Hongera sana mzee uwezo wako ni mkubwa kuliko hata viongozi wetu
@msokainno2 ай бұрын
kazi.njema.sana.wazee kama hawa wanakufa na maarifa yao talanta hizi tunazihitaji kwenye.serikali
@issaalfani10302 ай бұрын
Hii nchi inawatu mwenye elimu zao tuache kuchukulia poa Mf huyu mzee safi sana
@MiriamAbdallah2 ай бұрын
Hakika
@selemanmcharazo2 ай бұрын
@@issaalfani1030 Mambumbu wakisikia maneno ya kiingereza ndo wanaona Kama Kuna Cha Cha maana anachoongea
@Sahlomon-jp4jr2 ай бұрын
@@selemanmcharazobwahabwahabwahahaaaaaaa!
@selemanmcharazo2 ай бұрын
@@Sahlomon-jp4jr Chizi hajawahi kujitambua Kama Chizi hata cku Moja hicho ndicho ninachokiona kwako
@selemanmcharazo2 ай бұрын
@@Sahlomon-jp4jr Chizi hajawahi kujitambua Kama Chizi hicho ndicho ninachokiona kwako
@TegemeaFutemakatifu2 ай бұрын
Mzee yupo vizuri
@DausonShensherwa2 ай бұрын
Mkuu mtumishi mungu akutunze
@akidajulius83972 ай бұрын
NALIHESHIMU SANA KANISA KATORIKI, LINAWATU WA KILA IDALA,, limejitoshereza kwakweli
@helentelemla56232 ай бұрын
Hongera sana Mungu akujaalie baraka tele
@salomeshongola16972 ай бұрын
Hawa watu mungu awatunze.
@selemanmcharazo2 ай бұрын
@@salomeshongola1697 mungu hawezi kuwatunza wavurugaji
@kajsun59182 ай бұрын
Rushwa 10/5
@EricTrillz2 ай бұрын
UBERIKIWE WEWE NA UZAO WAKO.KUSIWEPO LAANA YOYOTE ITAKAYOGUSA UZAO WAKO.
@samiahjmlimanzilla93542 ай бұрын
Nimekupenda mzee baba hako ka dimpos❤
@katabaroonlinetv96882 ай бұрын
Umalaya tu kuolewa aaaah😅😅😅😅😅😅😅😅
@evansmtalo94062 ай бұрын
Huyu ni mwl. Mzuri sana.
@jonsjones25802 ай бұрын
camera man mpumbavu anashindwa kuonyesha table unaonyesha sura ya mzungumzaji
@YohanaPetro-xv9tp2 ай бұрын
Dawazee Mlijificha Wapi Nchi Tunawahitaji
@Jingu22 ай бұрын
Camera Man..Alizuiliwa kurotate camera kuchukua na Slides ...
@maryamsuleiman63402 ай бұрын
Kwakweli kimi nionavo sidhani km huu utekaji utashindikana kukomeshwa ,iwapo wanaujua wakalitendea kazi ,kw nia yakuiokoa Tanzania nahasira za wa Tanzania , nakm Askari mmetajwa sana ktk hili namnahakika hamuhusiki kwnn msijivue gamba lauovu mnaotajwa nao ,inashindikana kivipi ,ukimya wenu lazima mtahusishwa ,mimi ni Mtanzania tu sio lolot ila napenda Amani yetu
@propKibali2 ай бұрын
Mbona nchi ina watu wenye akili kbs, kwa nn hawamo kwenye vyombo vya kuongoza nchi hii na vizazi vyetu?
@beatricenangale54392 ай бұрын
Hata hao ma padre wengine msiwaone hivyo baadhi wako vijijini n.k lakini very inteligent, inasemekana kuna Askofu mmoja wa hapa Tanzania alishawahi kufanya ntihani mgumu kuliko yote huko Vatican na alishinda Kwa kweli tuna watu wenye vipaji lakini wanaonekana ni very ordinary people( V. O .P)
@HurumaeldaudMakala2 ай бұрын
Ukweli ndio huo hatuna imani na jeshi la polisi na srikali kiujumla....
@leopordbosco42212 ай бұрын
Huyu baba ni kiongozi kama alivyojitambulisha kanisa letu halina cheo cha uzee wa kanisa
@hawakiza60672 ай бұрын
Camera man onyesha table
@benedictmrisho18002 ай бұрын
Kila awamu report ipatikane ili kuweza kufanya proper comparison ili isionekane kuonea awamu ya 6.
