DOSSA WA YANGA AJA JUU: VIONGOZI WETU YANGA WANAIHARIBU LIGI MECHI ZETU TUNASHINDA KIMICHONGO SANA..

  Рет қаралды 20,897

BATTLE TV

BATTLE TV

Күн бұрын

Пікірлер: 242
@FaridaMwamlima-b9l
@FaridaMwamlima-b9l 2 күн бұрын
😂😂😂 alafu kweli na mimi nimeona dosa utopolo hawatak ukwer nima shoga wakin mwalim yanga wakilew ulazi😂
@epimackoscar25
@epimackoscar25 2 күн бұрын
Walau wana simba tumepata mpinzani wa mchome huyu mtu swaafi sana japo mchome amfikii huyu kwa uwelewa
@Ibrahim-ne3in
@Ibrahim-ne3in Күн бұрын
Sasa mchome c n tahira yule
@allymwashambwa5920
@allymwashambwa5920 2 күн бұрын
Dossa kama dossa ni mmoja tu ,uko vizuri
@victorishengoma5724
@victorishengoma5724 2 күн бұрын
@@allymwashambwa5920 .....nini knakuvutia ktk anayoyaongea zaid ya akili ya kijiweni tu
@SojaWaBrazil
@SojaWaBrazil Күн бұрын
Yanga team yetu mbovu wazee wengi tuwache janja janja tusajiri wachezaji😂😂😂
@simonnjovu586
@simonnjovu586 2 күн бұрын
Mavunde siyo mmliki wa Dodoma Jiji ile ni timu ya Halmashauri.
@LindaMbilinyi-n3n
@LindaMbilinyi-n3n 2 күн бұрын
Dosa love you❤❤❤❤❤utopolo unayejitambua
@ngadumbishi1405
@ngadumbishi1405 2 күн бұрын
Kama anavojitambua mchome mapovu kwa mashabiki wa Simba uongo 😂😂
@burukinyebo6294
@burukinyebo6294 17 сағат бұрын
Mchome ni Utopolo ndio maana kweny mitandao ipo clip yake aliokua anaojiwa huku akiwa amevaa jezi ya Utopolo,..Laniku huyu dosa hakuna clip yake yeyote aliokua amevaa jezi ya Simba Bali tangu tumjue tunamjua km shabiki wa Utopolo
@ngadumbishi1405
@ngadumbishi1405 14 сағат бұрын
Shauri yako 😂​@@burukinyebo6294
@amosalfred418
@amosalfred418 2 күн бұрын
Safi sana dossa😊
@KhadijaMuhammed-h8p
@KhadijaMuhammed-h8p 2 күн бұрын
sema kweli dosa jpo watakuchukia
@AberyNzogela
@AberyNzogela 17 сағат бұрын
Mchome mwingine uyuuuuuu😂😂😂😂
@AbuuBakar-h7n
@AbuuBakar-h7n 2 күн бұрын
Dosa upo sawa sana mwamba
@ErickBarthazar-u2z
@ErickBarthazar-u2z Күн бұрын
Mwenye namba ya huyu jamaa anitumie anachambua mpira technically 🎉😊
@NeemaThomas-s2x
@NeemaThomas-s2x 2 күн бұрын
Huyu jamaa anavyoongea inaonekana dhahiri anamuiga Ahmed Ally
@AbdallahIssaShekhan-g8l
@AbdallahIssaShekhan-g8l 2 күн бұрын
Huyu na Magoma wakapimwe akili na vikalio labda wameathirika
@CikeTanzania
@CikeTanzania 2 күн бұрын
Dosa watakutukana utopolo 😂😂😂
@RebeccaAndrew-dd4kj
@RebeccaAndrew-dd4kj 2 күн бұрын
Chizi huyu😅
