She is so smart, and i love the fact that she cares about her kids and maintain respect for them!!!
@salomemunishi16952 ай бұрын
Beauty with brain. I love the fact unajibu kila kitu kwa kujielewa na sio kwa mihemko
@deejulesdonatha4107Ай бұрын
She should be a presenter or have talk shows...i enjoyed listening to her
@catherinenenula74502 ай бұрын
Nampenda uyu dada nlimjua kwenye Bado natafta 2015 matlida shamsa na gabo Ile movie ilikua ni🔥🔥🔥🔥🔥
@J_Jeromy2 ай бұрын
Pauline kule ndo alikuwa mzuri ila mwili Wa saiv hapana
@itzsnazzyjazzy472Ай бұрын
Wallah ilikuwa fireeee
@user-db1fb7ob8bАй бұрын
Kipindi hiko hajapata mwili kama hivi, namkubali Sanaa
@user-pu6pr5jt4n2 ай бұрын
NAMPENDA ANA FACE NZURI❤❤❤❤
@zawadichalale40472 ай бұрын
Wellu kwa maelezo yako umenifanya nikupende zaidi unaakili sana Mungu asikuache my dear
@user-pu6pr5jt4n2 ай бұрын
Nice interview ❤❤❤NAKUPENDA MATILDA UNAJUA SANA KUIGIZA
@PendoPeter-rr4jk2 ай бұрын
Nampenda huyu dada anajielewa sana
@benswai80992 ай бұрын
Mwache ajione jamani. Ni mzuri sana. Kuringa ni haki yake
@RobertNjoroge-dt6yc2 ай бұрын
Wow it's very cool lntarvew napenda kazi ya hii chanel sana hongereni sama
@IreneZachariah2 ай бұрын
Tilda Welu Sengo.... beauty with brain❤❤❤
@infiniteabundance20242 ай бұрын
so smooth..... Mungu amtie nguvu apate suluhu ya afya awaone wajukuu wake pia
@user-vs5bd8ou6iАй бұрын
Nimesoma izo comments yani walio comments vibaya ni wanawake mnachosha jamani penda neni Khaa I’m so disappointed 😔😳
@jadetotoАй бұрын
Yaani Hawana utu wanamuonea wivu
@user-em4zz3lh1hАй бұрын
Hatupendani kabisa
@asherkheri-mo3np2 ай бұрын
She's so beautiful and smart
@user-lx8nl8hh3f2 ай бұрын
Hajiskii sema anajiamin sana
@negwamwaipopo6467Ай бұрын
Nakupenda my dear, wewe ni mnzuri na Uko smart❤,hongera
@Mimy_keys2 ай бұрын
We Love You Wellu Sengo 💖 Matilda 🔥💃🇧🇮🇸🇦
@MAGRETHMZIA26 күн бұрын
Love u my role model ❤❤
@vinenswilliam35342 ай бұрын
Huyo fundi hakua na taarifa kuna watu wana record? Nice talk, positive vibes from Welu, such a milestone!
@FATUMAPASKALАй бұрын
Nakupenda sana welu sengo
@Mohaa43092 ай бұрын
Maa Shaa Allah Dem mzurii❤❤❤❤
@judithsalvatory2892Ай бұрын
Safi sana wewe ni mama bora ila huwa nakupenda pia urembo wako❤❤❤❤❤
@siaammo11042 ай бұрын
Wellu kwa kiingereza hicho nakushauri ufanye kazi.na watu wengine nje yanchi utafika.mbali sana
@israelkisaila84012 ай бұрын
English yake tamu sana
@inickmgobasa17792 ай бұрын
Anastahili kuwa mbali zaidi
@tabithadaniel73642 ай бұрын
Mbona tayari kuna movies kama 3 ameigiza na wanigeria zipo youtube
@souvenirweber71692 ай бұрын
@@tabithadaniel7364movie ipi please zijaitwaje.nampenda yuko real
@lightnessgeorge73552 ай бұрын
Tutajie na wenzio tuanglie @@tabithadaniel7364
@zubynyaku6269Ай бұрын
All. Single mom tunatakiwa kujua ilo, nyumbani kwetu naawatoto cpo pakuleta mabwana. Yaani mimi naogopa ivyoivyo yani tupendane uko mbaliii cyo kuleta mapenzi om uku cjuii kama tutafunga ndoa ,wanangu pia watamjua baba tutakae funga ndoa inshallah
@ahmedkitandu8403Ай бұрын
Mambo
@user-tk5yy6vj3b2 ай бұрын
Nampenda sana uyu dada
@kmotivation11302 ай бұрын
Beauty sana I hope nipate type hii
@graceirakoze2868Ай бұрын
You are so smart love you from Burundi..
