BATA la HAJI MANARA na MKEWE ZANZIBAR, Waendeleza FUNGATE Lao kwa MAHABA...

  Рет қаралды 62,765

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

BATA la HAJI MANARA na MKEWE ZANZIBAR, Waendeleza FUNGATE Lao kwa MAHABA...
Msemaji wa Klabu ya Simba, Haji Manara na mkewe Naheeda Abdallah, wameendelea kula bata la fungate yao huko visiwani Zanzibar...
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT AMAZON: www.amazon.com...
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506)
⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltv...

Пікірлер: 219
@saidsaid3652
@saidsaid3652 3 жыл бұрын
Mashaallah ukipata anaekupenda raha sana Allah alituze pendo lenu vema mzidi kupendana na pia hawape maisha malefu na watt wema ❤❤❤
@abdallahantony9524
@abdallahantony9524 3 жыл бұрын
Safi sana nafasi ukiipata itumie vyema ila mtembelee na vituo vya watoto yatima kaka Allah atamijalia zaidi inshaallah.
@afyaabdallah1352
@afyaabdallah1352 3 жыл бұрын
Walekum msalm haji manara mashallha mungu aibar ndowa yenu amin hom swet hom zanzibar love
@lkshmykomar5472
@lkshmykomar5472 3 жыл бұрын
Ndomana na pambana asubuh jion one dey nkituwa zennj nkainjooi nafamiliya yangu biizn Allaha
@salamakombo3257
@salamakombo3257 3 жыл бұрын
Aisee unaakili yangu weweMalengo yangu nami nende hii
@lkshmykomar5472
@lkshmykomar5472 3 жыл бұрын
@@salamakombo3257 ishalla Mungu atatufanyiya wepes atatuwezesha Kwa uwezo wake 🤲
@salimomarmkapa
@salimomarmkapa 3 жыл бұрын
Engineer Hajji Manala hongera sana mkuu, na Mungu aibariki ndoa yako iwe yenye amani insha'Allah
@mohdshebe5640
@mohdshebe5640 3 жыл бұрын
Ahsante kaka Haji wakati wako huu bro kula bataaa tuu wewe lkn usimsahamu Allah kwa kumuuabudu kwa baraka zake .
@ahmadomar2711
@ahmadomar2711 3 жыл бұрын
Yni cjui niseme nini just mungu awafanyie wepesi ktk maisha yenyu yandoa
@aishahela1735
@aishahela1735 3 жыл бұрын
Mashallah
@rayhanashraf2943
@rayhanashraf2943 3 жыл бұрын
Mashallah mungu akujalie kila la khery kwenye ndoa yenu
@bxrkeshorts738
@bxrkeshorts738 3 жыл бұрын
Hongera Haji wewe na mke wako achana na maneno enjoy your self life is short hao wanao cement vibaya walinunuwa bado wakaacha ya kwao kukuangalia halafu eti oooohh tumia mda wa kufanya ibada kwani mtu akienjoye ni kwamba hafanyi ibada au ukifanya ibada hutakiwi kuenjoe nendeni huko hamna pesa za kwenda verde😏 semeni ukweli Asante kwa kuitangaza pia Zanzibar 👍
@saheedali7467
@saheedali7467 3 жыл бұрын
Siku ya pili andika comment badala ya ku andika cement mjukuu wangu eeeh!
@aminasuleiman6402
@aminasuleiman6402 3 жыл бұрын
Wivu unawasumbua tuu,!maana hawana wema!!
