Daah kw hakika baada y dhki n faraja maalm umepigania sana kwakwel kubwa tnaomb duwa mwenyez mungu akupe afya n akuongoz ktk her , kwn mungu ana mpa ufalme amtakae na anamshusha amtakae kama isemavyo kur an
@maulidali90034 жыл бұрын
Mungu akupe maisha marefuu mzee kwa kuongea ukweli
@abasamwame65834 жыл бұрын
Ahmed rajabu umenena vizuri sana wapumbavu hawatakuelewa
@alimakame92154 жыл бұрын
Maalim selfu oyeeeeeee
@yusuphhabibu14744 жыл бұрын
Imaana hao wazanzibar wengine hawataki Zanzibar yenye mamlaka kamili?
@tawfiqissa61234 жыл бұрын
Oyeeeeeeeeeeeeeeeeee
@snsonlinetv84324 жыл бұрын
@@yusuphhabibu1474 ndio walokua hawajielewi hawaitaki
@mamymamy79384 жыл бұрын
Oyeee
@sharimstore3 жыл бұрын
hongerani BBC
@ibrahimdabo71634 жыл бұрын
Dada asante wewe ni mzalendo wa kweli unonekana ni mzanzibar unateteya zanzibar safi
@abdulbogoyo12434 жыл бұрын
Tusimsapoti mtu kuwa anawatetea nani bali tukubali kama ni ukweli, au tukatae kama ni uongo yote yanajulikana dhahiri kutokana na uhalisia wa jambo husika.
@abdulbogoyo12434 жыл бұрын
Tusimsapoti mtu kuwa anawatetea nani bali tukubali kama ni ukweli, au tukatae kama ni uongo yote yanajulikana dhahiri kutokana na uhalisia wa jambo husika.
@alimakame92154 жыл бұрын
Ahmed nakupa %100.unajuwa kaziyako yahabar
@aliymaulid89414 жыл бұрын
Ahmed Rajab umechambua vizur
@hassanmohammed95634 жыл бұрын
Zulma haidumu In Sha Allah, mwaka huu kutakua na mabadiliko Allah Akbar.
@tawfiqissa61234 жыл бұрын
Kabisaaa
@moosala57024 жыл бұрын
Amiin Yarabbi takabbal dua
@فلمدرالحياهحلوه4 жыл бұрын
@@tawfiqissa6123 0
@farhiyathani48104 жыл бұрын
Aaamina Yaa Allah
@faridaali68504 жыл бұрын
Amiin YARRAB
@ibrahimkarama36584 жыл бұрын
Maalim anataka haki kwa wazanzibar tu
@fdhjffdhjfsjdjfjfi94774 жыл бұрын
Nikweli kbs
@tawfiqissa61234 жыл бұрын
Kabisaaa
@moosala57024 жыл бұрын
Hakika
@suleiman_0024 жыл бұрын
💯💯 kabisa
@saheedali74674 жыл бұрын
Anataka haki kwa wazanzibari pamoja na mama yako kama yuhai
@fernandocandido85814 жыл бұрын
Ahsante sana BBC kwa kutuletea habari za uchaguzi wetu wa tz
@ahmadsayyeed79104 жыл бұрын
Yaani huyu mzee dah anaongea point tena tunazilalamikia zote ZEC na NEC
@mozakhamis72534 жыл бұрын
Asante Ahmed
@gangmore90914 жыл бұрын
Tunataka mamlaka kamili zanzibar tunataka Mashekhe wetu na ccm wao hawataki zanzibar iwenamamlaka kamili kuwakabizi tanganyika ili walindwe na tanganyika ndio mana uchaguzi unamikiki tasisi zote wanamiki ccm tume n vingine vote
@issaali82774 жыл бұрын
Zuhura Yunus unakosea huyo mzee hupaswi kumuita Ahmed kwani naamini anafanana na Baba yako km sio Babu yako kbs. Mpe heshima kdg.
