Baunsa wa Diamond amwagiwa maji jukwaani na suti zake kaeleza alivyojisikia

  Рет қаралды 765,956

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 309
@ElizabethElizabeth-u8x
@ElizabethElizabeth-u8x 6 жыл бұрын
Dah wasafi moto imefanya hadi mwarabu tukaskia sauti leo!!!big up my brothers kazi nzuri pongezi from +254 wapi like y mashabiki wa W.C.B kutoka 254 gonga like apa
@millieagaza6446
@millieagaza6446 6 жыл бұрын
اليزابيث اليزابيث tukoooo
@moureenmbuu1985
@moureenmbuu1985 6 жыл бұрын
Tuko
@ummal-shuwehdy2217
@ummal-shuwehdy2217 6 жыл бұрын
Masha'allah when I saw this video, I had tears on my eye's, it was so nice to see how much they care for each other's, happy birthday bodyguard😘 respect enjoy your day.🎊🎁🎂🍰🍮
@galbyhayuuni5294
@galbyhayuuni5294 6 жыл бұрын
Salha Al-shuwehdy same here ...it ws so sweet😍
@esthermnyasenga1808
@esthermnyasenga1808 6 жыл бұрын
makamanda hawachezagi wew
@ahymokash9640
@ahymokash9640 6 жыл бұрын
Happy birthday baunsa nimependa sana wsb kweli munaumoja mungu akupeni maelewano umoja ni nguvu utengano ni uzaivu🎂🍰❤
@ashaally6993
@ashaally6993 6 жыл бұрын
Duh!machozi yamenitoka na nimefurahi sana kuonyesha kumjali jamaa hata yeye kafurahi ni binaadamu pia anahitaji sio kila siku aone kwa wenzake 😍👏
@princessjully8665
@princessjully8665 6 жыл бұрын
Dat was awesome other musician must follow this steps, living lk bros big up wasafis.
@bidiiyako6803
@bidiiyako6803 6 жыл бұрын
Wow That's great! Happy Birthday Baunsa! Hongera sana kwa WCB
@janethgatoni5981
@janethgatoni5981 6 жыл бұрын
Happy birthday Pia umushukuru mungu kwa kukupa boss wakujuwa samahani ya binadamu. Big up team mondi
@nasiekutarishi3292
@nasiekutarishi3292 6 жыл бұрын
Duuuh am in love with this guy, sijui nitafanyaje ni mpate 😍😍😍
@ziporakaulimbo3690
@ziporakaulimbo3690 6 жыл бұрын
Wasaf mungu awape maisha marefu... Nimependa mwarabu alivyomwangiwa maji yn boonge la burudani
@lucysamba6458
@lucysamba6458 6 жыл бұрын
Woooow nmependa sana Wcb wasafi kando na musiq mwapendana hadi raha
@carolshiru4374
@carolshiru4374 6 жыл бұрын
Mwarabu leo amedance na kucheka maajabu happy birthday
@sharyferaboubakar9882
@sharyferaboubakar9882 6 жыл бұрын
baunsa hajui kucheza hamo akinyanyua mkono nayy ananyanyua😀😀😀😀
@shamilamct5442
@shamilamct5442 6 жыл бұрын
Maskini bouncer mpole sura yake na uwongeaje ndio asili ya uwarab walivo 😃😀 Leo ni furaha yake surprise happy birthday 🎂 kapendeza na wcb watu wazuri hawana ubaguzina ndio vizuri na mtapendwa zaidi na watu wote ✌big job 👏👏💜
@allyfaki9883
@allyfaki9883 6 жыл бұрын
mh
@gonggongo2140
@gonggongo2140 6 жыл бұрын
ww vp waarabu ni wapole watu wanaroho za kutu unawaita wapole
@shamilamct5442
@shamilamct5442 6 жыл бұрын
godfrey Raynaldo kama warabu wanaroho mbaya za kutu kwanini diamond akamchaguwa? 😁 it's meaning yuko ok na diamond na wcb na pia kwa watu wote ndio mana pia diamond amertaha nae!mashalla. Kwa hiyo mambo ya ubaguzi yalipitwa na time zake hakuna faida kuwa haters!sote namna moja lazima tupendane especially mko Tanzania pamoja na hata nchi zingine lazima tuwe na umoja.