@naimasaid7763
@naimasaid7763 3 жыл бұрын
@@aminasuleiman6402 umeona ee, ni wivu tu
@aminanyembo6540
@aminanyembo6540 3 жыл бұрын
Wanaokoment vibaya hao masikini,mafukara wakubwa hao,malimbunyauuu,wivu tu kumanyoko zao,kwani akienjoy life nyie kinaeauma nn,by the way kaburini pia atakuwa peke yake,na hata kama anaishi nyumba ya kupanga nyie kinawauma nn? Acheni Usenge halafu. Kula bata zungu mpaka kuku aone wivu👌👌
@بنمفازي
@بنمفازي 3 жыл бұрын
@@saheedali7467 maana yake amegandisha ubaya 😀
@azizamohamed7692
@azizamohamed7692 3 жыл бұрын
Hamajalazimishwa kukoment kulaiki Wala kutizama mkiona mnakerwaaaaa Kama usemaji wake Basi tulieni acheni shobo
@asmahassan7570
@asmahassan7570 3 жыл бұрын
Hhhh waambie wivu tuu hawawez mfikia hata wakigaragala😂😂
@dianamadege1703
@dianamadege1703 3 жыл бұрын
Ndio hivo hawajalazimishwa
@salamakombo3257
@salamakombo3257 3 жыл бұрын
Wana choyo wambie wivu unawasumbuwa but ilove haji manara hana mbaya
@aishtan2745
@aishtan2745 3 жыл бұрын
Maashaallah Allah awajaalie ndoa yenu idumu na upendro huo huo pia awajaalie vizazi vya kher inshaallah
@kautharshauri6736
@kautharshauri6736 3 жыл бұрын
Mashaallah mbona hapo umependeza Sana siolazima kuvaa suruali kuacha nywele wazi wew mtoto wakiislamu Tena mnaojua dini
@shemsahemed3577
@shemsahemed3577 3 жыл бұрын
Karibu zanzibar yetu
@shamzone388
@shamzone388 3 жыл бұрын
Wallah nimekumbuka maneno ya sheikh maalim yusuf ukiona mtu anamfungulia mke mlango wa gari ujue mke mpya au gari mpya aogopa asiufunge kwa nguvu....
@hatamimnimempendabulejaman1596
@hatamimnimempendabulejaman1596 3 жыл бұрын
Haha Shani zone ni kwel ndo mana wakasema kipya kinyemi ndowa mwanzon ni tamu sana
@hatamimnimempendabulejaman1596
@hatamimnimempendabulejaman1596 3 жыл бұрын
Na ndo mana wake wadogo wanadekezwagwa kozi ni wapya
@hatamimnimempendabulejaman1596
@hatamimnimempendabulejaman1596 3 жыл бұрын
Wanapendana wenyew hadi raha paka watu hawakuamin wameshangaa hayo mahaba
@hatamimnimempendabulejaman1596
@hatamimnimempendabulejaman1596 3 жыл бұрын
Zanzibar nini hiyo
@nassirmbarouk8020
@nassirmbarouk8020 3 жыл бұрын
Aaaa so km nikipya hayo ni mapenzi mbn wazungu hawafunguw wenyewao coz wanaupendo kwetu xie waafrrika kila jmbo ni ushamba
@hawahamad9628
@hawahamad9628 3 жыл бұрын
Zanzibar kajistir vizur akifika bongo stara anaiweka pembeni mtihan huu.
@jenipherkiwia7098
@jenipherkiwia7098 3 жыл бұрын
Hongera sana ndoa ni jambo LA heshima Mungu awabarki sana
@haithammagova8930
@haithammagova8930 3 жыл бұрын
Dini pia haiko nyuma imesisitiza watu kutembea maeneo tofauti tofauti ili kujifunza na kushuhudia uumbaji wa Mungu
@halfaniland3850
@halfaniland3850 3 жыл бұрын
Hawana Dini hao. Uzungu mtupu.
@aishamuhammad7785
@aishamuhammad7785 3 жыл бұрын
Sidhani km wanazingatia dini, mana hawajaisifu ata neema moja ya ALLAAH
@fumotv7914
@fumotv7914 3 жыл бұрын
@@halfaniland3850 hongera ww mwenye uarabu tupu
@fumotv7914
@fumotv7914 3 жыл бұрын
@@aishamuhammad7785 kamsaidie kumshika mguu mke wake wakati wa habat maana waswahili hamjambo kwa wivu
@palokuthereza2555
@palokuthereza2555 3 жыл бұрын
And his not romantic mwanamke anamuacha nyuma kama msaidiziwake
@zubedamagambo9600
@zubedamagambo9600 3 жыл бұрын
Yaani
@ShSh-my8cw
@ShSh-my8cw 3 жыл бұрын
Hamkoc la kusema waja
@rukiamohammed5494
@rukiamohammed5494 3 жыл бұрын
nimeliona hili yupo sped
@rayasaid4099
@rayasaid4099 3 жыл бұрын
Ni kweli
@m.mmarckus6298
@m.mmarckus6298 3 жыл бұрын
Watu mapovu ya omo yanawatoka km mmewachangia hata mia
@khadijaangore4408
@khadijaangore4408 3 жыл бұрын
hahaha wanadamu banaa kusema n kazi yep 🏃‍♀️🏃‍♀️
@mbarikiwambarikiwa3988
@mbarikiwambarikiwa3988 3 жыл бұрын
kula bata Haji ck hyo haijiludii,
@blandinamnyinga8318
@blandinamnyinga8318 3 жыл бұрын
Manaraaaa wakereeeee bado hawajakerekaaa🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@senenembeya.9753
@senenembeya.9753 3 жыл бұрын
Tumia pesa tu lenye mwanzo Lina mwisho kuweni makn mwisho usiwe mbaya, mkumbukeni Allah.