@juliethhouseofdesigns1474 жыл бұрын
Dada Zuhura kabla ujawa unaichafua nchi yako ningependa uwe unasema maisha halisi ya Watu wa uingereza Anza na ukusanywaji wa kodi Mishahara ikoje na mpaka mwisho wa mwezi unafika mtu anaishije Unajua nchi zilizoendelea wanatangazaga Habari njema maisha mazuri kwa sababu ya political interest ila wewe ndani ya nafsi yako ninajua unaona jinsi ya Watu wa huko wanavyoteseka ndio maana kuna rate kubwa ya msongo wa mawazo, vichaa, kwasababu life ni gumu iyo wenzetu, watu wanapita wanaongea wenyewe kisa stress Upweke huna ata mtu wa kumwambia ujambo Waafrika wanaosukumwaga kwenye njia za train wanagongwa wanakufa hamtangazagi mnanyamaza utadhani izo habari uwa hamzioni , kwenye vyombo vya habari amuonueshagi watu wasionamakazi Na winter ile wanaolala nje iyo hawasemi ila ikija kwa africa tutatangaza mpaka kuku alivyokula mayai yake, mafuriko uwa hamsemi, au mtajitia kimbunga mnakipa mpaka na majina mazuri, Umeme ukikatika hamsemi Izo zinakuwaga sio news za nchi zilizoendelea , na hata waafrica waliofika kwenye nchi zilizoendelea wengi awataki kusema maisha yalivyomagumu wanaishia kuwaonyesha maisha mazuri tu, ambayo hawana Kuwatamanisha nyumbani waone kwetu hakufai kumbe uongo apo sijaongelea ubaguaji ili mradi wewe ni mweusi kwa mtu mweupe ata ujipendekeze vipi wewe si kitu atakutumia akishafanikiwa chake atakucheka na kukuita mpumbavu hivyo usifurahie kuwafurahisha ao watu ndugu yangu, Si uwawekee taarifa ambayo inarushaga na lock media za uko kuonyesha jinsi mababu na ma bibi zao walivyojitoa wakapigika ili kujenga uchumi wao Alafu uone kama kuna Mtanzania/mwafrica atalalamika Au kukejeli nchi yake. Waonyeshe jinsi watoto wadogo wanavyofundishwa uzalendo wa kulipa nauli Kulipa akiingia dukani Usafi wa mazingira uone kama na nyumbani hawatafanya?
@abdulhalim59504 жыл бұрын
Uko vizuri boss ila vip ushawaifikiri kua uislam unachafuliwa na haohao ,,
@pandungozi10724 жыл бұрын
Zuhura nakukubali safi kabisaa👍
@mozakhamis72534 жыл бұрын
Ni kweli na watu kuuliwa watu na mateso makubwa zuhura tunaomba uslisahau
@abdulihafidhali53794 жыл бұрын
Maalim seif ni chaguo la wazanzibar ndie raisi wetu tunaempenda sana
@mbarakaiddi82094 жыл бұрын
Ahmed rajabu umesema kweli kabisa
@omarycheyo40664 жыл бұрын
Tatizo sio wa Zanzibar,tatizo ni mamluki ccm wamefanikiwa kuwatoa wa Znz wazalendo kwa lengo la kuitawala Znz hill ndio tatizo,na ilikuwa mipango ya nyerere na wao wanaiendeleza,leo wa znz tunawaburuza kwa sababu tunawatawala,ndio maana mznz anakuja kufungwa bara lakini sio mtanganyika aende kufungwa visiwani ni udikteta
@mohdmbarouk84654 жыл бұрын
Unaongea sahihi Ahmed hilo ndio ttzo kubwa maana uchaguzi huuu ndio utakuwa mbovu Zaid kulikon yoote
@nasraally6904 жыл бұрын
Nmerud kuitafuta comment
@johnbosicokayombo15804 жыл бұрын
Ccm wauwaji Sana duniamuelewe
@binammwanafa20334 жыл бұрын
Naiyambia dunia ielewe kua CCM wabaguzi kwa raiya wao mimi nimekoseshwa kitambulisho cha uzanzibar katik shehiya yangu kwakua baba yng mpinzani mkubwa w CCM, si hilo tu jirani yangu ni balozi w sheha amemkatalia mumewe kata kata kwa kusema hamjui katika kujiandikixha eti kisa mumewe chama pinzani. Allah naapa kwa Allah mtu huyo kapooza mpaka kafa tena huku akizalilika akikaa uchi mpele za watu. leo ZANZIBAR inatetewa wazanzibar wengine ndio kwanza wana ikandamiza kwa kushirikiyananao CCM
@nassorali55114 жыл бұрын
Umesema kweli
@binammwanafa20334 жыл бұрын
CCM ni chama cha wa chache wenye kupata maslah hususan hapa kwetu ZANZIBAR, Hakifai kuongoza raiya manaa maana kinawatesa raiya wake kwa siri na zahiri tunapigwa marungu tunanyanyaswa kulazwa mapema, na ajira hamuna kwa wazanzibar wanapewa watwana kazi xixi hatupewi kazi.