@PaskalMaunga
@PaskalMaunga 2 күн бұрын
Asante san
@HalimaMaulidi-sv7le
@HalimaMaulidi-sv7le 2 күн бұрын
Yanga kununua mechi ni kawaida yao wala co jambo la ajabu xanaaaa! Halaf wanajifanya wana timu bora
@ngadumbishi1405
@ngadumbishi1405 2 күн бұрын
Kwaiyo ata mechi na Simba tulinunua😂
@TunuAdam-gc9rc
@TunuAdam-gc9rc 2 күн бұрын
Amkununua na wala amkutufunga ila tulijifunga wenyewe
@asiasued3655
@asiasued3655 2 күн бұрын
Kubebwa hamuongei aaaasz
@IssaChitanda-n4r
@IssaChitanda-n4r 2 күн бұрын
Mbon wakifungwa hamusemi hivy
@AlphonceBSaeni
@AlphonceBSaeni 2 күн бұрын
Ndio mana Yanga hawapati matokeo mazuri kwenye mechi ngumu wamezoea kushinda kiulaini tofauti na simba mechi zao zote ni ngumu sababu yanga wanatia mkono wao ili simba ifungwe na hapo ndipo wanapoipa uimara simba kuifanya ishinde mechi ngumu na kucheza mpira mzuri wa ushindani ktk mechi za kimataifa hata kama ikifungwa
@AnethKauzen-yz1ws
@AnethKauzen-yz1ws 2 күн бұрын
Yani sikupendi we dosa
@Oman-q6l
@Oman-q6l 2 күн бұрын
sema kweli kaka sio
@MariaMboko-o2r
@MariaMboko-o2r 2 күн бұрын
Yanga haikamiwi kama sio bahasha ni nini ?
@NicksonAlphacapitalGroup
@NicksonAlphacapitalGroup 2 күн бұрын
Mtu mwenye njaa na afya mbovu kama Dosa lazime aongee matango pori..
@YusuphElias-x1l
@YusuphElias-x1l Күн бұрын
Dosa ana afya nzuri kama wewe unakitambi wewe ndo unahitaji ushauli wa daktari.
@MseyaMayuki
@MseyaMayuki 2 күн бұрын
Ndo mana ulaya kuna VAR
@kalebsemwenda7158
@kalebsemwenda7158 2 күн бұрын
Ukweli mchungu😅
@seydouside4081
@seydouside4081 2 күн бұрын
Hata shomari amenities kuwa alimuhada mwamuzi..hayo ndio maisha ya wachezaji..sio haotu..Sasa ukasomee urefa ..
@jmtz9890
@jmtz9890 2 күн бұрын
Mwendawazim anajikuta ni kisugu wa makoli😂😂😂😂 Huyu ni Dossa utopolo🎉🎉🎉
@AminaFadhili-qe3et
@AminaFadhili-qe3et 2 күн бұрын
Ongela yako kaka
@mlawamangasini3836
@mlawamangasini3836 2 күн бұрын
Dosa big up nyeupe nyeupe nyeusi nyeusi
@harunaadam8973
@harunaadam8973 2 күн бұрын
😂😂😂huwezi kumielewa mpaka ujue mpira saana
@IbrahimMigeto
@IbrahimMigeto 2 күн бұрын
Msiwe mnahoji watu wenye Njaa. Kilasiku nawaambia huyu jamaa ni KOLO😅😅😅😅😅😅
@DENISMAKALA
@DENISMAKALA 7 сағат бұрын
Huyu MAKU ni simbaaa
@BishiraMunga-ey6jx
@BishiraMunga-ey6jx Күн бұрын
Bado hamjasema,myasema sana baaado kweupeee mnaroga kwa kutumia midomo haaaaha jnaumaeeee.