@rehemamapolela931
@rehemamapolela931 3 жыл бұрын
Mr.misifa
@maimunaahmed3477
@maimunaahmed3477 3 жыл бұрын
Watanzani Tatizo hatuonagi vizuri kila kitu husuda Jamani Acheni roho mbaya
@mgeniali7489
@mgeniali7489 3 жыл бұрын
Me yangu mijicho tu hahahhaha
@mariamakanu1690
@mariamakanu1690 3 жыл бұрын
Haji ww unaijua dini mashaallah ila umeshindwa kumuamrisha mkeo ajistiri jaman duniani tunapita akhera ndio makazi
@gibsonntamamilo490
@gibsonntamamilo490 3 жыл бұрын
Dini sio vazi ni kilicho rohoni mwa binadamu tu.
@busnaoman9981
@busnaoman9981 3 жыл бұрын
@@gibsonntamamilo490 nani kakudanganya eti ndiohuko makanisan mnadaambiwa ivo
@salwasuleiman8943
@salwasuleiman8943 3 жыл бұрын
@@gibsonntamamilo490 mavazi pia yana mtambulisha ni MTU wa aina gani MTU akivaa nusu uchi huwezi ukasema huyu ana maadili mema mavazi ni utambulisho wa awali wa tabia ya MTU mengine tunakuja kujua badae lakini ukiniona nimevaa baibui moja kwa moja utaniita ustadhat japokuwa huujui undani wangu ukiona MTU kavaa vichupi yupo barabarani moja kwa moja utamjua huyu ni wale wenye tabia Fulani acha ubishi
@asaaomar4315
@asaaomar4315 3 жыл бұрын
Sisi waislamu wote tunatakiwa tujistiri kwa mavaz ya heshma
@alqaasim_a_tz2412
@alqaasim_a_tz2412 3 жыл бұрын
@@gibsonntamamilo490 Huwenda ndio mwisho wa uelewa wako huo. Basi vua na nguo zote utembee uchi maana Mungu hatazami sura anatazama moyo tu kwa uelewa wako mfinyu
@mariamukajiru2302
@mariamukajiru2302 3 жыл бұрын
Duu Kuna watu wanaumia wenzao wakila bata , jamani uchawi upo wa aina nyinyi, acheni wivu .
@daudirajabu6798
@daudirajabu6798 3 жыл бұрын
Huwo mda wakula starehe mwengekuwa mnafanya ibada si mwengepata baraka sana
@zakyahya4645
@zakyahya4645 3 жыл бұрын
Umeambiwa ibada awafanyi? Au chuki za kimasikini tu
@raymondkipipi516
@raymondkipipi516 3 жыл бұрын
Ila manara kwa hakika mkeo anakupenda upeo, jitahd umuheshimu na kumtunza Simba kuna vidada vicheche visilete buguza na rizika na mke mmoja
@joharishabani2893
@joharishabani2893 3 жыл бұрын
Mm mnaniku busha mbali jaman.
@neemakaluwa1841
@neemakaluwa1841 3 жыл бұрын
Jamani acheni kujaji watu kana kwamba nyie ni wakamilifu saaaaanaaaa! Hata wakila bata mwaka mzima pesa zakwenu?? Au mmeombwa msaada wa hizo bata zao?? Acheni upekupeku na life za watu HAZIWAHUSU.😏
@m.mmarckus6298
@m.mmarckus6298 3 жыл бұрын
Km vipi nawao waende hawaja katazwa
@aishamuhammad7785
@aishamuhammad7785 3 жыл бұрын
Zinatuhusu mana wasingetuonesha
@jacklinemfaume7195
@jacklinemfaume7195 3 жыл бұрын
@@aishamuhammad7785 nawe tuoneshe bata zako basi
@aishamuhammad7785
@aishamuhammad7785 3 жыл бұрын
@@jacklinemfaume7195 ili iweje?