@abdullmohdy52784 жыл бұрын
yaaani ni sahihi kila anaetete ccm znz jua ndgu yake yuko kwwnye maslah ,ila wengi wa wznz wana maumivu na hiki chama kimefanya mauaji ya waislam tokea mwaka 1964 mpka leo hakijakoma sabab ya kutumia udhaif wa hawa walowapa nafas kupata kujaz amtumbo yao na kuua wengine
@kanaanrajab35064 жыл бұрын
ZANZIBAR TUNATAKA NCHI ,TAIFA LETU
@churiabdallah87784 жыл бұрын
0746471956_niunge group LA Znz
@andrewgenda36984 жыл бұрын
Mnajiweza ata mifugo na mashamba Amna unaropoka tu
@andrewgenda36984 жыл бұрын
@@churiabdallah8778 apo amjakabidhiwa nchi mnabaguana mkipewa je si mtauana
@ahmedmahrez47184 жыл бұрын
@@andrewgenda3698 ttz vichogo wana mashaka ndo mana twawabagua la 2 hawaujui utu kwanza mzanzibar halis anakua na imani moyoni mwake tofa uti na wabara
@aleyabra80054 жыл бұрын
Na kuna jamb mm lina ntatza jaman n nimekua nkiwaskia ccm wakpanda majukwaan na kusema nen mapindz daima sasa najiulz iwap nafas y demcras
@jumakassim87184 жыл бұрын
Wanajua wanaiba kila election ikibidi kutumia nguvu ya dola ili wabaki mamlakani
@mzeejombi80474 жыл бұрын
@@jumakassim8718 dah
@davidnicholaus53044 жыл бұрын
Zanzibar wanataka nchi yao
@tawfiqissa61234 жыл бұрын
Na cjengine
@andrewgenda36984 жыл бұрын
@@tawfiqissa6123 mnajiweza chakula mtatoa wap umeme au unalopoka tu au unataka muwe watumwa na ombaomba wa waarabu
@abdulhalim59504 жыл бұрын
@@andrewgenda3698 soma history boss
@andrewgenda36984 жыл бұрын
@@abdulhalim5950 una historia gani ww
@abdulhalim59504 жыл бұрын
@@andrewgenda3698 ww sijui ni dada au mkaka ila ni ivi kma unataka kusoma hem ingia Google au nenda library kasome vitabu vinavyozungumzia zanzibar ila kma unataka ushabiki boss wangu ,tusubir mechi ya simba na yanga
@mozakhamis72534 жыл бұрын
Mungu asiwape nguvu Ccm tayari wameshauwa wengu na watu kwa mamiya wamondani na hali
@hajihussein70574 жыл бұрын
Malim lazima achukuwe
@geofreymollel69734 жыл бұрын
Kweli tume itup ufafanuz wa mgombea kupita bila kupingwa maan apo kun walakin
@dullagolo29504 жыл бұрын
umesema kweli mzee ahmed
@abdulbogoyo12434 жыл бұрын
Mh: Ahmed Rajabu umeongea kweli katika uchambuzi wako.