@PeterMuhina
@PeterMuhina 2 күн бұрын
Yuko vizuri dosa
@godlovechagulilo6932
@godlovechagulilo6932 2 күн бұрын
Hadi kuongea anamuiga Kisugu…!😂😂😂
@beneficialbeneficial2378
@beneficialbeneficial2378 2 күн бұрын
Hv huyu na kisugu ni mtu na mdogo wake mbn wana fana kuongea
@fredgonga
@fredgonga 2 күн бұрын
😂😂😂 nilijua mwandishi kaweka sauti ya KISUGU
@HarunakiongoziMohamed
@HarunakiongoziMohamed 2 күн бұрын
Huyu huwaga mnafiki sana,cc yanga tunakujua wewe kenge
@vumiliamgendi148
@vumiliamgendi148 2 күн бұрын
Dosa Leo kweli umeongea kikubwa
@michaelpetershoo1885
@michaelpetershoo1885 2 күн бұрын
Dunduka aliyevalia jezi ya wananchi 😮
@UmmukulthumAbdalla
@UmmukulthumAbdalla Күн бұрын
c dodom tu mtangazaji mechi zote yanga wantoa pesa ili washinde lkn simb Hua kun upinzani mkubwa na tim nyengin mn Hua wanaahidiwa pesa ndomn ukaion simba ikichez Africa ina chez vizr tofaut yng Hua hawachez vizr mn hawajpt nafasi ya kutoa pesa kw timu za Africa na hakun marefa wa ovyo km wa huku Tanzania simba nguvu moja ubay ubwela unaendlea kufny kz km mwana simba like hap ❤❤❤❤❤❤❤❤
@mussamwampamba
@mussamwampamba 2 күн бұрын
Umeanza kununuliwa wew afu inaoneka naww nimmoja wa watu waohujumu timu
@marcobulili4341
@marcobulili4341 2 күн бұрын
Wewe unanunuliwa halafu unaisema yanga hali unajinasibu mshabiki wa yanga! Huna haya wewe, hustahili kuwa yanga ondoka tu!
@AkramIbrahim-m6x
@AkramIbrahim-m6x 2 күн бұрын
Huyo Dosa Ana Bifu Na Eng Ss Bifu Lako Usiliwache Endelea Na Yanga Zinazidi Kutoa Dozi Uliomba Pesa Kwa Eng Amekwambia Sina.Umemnunia Ss Wewe Hutaki Kufanya Kz Unamtegemea Eng
@Isakhiayusuph-jb3yx
@Isakhiayusuph-jb3yx 2 күн бұрын
Dossa nakukubali sanaa
@JOHNMUDO
@JOHNMUDO Күн бұрын
DOSA unajua mpira, ila Tanzania VAR nimhim sana ila inapuuzwa tu.matukio ya ajabu ni mengi sana yanaharibu mpira wetu
@AhmadYahyaMtanga
@AhmadYahyaMtanga 2 күн бұрын
Njaa inakusumbua hata maneno unayozungumza huyakumbuki
@simbarajabu4157
@simbarajabu4157 17 сағат бұрын
Ww angalia magoli waliyofungwa dodoma Jiji wanatoa wenyewe magoli na meck anachekelea, lakini alivyofungwa na Simba meck alilia
@MhabeshiMaluja
@MhabeshiMaluja 2 күн бұрын
Katika nchi hii hakuna timu yenye quality kubwa kama yanga kwa hiyo timu zote zikiifunga yanga inakuwa store ila yanga akiifunga timu yeyote tz ni kawaida mtarpoka mengi sanaa lakini ukweli utabaki palepale
@TriciaSambo
@TriciaSambo 2 күн бұрын
upo sahihi kabisa yaani hujakosea sema wasio jitambua watasema unaongea ujinga
@FatmaOmary-b4h
@FatmaOmary-b4h 2 күн бұрын
Uyu jamaa wakati mwengne anaongeaga fact sana Hana upenz wa timu
@BarakaJiroli-l8e
@BarakaJiroli-l8e 2 күн бұрын
Dosa unaongea ukweli
@selemanmpanduji331
@selemanmpanduji331 2 күн бұрын
