Congrats to them but kenya hiyo gari mbona iko yatoka msa mpaka kisumu
@SophlaJackson-nt1nc10 ай бұрын
@@yasminoluoch169 nyamazeni tuu Kenya Tanzania ote hamna mabasi mazuri nitakataka njoo south Africa uone 🥰
@IamRaySmartTz10 ай бұрын
Tunafurah kwa hili Ayo kutuletea new update Wale wa south tulio fika Gonga like
@cimpleweston632710 ай бұрын
Usafir mzur wenye utalii ndani yake kuusu muda siku 3 adi 4 c mbaya nadhani ni sababu za kiusalama zaid nawapongeza sana wausika wote
@SophlaJackson-nt1nc10 ай бұрын
Hakuna nimbari mno mimi kwa sasa napandia lusaka rakini siku ya 3 asubui ndyo tunafika South
@mohamedshariff96997 ай бұрын
Hongera Tanzania jee ukiwa na passport ya another country but from East Africa anaweza safiri from Tz to S.Africa without visa ya South Africa
@Mpakauseme5 ай бұрын
Google
@Nyatojr1eddy3 ай бұрын
Tz hatutakiw kuwa na visa kwa south Africa
@lusajomwaipopo504210 ай бұрын
Hongera sana mkombe luxury, serikali jitahidini kuongeza upana barabara ya dar mpaka tunduma coz ndiyo njia kuu ya safishaji Tanzania
@milogrouplimited162810 ай бұрын
Mkandarasi yupo site , vipi hauna taarifa ? na fedha tayari zilishatengwa kwa ajili ya kipande kutoka Igawa-mbeya-songwe hadi tunduma karibu kilomita 167.
Serikali ya Zambia ndio inafeli sana Barbara toka nakonde kuelekea Lusaka hivyo sana
@thelastship245510 ай бұрын
That's awesome we need this from Tanzania to Mozambique maputo
@maureenn.canhandula238110 ай бұрын
Via Tete Mozambique👍🏾
@gracekagoma323110 ай бұрын
Lakini jmni overtaking marufuku ili kuzuia ajali..Karibuni nitakuwa mteja wenu..Hongera❤
@mikesamba84658 ай бұрын
Good job...may Allah bless that company to go far and helping East Africa people
@bernard76894 ай бұрын
I highly respect the state of Tanzania. Bernard from central Kenya.
@bahatimwakabenga28089 ай бұрын
Nimewapenda nimefurahia kazi yenu, nimesafiri kwa kuenda pitia Malawi na Zambia, sasa ni safi,asante kutuinua Wa TANZANIA.
@FoxJr-lh4fe10 ай бұрын
Ndo moja wapo yamaendeleo mungu ambalik milik🎉🎉🎉
@happynesbaemuhappynes881310 ай бұрын
Ameen
@hajimnubi458110 ай бұрын
Route ndefu hiyo mtafeli ...muwe na mabasi matatu....moja linaishia zambia lingine linapokea zambia mpaka zimbabwe linapokea lingine zimbabwe to south Africa
@zenasalum223110 ай бұрын
Wazo zuri sana
@blandinamwarabu50259 ай бұрын
Swala si kupokezana bali watu ndani ya basi siku 3 labda ankuwa anataka kutalii
@christinewomanoffaith54799 ай бұрын
@@blandinamwarabu5025mi nilitokea Lusaka,tukapita Harare Zimbabwe then jorbeg....24 hrs🙌 Kutoka Tz , nililala tunduma, kutoka tunduma nikalala Lusaka.... So ni yaleyale tu Hawa nao wanapumzika lzm
@Mpakauseme5 ай бұрын
Wabongo bwana yani mnachukulia maisha easy sana , huyo mfanyabiashara anayafahamu hayo
@LucasMatonya4 ай бұрын
Acha ushamba wewe hiyo gari ni aina ya MARCEDES BENZ inamudu hiyo route
@shijandobehe495310 ай бұрын
Safi Sana jaman hakika huyu ndio kaupiga mwingi
@sarahrashidabdallah310910 ай бұрын
Naiona hiyo south Africa soon inshallah 😅😅
@nyabyendajeanpaul26410 ай бұрын
Congratulations brothers from Tanzania. Make sure you connect the company to the rest of East Africa Rwanda, DRC Burundi. More customers are coming , by the way tell us what is required for a non SADC citizen
@user-qj9dd7tb9n10 ай бұрын
Hongera sana .Mtanzania🎉🎉🎉🎉🎉❤❤
@josephvenus325910 ай бұрын
Mambo ni 🔥🔥🔥🔥 Tushindwe ndege, meli, hata Kwa basi eh!
