Mtangazaji upo juu,,km unamkubali Huyu kijana like twende nzetu sawa
@husseinnoormohammed53333 жыл бұрын
Mashallah Mashallah Mashallah I love these Ladies. These are ladies of substance and for sure they know their purpose in this life... These are those whom wametajwa katika hadiths nyingi katika dini. “Who is the best lady?” They said , “those whom wen you look at them or feel happy.” These are the Ones... Sengo Le Matilda I love your English 👌👌👌
@حسنةزنجباري3 жыл бұрын
Da nyiyi niwazuri kwakweli wasura Nadhani hata.tabia.munguawadumishe naumojawenu semeni amin
@khadijahkhamis58515 жыл бұрын
ila vidox nakupenda jmn unajua kuhoji MashaAllah nipe like yko nami nijidai
@vidovidox26325 жыл бұрын
Dylan Didaz Asante sana mtu wangu
@suzanmoshi7105 жыл бұрын
Wadada very confidence
@israel80442 жыл бұрын
Matilda ni bonge la actrice anajuwa ku acter zaidi ya sana naeza kusema ni number one Tz najiuliza angeli kutanaka na kanumba sijiwe ingelikuwa je ?? Jordan mayele from DRC🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@saidasaid58554 жыл бұрын
Hongera qeen dalin jma ndowa ni baraka kutoka Kwa mungu ukitazama warembo wengi huckii kuolewa wanapigwa na kuachwa wakipaata bac mimba lkn ndowa kwao mh ni Sawa na kutafuna chuma Kwa meno
@mwanahalimamwachili96795 жыл бұрын
Mungu awabariki,Ma dada Warembo Mlio tulia.Nawalov Sana Kina dada.
@MosbMosb-ru5vv5 жыл бұрын
Namkubali Sana batulii❤️❤️❤️💪💪💪
@ndzmah47ali65 жыл бұрын
Nawapenda sanaa nyiye wadada wawili munajiheshimu sana
@chayogasperi97834 жыл бұрын
Mmmmhh !!
@ayshabayun90144 жыл бұрын
Kwani huyo batuli aliachana na yule mume wa mtu?? nilisoma ktk mtandao I'm not sure huyo wife wa huyo mwanaume alikuwa akitukanana na batuli
@salimcherrylane72604 жыл бұрын
You shall never stop amazing nesh wow.... Keep it up......mrs Tanzania. The more you grow the younger you became, be blessed with your family. Cherrylane.
@مسلمكشوب-ع7ت5 жыл бұрын
nawapenda sana nyie wadada ile sana mungu awape maisha marefu kazi njema kwenu
@khadijakhadija62125 жыл бұрын
Mashallah nimewapenda bure 😘😘😘majibu mazur pia km mapacha
@aishaseif23244 жыл бұрын
Yaaa wamefana
@baeyanka5264 Жыл бұрын
Wamefanana kweli
@florahmushi7484 жыл бұрын
Kama umemuon masanja mkandamizaji amevaa koti la suti rangi ya maroon kwanyuma amepiga picha na shabiki wake then akapita chaaap gonga like kibao hapa
@rosemarryjohn13763 жыл бұрын
Nime muona
@awatifalghanim11063 жыл бұрын
Mashaallah hawa Ma Dada ni wazuri tuu.. wana sura nzuri ❤
@mejubaraza94155 жыл бұрын
Masha Allah nawapenda sana..majibu mazuri na pia hamna maringo
@josephkisaro13775 жыл бұрын
Kijana wa Milard Ayo, ni mjanja sana wa kuuliza maswali , ana kipaji sio taaluma tuu, hongera kwake
@emmyyahya83585 жыл бұрын
Nawapenda wazur km mapacha 😘😘
@christinamagasi6254 жыл бұрын
Emmy Yahya mm lips tu za Matilda💋
@Khadija-qr4cr3 жыл бұрын
Mashaallah wamefanana kama mapacha
@lucyadam87645 жыл бұрын
Mmeendana sana jaman love Ming Ming kwenu Matilda & batuli
@zainabumshihiri70415 жыл бұрын
Jaman madada zang nawapenda sana mungu awaweke kwa urafik wenu mzur aamin
@مارياكافشى5 жыл бұрын
Nawapenda saaana ❤❤🇧🇮
@gracemalashi83584 жыл бұрын
Nawapenda sana😘
@reginaldmsofe24375 жыл бұрын
kiukweli kuna maneno mmeongea kama yapo moyoni mwenu mungu adhidi kuwalinda miaka 800 nawapenda sanaaaaaaaaaa........