Dosa uko sawa watu waache ushabiki wawe kwenye uhalisia
@abuumanyanya7840
@abuumanyanya7840 2 күн бұрын
Dosa huyu ana akili sana anajua kuangalia mpira na kusoma mchezo na mazingira ya mchezo, ebu msikilizeni anachoongea huyu asemi kwa ushabiki
@justinemulindwa2430
@justinemulindwa2430 2 күн бұрын
Yanga hawafai kabisa maana walifika hatua ya kuinunua na simba . 😂😂😂
@RehemaMaduka
@RehemaMaduka Күн бұрын
Yaan ww mpira unaujua sana tena sana🫡
@AbdulrahamanBakari-s6k
@AbdulrahamanBakari-s6k 14 сағат бұрын
Wewe Dosa huna ushabiki huna lolote basi usiwe shabiki Baki kuwa mchambuzi
@ZiadaZuber
@ZiadaZuber 2 күн бұрын
Huyu hamnaaa nimshabiki ila anaujua mpilaaa
@Salimramsey-x8u
@Salimramsey-x8u 2 күн бұрын
Ongea ukweli usifiche fiche bana
@IsraelMwakagire-hn8pn
@IsraelMwakagire-hn8pn 2 күн бұрын
Huyu jamaa ni mwanaspot kweli kweli,ushindi wa yanga unawalakini sana
@SelleKizinga
@SelleKizinga 2 күн бұрын
Mm nimshabiki wasiba lakini kiukweli mm dosa nakukubali sana huwa wewe nimkweli sana
@lucassusu-q1s
@lucassusu-q1s 2 күн бұрын
Wewe nae dogo unatafuta kiki
@spensa86djtz61
@spensa86djtz61 2 күн бұрын
Kwa hyo za simba mfululizo mara 4 walipewa hela Viongoz wa simba jitambue na upange umbea vizuri
@DanielAlphonce-n6p
@DanielAlphonce-n6p 2 күн бұрын
Uwanjani haendi kuwasapot wachezaji, jezi hanunui ili angalau kuisapot klabu yake ila akiona mic tu KAMDOMOOO! Aache ushabiki aingie kwenye uchambuzi
@imanntunzwe6536
@imanntunzwe6536 2 күн бұрын
Kumbe hili lijamaaa halijitambui njaaa inafanya aongee pumbaaa
@RaymondAndrea-k3l
@RaymondAndrea-k3l 2 күн бұрын
Hata ya Simba Yanga waliinunua?
@NyatunzeJongo
@NyatunzeJongo Күн бұрын
Hanatafuta kiki mitandaoni
@RashidiWhite
@RashidiWhite 2 күн бұрын
Prisons naoo walipewaa pesa
@yusuphabsaid8151
@yusuphabsaid8151 2 күн бұрын
Prison wanazaminiwa na silent ocean ambayo pia ipo chini ya GSM kama ulikuwa hujui
@RashidiWhite
@RashidiWhite Күн бұрын
Yaani Uwe mweusi slagu mwehu na huna pesa utaishijee ulitaka pesa utumie wewe tu oisa mke mkubwana wezio wanahitaji matumizi kama inavyopokea, wewe, ukiacha kubrigii
@RashidiWhite
@RashidiWhite Күн бұрын
Yaani Uwe mweusii,mzembe, mwehu na huna pesa utafanyaje utapokea, kama unavyopokea, wewe ukiacha kuvuja damu
@KitamuMsulwa-z7e
@KitamuMsulwa-z7e 2 күн бұрын
Wewe dosa takataka kabisa
@amanimgaya9623
@amanimgaya9623 2 күн бұрын
Hhaahah dosa mavambo buana
@MeckitridaJulius
@MeckitridaJulius 2 күн бұрын
Huna jipyaaa
@MshomiN
@MshomiN 2 күн бұрын
Wewe dosa ni pandikizi njoo takukuru utupe ushahidi ili tushughulikie kama huna ushahidi tutakuchukulia hatua😊
@laninjeje8290
@laninjeje8290 2 күн бұрын
Njaa Kali una hata mia ya kumchukulia dosa hatua Kali, hata kadi ya utopolo huna😂