@gonggongo2140
@gonggongo2140 6 жыл бұрын
ww kwan uyo ni mwarabu au ni jina tu duh una hatar
@shamilamct5442
@shamilamct5442 6 жыл бұрын
godfrey Raynaldo I'm not sure huyo ni mwarabu lakini watu wengi ktk comments wanasema ni mwarabu!sasa na mie mambo ya kusemana kama ulivotaja mwanzo sio vizuri wote tuko sawa.ok brother wote inshallah tuwe kitu pamoja.
@SamirBSam
@SamirBSam 2 жыл бұрын
Harmonize is the king, golden heart Tembo, jeshi, Teacher. bakhresa
@mwanahalimamwachili9679
@mwanahalimamwachili9679 6 жыл бұрын
Duuh kacheka mwarabu mi pia nimemuona,Happy Birthday mwarab Live long and health. Serious daily yani yuko chonjo daily.
@muyasalo4880
@muyasalo4880 6 жыл бұрын
Nawapenda WCB ,,hongera mwarabu kwakutimiza miaka39
@halimahomari4574
@halimahomari4574 6 жыл бұрын
Hadi raha kwa upendo mlionao, Allah awazidishie upendo wenu na mafanikio
@jamilachila6496
@jamilachila6496 6 жыл бұрын
Hahahha! mwarabu fighter jamaniiii anavochezaaaa.... nimewapenda bureeeee
@allyhassan3580
@allyhassan3580 6 жыл бұрын
Jamila Chila hhhh hatar sana
@akimmbwego797
@akimmbwego797 6 жыл бұрын
life goes on.........very nice
@allyfarajikimbilimbi6773
@allyfarajikimbilimbi6773 6 жыл бұрын
Happy bday Mwarabu fighter....
@christinebrazon2671
@christinebrazon2671 6 жыл бұрын
Wow nyz surprise i lyk that hbd big man
@chekaunenepe6286
@chekaunenepe6286 6 жыл бұрын
Hii shoo imenipoza sana nimepoteza vitu vyangu vya Mhimu san pamoja na cm yangu
@khadijaaboubakary6414
@khadijaaboubakary6414 6 жыл бұрын
Huko kucheza miye hoiii happy born day mwarabu
@alujessy210
@alujessy210 6 жыл бұрын
wow thats was so fantastic kumbe fighter hucheka😂😂😂
@esthermatinde5748
@esthermatinde5748 6 жыл бұрын
Huyu kaka mstaarabu sana,,Yan Mwarabu mtu mmja safi sana
@farajamwasakyeni3247
@farajamwasakyeni3247 6 жыл бұрын
Mambo Ni 🔥 🔥 🔥 2018 Hadi Mwarabu Fighter kucheza
@saumuhassan1365
@saumuhassan1365 6 жыл бұрын
Kwa mara ya kwanza leo namuona anacheka😂😂😂, duh! ni sheeeeeeeeedah!
@lashalashira3003
@lashalashira3003 6 жыл бұрын
Wow ilikuwa nzuri sana
@selinakirui9488
@selinakirui9488 6 жыл бұрын
So nice...happy birthday
@zachariamishai7258
@zachariamishai7258 6 жыл бұрын
😂😂 Leo kacheza na kutabasam!? duuuuh!!😁🙌
@tuffahhappiness3357
@tuffahhappiness3357 6 жыл бұрын
Zacharia Mishai ha ha ha 😂 😂😂 Happy birthday Mwarabu Fighter
@saramanase9054
@saramanase9054 6 жыл бұрын
Zacharia Mishai
@hassanovajunior6972
@hassanovajunior6972 6 жыл бұрын
Zacharia Mishai 😂😂😂😂
@chicharitoronaldo5950
@chicharitoronaldo5950 6 жыл бұрын
Hii ndio WCB mpaka bouncer mwarabu fighter ni maarufu...Yani ifike pahali wanamuziki mujifunze kupitia hawa vijana kuwaekea chuki zisizokua na msingi ni kuwaneemesha zaidi.
