😂😂 hivyo viti walivyong'oa watalipa
@danielkanso
@danielkanso 2 сағат бұрын
Hiyo hata haipo upande wa maafisa ni ujinga tu na papepo ya waarabu je wao wangeongeza goli ingekuwaje majinga tu hao
@MapangoThomas
@MapangoThomas Сағат бұрын
Ko wao hawakuwa uwanjani hao waarabu?
@JudicateShuma
@JudicateShuma 2 сағат бұрын
Ila waliovunja viti ni uto kwahasira zao,
@MchungajiNzelani
@MchungajiNzelani Сағат бұрын
Walikuwa wanajiangusha makusudi
@haggaikinyau9047
@haggaikinyau9047 52 минут бұрын
Hii ni aibu kwa Simba na marefa wao
@JuliasamosMnyampanda
@JuliasamosMnyampanda Сағат бұрын
safi refa hana kosa hata kidogo muda ni dakika sio 85 ni 90 za nyongeza sawa Bado hawajakoma wana lala wamekuja kulala Dar wakalele na wake zao sio uwanjani CAF kazi kwenu Viti wametao siku wakija watakalia nini wajinga kweri hao
@MashakaMartin-c6l
@MashakaMartin-c6l Сағат бұрын
Refa ndo mwamuzi wa mwisho, tatizo waarabu wamezoea vurugu
@ridhiwanikhalifa9036
@ridhiwanikhalifa9036 Сағат бұрын
mashabiki wa simba Hawana akili kabisa wanang'oa viti wajenge uwanja wao
@rumanyikajoe7038
@rumanyikajoe7038 2 сағат бұрын
Waarabu wakiwa kwao. Mmewasahau, kwenye mechi ya Finali ya Yanga na USM Alger. Walipiga mafataki mpaka refa akasimamisha mpira mara kadhaa. Kwao watafanya hivyo pia
@MohamedAfadhali
@MohamedAfadhali 3 сағат бұрын
Marefa ndowajinga wachewapigwe
@yassinnabwera4273
@yassinnabwera4273 2 сағат бұрын
Kwa akili zako hapo ataadhibiwa nani?
@musamsangimsangi5159
@musamsangimsangi5159 2 сағат бұрын
Kuongezeka kwa dakika ni kawaida sana. Labda kama huangaliagi mpira. Zipo sababu kama za kuchelewesha muda
@emmadora7848
@emmadora7848 2 сағат бұрын
Mjinga wewe usiyejitambua ,walikuwa wanapoteza muda ulitaka refa afanye nn? Acha ushabiki wa kishamba
@GloryTheodory-e6w
@GloryTheodory-e6w 2 сағат бұрын
Hawa nyumbu niwakufunfungia wasicheze wamempiga refa 😲🥺
@hamzaabdallah8637
@hamzaabdallah8637 Сағат бұрын
Kiukweli refa kawaibia dakika 2 zaidi. Make kapongeza dakikika 7, zote zimechezwa zikaisha lakini hakumaliza Mpira, Hadi dakika 8:45 goli linaingia . Hatuwezi kuruhusu Huu ujinga . Wana haki ya kufanya hivyo. Watu wanawekeza kwenye Timu zao. Halafu unawavunja nguvu kirahisi hivyo
@makameBenson
@makameBenson 2 сағат бұрын
Kama CAF ipo na viongozi wapo ni vyema kutozwa faini na kutolewa kwenye mashindano iwe somo Kwa wengine
@shemsa3810
@shemsa3810 2 сағат бұрын
Refa awajibike kuvunjwa viti
@ZainabuBukuku-g1l
@ZainabuBukuku-g1l 2 сағат бұрын
Asikar Wako wapi ?
@zuhuraminja8730
@zuhuraminja8730 2 сағат бұрын
Ukisikia ubaya ubwela ndio huu
@FikiMakame
@FikiMakame 2 сағат бұрын
kufungwa mmefungwa2 fujo zanini jmn
@shemsa3810
@shemsa3810 2 сағат бұрын
Ahmed Ally angemuombea
@loishiyesamwel1374
@loishiyesamwel1374 2 сағат бұрын
Vipi mechi za kimataifa hakuna police uwanjani, Nani angemwokoa huyu Mwamuzi
@SalimSadata
@SalimSadata 2 сағат бұрын
Naogopa sijui kitatutokea Nini tukienda kwao jamani
@Dullah_tz
@Dullah_tz 2 сағат бұрын
Kibako tu
@thomasmkwama2388
@thomasmkwama2388 2 сағат бұрын
Nanyi mnataka?