@AllyMuyaz
@AllyMuyaz Күн бұрын
We tako tu Njaa hiyo kazana ule maana ulichoka kimaisha umefufuka baada ya malipo ili kuichafua Yanga hutoweza mnafiki wewe Dosa
@IsraelMwakagire-hn8pn
@IsraelMwakagire-hn8pn 2 күн бұрын
Huyu ni mtu wa nne kwa utopolo mwenye akili mzee magoma wa tatu dosa wa nne
@Ahmed-l7k6y
@Ahmed-l7k6y 2 күн бұрын
Topolo wameshaanza kutumia sindano na kununua mechi
@SarahMbise-vt7jg
@SarahMbise-vt7jg 2 күн бұрын
Dossa mkundu sasaivi Dossa anataka awe kama mchome lakin Kwa yanga kabugi yanga team ya upendo team ambayo ukiongelea vizuri wanakupa gari Hela lakin iponde yanga ili uifulahishe Simba uone kama utakuwa maarufu huwezi kuwa kwasababu Simba hawako hivo kwaiyo dossa ni mkundu tu Mimi nishamtoa kwenye mashabiki wa yanga au wanachama wa yanga kwanza Dossa akizeeka atakuwa kama Mzee magoma tu
@SaidJumanne-j1e
@SaidJumanne-j1e 2 күн бұрын
Na mchome nae akizeeka
@laninjeje8290
@laninjeje8290 2 күн бұрын
Yanga Kama una mna upendo msaidie mama mchome aache kutombwa kwenye mfereji wa maji machafu 😂
@HajiMaliki-y6o
@HajiMaliki-y6o 2 күн бұрын
Je vip mchome akizeeeka atakuwaje au ndo mkuk kwa nguruwe
@HajiMaliki-y6o
@HajiMaliki-y6o 2 күн бұрын
Ubaya ubwela
@CosmasRashid
@CosmasRashid 2 күн бұрын
Chiz uyo malukuk
@Deodatusi
@Deodatusi 2 күн бұрын
Gd
@MkassiwaAuctionmart
@MkassiwaAuctionmart Күн бұрын
Wewe huna akili mpumbavi we mamluki was simba
@victorishengoma5724
@victorishengoma5724 2 күн бұрын
Daaaaa!!!!Huyu jamaa cjui ni mjinga cjui ni mwelevu cjui ni kutafuta umaarufu........
@christinataimu
@christinataimu 2 күн бұрын
Huyu ni simba huo sio umaarufu ni ujinga Tena mpumbavu
@allyrashidi-q2y
@allyrashidi-q2y 2 күн бұрын
Hiyo ndiyo yanga ya klabu bingwa? Au Nyingine?
@AliMpenda
@AliMpenda 2 күн бұрын
Jamaa anataka aone mpirs wa kweli
@SetMohamed-i9y
@SetMohamed-i9y 2 күн бұрын
Dosa huwa una akili mara moja moja,
@FatumaMwage
@FatumaMwage 2 күн бұрын
itakuwa hana marinda
@sumbaonline4002
@sumbaonline4002 2 күн бұрын
Dosa unataka umaarufu umebugi
@AminoKhalif
@AminoKhalif 2 күн бұрын
Wewe acha ujinga
@BahatiomaryMwambela-w4w
@BahatiomaryMwambela-w4w 2 күн бұрын
Dosa unaujuwa mpilani Kama milaji wetu wasimba nakukubali
@user-pb3ub3gl4q
@user-pb3ub3gl4q 2 күн бұрын
Mfariji wa Madunduka
@MseyaMayuki
@MseyaMayuki 2 күн бұрын
MECKY MEXIME ndo zake tangu yupo MTIBWA,KAGERA SUGAR na sasa DODOMA JIJI akikutana na SIMBA lol,sasa subiri akutane na YANGA mmmhhh
@MaryDamson
@MaryDamson 2 күн бұрын
Fala ajui mpira uyo kenge mweusi
@AbdonLukungu-r4f
@AbdonLukungu-r4f 2 күн бұрын
Hizo maiki zinawafanya muonekane kuongea mpaka utumbo kama kanunua hapo na zile tano nani mwanachma husika wa yanga.