Wale tulio safili 2019 ,2020 na taqwa ya kuunga unga tujuane kwa like 😂😂😂😂
@zainabwage465810 ай бұрын
Mbona taqwa iko powa tu kipind kile
@ramamrutu491410 ай бұрын
Ivi sa kuna nini mbona watu wanaenda sana
@FredMwamgogwa-td6ni10 ай бұрын
@@ramamrutu4914 kuzuri
@Zainab-sq1tc10 ай бұрын
Hahaha mm hapa
@raheemamoosa522410 ай бұрын
😂😂😂 tupo
@AbeidJuma-ei9qg10 ай бұрын
Good job na wapata nikiwa kenya kwakweli nasikia raha nikiona nchi yangu ina piga hatua asanteni sana viongozi wa nchi kwakutoa vibari hivyo naiwe chachu yawatanzania walio wengi kupanua mawazo kwani tuta kuwanyuma mpaka lin Tanzania tuchanga mkeni jamani
Zambia njia zake ni mbaya sana zinamilima na kona mbaya ndio 7bu ya kuzuia gari zisitembee usiku kiusalama zaidi Mungu awabariki katika utaftaji wenu
@lissamsalu1234510 ай бұрын
Big congratulations brother pigeni kazi jaman
@zayumar295510 ай бұрын
Wow nmependa nikipataga mwenyeji ntaendaga au nikiwa na pesa😂😂❤❤❤
@ernestlocken45008 ай бұрын
Mkombe luxury hongereni Sana hicho ndicho watanzania tunatakiwa kufanya tupo pamoja
@YFM-rq9td8 ай бұрын
Jamaa kacheza sana walau nchi tatu kagusa madereva,,,huyu ma Tanzania anaendesha hadi malawi analala hapo atapitiwa route ya kurudi,,,anakamatia wa Malawi nae ananyonga hadi south mwanzoni anaikamatia msouth anaanza kuchana mikoa ya huko,,,
@elviskibet17868 ай бұрын
As a Kenyan I woud love to take this trip
@jaro56038 ай бұрын
Why do you have to say your nationality , nobody cares.
@laudadeusredemptorysidinda27507 ай бұрын
@@jaro5603kwani akisema kuna tatizo gani, acha ujinga
@james008BOND77 ай бұрын
@@jaro5603unajibu kama mtu ambae hakuenda shule,,tumia hekima🙏
@mussamtupa10 ай бұрын
Niona tangazo lenu Tiktok nika pingia ndugu ya ngu Akaja kukata Tkt Kafika Jobek Salama kabisa Asanteni sana Sikuamini mwanzo.
@loisewanjiku39749 ай бұрын
Their contact ni gani please
@Satier479 ай бұрын
Kazi nzuri sana wazee.🇹🇿🇹🇿🇹🇿💪✔️
@frankmwakalinga74558 ай бұрын
Hongera sana tutaenda kwa madiva bila shida,🙏🙏
@mosesbarnabas337910 ай бұрын
Safi sana ila huyo driver anasema watanzania ni wakarimu sana ,ushauri wangu na yy akawe balozi kwa wasouth wenzake waache kuwanyanyasa wageni .