@neemakaluwa1841
@neemakaluwa1841 3 жыл бұрын
@@aishamuhammad7785 Sasa ndo wanakula bata lao kazi kwenu nyie kuku kuona wivu
@nuruworldinsight2957
@nuruworldinsight2957 3 жыл бұрын
Guys. Hivi ni kwann iwe ni kwa wanandoa au WAPENZI wa kiafrika wanapotembea hawa wenzetu wa kike hawa huwa wanapenda kubakia nyuma MBELE anamtanguliza bwana wake au mpenzi wake wa kiume. Mamaee HAKI tabia siipendi hiyoooo. Kiruu
@كلثومالفارس
@كلثومالفارس 3 жыл бұрын
Haya mambo yakuiga hayafai kwa waislamu sasa mkiusudika ooh watu wabaya
@fumotv7914
@fumotv7914 3 жыл бұрын
Povu
@azzaalmaamry5817
@azzaalmaamry5817 3 жыл бұрын
Maashaa Allah
@jeffersondavid5679
@jeffersondavid5679 3 жыл бұрын
I know it is kinda randomly asking but does anybody know a good place to watch newly released movies online?
@jeffersondavid5679
@jeffersondavid5679 3 жыл бұрын
@Colton Mathew thank you, I signed up and it seems like a nice service :D Appreciate it!!
@coltonmathew6237
@coltonmathew6237 3 жыл бұрын
@Jefferson David you are welcome xD
@nurathissa1422
@nurathissa1422 3 жыл бұрын
Hiyo mizunguko haikatazwi Ila jitahidi vipindi visikupite
@rahmahemed4076
@rahmahemed4076 3 жыл бұрын
Vya kumsujudia ALLAH
@mohammedbakar131
@mohammedbakar131 3 жыл бұрын
Swadakta swala ndo kilaakitu
@youngbob9761
@youngbob9761 3 жыл бұрын
Dah Zanzibar raha sana ipo day nitaakanyaga Zanzibar
@lkshmykomar5472
@lkshmykomar5472 3 жыл бұрын
Iwe Kwa salama 2 maana ss hatupendi shar nwastarabu sana
@aishamuhammad7785
@aishamuhammad7785 3 жыл бұрын
@@lkshmykomar5472 Hahahaaaaa, nalo neno
@lkshmykomar5472
@lkshmykomar5472 3 жыл бұрын
@@aishamuhammad7785 umeonaee
@ilovejesus9303
@ilovejesus9303 3 жыл бұрын
Waislam mnanifurahisha sana.kwa nini mnapenda kuwaandama walowazidi maisha na kula Bata? Unaweza fanya ibada ukiwa unakula raha. Sio mpk uwe unalia ndio Mola anaiona ibada. Wengine mna mapungufu kibao hata hizo ibada zenu hazisisiki maana mnajificha nyuma ya pazia, mwenzenu mkweli anayafanya wazi. Khah msituchoshe na hizo Ibada humu. Pita angalia endelea na Ibada. Kila mtu atabeba mzigo wake siku ya mwisho
@qiuratybakary6144
@qiuratybakary6144 3 жыл бұрын
Sasa dini inausika na nn apo?
@ilovejesus9303
@ilovejesus9303 3 жыл бұрын
@@qiuratybakary6144 soma comments za waislamu wengine ndio utaelewa pointi yangu. Pia naomba uwaulize hilo swali kwanini wanaleta mambo ya dini hapa kwenye Bata la manara na mkewe
@asaaomar4315
@asaaomar4315 3 жыл бұрын
Dini yetu tumeambiawa tukumbushane kufanya mema kwaiyo sio vibaya kumkumbusha muislam mwenzetu nahatujakuambia ww kafiri
@aishamuhammad7785
@aishamuhammad7785 3 жыл бұрын
Yaani nyie makafiri mna tabu kweli, ALLAAH awaongowe
@ilovejesus9303
@ilovejesus9303 3 жыл бұрын
@@asaaomar4315 mkumbushane nini hapo kama sio kiherehere tu kumsimanga mtu? Kwani yupo na hawara hapo? Si mke wake wa ndoa.??????
@sirsebaonline9106
@sirsebaonline9106 3 жыл бұрын
Manara unakosea sana we mda wote unazunguka nae tu kazi kazi tu we vpi bhana
@seifhabib5987
@seifhabib5987 3 жыл бұрын
Kaja katika Visiwa vyenye marashi ya Karafuu,kusema ukweli najivuniya kuwa Mzanzibar ila siasa tu ndizo zinazotuharibiya Nchi yetu.