@laurenciamushi8727
@laurenciamushi8727 6 жыл бұрын
duuh! kumbe kununa n cfa za mabaunsa atmae leo umecheka hbd to u
@wif-face388
@wif-face388 6 жыл бұрын
Nani kaipenda kama mimi jamani umoja ninguvu
@ashurajuma8277
@ashurajuma8277 6 жыл бұрын
Dogo asirei
@pauljuma4735
@pauljuma4735 6 жыл бұрын
wcb wanapendana sana hongereni sana wajomba
@chimwanajayne2700
@chimwanajayne2700 6 жыл бұрын
Aw, so emotional 😙
@rabanmkoma948
@rabanmkoma948 6 жыл бұрын
Hongereni San wcb kwa umoja mlionao
@graphixmaster6146
@graphixmaster6146 6 жыл бұрын
Nnachowapendea WCB kila aliyepo pale anathaminiwa, boss anacheka na madensa ,baunsa,cameraman kama washkaji
@zaitunidaudi1640
@zaitunidaudi1640 6 жыл бұрын
This is what we call time work. Nzuri sana
@joasaman2610
@joasaman2610 6 жыл бұрын
hapy born day mwarabuuu
@faridabakari8511
@faridabakari8511 6 жыл бұрын
mashallah ...h.b.d..bounsr 😚😚😍😍😍 1❤
@silahnoah8653
@silahnoah8653 6 жыл бұрын
big up canaa wcb mnaupendo mzuri canaa
@rehemashafi4809
@rehemashafi4809 6 жыл бұрын
Happy birthday mwarabu
@alvinmalle9624
@alvinmalle9624 6 жыл бұрын
Aaah sema fanya ujue ata kucheza kimtindo mzee baba
@nivardbarack4643
@nivardbarack4643 6 жыл бұрын
Dah!!!!! ataree kwel
@zahoorzozo2241
@zahoorzozo2241 6 жыл бұрын
Sehemu yyte yenye amani na upendo mafanikio huja Wcb wanaishi kwa upendo sana
@ediimutadavi2771
@ediimutadavi2771 6 жыл бұрын
Zahoor Zozo
@alexandrinadomaino9868
@alexandrinadomaino9868 6 жыл бұрын
Happy birthday bouncer
@sumuyaodawayao8866
@sumuyaodawayao8866 6 жыл бұрын
Jamani Leo mwarab kacheka nimeipenda hio
@martinrahj8526
@martinrahj8526 6 жыл бұрын
hahah. kali sana Hermo mapenzii..
@vivadanie3684
@vivadanie3684 6 жыл бұрын
nyc, i lyk it
@ambrosejulius1063
@ambrosejulius1063 6 жыл бұрын
hawa jamaa wanaishi fresh kishenzi yani kama ndugu
@benithokihwelo6350
@benithokihwelo6350 6 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/hIGqdaCig7V4r6c
@baksarybrown275
@baksarybrown275 6 жыл бұрын
safi sana hbd mwarabu
@duwariyuchoclet4016
@duwariyuchoclet4016 6 жыл бұрын
big up wcb crew
@megdolls2811
@megdolls2811 6 жыл бұрын
Happy Birthday Mwarabu fighter
@salamia__mwangu599
@salamia__mwangu599 6 жыл бұрын
hivo ndivo inatakiwa👍👍
@Aidenkuye
@Aidenkuye 6 жыл бұрын
Dah, Mara ya kwanza kumwona Mwarabu Fighter kutabasam😂
@mariamkimwaga943
@mariamkimwaga943 6 жыл бұрын
😂😂😂 khaa uyu Kaka achekagi Leo kwa Mara ya kwanza
@annamapesa31
@annamapesa31 6 жыл бұрын
Jamani hadi raha kumbe na yy uwa anacheka hbd kwako penda saana WCB
@rexxoneymrima9022
@rexxoneymrima9022 6 жыл бұрын
vituko vya janet
@samirasuleiman5880