@Moteswa
@Moteswa 2 күн бұрын
Dosa ni kolo aliyevaa jezi ya Yanga.
@RashidiMwiga
@RashidiMwiga 2 күн бұрын
Ukweli usemwe,mechi ya Simba muheshimiwa mbuge aliweka hela kwa Dodoma Simba afungwe,Jana pesa iliwekwa?
@Maliganyasylivester
@Maliganyasylivester Күн бұрын
Unataka comment au unahitaji Nini?
@jaffarishabani
@jaffarishabani 2 күн бұрын
achana na habari ya yanga zunguzumzia simba yako yanga ina watu wanayo iongelea acha ukengekenge
@HajiMaliki-y6o
@HajiMaliki-y6o 2 күн бұрын
Mchome munamfurahia ila uyu amumtak kwenye maisha mfurahie anae kukosoa
@abdallahomaryabdallah
@abdallahomaryabdallah 2 күн бұрын
Wanataka.wapishani.magoli.yao.yawe.juu.km.walitalingana.point.
@FaridaMbingamno
@FaridaMbingamno 2 күн бұрын
We utadhi mpira dhambi
@Innocent.blox72k
@Innocent.blox72k 2 күн бұрын
Dosa..tulishakujuwa unamuhiga..mchome..sasa..wewe.utahangahika.sana.na ahutafanikisha..unatafuta kinky....nakusikilia..huruma.sana...utapata.shida..mda.siyo.mtefu
@GideonJoseph-o5p
@GideonJoseph-o5p 2 күн бұрын
Na nyie nunueni kama zinauzwa
@NgoshiwaneSimiyu
@NgoshiwaneSimiyu 2 күн бұрын
Dossa kuma la mamako msenge ww.
@TajiriPoti
@TajiriPoti 2 күн бұрын
Huyu ni mjinga tena paka njaa ina mtesa
@swaleherashidi173
@swaleherashidi173 2 күн бұрын
Dosa.sikiliza krip ya Kaz kasoma Shelia kazuwia kwenye njia
@laninjeje8290
@laninjeje8290 2 күн бұрын
Kazi amesoma Sheria ila huyo kazi njaa Kali, mbona hata goli la mkono la bacca huyo kazi alisema ni goli halali
@ahmedmukolwe43
@ahmedmukolwe43 2 күн бұрын
Huyu mjinga asiingie mechi zetu wanayanga sababu tutamshughulikia
@RamadhaniMuhomba
@RamadhaniMuhomba 2 күн бұрын
Dosa ukiwa south Africa ukisikia Bongo ujue ndio Tanzania
@JosephMakolo-n9j
@JosephMakolo-n9j 2 күн бұрын
ww msenge mkubwa Acha ukuma tafuta timu ya kushabikia kolo wee
When you have a very capricious child 😂😘👍
00:16
Like Asiya
Рет қаралды 18 МЛН
Chain Game Strong ⛓️
00:21
Anwar Jibawi
Рет қаралды 41 МЛН
Une nouvelle voiture pour Noël 🥹
00:28
Nicocapone
Рет қаралды 9 МЛН
citation de malien écouter des messages s'il vous plaît partage🇲🇷
20:58
When you have a very capricious child 😂😘👍
00:16
Like Asiya
Рет қаралды 18 МЛН