@asaaomar4315
@asaaomar4315 3 жыл бұрын
Zanzibar raha sana
@saidabud3219
@saidabud3219 3 жыл бұрын
4 real mbonaa kaa hayukoo romantic kwa mkewee taratibu boss mpee mdaa mke
@aishaaisha1495
@aishaaisha1495 3 жыл бұрын
Jmn c nasaiv anampa mda
@ShSh-my8cw
@ShSh-my8cw 3 жыл бұрын
Hamkoc lakusema waja
@rahmaabdillahi2795
@rahmaabdillahi2795 3 жыл бұрын
@@aishaaisha1495 we huoni yu mbioni tu hata kumshika mwanamke hawahi
@aishaaisha1495
@aishaaisha1495 3 жыл бұрын
@@rahmaabdillahi2795 ndo hvo
@kabyjxjrd9874
@kabyjxjrd9874 3 жыл бұрын
Wazanzibari msiache kumpa zawadi ya Alkasusi chukue nyumbni aeke historia
@halfanhassan4011
@halfanhassan4011 3 жыл бұрын
Hha
@tumabhay8576
@tumabhay8576 3 жыл бұрын
KARIBUNI KWETU VISIWANI ZNZ. 💋
@mohamedamour3615
@mohamedamour3615 3 жыл бұрын
Twaja
@tumabhay8576
@tumabhay8576 3 жыл бұрын
@@mohamedamour3615 njoo zako.
@isaacmwaipopo
@isaacmwaipopo 3 жыл бұрын
Manara kapewa offer ya kulala ndo mana anasifia sana.🤣🤣🤣🤣
@seremenikibwene8633
@seremenikibwene8633 3 жыл бұрын
Yaani ni Ushamba tu,
@muhammadmuhammad5043
@muhammadmuhammad5043 3 жыл бұрын
Hujaona Wewe Ndio Ukasema Hayo Kipofu Alipo Ona Jogoo Akasema Hakuna Mnyama Mkubwa Kuliko Jogoo
@omarmhmammed216
@omarmhmammed216 3 жыл бұрын
Hapo mwenzenu yupo kazin anatangaza utalii wa ndani kupitia Verde Hotel .....
@salmaayub61
@salmaayub61 3 жыл бұрын
Sasa unamfungulia mlango afu ukitembea unamuacha nyuma apo umekosea tembea nane na umlinde mkeo
@halfanhassan4011
@halfanhassan4011 3 жыл бұрын
Mmi nasoma coment na kufurahii
@sabrinasab2910
@sabrinasab2910 3 жыл бұрын
Shorti raha kwa kweli
@moxamedinagalbeed79
@moxamedinagalbeed79 3 жыл бұрын
Kinacho kuponza ww manara unafiki wako na kujiweka kimbele mbele kama mwanamke wa kitanga
@zubedamagambo9600
@zubedamagambo9600 3 жыл бұрын
Jamani kaka, ina maana wanawake wa kitanga tuna vimbelembele!?? 😙
@bisadimussa9684
@bisadimussa9684 3 жыл бұрын
@@zubedamagambo9600 atuambie kama vimbele mbelee vye2 viko wap
@fatmabintyusuphyusufu3212
@fatmabintyusuphyusufu3212 3 жыл бұрын
Kumbe watanga tuna vimbele mbele
@rayasaid4099
@rayasaid4099 3 жыл бұрын
Cjaona cha ajabu apo
@saidimkombe9842
@saidimkombe9842 3 жыл бұрын
Hiii gharama ungeamua kumstiri maskini mmoja au wawili walah ungepata fadhila sana
@arizinamussa6006
@arizinamussa6006 3 жыл бұрын
Huyo ni balozi wa azam so hajatumia gharama zake
@danielchamoto9376
@danielchamoto9376 3 жыл бұрын
Wew umewasitiri wangapi kwa kidogo ulicho nacho?
@mbarikiwambarikiwa3988
@mbarikiwambarikiwa3988 3 жыл бұрын
Maskin Wapo ck zote, mwacheni atumie fungate yake vzr haijiludii.
@jasmine.mayala7597
@jasmine.mayala7597 3 жыл бұрын
Wivu acha ww umesaidia wangapi?
@hanifaalmasi5194
@hanifaalmasi5194 3 жыл бұрын
Sadaka haitangazw mpaka awaoneshe kama katoa sadaka he
@shimafuad6868
@shimafuad6868 3 жыл бұрын
Sifa la wali wa maji.