@ainessfoya44632 ай бұрын
Mwanangu..chepukia kwa maombi..mwamposa..wrm. mungu atatenda
@pendothomas72582 ай бұрын
I love you baby sisy ❤❤❤ you are amazing 😍😍
@WiselightOfficial2 ай бұрын
Wellu dada be blessed nakupenda bure
@jojomohamed3418Ай бұрын
Mungu hakupi yote ila nakupenda sana zaid iyo sauti 👌😊😊😊
@loulumony8519Ай бұрын
Namupendag san sengo kwakuigiza sas anajua kbx 👌🇴🇲🇧🇮❤️
@faustaemmanuel13902 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤namkubali sana wellu
@blandinamyinga94892 ай бұрын
She's, confident, smart and intelligent""Sengo your kids are blessed to have you as their MOM❤
@PrincessHellen-pg1oy23 күн бұрын
Mwigizaji niliekua nikimpenda sana Enzi hizo 😊 hatiame leo namuona tena 😊
@jrlamar89252 ай бұрын
This woman is extra ordinary
@marymichael9286Ай бұрын
Huyu dada mawazo kama yangu jmn lkn napenda yy alivozungumza Kwa confident
@user-kp1wn1ui8sАй бұрын
I liked everything ❤❤ aisee you are very attractivlly
@sir_ENOCKMACHA26 күн бұрын
Kanaongea vizuri kamrembo so 💥💥💥💥
@christinewomanoffaith5479Ай бұрын
Nimependa anavyolea watt Big up
@user-pu6pr5jt4n2 ай бұрын
MAMA BORA ❤❤❤❤NAKUPENDA
@geofreybahema51182 ай бұрын
Mwamba mpaka tone kabadili hyooo manzi ni hatr
@eddygad28582 ай бұрын
Matilda amanenepa sana nasura imebadilika ila sauti niileile nakupenda sana
@annapontian1622 ай бұрын
Bright and positive minded
@witnesssony800828 күн бұрын
Nakupenda sana mimi shabiki yako milele.
@vickyshayo7880Ай бұрын
Nakukubali sanaa
@user-zd6lv4il1tАй бұрын
Wanawake tuache wivu tuwe positive😂😂😂😂
@ramadhanidaudihaji2174Ай бұрын
She is pretty women!😊
@yousramutwale24632 ай бұрын
Nimependa
@khadjamhozya2 ай бұрын
Dada mzuri sana
@neykazungu61842 ай бұрын
❤
@magrethdastanhaule3449Ай бұрын
Napenda vido anavyoitikia mmhhm mmhmm mmhmm i love it
@user-lz6kh7xj2vАй бұрын
😅😅😅😅😅
@annethsongwe60632 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉Wellu
@bettykihwele77132 ай бұрын
❤❤❤
@mtagemkini2 ай бұрын
wooow
@marthajohn9120Ай бұрын
Wow
@siamollel60512 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤
@user-wu8qe4fv4j2 ай бұрын
Mzuri mpele
@MwanaidyMgonja-ek5ls5 күн бұрын
Saf mama bora
@user-jr8sc5ny9s2 ай бұрын
What is that noise jamani! Aki it's very destructing🤨
@user-bk2hz5pq7sАй бұрын
Nimependa unavyowalea watoto wako
@nayadmason60152 ай бұрын
Lazima utakutana na comments zikufurahishe 😂😂😂
@nancyg86642 ай бұрын
😂😂😂
@MariamJuma-pe4sy2 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@hallat254Ай бұрын
Kupitia wew nimejifunza kitu kikubwa sana leo
@user-wu8qe4fv4j2 ай бұрын
Unaongea point kabisa
@rosie8704Ай бұрын
vido🎉🎉🎉🎉 umepoa
@sikudhanimohammad76922 ай бұрын
Huyu dada ni mzuri
@pulikisia79632 ай бұрын
Saanaaa!!