@samirasuleiman5880 6 жыл бұрын
nimeipenda hatar kweli haw wanaishi kam ndug
@francischiko3752
@francischiko3752 6 жыл бұрын
nzuri iyo harmo
@gracesangaboloko5414
@gracesangaboloko5414 6 жыл бұрын
Nimeipenda bure hakika Upendo haubagui
@ithurttolovesomeone
@ithurttolovesomeone 6 жыл бұрын
Nime gundua kitu kimoja wcb mbali na mziki wana ishi kwa upendo bila kujali hali zao
@yunusifussy7289
@yunusifussy7289 6 жыл бұрын
Daaaa wanajua sanaaa
@ruqaiyahali8055
@ruqaiyahali8055 6 жыл бұрын
Raha sna WCB mnaupendo snaaa
@therealomisa_facts1027
@therealomisa_facts1027 6 жыл бұрын
Dah! hii video imenitoa machozi kwa kweli
@rosepiere1857
@rosepiere1857 6 жыл бұрын
Omisa kulu hata mimi
@richardnzwii2915
@richardnzwii2915 6 жыл бұрын
majuto
@khadijaarkam5701
@khadijaarkam5701 6 жыл бұрын
#baunsa namziki wapi kwa wapi
@zainabualtz1455
@zainabualtz1455 6 жыл бұрын
Raja jomani kupenda happy birthday mwarabu
@tiffahtiffah7881
@tiffahtiffah7881 6 жыл бұрын
raha sana wcb 😘😘😘😘
@abellaurent9408
@abellaurent9408 6 жыл бұрын
Mm ninge pigana jukwaani
@chybuvanally9849
@chybuvanally9849 6 жыл бұрын
nakubali chama lang
@kamatiabwuoy6039
@kamatiabwuoy6039 6 жыл бұрын
Kwanza nadai hundred likes hapa
@AzaAlhabsi
@AzaAlhabsi 6 жыл бұрын
Kacheka maskn😂.hbd to him.ila harmonize kachngamka Safi
@khloealfan7924
@khloealfan7924 6 жыл бұрын
leo ndo nimeona meno yke na sauti nimesikia😃😃😃😃😃😃😃hbd
@freldmgazwa.2775
@freldmgazwa.2775 6 жыл бұрын
Good Sana
@khadijaarkam5701
@khadijaarkam5701 6 жыл бұрын
Duuuh kumbe ana ingea na ana meno yaketu marefu 😃😃😃😃
@mrebemwakatika9608
@mrebemwakatika9608 5 жыл бұрын
Mmetish kinoum
@zainabualtz1455
@zainabualtz1455 6 жыл бұрын
Dai Mungu Akupe Maisha malefu kwaupendo wako
@zhoorali8000
@zhoorali8000 6 жыл бұрын
Happy mwarabu
@fauzirai6638
@fauzirai6638 6 жыл бұрын
Mashaallah
@shaabanramadhan6770
@shaabanramadhan6770 6 жыл бұрын
ndo kwa mara yakwanza kumuon hyukiumbe kuchek tang alivyo cheka mwaka 1975 mpk leo ndo katabasam ck yake yakuzaliwa🤣🤣🤣
@abdullahadullaj3848
@abdullahadullaj3848 6 жыл бұрын
Shaaban Ramadhan 😁😁😁😁😁😁😁umetisha
@salmaabuubakar1154
@salmaabuubakar1154 6 жыл бұрын
Bwana kucheza anajuwa WCB muekeni dancer huyo bwanaaa 😁
@christianluvanga2673
@christianluvanga2673 6 жыл бұрын
dhambi kaka wa watu hata kucheza hawezi, wamemuonea bure Mwarabu
@kibukilacelestin876
@kibukilacelestin876 6 жыл бұрын
KIBUKILA CELESTIN KIBSON THE HERO.
@zamzamhamisi7332
@zamzamhamisi7332 6 жыл бұрын
HAPPY birth day
@ummulkheirzubeir6320
@ummulkheirzubeir6320 6 жыл бұрын
Happy birthday
@ikalyango
@ikalyango 6 жыл бұрын
What’s the name of the song???
