Basi furahini-Kahama adventist choir

  Рет қаралды 109,648

Kahama Adventist Choir

Kahama Adventist Choir

Жыл бұрын

Endelea kubarikiwa kutoka kwaya hii.
simu:0757024095

Пікірлер: 75
@estherkorigwa3346
@estherkorigwa3346 5 ай бұрын
Nimewapenda sana kwakweli mungu azidi kuwabariki sana kwa kazi njema mnayoifanya,yaani mnanibariki sana
@mwanansokaone6627
@mwanansokaone6627 9 ай бұрын
Mungu awabariki sana kwa Wimbo huu mzuri sana
@rachelbuyamba4922
@rachelbuyamba4922 7 ай бұрын
Wimbo mzuriii,nakuona home girl milika mabula budeba 🔥
@EndrewNdabigeze-kh5fj
@EndrewNdabigeze-kh5fj Жыл бұрын
Mungu aeabariki saaana watu wa mungu
@josemuthaura3846
@josemuthaura3846 3 ай бұрын
Wimbo POA Sana Mungu awabariki.muthaura kutoka Muthara meru Kenya.
@kahamaadventistchoir
@kahamaadventistchoir 2 ай бұрын
Barikiwa sana ,karibu kahama Tanzania
@johnmbitiyaza1254
@johnmbitiyaza1254 5 ай бұрын
nakosa maneno mazuri yakuwapongeza ila munaimba vizur sana,bwana awatumie kwa kiwango cha juu.
@AlenMathias
@AlenMathias 5 ай бұрын
Nimebalikiwa sana mungu awalinde
@yonaevarist2900
@yonaevarist2900 6 ай бұрын
Mbarikiwe sana baraka za rohoni na mwilini!! Nyimbo zenu zinanibariki kwa kweli
@kahamaadventistchoir
@kahamaadventistchoir 6 ай бұрын
Amina sana,MUNGU ATUKUZWE.
@gilbertciza9317
@gilbertciza9317 Жыл бұрын
Oooh Mungu awabariki sana,
@vollenatieno971
@vollenatieno971 Жыл бұрын
watching from Kenya ,it's long since I watched songs with no movements.This was perfectly done imenipa taswira ya bingu God bless you to continue touching and reaching to souls
@kahamaadventistchoir
@kahamaadventistchoir Жыл бұрын
Endelea kubarikiwa na MUNGU.
@cizatelesphore
@cizatelesphore 11 ай бұрын
Merci bcp ,mubarikiwe sana Watu wamungu
@marionjons2288
@marionjons2288 4 ай бұрын
Nimeguswa Alleluyah from the book of Mathew 25:40
@mrmoyo2772
@mrmoyo2772 Жыл бұрын
Safi sana watu wa Kahama. Ninakumbuka choir hii nilipofika Kahama kutoka Shinyanga Chuoni pale Kolandoto.Akanileta kanisani rafiki yangu wa AICT ili nihubili nikiwa mgeni wake msabato kutoka Zambia 🇿🇲. Jamaa alikuwa kaka yangu na rafiki hada kwakunionyesha kanisa la wa sabato wa Adventista.l saw this choir singing.God bless you Kahama SDA.
@GivenLubenda-cc6xr
@GivenLubenda-cc6xr 2 ай бұрын
Wimbo nzul sana mubalikie tena
@kahamaadventistchoir
@kahamaadventistchoir 2 ай бұрын
Amina,barikiwa sana 🤝
@kingwakenya
@kingwakenya Жыл бұрын
Wasabato nyimbo zenu nzuri kweli duniani kote mungu azidi kuwabariki
@rasto-rasto
@rasto-rasto 5 ай бұрын
nimeguswa sana na wimbo huu. Wimbo uliimbwa kwa utulivu. *Mungu awabariki waimbaji wote na tena wazidi kufika mbali.*
@adammumasunzu1057
@adammumasunzu1057 8 ай бұрын
Nyimbo nzur sana
@drmunyoki7038
@drmunyoki7038 11 ай бұрын
I love the message and the vocals and instrumentals. Infact, this is the current situation of the church where exorcism is the message and not repentance and salvation. From Mwingi, Kenya with great love. Be blessed good people.
@kahamaadventistchoir
@kahamaadventistchoir 2 ай бұрын
Amen
@simonngweta1726
@simonngweta1726 9 ай бұрын
Amen
@user-bg1dg8so3f