@davidcurtis17510 ай бұрын
Ushauri wako wa bure kabisa wasouth walio wengi wameziba masikio na kazazi cha sasa wamepagawa kabsaaa ila wanajua ukweli kama waTZ tumechangia kwa kiasi kikubwa kwenye uhuru wa nchi yao
@israelkisaila840110 ай бұрын
Leteni na kampala uganda jamani
@blackblue972910 ай бұрын
South Africa raia raia wake wame pagawa yani awasikii lolote
@nareensaleh49579 ай бұрын
Wa south wanajali sasa 😂😂😂 kama hawa weusi bora wacoloured wanautu kidogo lakini weusi ndio kwanza wanakuitwa makwerekwere wakuja😅😅
@AnnoyedLimePie-lc5sw6 ай бұрын
Ameshafariki huyo dereva
@aishaamwalimu288710 ай бұрын
Nipeni Ajira ya kuhudumia Abiriya , kuwapa Vinywaji 🙏.
Haya ndio mambo tunataka, sio udaku utawale, ikibidi leteni taarifa za kwenda nje tujue gharama na maisha inaweza kuleta motisha ya kufika mahali flan
@deogratiusyudatadei565810 ай бұрын
Kabisaa yani Kama mm nimesha tamani kwenda south ase naweza kukutana hata na fursa za biashara
@syliviakente946010 ай бұрын
Maisha SA yamepanda sana zamani ilikuwa nafuu uchumi wao ulikuwa juu saa hizi mhh , vitu ni ghali sana pia wana utaratibu wa kulinda viwanda vyao lakini.kutokana na hali ya uchumi kuporomoka mambo mengi yamebadirika, pia na hali ya kiusalama ni mtihani, jipange sio ukurupuke !
@deogratiusyudatadei565810 ай бұрын
@@syliviakente9460 dunia ya Leo ukisema ujipange ndiyo uanze kufanya kile kitu ambacho ndiyo lengo ase utabaki kulia kila siku mfano una plani ya biashara ambayo Ina hita milioni 10 ukisema ukusanya mpaka ifike ndiyo uanza biashara ase kutoboa ni asilimia 5 tu asilimia 95 ni tuombe MUNGU mm Nina ushuhuda wangu mwenyew huu ni mwaka wa 5 natafuta million 15 sija fanikiwa kufikisha hata 10 nakila nikifikisha 5,7,8 inaibuka Vita ambayo sijui inatoka wapi Ila linifanikiwa kupata darasa kidogo na kwasasa najaribu kuanzia chini kabisa yani nafanya mchezo wa Simba kumkamata swala 🤣🤣
Hiyo kampuni mhusika yupo Zambia ila kabila lake ni mmambwe alianza nabasi moja ilikua inaishia nakonde,boda kutokea Lusaka
@najmaalbajun10 ай бұрын
Unaambiwa mtanzania
@sultandihomba435910 ай бұрын
Tatizo abiria amna wa kutosha wa njia iyo Moja kwa Moja ndo waliacha walio jalibu uwezi kwenda bondeni na abiria 15 na kurudi 13 bus la abiria 60 kweli nani anaweza kudumu na biashara ya asara ivyo
@habibuhabibu97289 ай бұрын
Aisee nitaenda kumbe lack 7 nitaenda Inshaallah
@mishlay81648 ай бұрын
Kwakweli mjipange sana . Na Mungu atawabariki sana
@kekiplus1andonly10 ай бұрын
MashaAllah 🎉🎉🎉🎉nitapanda iyo,
@alphaajohn620310 ай бұрын
I will go to SA soon
@ibrahimmanoshimanoshi163410 ай бұрын
Safi Sana 🔥💯 nipo mbion kwenda huko
@abdullatifhassan939910 ай бұрын
Masha Allah...... Safi Sana.... Hebu tuambieni hii Gari inapita wapi mpk kufika south africa.... Mm nipo limpopo nahitaji kusafiri nanyi
@christinewomanoffaith54799 ай бұрын
Kutokana na maelezo Yao,wanapita Lusaka,Zambia,Harare Zimbabwe
Big up sana kwa maelezo - nafikiria kufanya safari yangu ya kwanza kwa basi mwezi October kwa ajili ya utaliii, je natakiwa lazima kuwa na invitation letter
@vanny38710 ай бұрын
Mi niko South African lakini Zambia wapi kunachangamoto nyingi lakini Zimbabwe safi snaa
@christinewomanoffaith54799 ай бұрын
Zimbabwe hakuna shida wao wanataka passport tu, yellow fever card..hawana mambo mengi
@simbawateranga702010 ай бұрын
Hongera Dotto Biteko
@shanimhanga789610 ай бұрын
Tanzania yetu inazidi kusonga mbele hongera sana
@user-mx2tx5eg9x9 ай бұрын
Kama unapenda kutalii safiri na huu mchuma, vinginevyo kwea pipa. Siku 3 halafu laki 350,000 parefu😂
@syliviakente94608 ай бұрын
Hiyo nauli 700,000 ni tkt ya ndege kwenda na kurudi watanzania fanyenyi utafiti , hiyo safari ni ndefu yataka moyo !