@abdulrazakallymbano8231
@abdulrazakallymbano8231 3 жыл бұрын
Ndomana natafuta hela kwa nguvu zote
@halimakalinga7764
@halimakalinga7764 3 жыл бұрын
MashaaAllah InshaaAllah iwe kheri
@husinayahaya2445
@husinayahaya2445 3 жыл бұрын
Ila acha ale pesa ya moo
@husnamohamed9245
@husnamohamed9245 3 жыл бұрын
Hajimanara wafundishe wazanzibary mapenzi hawajui yamekaa rangi gani hayo ndio mawada wa rahma utulivu wa nafsi.
@mudhihirramadhan5387
@mudhihirramadhan5387 3 жыл бұрын
Unaanza matusi sasa Ww vpi ushamba huo
@aishamuhammad7785
@aishamuhammad7785 3 жыл бұрын
Mapenzi gani yaani ulokusudia? Mawadatan warahma ni hayo? Mwenyezi Mungu mwenyewe hajaamrisha tufanye ayo anayoyafanya yy,
@maloomaalmnsj5111
@maloomaalmnsj5111 3 жыл бұрын
Umependeza aji nadam ya nguo unayo
@sumayahfathi9413
@sumayahfathi9413 3 жыл бұрын
Yarabby Sijui hata kama wanakumbua kusali Hawa
@ashachai143
@ashachai143 3 жыл бұрын
Hawa kweli sijuwi basi wanaswali ni Raha kwenda mbele
@ShSh-my8cw
@ShSh-my8cw 3 жыл бұрын
Waonaje ukawsuliza mbea ww
@ashachai143
@ashachai143 3 жыл бұрын
Mbea ww ukweli usemwe hapana swali hapo
@aishamuhammad7785
@aishamuhammad7785 3 жыл бұрын
@@ShSh-my8cw limekuchomaaaaa
@hajimfaume8818
@hajimfaume8818 3 жыл бұрын
Jamani Haji atapiwa chakula lini?
@salumbadalu3456
@salumbadalu3456 3 жыл бұрын
Wala haipendezi kwa uzeeee aliofikia
@halfanhassan4011
@halfanhassan4011 3 жыл бұрын
Hha mbv zangu mie
@najmaulaya8819
@najmaulaya8819 3 жыл бұрын
Dunia munawwara
@aviwaomar439
@aviwaomar439 3 жыл бұрын
Heeeee nguvu ya sodaaa hao wadada wa .com
@jacklinemfaume7195
@jacklinemfaume7195 3 жыл бұрын
Mtapata tabu sana ashindwe kula raha na mke wake kisa nini, wanawake wengine mwatamani mpate ata mwanaume wakupiga nae picha ikapendwa ata na watu mia ndo hivo mnapata wa vichochoroni tu kwanini msiumie?????kula raha mzee baba zambi kila mtu anazo
@rehemamasoud3687
@rehemamasoud3687 3 жыл бұрын
Kuna wanawake humu wanajiona wanajua dini wakati si lolote we zako ziko mkunduni pumbavu kabisa nimekusema wewe mbona limekuuma kama unaendaga siungenyamaza mbona umesema wivu tu aliekwambia uingie mtandaoni kuwaangalia ninani we vpi sijakutaja umeshoboka kumbe umejijua mama mawivu kama unahofu na mola wako matusi ya nini
@edwinnyabikwi560
@edwinnyabikwi560 3 жыл бұрын
L
@rehemamasoud3687
@rehemamasoud3687 3 жыл бұрын
Wivu mbaya jamani ukiangalia wote wanaomsema vibaya ni waislam dini inaruhusu kufanya starehe na mkeo kivyovyote vile ilimradi usimuhasi muumba wako tumia muda wako baba wote tunatamani kwakua hatuna uwezo tunabaki kubwabwaja
@aishamuhammad7785
@aishamuhammad7785 3 жыл бұрын
Akili zako ziko kwenye makalio yako sikushangai, Mwenyezi Mungu ametukataza kuanika mambo yetu hadharani km ivo kwanza ni kutokana na husda, pia Mwenyezi Mungu amekataza riyaa, ivi kwa akili zako za makalioni unafkiri cc hatuendi verde ama? Au hatukai honeymoon, jiangalie mwanamke ww usishadidie uovu
@شيخةصالحاليعربي
@شيخةصالحاليعربي 3 жыл бұрын