@user-bg1dg8so3f 7 ай бұрын
Mungu awenawe
@perisbosibori8524
@perisbosibori8524 Жыл бұрын
Thank you Kahama for this wonderful song. You've melted my heart with joy. Let's LORD'S name be elevated and glorified forever, AMEEN!
@AbelErasto
@AbelErasto 10 ай бұрын
Together as one_#hope with God.
@ezekielkisembo-oq6ly
@ezekielkisembo-oq6ly 10 ай бұрын
asante kwa wimbo
@ZachariaErasto-n6m
@ZachariaErasto-n6m Күн бұрын
Sina chakuwalipa kwani ni kazi ya bwana yeye kaandaa taji amen
@kahamaadventistchoir
@kahamaadventistchoir Күн бұрын
@@ZachariaErasto-n6m Amina sana,zidi kubarikiwa
@ZachariaErasto-n6m
@ZachariaErasto-n6m Күн бұрын
@@kahamaadventistchoir amen
@johnlimo4471
@johnlimo4471 Жыл бұрын
Mungu awatie nguvu, hekima na ujasiri mnapotangaza ujumbe wake kuputia uimbaji
@KelvinMwiti-ug8ws
@KelvinMwiti-ug8ws 8 ай бұрын
NYC song
@user-kv1eq3zx5u
@user-kv1eq3zx5u Жыл бұрын
Mungu hawape ekima ya uduma, na kwendeleza enjili
@magitamataro6998
@magitamataro6998 Жыл бұрын
Jamani mnaimba vizuri siku hizi 😂😂😂😂 sio kama kipindi ile miaka yetu tulikuwa tuimba Pambano 😂😂😂 miss u guys ... soon nitakuja kuwapa hi hapo church... Bravo Pambano kwaya
@gibsonleonard3144
@gibsonleonard3144 Жыл бұрын
Nabarikiwa sana na nyimbo hii MUNGU awabariki katika utumishi
@user-ip8kd1rn4x
@user-ip8kd1rn4x 11 ай бұрын
Amen Amen Amen ❤❤❤❤ thanks so much you have really healed my soul and get blessed toooo
@salumkalulu-de1md
@salumkalulu-de1md Жыл бұрын
Safi sana unafariji sana na kutia nguvu wimbo huu.Mungu awabariki
@kahamaadventistchoir
@kahamaadventistchoir Жыл бұрын
Amina ,ubarikiwe pia.
@masanjalameck7379
@masanjalameck7379 Жыл бұрын
Ujumbe mzuri sana ,ushauli tuboreshe mziki
@delickmarco3945
@delickmarco3945 24 күн бұрын
Amen jamani
@JackobGalish-ky3no
@JackobGalish-ky3no Жыл бұрын
Be blessed Kahama Central Choir. I see you at the top
@pendomasanyiwa5213
@pendomasanyiwa5213 Жыл бұрын
Amina sana
@EndrewNdabigeze-kh5fj
@EndrewNdabigeze-kh5fj Жыл бұрын
Wasabato hakika mungu anawaona❤
@MariamuRajabu-fx7dm
@MariamuRajabu-fx7dm Жыл бұрын
Mungu aibariki kazi yake
@mwitamanyandagala
@mwitamanyandagala Жыл бұрын
Nimebalikwa sana na nitaendelea kubaliw pia
@user-ol7zz7gf8w
@user-ol7zz7gf8w Жыл бұрын
Nyimbo ni nzuri sana
@florarobinson7893
@florarobinson7893 Жыл бұрын
Nawakumbuka sana marafiki zangu
@MariamuRajabu-fx7dm
@MariamuRajabu-fx7dm Жыл бұрын
Ss pia tunakukumbuka sana
@joshuac.mashida1378
@joshuac.mashida1378 Жыл бұрын
Barikiwe Sana watumishi wa bwana
@joyceobwocha5961
@joyceobwocha5961 Жыл бұрын
Wimbo mtamu kno ,I’m also asking; is my name written there? It’s a challenge to us all, God bless you choir
@AidanMabula-mx9yp
@AidanMabula-mx9yp Жыл бұрын
Nyimbo nzuri xan hongera sana
@kahamaadventistchoir
@kahamaadventistchoir Жыл бұрын
Amina
@joshuac.mashida1378
@joshuac.mashida1378 Жыл бұрын
Amina
@edinahochiche4718
@edinahochiche4718 Жыл бұрын
Ameen and Ameen
@charlesmutuku768
@charlesmutuku768 Жыл бұрын
Aki wimbo mzuri napenda
@peterekhaba7485
@peterekhaba7485 Жыл бұрын
Amen the original style of singing God bless His work through you 🙏
@kahamaadventistchoir
@kahamaadventistchoir Жыл бұрын