@user-mx2tx5eg9x8 ай бұрын
@@syliviakente9460 kama unatalili sio mbaya, vinginevyo chukua ndege tu
@CathyPeter-zu1jw10 ай бұрын
Wow congratulations 🎉
@alphaajohn620310 ай бұрын
Congratulation 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉👏❤❤❤❤❤❤❤
@keheyemwitamsabi58010 ай бұрын
Mkombe luxury mpo poa sana
@alizanzibar158610 ай бұрын
Allah Akusimimiyeni wafanyakazi na mmiliki
@user-ju5vh2kf6j10 ай бұрын
Ameizing nzuri sana
@user-qc9uw2se9d7 ай бұрын
I'm so happy for you guys
@zuwenashaffi257610 ай бұрын
Jamani mbona sisi tuliondoka tunduma na gari ya saa tisa jioni kuelekea lusaka tulitembea usiku kwa usiku hadi saa 7 ndio tukapaki hotel 😢😢
Sahivi Zambia wamebadirisha utaratibu huo Kusafiri ni mchana tu! Ila hapo nyuma ilikuwa hivyo! Mi pia nilisafiri usiku kwenda lusaka
@habibnjowele775110 ай бұрын
MERCEDES BENZ HII! KWA SAFARI HII INAMUDU BILA WASIWASI Kwa MABASI YA KICHINA MTIHANI LINAWAKA NJIANI KUCHEMSHA!
@niyonkurufadhoulillah491610 ай бұрын
Atakae potea south africa aseme alekezwe mimi naishi around end street🇿🇦
@labanbishirabandi374010 ай бұрын
Mh! Kweli?
@niyonkurufadhoulillah491610 ай бұрын
@@labanbishirabandi3740 yeah kweli
@labanbishirabandi374010 ай бұрын
Nitumie namba yako ya Whatsapp
@shubejimison628810 ай бұрын
nasikia fursa kidogo ni pw
@deogratius85019 ай бұрын
Number zako za WhatsApp please
@user-db4xu7vv1z10 ай бұрын
Mm nakumbuka nilisafili na bas today dar hadi South afrika siku 5 ndo nafika South
@shilagijisandu310110 ай бұрын
Nilitoka dar mpaka msoma mgongo ulikuwa Kama umegongelewa misumali,nawaza south Africa itakuaje🤔
@christinewomanoffaith54799 ай бұрын
Km gari ni luxury sio issue Shida kibongo ma basi mengi sio luxury Kwa maana ya luxury! Luxury ni basi ambalo ukichoka unaweza rudisha nyuma kiti kiwe kama Kitanda
@user-rh3gz1sx6m10 ай бұрын
Good,I like it
@doneebahatimallya30629 ай бұрын
Good thing blessing!