@planetearth361
@planetearth361 6 жыл бұрын
Isaac Kalyango Happy birthday by harmonize
@munfatchichi2874
@munfatchichi2874 5 жыл бұрын
Kweli wcb wanamaelewano hebu juulizen mfanyakaz kuingizwa jukuani
@karimsolyambingu6335
@karimsolyambingu6335 6 жыл бұрын
Bado mnawachezea tu hao Mabaunsa??! Juzi yule wa Uganda katutoa Machozi.
@sixbertdagharo5614
@sixbertdagharo5614 6 жыл бұрын
haji soly hahahahah
@BigZhumbe
@BigZhumbe 6 жыл бұрын
haji soly yule alikua kazini Radio angekua na personal bouncer asingeguswa
@TheKashmill
@TheKashmill 6 жыл бұрын
Hawa ni wa Tz hawana roho hizo
@joycemashikolo9096
@joycemashikolo9096 6 жыл бұрын
Hashim Sadallah Asante sana kwa jibu zuri
@saumuhassan1365
@saumuhassan1365 6 жыл бұрын
haji soly 😂😂😂😂
@josephmagesa3659
@josephmagesa3659 6 жыл бұрын
mnaupendo
@bilewaneesembe2196
@bilewaneesembe2196 6 жыл бұрын
Milard ayo tunakupata bade za mineapolis Minnesota in United States of American tuna kusaport sana uku USA man
@jackkangero6418
@jackkangero6418 6 жыл бұрын
hbd mwarab
@thomasmlowe6306
@thomasmlowe6306 6 жыл бұрын
Saf sanaaa mwarab.
@priscamaina4703
@priscamaina4703 6 жыл бұрын
Lovely
@Harunery
@Harunery 6 жыл бұрын
Jamaa hanyurumbuki hahaha,gumuuuu
@hassanovajunior6972
@hassanovajunior6972 6 жыл бұрын
Mwarabu fighter😂😂😂😂👊👊
@ashabaybeashabaybe49
@ashabaybeashabaybe49 6 жыл бұрын
Hbd bouncer 🎂🎂🍾
@djumaradjabu7591
@djumaradjabu7591 6 жыл бұрын
Asha Baybe Asha Baybe
@annitanasri6930
@annitanasri6930 6 жыл бұрын
Atleast amecheka harmonize mchawi huyo .😂😂😂😂😂
@estridamwanyambwa8082
@estridamwanyambwa8082 6 жыл бұрын
Unammwagia baunsa maji anakufanya kama Radio tehtehteh
@annamapesa31
@annamapesa31 6 жыл бұрын
estrida mwanyambwa hayo ni kwenu huko WCB Amani
@salmaabuubakar1154
@salmaabuubakar1154 6 жыл бұрын
Heeeee kumbe anacheka huyu eeeeeeeh acha na mm nicheke 😁😁
@bashiriathuman8826
@bashiriathuman8826 6 жыл бұрын
nisafi sana wcb
@petersonpartyvevo5262
@petersonpartyvevo5262 6 жыл бұрын
nakubali
@jamesmasanya1153
@jamesmasanya1153 6 жыл бұрын
Umoja mlio não wasafii ndo mapenzi yanguuu yalipo lala
小蚂蚁会选到什么呢!#火影忍者 #佐助 #家庭
00:47
火影忍者一家
Рет қаралды 105 МЛН
Миллионер | 2 - серия
16:04
Million Show
Рет қаралды 1,3 МЛН
🕊️Valera🕊️
00:34
DO$HIK
Рет қаралды 6 МЛН
小路飞嫁祸姐姐搞破坏 #路飞#海贼王
00:45
路飞与唐舞桐
Рет қаралды 29 МЛН
Life of Mbosso (Historia ya Maisha ya Mbosso)
14:28
Mbosso
Рет қаралды 4,3 МЛН
Staili ya kucheza zilipendwa ya wcb yawa gumzo kwa wakenya
4:32
Dizzim Online
Рет қаралды 447 М.
MASAI APAGAWA NA YANGA | NG'OMBE WANGU NAWAPA YANGA
14:25
MATOLE TV
Рет қаралды 23 М.
小蚂蚁会选到什么呢!#火影忍者 #佐助 #家庭
00:47
火影忍者一家
Рет қаралды 105 МЛН