@cocotz18922 ай бұрын
Sanaaaa
@svt32 ай бұрын
Acha uwongo mtu mpaka shingo haionekane vinyama vya matako vinazidi, unafahamu kila kitu kikizidi kiasi kwa ukubwa au kwa udogo ni mbaya
@sikudhanimohammad76922 ай бұрын
@@svt3 kwahyo akinenepa sana na sura inakuwa mbaya? Acha roho mbaya
@svt32 ай бұрын
@@sikudhanimohammad7692 kunenepa ni vibaya sio tu kwa kuaribu umbo ila na kwa afya acha uwongo wa kudanganya watu kunenepa mpaka shingo imepotea manyama ya matako hayatoshei tena kwenye kiti hiyo si kupendeza hata kidogo pia na kukonda kuwa kama mreja pia sio vizuri kiasi inaitajika
@user-ql3yr6fi7oАй бұрын
huyu dada wanaomla hawajamwelewa tu...anaonekana ana kiburi ila sio ni kumwelewa tu
@OnesmoMagehemaАй бұрын
Izo kelele za pembeni kama Kuna kitu kinagonga,na kimkurumo Fulani kimezingua kinoma
@Marjeby2 ай бұрын
Huyu Dem kipindi nasoma UDSM 2012-2015 nilikuwa silalali nilisoma sana kwa ajili yake😅najiambia nikipata mpunga tuu namtafuta but niliposikia amezaa na yule jamaa mfupi Steve Nyerere aiseee demu alinitoka kabisa nikafuta nyota zote😂
@aminakasim11982 ай бұрын
Mmmmmmmmmmh
@siaammo11042 ай бұрын
😅😅😅
@siaammo11042 ай бұрын
Mwenyew kwakweli hata sikuelewa.ilikuwaje.maana.kwakweli hawendani kbs 😅😅
@bibyansimplis37912 ай бұрын
Mwogope Mungu, wewe huna mapungufu? Nata kama ungekuwa huna, kita mtu alijikuta alivyo.
@furika79312 ай бұрын
Kama mwanaume inabidi umpongeze huyu unayemwita mwanaume mfupi maana aliangusha mbuyu mzito fahamu alikuwa yuko na kitu huyo brother na ndio maana hiyo deal ikawa done!
@sir_ENOCKMACHA26 күн бұрын
Ila aliyewaambia wadada makucha bandia yanawapendeza aloo kawazuga mno aloo...MTU unakua kama jini
@bobjoy9279Ай бұрын
Ndugu mtangazaji nakuomba kwahisani yako unipatiye number ya huyo Dada please
@user-mw5xs2wx8n2 ай бұрын
Tatizo lahuyu vingereza vingi yani wa lasaba asijisumbue kuangalia mahojiano yake bure
@MariamJuma-pe4sy2 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂
@J_Jeromy2 ай бұрын
Ety lasaba😂😂😂
@masalakulwa76012 ай бұрын
we naye nenda shule .hata kuandika shida
@user-mw5xs2wx8n2 ай бұрын
Nipeleke mamaangu
@user-mw5xs2wx8n2 ай бұрын
@@masalakulwa7601 km Jina unaitwa masala vipi kuacha kuingilia yasokuhusu nenda kaunge nyama ya nguruwe hiyo ndo kz ya masala
@user-id8bu6lw8x2 ай бұрын
Huyu kaka jmn anafanana na Ex wa mtu
@juliusjkalela9164Ай бұрын
Macho Ake hua yananikoshaa
@user-ql3yr6fi7oАй бұрын
toto tamu hili
@christinewomanoffaith5479Ай бұрын
Una akili Safi sana
@faudhiasalum72792 ай бұрын
Kazuri mama wa wawili
@khadjamhozya2 ай бұрын
Ana mashauzi furani ya kishuwa anapendeza sana
@MdNasr-jm8pj28 күн бұрын
Uzur wote huo umeenda zaa na yule😂😂😂tafuta bwana WA maana aendane na ww sio Yule bhna
@3Dshoez2 ай бұрын
Yan yupo tayari kupunguza uzito akipewa offer ya kaz na hela 😢😢😢 dada kumbe kupungua unaweza,kumbuka kuna pressure, kisukari na cholesterol.
@sikudhanimohammad76922 ай бұрын
Bado still. Bado still
@masalakulwa76012 ай бұрын
yaani😂
@sikudhanimohammad76922 ай бұрын
@@masalakulwa7601 au ni mie ndo sijui kingereza?
@Ericzdeking24Ай бұрын
Huyu dada ni msomi anajua anachokifanya.Tuwapatie watoto elimu bora the rest is history.