@KhalidKhan-ud9cz9 ай бұрын
Tanzania Dar Esalam mzuri Sana kweli nakupenda sana kweli 💖💕💖
@abubakarisaac470510 ай бұрын
Man Sha ALLAH tabaraka ALLAH 💕❤️💕💕❤️ I'm going next time
@ahz690710 ай бұрын
Masha allah sio man sha allah
@zoey263510 ай бұрын
Yani sauzi siendi washaanza kufukuza wageni uko operation dudula
@Mpakauseme5 ай бұрын
😂😂😂😂
@Fantsonmpango-uz3jw10 ай бұрын
Mkombe, walindaulii . Hiyo ni mpanda ufipa. Hongera sana
@vincentauxerbius755410 ай бұрын
Hii imeenda😂😂😂😅😅 lazma nipande hii siwez kuikosa hii kabisa
@albertkatuga243410 ай бұрын
Uwe na milioni mbili mfukonia
@jumamboga965210 ай бұрын
Iko poa sana aisee
@tasteradio10609 ай бұрын
Excellent!
@wynesesthertchuwa213910 ай бұрын
Safi sanaa ❤❤❤❤
@charlesmwambinga435510 ай бұрын
Hii Safari Nzuri...Nzuri Utaliii Tosha Sana
@jacksonamos200810 ай бұрын
Sana
@rockettvswila413710 ай бұрын
Gari mzuri Sana
@MtazameKristoTv10 ай бұрын
Daaaha noma sana❤
@aminatanzanya747510 ай бұрын
Bei chee kabisa tutamic mashalome Zambia to South mabs noma hayo
@ukhutfatumah115410 ай бұрын
Yaaaa tunao piga trp dar to south Africa tujuane kheir hii Laki Tatu na nusu NDEGE GHALI MNOO LAKI 7 MBK LAKI8 KHEIR NIPANDE GALI UKU NA ENJOY UTALII
@user-go3du6or5v10 ай бұрын
Tafuta hera usafili wa basi sio utalii,utalii utalii na usafili ni usafili,
@ukhutfatumah115410 ай бұрын
@@user-go3du6or5v IVI WEWE UNA COMMENT HAPA USHAWAI KUMILIK HATA PASSPORT KWELI 😁 NENDA KWANZA KATAFUTE PASSPORT NDIO UJE KUCOMMENT MAANA NIMESHAKUACHA MBALI SNA,, MWENZAKO SIGOMBANII UGALI WA LENGELE TOKA MIAKA 17SASA WEWE MIE SIO MWENZAKO UKISHAZIJUA LAND, RIAL, DINAL, DIRHAM, DOLLAH BASI NDIO UJE TUBISHANE KWA POINT BADO MTOTO MDOGO KWANGU
@Oscarokran813310 ай бұрын
@@user-go3du6or5v😂😂😂
@christinewomanoffaith54799 ай бұрын
@@user-go3du6or5v😂😂😂😂
@Nyatojr1eddy3 ай бұрын
@@user-go3du6or5v😅😅 daah sijapendaaa kwa kweli
@simonchambo123010 ай бұрын
Well done this is massively investment indeed
@selvestarjoseph26499 ай бұрын
Kwaiyo kuna viza nako😮
@Nyatojr1eddy3 ай бұрын
Noo
@hallin956110 ай бұрын
taabu yote iyo kwan ndege hakuna, Siku tatu upo safarini. hapana lwakwel
@viousa10 ай бұрын
Ndege $247 one way
@Msemakweli202410 ай бұрын
Ana nafasi jumamosi narudi TZ na tunampataje?
@jaminusisanga60710 ай бұрын
Kondacta anaeleza vizuri kiofisi
@TijoboyMzungumweisi-qb8yi9 ай бұрын
Tunaitaji namba zenu jamaniii
@user-kn1tw1cy7l10 ай бұрын
🎉🎉ki2 kizuri
@WaridiTambi10 ай бұрын
Kama ndege ilivo ❤
@vero5710 ай бұрын
Kwahivyo sisi Tanzania ndiyo hamucheki viza munaruhusu tuu watu kuingia Tanzania