@superdeeboy61003 жыл бұрын
Mashallah mko vizur dada zangu ongeren
@mutwalesylvie74435 жыл бұрын
Wazuri wote mashallah
@mohameeddoaan22965 жыл бұрын
Wazuri sana
@hatamimnimempendabulejaman15964 жыл бұрын
Ya Ata mimi nilitaka sema, wazur uwq nawapendaga jaman matrida kanenepa Harafu ana shepu
@hatamimnimempendabulejaman15964 жыл бұрын
Kwel ndowa wanasemaga Ndoa ni nyinyi wenyewe eti tuli unataka niwe kwenye mahusiano
Walembo Sana afu nyi nawapenda hamupo kwenye mitandao walembo sana
@mathildemwangaza1093 жыл бұрын
God bless you
@zakyahya46454 жыл бұрын
Napendaga move zenu kwakwel matlda ongea yake iko ivyo ivyo ata kwa move nawapenda sana nyie amnaga skendo mbovu wala ampendi kiki
@komboali82033 жыл бұрын
Matilda ila umenenepa, kiukweli nakukubali Sana,
@ferouzmasoud47414 жыл бұрын
Matilda kanenepa huyo🙄🙄🙄🙄
@sarahbenard69713 жыл бұрын
Nampenda sana matlida
@asmabintikiwa18265 жыл бұрын
Matirida love you
@kimzhavia26535 жыл бұрын
Nawapenda mm bure ❤❤
@D-Man.B-Free5 жыл бұрын
Kwa swali la ndoa daaah imejibu kiukubwa
@kiya09102 жыл бұрын
Nawapenda hawa wa dada
@getrudeswai4125 жыл бұрын
Love mingi kwao
@sylviamwano22065 жыл бұрын
nakupenda bure Rebecca😘😘
@zaiiomary89704 жыл бұрын
Nampenda batuli mim jamani lik kwa batuli wake
@hellenmasasi38505 жыл бұрын
Wanaonekana wana furaha sana hongera zao
@Lulualshagri9 ай бұрын
Huyu batuli mbona zamani alikuwa haongei hivi au ndio ubishoo
@ngemabohero28535 жыл бұрын
nimewapenda sana 😘 .
@phineking39114 жыл бұрын
Mie Nadhani Tunajichanganya Sana Na Kitu Kinaitwa Mahusiano, Hivi Mungu Alituumba Tuishi Katika Mahusiano Au Katika Ndoa??? Athari Za Mahusiano tunazishuhudia Leo kwamba wanaume wanawatuhumu wanawake kuwa ni waongo, Na wanawake wanawatuhumu wanaume ni waongo pia. Kiukweli Ndoa Ndio Hasa Takwa La Mungu Na Kusudi La Mungu Kumuumba Mtu Mke Na Mtu Mume, Inakuaje Mtu Uridhie Kwamba Mnaweza Kuishi Katika Mahusiano Tu!!??? Tunamhitaji Mungu Zaidi Ili Atuongoze Katika Njia Inayofaa Kuliko Kuifuatisha Namna Ya Dunia Hii Ambayo Mambo Mengi Yamekuwa Yakifanyika Chini Ya Uongozi Wa Shetani.
@khadijaomar27234 жыл бұрын
Wanajitambua hawa wadada
@raphaelbruno27435 жыл бұрын
Millard cku izi ushaanza chafua vichwa vya habari na habar tofauti ndani!!