@juliusjkalela9164Ай бұрын
Huyu dada namkunari sana na Nina mda mlefu sjamuona ila nmemuona Tena ❤️❤️❤️❤️💓💓💓🙏
@user-fe3ll1pu9d2 ай бұрын
anafanana na niffer kwa mbaaaliii
@masalakulwa76012 ай бұрын
ah wap wewe wellu kisu
@user-pu6pr5jt4n2 ай бұрын
Mhm welu ni pisi kali sana❤❤
@ednapeter83192 ай бұрын
Ww thubutuuuu
@user-gj2mm3ko8m2 ай бұрын
Wanafanana penny,madam Rita,ILA a nahitaji kunywa uzito anapendezea sana akiwa amepunguza mwili
@user-kp2qd9yr5p2 ай бұрын
Welu Ndio kawa ivyo Lin tena! Alikuwa na mwili mzuri uku Sasa daah
@khadjamhozya2 ай бұрын
Hadi Sasa ninzuri na unene wake
@felisterjohn4932 ай бұрын
Ukiulizwa kiswahili jitahidi kujibu kiswahili kwani hata Vido naye anajua kiingereza dada punguza nyodo uko vizuri but mmmm kuwa halisia
@dorcassalvatory15182 ай бұрын
Sio nyodo mwenzio kakulia boarding tn shule nzur Sasa lazm awe ivo punguza makacriko kdg
@queenandchill912 ай бұрын
Jifunze lugha ya kiingereza uache kuwaona wanaoweza kuzungumza lugha hiyo wana nyodo.
@munirahassan50132 ай бұрын
Km hukusomeshwa shule na kwa Rasi simba huwez kulipa
@sophiaathumani393Ай бұрын
Wivuuuuu
@ZubedaHussein-it7nf2 ай бұрын
Uyu wa pili ulivyo mkataa kumzungumzia jmn km 😊😂😂😂😂
@khaliduhadi2336Ай бұрын
Sasa kizungu Cha nini hapo acha ushamba fala we hiyo ni maojiono ya kiswahili kaa kwenye laini utakuta mtu mwenyewe katoka bwinde huko
@user-zd6lv4il1tАй бұрын
Acha wivu😂😂😂😂😂 we ndo mshamba lione
@sophiaathumani393Ай бұрын
Wivuuuuu hovyooooo
@jacklinelyimo74072 ай бұрын
Anahema balaa
@SalamaNauthar2 ай бұрын
Mwili huo best
@sugarthompson93692 ай бұрын
Kuwa mzuri sijui hakutufanyi kujiona bora zaidi ya mwengine ,,,ni mrembo sana ila ana maringo sana huyu mwana mama
@jennylawrence2 ай бұрын
kha jmn tz mtu akiwa na confidence et anajiona😂🙌
@treasure124152 ай бұрын
Alikufanya nini😂😂😂
@souvenirweber71692 ай бұрын
Yuko sawa tatizo mtu akionekana wa kisure lazima mswahili amkosoe bongo kugumu sana
@sugarthompson93692 ай бұрын
@@souvenirweber7169 ulimbukeni ukizidi ndiyo matokeo yake haya sasa utanzania na ukweli vinahusiana vipi? Poor us kwa kweli
@sugarthompson93692 ай бұрын
@@jennylawrence na hujui kutofautisha kati ya confidence na maringo sasa nawezaje kukuelezea the other difference poor us 😂
@user-uj5wg9mm2t2 ай бұрын
Vido mnafk ww et unapendezea huo mwili😂😂😂😂😂
@blandinamyinga94892 ай бұрын
vidoo""hizo kelele nyuma zinakeraa
@user-je6yv2ld4oАй бұрын
Wow uyu dada kawa bonge..kwa move ya matlida alikua mdogo
@user-sd5hj2im4qАй бұрын
Chakula
@daslamonline46652 ай бұрын
Bado still 😢
@salmasudi89012 ай бұрын
Ujuaj mwingi bado still🤣🤣🤣🤣
@juliethmallya6821Ай бұрын
Nampendaga mpaka bas jamanii. Azam tv tamthili hatumwon tena, tunakuhitaji tena Wellu.
@princessringo28792 ай бұрын
Kwenye pazia cjampenda hata
@user-nj2rj9qj9b2 ай бұрын
Sasa siangekaa vizuri nachoka mimi huku
@lelaiddy68562 ай бұрын
Hahaaaa unakiherehere..umenichekesha
@israelkisaila84012 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@gracengunga348Ай бұрын
Women a lot of us are going through a lot in relationships 😢