@muhammedsalim80774 жыл бұрын
Safi sana wana habari
@bishirashaka15564 жыл бұрын
Serikali awamu ya tank tumeichokaaaa wanadhuluma
@juwairaaliy83184 жыл бұрын
Zanzibar hapana uchaguzi pana uchafuzi tu tumechokaaa
@ammarnassor45734 жыл бұрын
Anashinda maalim wanajitangaza wao marazote🤲🤲🤲
@ahmadsayyeed79104 жыл бұрын
Mpaka Qiyama tutahakikisha In Shaa Allah Maalim Seif Shareef ataingia ikulu
@matukiotvonline63664 жыл бұрын
2020 ndio mwisho wao
@fanikiojacob77304 жыл бұрын
Anahamasisha watu kwa kuibua maumivu ya watanzania kwanini asiongelee maswla ya uko western country
Dada kila anaekutukana wewe ni mjinga tu,maon yngu Zanzibar hatumjui husein mwinyi cye atuwache tu
@saidal-hind53384 жыл бұрын
Kweli maalimu utapata tu
@husseinparco96404 жыл бұрын
Tunaomba huu mfumo wavyama vingi uwondoke ukweli tumechoka nao, Ccm kila siku tu hakuna mabadiliko Zanzibar, Tumechokaaa
@hashimhashin64324 жыл бұрын
Kwa ufupi magufuli dikteta na mipango yke ya mtoto wa mwinyi kushinda hussein .. hakukua na uchanguzi nzanzibar na tanzania nzima .. serikali ya magufuli inagandamiza demokrasia na wapinzani magufuli dikteta mkubwa ata ivyo .. wamemdhulumu maalim seif miaka mingi sna bila kujali na nisababu y msimamo wake wa haki
@linkreuben58044 жыл бұрын
Bbc hanbari zenu kuhusu Tanzania hatuzimini tena, mnatumika na mabeberu. Mlaaniwe katika Jina la Yesu. Ameni
@abdullmohdy52784 жыл бұрын
tulia ww habari za znz zinakuhus nin wew znz sio Tanzania eti
@abdullmohdy52784 жыл бұрын
sis wenyew znz tuna msimamo huo huo wa ahmed rajab ww yanayokuhus ni ya Tanzania bara ya huku unayajuaje nyoka ww,heko BBC yaan ukiona unachkia BBC jua unalako
@linkreuben58044 жыл бұрын
@@abdullmohdy5278 kaa kushoto pepo mchafu wewe. Haujui hata maana ya Tanzania! Nakukemea kwa Jina la Yesu Kristo wa Nazareth, akae kimya!
@linkreuben58044 жыл бұрын
@@abdullmohdy5278 pepo mchafu wewe Hata shule haujaenda!
@abdullmohdy52784 жыл бұрын
@@linkreuben5804 usinikemee kwa jina la yesu pekee hata la mamayako mzaz linafaa pia
@queenmwasanguti23704 жыл бұрын
Uchaguzi wa ulaya,hauna dosari🤣🤣
@juliethhouseofdesigns1474 жыл бұрын
Ziko dosari kibao sema tu wanavumilia life ulaya gumu Ukiona mtu mweupe amehamia africa, ni kwamba wamechoka ila wengi wanaogopa pakuazia Maisha ulaya sio ni stress kuanzia january to December watu wanajiua kisa stress ,stress zikizidi mtu anaingia kwenye madawa na pombe maana pombe kule ni bei raisi kuliko maji ya kunywa. Kuna watu weupe wanaomba wawe adapted africa nchi kama Ghana, siera Leon wameishapokea watu walitoka huko kuwa adopted africa mtu anaona akalime shamba ila hakuna strees anawatu wakuongea nao kuliko izi luxury zinazotangazwa huku ila zinakutoa utumbo Ata Tz inemuona kijana mmoja wakizungu alipopata msongo wa mawazo alikuja kwenye familia yake ya Tz baba yake na mama yake wa Tz na marafiki wakamsaidia akapona stress alikuwa anaelezea youtube Na kila kukicha serikali zinafanya maisha ya raia iwe gumu zaidi ya zamani Wenye akili wanasema maisha ulaya au nchi zilizoendelea ilikuwa nimaiaka 30 iliyopita sasa hivi hakuna kitu. Waza unataka kujenga nyumba au kupanua nyumba ila kabla