@OmmyJames-xn7ji2 ай бұрын
WAZEE WA KANISA WAKATI WA MAGU MLIKUWA MNAJIFICHA TU KANISANI KAMA MNYIKA SIO 😢😢😢😢😢😢ASANTE MAMA KUTUPA DEMOKRASIA YA KWELI NA KUJUA WANAFIKI WAKATI WA GIZA 🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🤩
@OptimisticSpaceAstronaut-cu5sr2 ай бұрын
Nyie ndo ma boya yenyewe which democracy are u talking about do you even know the meaning of democracy
@Likungu_Jr2 ай бұрын
Tafuta video siku Magufuri anafungua Maktaba pale UDSM utamuona huu mzee akitema nondo mbele yake. Utakuja kuthibitisha hapa kwamba wewe hukuwa unamjua huyu mzee kabla ya leo
@deniccgabriel61532 ай бұрын
Ommy James iposiku utanyonya naniiiii na hao unaowatetea utajua ujui😂😂
@cosmaswilliam38052 ай бұрын
Mungu alicuukua mwenda zake
@MohamedIbrahim-bn1gz2 ай бұрын
IT VERY SLOW
@HurumaeldaudMakala2 ай бұрын
Alamazangu ni. 0/100
@johnsinyinza74502 ай бұрын
Rais aperekewe.ripoti ysnu.
@MariaJacob-w5v2 ай бұрын
Acheni kuwafananisha watu na wanyama. Kama kinachosemwa hakikupendezi, piga kimya!
@salummohamed26892 ай бұрын
Kongamano hili linaweza kutafisiriwa negative na watawala na wasifanyie kazi vipengere vinavyolalamikiwa na wananchi na wakadai watafanya nini, na ikabaki hivyo. "Basi na iwe hivyo". Tutafanyaje.
@rabielfadhili9942 ай бұрын
Mzee wa 5P's
@HijaSaid-t6c2 ай бұрын
Hawa ma rc na ma bkt msiwaamini ni was tui
@HamadBashir-bs5wo2 ай бұрын
Mbona sioni unapoonyesha
@leonardmartine6622 ай бұрын
Mchukua video huyo
@shilogileshilogile43922 ай бұрын
Alama zangu Kwa majibu ya maswali yote 7 ni 0/10
@remigusluambana98802 ай бұрын
Huyu alifundisha IFM ni Lecturer ndo maana anaongea vitu kwa data
@sezaryriziky9402 ай бұрын
Communication Skills
@selemanmcharazo2 ай бұрын
Hizo takwimu zako za uongo kwenda huko
@MiriamAbdallah2 ай бұрын
Lete zako zenye uhakika haya mambo tusiweke udini
@StevenGendo-vx9jo2 ай бұрын
We ni mbwa Kama mbwa zingine
@GambasonLuselegasi2 ай бұрын
Kwani akina selemani mnaakili nyie
@johnmshuta51332 ай бұрын
Seleman umeacha kunuka mavi
@propKibali2 ай бұрын
'0'
@selemanmcharazo2 ай бұрын
Hivyo hawa wazee wa kanisa miaka 5 kabla ya uongozi wa Samia walikuwa sayari gani? Lakini pia watu waliokufa kibiti mamia kabla ya Rais Samia hawana thamani kama hawa mbona mlinyamaza acheni kelele ng'ombe nyie.
@paschalsafari97472 ай бұрын
acha matusi..jenga hoja.
@Re-Agrotec2 ай бұрын
Ww ndio uwaufuatilii siasa, uenda ni chawa tu coz kama nimfuatiliaji 2019 ulitoka ujumbe wa kwaresma enzi za magufuli, hvy unadata na sio mfuatiliaji you better shut your fuckn ass
@Re-Agrotec2 ай бұрын
Ujumbe wa kwaresma 2019 uliufuatilia au ata siasa aufuatili, umekalia uchawa bila kuwa na takwimu?
@keithapeter78542 ай бұрын
Kuwa mwelewa Kati ya waliotekwa na Kupotea angekuwepo mwanao ungekoment matusi hayo??
@MiriamAbdallah2 ай бұрын
Heri wao ni ngombe wanao wafuatilia wanapotea na kuuwawa kuliko wewe nakulinganisha na nyumbu au nguruwe angepotea au kuuwawa nduguyo ,mwanao au mzazi wako ungeongea huo upumbavu wako?