@kanikiommy51672 жыл бұрын
Rakini vitu vitamu au ndio mbwembwe tu michezo mnaiweza au maji matupu
@yassinizuberi80295 жыл бұрын
Safi sana tilda ake pesa na mume tofauti sanaaa
@halunamaneno99864 жыл бұрын
Yaani wewe matulida nakupenda sana ivi kwa nini ulizubutu kuzaa na mzee stivini nyelele? ulikosa wanaume wa saisi yako? nipe jibu,
@elizabethmwandu69375 жыл бұрын
Hongereni mmependeza sana wasanii wetu.
@mariachuhila95185 жыл бұрын
Safi wadada mnajitambua sana
@roseadam29645 жыл бұрын
Mtoto afsa
@mercyherbert89785 жыл бұрын
nmeipenda eti money come and go for sure iko ivyo bg up dadaz
@nurafedrick3785 жыл бұрын
Huyo sio REBECCA ama machoyanguu
@K257955 жыл бұрын
Macho ako
@timedysonmwakafwila8705 жыл бұрын
Ndo mwenyew
@sarahalfani31245 жыл бұрын
Wanafanana wanaendana kwa kweli hawana skendo ,lkn ubaya ni urafiki wao labda hautodumu sababu ni waigizaji ,
@ayoubfadhili46955 жыл бұрын
dem akiwa na hela anataman cc tusionazo, ila asie nazo anataman mweny nazo, na hayo maisha
@sadakhamis66845 жыл бұрын
Mnajielewa sana ✅
@neemadanielkinduri96383 жыл бұрын
Hawana maringo alaf hakun skendo kma wengine
@leemassawe89685 жыл бұрын
Qali sana vidox
@mariamukajiru18985 жыл бұрын
NDOA NI BARAKA KUTOKA KWA MUNGU HAILAZIMISHWI WAKATI UKIFIKA MTATUNUKIWA HILA WANAUME WENGI WANAOGOPA WADADA WANAOPENDA OUTING.
@elishamollel91463 жыл бұрын
Majibu mazuri sana
@rahmaali38003 жыл бұрын
♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️
@bupemwamakamba11325 жыл бұрын
Asante Millard kwa kutuongezea tangazo😂😂
@mathildemwangaza1093 жыл бұрын
Wauuu Matilda eti wewe nimushauri
@KeKe-vp8nl3 жыл бұрын
❤️❤️❤️
@salomewandya72573 жыл бұрын
Warembo😍😍
@estherkaidza16183 жыл бұрын
Love them wanawake
@johnmwadime45904 жыл бұрын
Mshangaze ulimwwngu baad ya miezi..miwil..leo hii mnachamban mitandaoni
@mathildemwangaza1093 жыл бұрын
Matilda umenenepa sana enda gym
@ummusirajandsuhailasfamily3980 Жыл бұрын
Wanakaa mapacha
@annaprosper48455 жыл бұрын
Mmependeza
@hawasaid4845 жыл бұрын
wazur jmn😙😙
@latb27475 жыл бұрын
video mbona hamutoi mpk chini zipo passport size tu mnakera
@hadija8464 жыл бұрын
😘😘
@aishaibrahim56073 жыл бұрын
Mbn wamefanana🙄
@zanderprinceton95395 жыл бұрын
Why are they putting so much pressure on women to get married ❓
@pascasiohubert26875 жыл бұрын
Matilda namkubali sana
@rauhiyasaidi92815 жыл бұрын
Hongereni sana
@najmagudeh2035 жыл бұрын
Mashaallah
@azzamahamdu70395 жыл бұрын
Mie NAWAPENDA lkn rebeca punguza poz kdg....
@valentinamussa42125 жыл бұрын
Like za mbasha kule
@sandymakunja76974 жыл бұрын
Uyu mmoja aliolewa sijui kaachika kazi kutembea na Waume za watu, uyu Sengo kazaa na mume wa mtu kauwa ndoa ya mwanamke mwnzie Bullshit all😏
@happyphillis1483 жыл бұрын
Hivi huna Maswalii khs carrier yao ,,wewe ni mahusianooo tuu then what????beang grown up jamani watangazaji wa Bongoooo