@rashidmaulid7312
@rashidmaulid7312 2 сағат бұрын
Masikini hawaelewi maana ya ubaya ubwela
@davidnziku2492
@davidnziku2492 2 сағат бұрын
Huu sasa ni ubaya ubwege chezea Simba Simba ww
@saidizuber8831
@saidizuber8831 Сағат бұрын
Ubaya ubwelaaaaaaa
@MashaHusseni-z5v
@MashaHusseni-z5v 2 сағат бұрын
Simba ugomvi mmeutaka uo
@amoslameck6158
@amoslameck6158 Сағат бұрын
Kwani anae ng'oa viti ni mwarabu ama ni simba wenyewe ukumbuke waarabu hawakuwana mashabiki sasa hili watarejea kuona nani aling'oa
@EfraimuLujely
@EfraimuLujely 2 сағат бұрын
😂bebwenii na nyie
@zilpagibore7933
@zilpagibore7933 3 сағат бұрын
Marefa ndo wanaleta yote haya wangekuwa wanaenda na mda ndio maana waliongeza 7 ilikufidia dakika za nyongeza hakuna mda uliopotea
@ikulunimahalipatakatifu7642
@ikulunimahalipatakatifu7642 2 сағат бұрын
MPIRA LAZIMA UCHEZWE DAKIKA ZOTE HAWA JAMAA WALIPOTEZA MUDA SANA
@yassinnabwera4273
@yassinnabwera4273 2 сағат бұрын
Mpira ni lazima uchezwe dakika 90 kwa sheria za FIFA,wale Warabu wanaendelea kupoteza muda baada ya kuonyeshwa zile dakika 7za nyongeza,mwamuzi alikuwa makini sana kuwaangalia
@Habari_live
@Habari_live 2 сағат бұрын
Mm simba ila kusema ukweli baada ya kuongezwa dakika 7 hawa jamaa hawakulala kabisa
@Habari_live
@Habari_live 2 сағат бұрын
Kama uliangalia michi ya jana ziliongezwa dakika 4 lakini ndio mechi iliokuwa na upotezaji wa mda kuliko hii
@willytory6979
@willytory6979 2 сағат бұрын
Babu ni hivi hata hizo 7 zilizo ongezwa zinapaswa kuchezwa zikamilike na kukamilika sio kuona zimefika 7 ndo zimechezwa maana watu wanaweza poteza muda kama hawa jamaa walichokuwa wanafanya unakuta 4 zimechezwa 3 wamepoteza kwa makusudi sasa mwamuzi ndo ana wajibu wakulinda dk zote 90 zichezwe tusiishie kusoma ubao wa matangazo ile sio stop watch
@kinyangulishabani9396
@kinyangulishabani9396 2 сағат бұрын
Kushinda mmeshinda viti lazima mnunue
@colombanipaulo8953
@colombanipaulo8953 2 сағат бұрын
Duhh ila waarabu watu wa ajabu wako ugenini lakin hawaogopi. Wachezaji wao wanarushiana viti na mashabiki wa Simba. Jiulize tu ingekuwa Simba iko kwa hao waarabu kuna mchezaji wa simba hata moja angethubutu kumrushia kiti shabiki aliyeko jukwaani? Ungewakuta wamekimbilia vyumbani.
@jacksonbenjamin3672
@jacksonbenjamin3672 2 сағат бұрын
Huyu refa anawafaa waarabu
@IbrahimBinbenya
@IbrahimBinbenya Сағат бұрын
Huyu refa hatochezesha mpira tena mpaka atakufa
@godfreykasimba6187
@godfreykasimba6187 Сағат бұрын
Shida ni bahasha dakika 7 ziliongezwa kufidia muda sasa kwann zilipoisha refa hakumaliza mpira kuna ajenda ya rushwa hapo
@KhadijaYahya-f6b
@KhadijaYahya-f6b Сағат бұрын
Sio ajenda bali wao walipoteza muda
@KhadijaYahya-f6b
@KhadijaYahya-f6b Сағат бұрын
Waarabu washenz sana mm nipo oman napambana na ujinga wao
@gracendumbaro5196
@gracendumbaro5196 Сағат бұрын
Ulipeleka wewe kama Tp mazembe
@MandoliiMoshi
@MandoliiMoshi Сағат бұрын
usiwe mshabiki mfata bendera cku hizi lanuni za mpira zimebadilika muamuzi anauwezo wa kustopisha dk zake endapo inatokea janja janja ya mchezaji yoyote kupoteza muda ili dk zikate ko pale golikipa alipokuwa anapoteza muda refari yeye alishastopisha dk zake mpira ulipoendelea akastat kuendeleza dk ad pale zitakapoishia zile za nyongeza ndo amalize mpira na wakati huo unakuta pale ubaoni zishaisha kitambo ila refari kumbuka mkoni yuko na conomitar yake kwaiyo cku hizi ata mchezaji ukipoteza muda dk za nyongeza refari yeye anastopisha2 dk ko wanasimba wanajui kuitumia fursa na simba wanajua kupambana wakiwa nyumban
@juliusjohn6873
@juliusjohn6873 Сағат бұрын
ww ndo mjinga refa kafanya kosa gan
@hamismwaya6475
@hamismwaya6475 2 сағат бұрын
Tutanza kufikiria tofauti marefa wetu
@jumamagoma1743
@jumamagoma1743 2 сағат бұрын
Polisi.wapo.kwa.ajili.ya.chadema
@CyrilMethod
@CyrilMethod 2 сағат бұрын
Kinachonishangaz ahapakuwepo polisi kabs kumsaidia refa ?Mbn Simba akicheza au yanga mapolisi kibao?