@@aishamuhammad7785 😂😂akili zake ziko wapi😂😂🤣
@piuschristopher1303
@piuschristopher1303 3 жыл бұрын
Ama kweli masikn akipewa nafasi ndo kama haya anayoyafanya nguruwe pori
@hatamimnimempendabulejaman1596
@hatamimnimempendabulejaman1596 3 жыл бұрын
Alisemwa avae ushungi ndo kavaa. Kapendeza
@awezaejohn4893
@awezaejohn4893 3 жыл бұрын
Manara yuko kazin sio anauza sura kama mnavoelewa nyie anaitangaza hyo hotel pia utalii wa ndan na sio shobo jaman mwenzetu analipwa ss tunaongea pumba tu hongera haji kwa kaz nzur
@shimafuad6868
@shimafuad6868 3 жыл бұрын
Vua tu mtandio ujulikane umeamua. Sio Mara ujifunike Mara uvue . Unajisumbua
@EngJosh
@EngJosh 3 жыл бұрын
Ushamba mzigo
@ShSh-my8cw
@ShSh-my8cw 3 жыл бұрын
Raha jipe mwenyewe bwana
@haysanhassan2685
@haysanhassan2685 3 жыл бұрын
Dakika ya 3:48 hiyo scene manara umedindisha yaan muogo kama muogo karibia upasue bukta
@husnamfuko6136
@husnamfuko6136 3 жыл бұрын
😂😂😂
@shebaminde7656
@shebaminde7656 3 жыл бұрын
Haysan hhhaahahhhaa nnn lakin?
@elishavonlacsharyelishavon5688
@elishavonlacsharyelishavon5688 3 жыл бұрын
Manara anajiona anapendwaa??
@halfanhassan4011
@halfanhassan4011 3 жыл бұрын
Mh kwasabu ya pesa hakuna upendo apo
@idrisakhamisvuai1308
@idrisakhamisvuai1308 3 жыл бұрын
Pere imepata mkunaji
@hassanali-ck2we
@hassanali-ck2we 3 жыл бұрын
dunia ni mapito tu tumia muda wako kwa ibada
@ilovejesus9303
@ilovejesus9303 3 жыл бұрын
😳🤔😂😂😂😂 jmn wivu mwingine. Unaweza fanya ibada ukiwa honeymoon pia
@childrengospelmissiontanza1474
@childrengospelmissiontanza1474 3 жыл бұрын
Kwa iyo kuanzia asb hadi asb awe ibadani,ahamie msikitini basi.Wabongo kweli ni shida,ina maana wewe hadi umepata muda wa kuchat na kuangalia u tube,ibada unafanya sa ngapi???
@hassanali-ck2we
@hassanali-ck2we 3 жыл бұрын
@@childrengospelmissiontanza1474 hizo pesa ange saidia maskini ange pata ijira kiasi gni
@sabbob574
@sabbob574 3 жыл бұрын
Your so jealous individual yupo honeymoon ibada inakuja wapi sasa. Let him enjoy u only have one life and if ur blessed to have companions like Haji u need time away. BIG UP HAJI I like your style. Much love
@childrengospelmissiontanza1474
@childrengospelmissiontanza1474 3 жыл бұрын
@@hassanali-ck2we Uliosaidia wewe wanatosha
@abuunuswaibahahmadi8288
@abuunuswaibahahmadi8288 3 жыл бұрын
P
@luciusmulokozi370
@luciusmulokozi370 3 жыл бұрын
Manara kumbe ni boya badara ya kukaa na mke wake kenye kiti cha nyuma ya gari anakaa na dereva mke anakaa nyuma peke yake ,Huo ni ushamba.
@amanirashid9011
@amanirashid9011 3 жыл бұрын
Mashamba niyule hufatilia maisha ya watu
@basrajuma2953
@basrajuma2953 3 жыл бұрын
Miez miwili ya mwanz tu hiyo
@fatmasaid9400
@fatmasaid9400 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣bwanae
@gresitimoth4142
@gresitimoth4142 3 жыл бұрын
R
@luciusmulokozi370
@luciusmulokozi370 3 жыл бұрын
Anatumia zawadi alizopewa hivyo, uku bado anaishi kwenye nyumba ya kupanga.
@hamisimakasala3378
@hamisimakasala3378 3 жыл бұрын
Bila shaka wewe Mwananchi!!!