yakufanya hivyo utaenda ofisi ya serikali wao watatuma barua kwa majirani zako kuwataarifu juu ya ujenzi ikotokea wawili wamesema usijenge ujengi ata kama hela yako.anaweza akasema akijenga ataziba jua alitafika kwetu unakataliwa wanakuambia wanatadhimini Unataka kufanya baishara Leo unapesa wanakuambia tiambie unawateja wangapi kama hauna mteja itabidi usubiri mwakani Mfano unafanya mambo ya maonyesho utaambiwa kumeishashikiliwa mpaka mwakani yaani wanafanya kila kitu kigumu kwani wanataka uingie kwenye tafuta kazi ulipwe mshaara elfu 4000 apo ni masaa 8 kwa siku tano. Iyo hela unalipa kodi Umeme, maji, chakula, bima ya gari, bima ya afya Ukiumwa dawa, mpaka mwisho wa mwezi mwingine una kitu ndio maana wenzetu wanaendaga na bajeti usione wanakuha rikizo wanaseve ata miaka 3 mpaka4 Kuweza kufanya rikizo. Haya hawawezi kusema maana wanalinda ugali ila ukweli wanatukosea heshima waafrica
@zuheraaziz93434 жыл бұрын
@@juliethhouseofdesigns147 hakuna ata moja na izo kampen zinafanywa ktk tv hakuna zogo
@salehsuleiman12184 жыл бұрын
Mzee umefafanua vzr kbs
@AA-pd4pz4 жыл бұрын
Bbc hakuna hata siku moja mukaongea positief. Nyote watumwa wa mabeberu ..CCM OYEE...kwani marekani ndio kina nani .tatizo cuf wanashindwa sababu ni wabaguzi tena wabaguzi sana na roho mbaya kama mayahudi
@besthonney32324 жыл бұрын
Chaguzi zote hata ulaya pia
@martinboboka28694 жыл бұрын
Uchaguzi una mikiki kwa sababu tume ya uchaguzi ni tume ya ccm.
@amademaufuso75944 жыл бұрын
Kiukweli zanzibar tumeichoka ccm na wanatuibia na kutuonea kweli
@andrewgenda36984 жыл бұрын
Fafanua mnaibiwa nn na tanganyika
@ahmedmahrez47184 жыл бұрын
@@andrewgenda3698 karafuu yako mwenyeo ukisafirisha wambiwa ni bagendo tn na mageti waeka na mabunduki
@amademaufuso75944 жыл бұрын
@@andrewgenda3698 inatuibia kura miaka yote viongoz wa ccm wa zanzbr wanapokea amri kutoka Tanganyika
@velejilyonatalis17874 жыл бұрын
Zuhura Yunusi fanya kazi Bbc usistafu baki huko huko Uk wewe ni adui wa Nchi yetu Tz
@umojawawatanzania38134 жыл бұрын
Ni adui wa Taifa, kibaraka wa wazungu.
@kanaanrajab35064 жыл бұрын
A,aleikum tatizo kuu utawala wa Zanznbar ipo mikononi mwa makatili wa Tanzanian so ndo mara inafigisi nyinyi but one day insha Allah tutapa taifa,nchi, yetu as ZANZIBAR
@andrewgenda36984 жыл бұрын
Mnajiweza mkipewa nchi
@abdulhalim59504 жыл бұрын
@@andrewgenda3698 fatilia historiya jibu lako utalipata ww ata hushangai zanzibar hatuko huru lkn Tanzania nzima watu wenye maisha mazur,na wanaokula uzur wapo zanzibar,,,sasa jihlize tukipata nchi yetu tutakuwaje
@zakarihaji95074 жыл бұрын
Nimekubal ahmed rajabu
@asaduallah25324 жыл бұрын
Asnte sana mwana habari hodari kwa , pembo bada ya pemba
@shaabankhamis94214 жыл бұрын
nyinyi bbc wanafiki .. hamtoi habar za ukwell
@jonathanakhabuhaya16934 жыл бұрын
Nilikuwa naangalia STAR TV , saa 5 usiku wa 23/11 na walipofika sehemu hii ya uchaguzi Tanzania wakaikata na kuweka muziki.STAR TV acheni woga wa kijinga. . Hamkusikia Jaji Warioba akiasa radio na TV za Tz kusema ukweli? Inabidi twende BBC au Aljazeera au You tube kupata habari za nchi yetu. Aibu kubwa. Bure kabisa!!