@zuberimusamazari7003
@zuberimusamazari7003 2 сағат бұрын
Dakika sawa ni saba kwa nini refa apeleke mpaka dakika 9 sababu anajua simba wana home advantage
@CyrilMethod
@CyrilMethod 2 сағат бұрын
Nawaza tu km Waarabu wanawapiga watanzania kwao je ukienda kwao unapona?
@jacksonbenjamin3672
@jacksonbenjamin3672 2 сағат бұрын
Mm nawashangaa baadhi ya watanzania mwafrica mwenzenu anapigwa na waarab mnashangilia Acha Israel aendelee kuwabonda waarabu
@israelkisaila8401
@israelkisaila8401 Сағат бұрын
Waafrica sisi ni nyoko zetu nakwambia,Yanga Jana kapigika eti Mtanzania anashangilia ni hovyo kabisa ngozi nyeusi
@mussajulius9579
@mussajulius9579 2 сағат бұрын
Ongeeni kama watu wa mpila mbereko Kwa simba tu hapana kama ni mbereko Kwa wote kwani simba walicheza peke yao
@ManjaHisani
@ManjaHisani Сағат бұрын
Kwanini kila siku tim zilalamikiye kwa simba tu au ndiyo ile kununuwa marefa tu bora mdamwengine wanazinguwa wapigwe kweli
@nassolongonyaningonyani8984
@nassolongonyaningonyani8984 2 сағат бұрын
Marefa wameibeba mno simbawazi wazi ndo wanaoharibu mpira
@sebastiansalamba313
@sebastiansalamba313 2 сағат бұрын
Aibu kubwa hongo kwa waamuzi sio Jambo jema
@emmadora7848
@emmadora7848 2 сағат бұрын
Toa ushamba wako wewe, walikuwa wanapoteza muda makusudi ulitaka refa afanye nn?
@WamburaNyamhanga
@WamburaNyamhanga 2 сағат бұрын
Ulimwona mama yako ndo kahongwa hapo au wao wangefunga hizo dkk wangampiga mwamuzi na kug'hoang'oa hivyo viti.
@HajjsIsama
@HajjsIsama 2 сағат бұрын
Wakina kayoko wapo wengi 7 zimeongezwa kilochomfanya ni nn kuongeza zake
@zuhurajabiri3900
@zuhurajabiri3900 2 сағат бұрын
Kawaida sana kwa marefa kufidia muda.
@ikulunimahalipatakatifu7642
@ikulunimahalipatakatifu7642 2 сағат бұрын
MPIRA UMEWASHINDA WAMEBAKI NA MASWIMBWI TU, MPIRA HAUJAISHA MPAKA UISHE
@EmilianKunambi-f8u
@EmilianKunambi-f8u 2 сағат бұрын
Refa yupo sahihi kifootball hii ni kutokana na kipa kupoteza Muda bila sababu
@MomilionareMashine
@MomilionareMashine 2 сағат бұрын
Kwa Hali hii soka la bongo nihasala sana hatufki mbali
@emmadora7848
@emmadora7848 2 сағат бұрын
Wabongo wamefanya nn? Wewe ni yanga unaumia sana
@AminaKissawaga
@AminaKissawaga 2 сағат бұрын
Dk 7mmepewa pambana vita simba wameitaka wenyewe aibu gani hiiiii Mmefunga kiaibu tu
@emmadora7848
@emmadora7848 2 сағат бұрын
Aibu yako wewe ambaye unateseka na mambo yasiyo kuhusu
@shemsa3810
@shemsa3810 2 сағат бұрын
Refa kayataka
@JosephatMuhoza
@JosephatMuhoza 2 сағат бұрын
Busara za refa zinaruhusiwa! Mnakumbuka Simba na dakika za mwidho na waarabu?