@hajeralqaidi2115
@hajeralqaidi2115 3 жыл бұрын
@Hamisi makasala33 nmecheka😂😂😂
@joharishabani2893
@joharishabani2893 3 жыл бұрын
Sizan kama wanakum ushana
@maryanmmmaryam8070
@maryanmmmaryam8070 3 жыл бұрын
Hini move au kiki jamni bib halusi pia nigwiji macho kavu ivii
@mwanajumasaid1983
@mwanajumasaid1983 3 жыл бұрын
Hhhhhhhh apo sasa
@aishamuhammad7785
@aishamuhammad7785 3 жыл бұрын
Biharusi wa .com huyo ndo mana
@nassraal-riyyami8387
@nassraal-riyyami8387 3 жыл бұрын
Wakereeeee baba wakereeee hio ndo kazi yako🤣
@moxamedinagalbeed79
@moxamedinagalbeed79 3 жыл бұрын
Mmmhhhh Inaonekana huyo mwanamke alikosa wanaume ndo akaamuo kuolewa na haji manara
@celestesanitoussene823
@celestesanitoussene823 3 жыл бұрын
Kwanini?
@vivianremig8524
@vivianremig8524 3 жыл бұрын
Moxamed Inagalbeed Kwan Haji sio mwanaume au we ulishamuoa
@nellymasengo1419
@nellymasengo1419 3 жыл бұрын
Manara Siyo Mtu ? Wewe mungu anakuona
@nurathissa1422
@nurathissa1422 3 жыл бұрын
Haji sio mwanaume ? Yani unakufuru Sana angalia maneno yako yasiwe Moto wako kesho
@subiracharles6270
@subiracharles6270 3 жыл бұрын
Ulitaka akuoe wewe????????
@amanafi1288
@amanafi1288 3 жыл бұрын
Tuache Haji tujishughulishe na mengine...!! Kilichokuchanganya huyo Binti Dada ke kuwa DC au unahisi anajipya ganiii kila tukiamka story iwe hiyo iyo tuu.! Fyuu tuache bhana.
@aminasuleiman6402
@aminasuleiman6402 3 жыл бұрын
🙄🙄🙄
@yussufomar1489
@yussufomar1489 3 жыл бұрын
Linawivu iloo
@lucyalto8751
@lucyalto8751 3 жыл бұрын
Na we uache kuwafatilia maana wenyewe hats hawkujui
@gibsonntamamilo490
@gibsonntamamilo490 3 жыл бұрын
Wewe chizi sana, umetumia Mb zako kuangalia na kucoment.
@fatmazullu4933
@fatmazullu4933 3 жыл бұрын
@@yussufomar1489 tena wivu mkalii halafu anaumia wenzie wanakula bata haeaachi ng'o!
@husinayahaya2445
@husinayahaya2445 3 жыл бұрын
Manara ni mjinga asiyo jitambuwa
@jasminetesha8225
@jasminetesha8225 3 жыл бұрын
Watu mnamaneno au gere maana si kwakupovuka uko
@abdulrazakallymbano8231
@abdulrazakallymbano8231 3 жыл бұрын
na wanao povuka usikute ni kinananihii...
@zaitunirashidi5532
@zaitunirashidi5532 3 жыл бұрын
Guys acheni negative comments,,, kuhus mavaz kweny uislam kwa mke ni kweli sio sahih but how about kumuaattack mtu kwa pesa yake mwenyew,,,unajuaj kama hajasaidia masikin? Mungu mwenyew hampendi mtu bahili,, acha aenjoy Kama kipato chake kinaruhusu,,,mungu hakuwapa watu utajiri ili waish kwa dhiki,,,achen kuwa na ususuahu wa nafsi muombeen heri na Kama kakosea mlinganien katika Hali isiyo ya kumkarahisha mtu jmn lol
@mozaseif2812
@mozaseif2812 3 жыл бұрын
Mtihan
@sabihasalim942
@sabihasalim942 3 жыл бұрын
Well said
When Royal Guards Fight Back!
8:08
Fighting Spirit
Рет қаралды 5 МЛН
Когда отец одевает ребёнка @JaySharon
00:16
История одного вокалиста
Рет қаралды 7 МЛН
🍉😋 #shorts
00:24
Денис Кукояка
Рет қаралды 3,8 МЛН
SIMTAKI MTU
2:56
kingbale_tv
Рет қаралды 2,7 М.
How to win a argument
9:28
ajaxkmr (ajaxkmr1986)
Рет қаралды 587 М.
Viral Video of a Man's Crazy Job Interview
16:02
Darryl Vega TV
Рет қаралды 1,1 МЛН