@maulidali90034 жыл бұрын
Wanapo zungumzia nchi wame ipinduwa ina maanisha wana taka vita ili na wao wapinduliwe ila kwa kura hawaitowi ni mawazo potofu walio nayo
@umojawawatanzania38134 жыл бұрын
Kibaraka wa BBC.
@zaidybakar68654 жыл бұрын
Wa2achie Zanzibar ye2 bas mbona ss ha2waingilii na tanganyika yao
@SaidSalum-hf1vo4 жыл бұрын
Tatizo ya zanzbr wamewekwa kwajili ya kuitetea ccm
@sirjohguy55114 жыл бұрын
Yunus anakosa gani hapo?
@tawfiqissa61234 жыл бұрын
Ume eleza kisom asaa🙏
@Tiffany2-Jr4 жыл бұрын
Yaani natamani huyu zuhura angezaliwa kwa Kim jong un.. N. Korea.. Ila hata ivyo Kim jong magu ..kajuwa kulinyoosha shirika lenu kama alivyowanyoosha Kenya..na KQ🤸.. (BBC BAN 🇹🇿🤸). Kurusha kwenye vyombo vya habari tz.. Asante Sheria mpya ya habari Tanzania . Mtabakia mitandaoni ambapo waliopo wote waelewa na wasomi.🤪
@hailesalass74954 жыл бұрын
Huyu mzee yuko sahihi nikimuona namfananisha na marehem babu yangu hongera babu AHMED RAJAB
Maalim siif ni mpinzani halisi uyo anafaa kupew nchi uyo mzee mpenda hakiii
@maulidkhamis63764 жыл бұрын
Acha ujinga ww itafute historia yke vizur Umjuwe yy Nina?
@ramadhankhamis14934 жыл бұрын
Au ni kibaraka waarab
@mohamedturanardan88714 жыл бұрын
CCM hamna manusura mwaka huu mnavotaka wapinzani wanataka
@zuheraaziz93434 жыл бұрын
mnaenda kwel au coment tu
@fatmaomar84974 жыл бұрын
Tanzania tuwachieni wenyewe...tushazikomboa tena mnataka nini...Makufuli oyeeeee.. mwinyi oyeeeee...
@yusuphnamale47754 жыл бұрын
Kila uChaguzi anapita awataki kumpa
@jandpelectronics3634 жыл бұрын
WEWE MAMA NI MCHOCHEZI SANA,WATANZANIA TUNAKUCHUKIA SANA MAANA UNAITANGAZA NCHI VIBAYA SANA
@emanuelmwanga44 жыл бұрын
Wew kila kitu kibaya ndiyo wale wale MTU akisema ukweli ni uchochezi shenz
@jannychristopher84924 жыл бұрын
Zuhra wewe ni mnafiki sana, nawewe ni ACT na seif ni Mpwa wako,BBC radio msitumike na nawenye nia mbayana nchi yao , mnatumika na......... , mtakwama tu hao mnaotaka wawape Libya mpya hawataingia hapa ⁹
@fredreckmwakalinga34754 жыл бұрын
Tume hii ya ccm ni shida
@ambagreyson98364 жыл бұрын
Ccm haijawapi pita uchaguzi wowote
@queenmwasanguti23704 жыл бұрын
Nani kapita? Kuna nani,alie wapita waliochaguliwa? Umechoka na Amani wewe,kibaraka wa wazungu
@richardzakaria86694 жыл бұрын
Hawara wa wa wazungu Zuhura Yunus
@abdulqareemseif90504 жыл бұрын
Wacha kumtukana dada yako wewe kisa ukweli
@mrzilla90964 жыл бұрын
Ukweli unaumae ndoshida ya wa tz wengi mkiambiwa ukweli hamtaki mmeshazoea kudanganywa nahao madikteta wenu
@avelynjesse51784 жыл бұрын
Data ni kupatikana tume isiyoegemea upande we wote
@christophermahawi49204 жыл бұрын
Kwani Trump alishina? Ilionekana kumpa H.Clinto watayumba, so Sefu yuko sawa na H.Clinton ndo maana hapewi.