@FredyMayango-j7n
@FredyMayango-j7n 2 сағат бұрын
Japo warabu niwakorofi, Lakini kwa hiri wapo sahihi, refa kajitakia
@GloryTheodory-e6w
@GloryTheodory-e6w 2 сағат бұрын
Hapana walivyojilaza kama wanataka kujifungua
@zilpagibore7933
@zilpagibore7933 3 сағат бұрын
Wako sawa kufanya fujo waarabu mda ulikwisha dakika ya tisa
@GideonJackson-bq2lg
@GideonJackson-bq2lg 2 сағат бұрын
Kama Congo tu....afu isitoshe walikua wanacheza wote....kwani wangefunga wao wangesema muda umekwisha.....acha mambo yahovyo ww.
@yassinnabwera4273
@yassinnabwera4273 2 сағат бұрын
Kwa hiyo Simba walikuwa wanacheza huku wao wamefungwa kamba?unaleta ushabiki wa Utopolo FC!
@bwagizoselemani8434
@bwagizoselemani8434 2 сағат бұрын
Nawao wamepoteza muda sana wajinga tu hao
@ChamaziMusic
@ChamaziMusic 2 сағат бұрын
wydad vs Simba Ziliongezwa dakika 3 tukafungwa Dakika Ya 5 sekunde ya 50
@abdallahkhaliki4943
@abdallahkhaliki4943 2 сағат бұрын
Kwa nini na wao wasitumie huo mda kufunga wanajidondosha sana tatizo
@anithawidambe7543
@anithawidambe7543 3 сағат бұрын
Waarabu ni wajinga sana walikuwa wanapoteza muda sana kocha wao awaelekeze hiyo tabia mbaya CAF TUNAOMBA HAWA WASHUGHULIKIWE
@josephmlinder529
@josephmlinder529 2 сағат бұрын
Refa ndio mpumbavu Mwanakulitafuta
@Habari_live
@Habari_live 2 сағат бұрын
Baada ya kuongezwa dakika 7 hawa jamaa hawajalala kabisa alafubivi mechi ya jana ya tp mazemb na yanga na leo ipi ilikua na upotevu wa muda zaidi na jana zikaongezwa dakik 4
@FredrickKaaya-m9r
@FredrickKaaya-m9r 2 сағат бұрын
Ukamshulikie mama yako au baba yako kolo ww
@FadhiliYusuphu
@FadhiliYusuphu 2 сағат бұрын
We muongo
@azizahamiry6112
@azizahamiry6112 2 сағат бұрын
​@@Habari_live nilikuwa naitafuta hii comment jmn ukweli usemwe tp mazembe jana walipoteza muda na tukaongezea 4...sasa hawa waleo cjaona walikopoteza muda ila zimeongezwa dakka7
@DM_15
@DM_15 Сағат бұрын
Waarabu wana mentality kua waondio wanatakiwa kua on top kwakilavitendo wanavyofanya, matukiokamahaya kwao kawaida . Nadhani caf wanatakiwa kwasasa wawa shuhulikie ipasavyo . Sikuhiz kuna technology wanajilslisha sana kenge wale
@kinyangulishabani9396
@kinyangulishabani9396 2 сағат бұрын
Hiyo ni mbeleko simba mbovu
@denismisango6166
@denismisango6166 2 сағат бұрын
Kwani dk ziliongezwa kwa timu moja tu? Achana na mbeleko hesabu pointi sita kwa Simba yanga pointi moja upo
@dicksonkyando8989
@dicksonkyando8989 13 минут бұрын
Waarabu wajinga sana
THE AMAZING DIGITAL CIRCUS - Ep 4: Fast Food Masquerade
23:20
GLITCH
Рет қаралды 25 МЛН
Chain Game Strong ⛓️
00:21
Anwar Jibawi
Рет қаралды 38 МЛН
Мясо вегана? 🧐 @Whatthefshow
01:01
История одного вокалиста
Рет қаралды 7 МЛН
THE LAST OF THE MOHICANS Final Scene (1992) Daniel Day-Lewis
7:31
JoBlo Movie Clips
Рет қаралды 19 МЛН
Troy | Achilles Takes The Beach of Troy | ClipZone: High Octane Hits
10:52
ClipZone: High Octane Hits
Рет қаралды 3 МЛН
Chain Game Strong ⛓️
00:21
Anwar Jibawi
Рет қаралды 38 МЛН