Amen
@daudimhoha320
@daudimhoha320 Жыл бұрын
Kazi.nzuri.
@cizatelesphore
@cizatelesphore 11 ай бұрын
Misuc yenyu yanyimbo yenyu nizuri haina Makelele AO fucho ,inasikika mno.
@lakiestanslouse3775
@lakiestanslouse3775 Жыл бұрын
AMEN
@MussaWillium
@MussaWillium 2 ай бұрын
U
@KiplangatBernard-dt2ob
@KiplangatBernard-dt2ob Жыл бұрын
Pia_nami
@gakewankuru7903
@gakewankuru7903 Жыл бұрын
Ninawapenda
@diackomwansu660
@diackomwansu660 Жыл бұрын
Nice 👍
@rabanphotostudionyakanazi_4115
@rabanphotostudionyakanazi_4115 7 ай бұрын
❤ Barikiwa sana Mwali wangu..mhakili wangu,wa music..by Rabani B. Hiyo kazi Ni nzuri... Naomba namba ya huyo mwalimu wa mpiga guite SEleman
@kahamaadventistchoir
@kahamaadventistchoir 2 ай бұрын
Barikiwa sana,na tuombe radhi Kwa kuchelewa kujibu OMBI lako Namba ya mwalimu selemani ni 0788077295 +255753384171
@bahatijuma9890
@bahatijuma9890 Жыл бұрын
Napenda sana nyimbo zinazotia moyo katika safari ya uzima wa milele
@user-dh9my9nt7i
@user-dh9my9nt7i Жыл бұрын
Kweli wimbo huu una mvuto Kila msikilizaji. Mungu awa zidishie vipawa na vipawa walimu watunzi wimbo huu pamoja waimbaji wote.
@mwalimunestory5513
@mwalimunestory5513 Жыл бұрын
Naimiss sana kwaya yangu ya KCC MUNGU azidi kuwabariki sana🙏
@kahamaadventistchoir
@kahamaadventistchoir Жыл бұрын
Barikiwa sana mtu wa MTU WA MUNGU
@nanyamasheilah5695
@nanyamasheilah5695 Жыл бұрын
Napenda Sana nyimbo hizi za kuokoa wenzetu...Mungu awatue nguvu Na HEKIMA yake iwazidie Kwa wingi..natazama kutoka hapa Kenya barikiweni Sana🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@elishabuhomory
@elishabuhomory Жыл бұрын
Nimefurahishwa na wimbo wenu mungu awabariki
@kahamaadventistchoir
@kahamaadventistchoir Жыл бұрын
Endelea kubarikiwa
@kahamaadventistchoir
@kahamaadventistchoir Жыл бұрын
Barikiwa sana pia.
Yohana alionyeshwa-Kahama Adventist Choir
6:04
Kahama Adventist Choir
Рет қаралды 12 М.
Swahili SDA Songs, Video Mix
1:19:38
CyberWorld
Рет қаралды 3,6 МЛН
Incredible magic 🤯✨
00:53
America's Got Talent
Рет қаралды 76 МЛН
ОСКАР vs БАДАБУМЧИК БОЙ!  УВЕЗЛИ на СКОРОЙ!
13:45
Бадабумчик
Рет қаралды 5 МЛН
50 YouTubers Fight For $1,000,000
41:27
MrBeast
Рет қаралды 126 МЛН
ABAISEKE ABA NGOTOIRA MORE ESIORORI BOBE - Ev. Joyce Mwango
36:50
Get The Point
Рет қаралды 15 М.
Neema Gospel Choir - Sitalia (Live Music Video)
7:28
Neema Gospel Choir
Рет қаралды 70 М.
ROHO YANGU -  SOGEA SDA CHOIR TUNDUMA SONGWE
2:22
SOGEA SDA CHOIR TUNDUMA
Рет қаралды 1,6 М.
Wakati wa shida-Kahama Adventist choir
8:31
Kahama Adventist Choir
Рет қаралды 10 М.
Heka Heka Za Maisha - Iringo SDA Church Choir (Official Video)
5:53
Iringo SDA Church Choir
Рет қаралды 371 М.
Nyasubi_sda_choir --Yatosha_ Jangwani (official  video )
5:04
NYASUBI SDA CHOIR
Рет қаралды 15 М.
Anayo heri-kahama adventist choir
6:39
Kahama Adventist Choir
Рет қаралды 5 М.
MAJENGO S.D.A CHOIR (MASUMBWE) _TUTUMIKE_ [OFFICIAL VIDEO]
4:57
MAJENGO S.D.A CHOIR (MASUMBWE)
Рет қаралды 65 М.
YOSHUA-Kahama Adventist choir.
6:36
Kahama Adventist Choir
Рет қаралды 14 М.
Incredible magic 🤯✨
00:53
America's Got Talent
Рет қаралды 76 МЛН