@fatmaali20504 жыл бұрын
Zuhra yunus jecha alikuwa mwenyekiti sasa kagombea urais tiketi ccm hujajua tu
@tawfiqissa61234 жыл бұрын
😂 😂
@binammwanafa20334 жыл бұрын
Hapo ndio utaelew kua ipatikane tume huru xio tume ya chama. ( Nimeelewa comment yako%100👍)
@nasraally6904 жыл бұрын
Acha tu
@mzeejombi80474 жыл бұрын
Dah hatuez kuandamana maana hatujaandamana twauliwa
@morefireministrychurch1774 жыл бұрын
ww ni mnafiki sana
@azizjuma76784 жыл бұрын
Kila kitu kipo wazi kabisa!! Zisiye mtosha akili zake utamfaa ujinga wake
@cadabra74024 жыл бұрын
Tunauliwa tu huku
@amapiaanocityintz64544 жыл бұрын
Pembo😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 jaman umbea wa kulipwa huuu utawauwa bureeeeee
@miltoneobunde58354 жыл бұрын
Ahmed Rajabu , tume hii ni huru na watanzania wanaakili kuliko wewe na wanaamani duniani kote wanajua wewe, Ahmed ulitaka uongozi apewe Nani ambaye wewe unamjua si mtanzania na ha stahili kupewa na nafasi ? Vipi uchambuzi wako umegundua wasomali ndiyo walioteuliwa kushika nyadhifa hizo, Jiatadhimini kabla hujatoa maneno ambao huna undani wake.
@aminamodi89274 жыл бұрын
2005 ITABIDI ZUHRA UGOMBEE MAANA MWISHO WA BABU YAKO UMEFIKA ANAENDA LIMA MWANI SASA
Kiufupi hao wenzetu wanalilia haki ya ushoga ndo maana inakuwaga upinzani wanakuwa na mikiki miki wanajitahidi kufosi alau washinde ili haki yao wanayoitaka ya ushoga waipate hili jambo kwa nchi yetu tanzania halitawezekana kumbuka sisi watanzania tuna mila zetu na tamaduni zetu pia ni wacha mungu sasa kidogo wenzetu hao kisiwani hiyo michezo wanaipenda
@aliymaulid89414 жыл бұрын
History inatueleza kwamba chama cha mapinduzi hakijawahi kushinda
@jumakapilima56744 жыл бұрын
Nani kakudanganya!
@salehsuleiman12184 жыл бұрын
@@jumakapilima5674 Nani kakwambia kama CCM inashinda kihalali
@maryamabdallah96234 жыл бұрын
@@jumakapilima5674 Hatujadanganywa na mtu kila cku mnatumia nguvu tumechoka mumeshadhulumu pakutosha
@jumakapilima56744 жыл бұрын
@@maryamabdallah9623 okt 2020
@jumakapilima56744 жыл бұрын
@@maryamabdallah9623 mwaka huu tunamstaafisha siasa maalim!!
@hassanshunda31594 жыл бұрын
We malaya
@pettermasika91204 жыл бұрын
TAVUTA MANENO MAZURI YA KUZIDI YAKE OMBA RADHI,
@salehsuleiman12184 жыл бұрын
Mpigania haki hawezi kukata tamaa yupo peke yake miaka yoote kwa hakika sisi wazanzibar tunamtambua maalif Seif ndio kiongozi Wa Zanzibar halali.
@bahatinassorali52224 жыл бұрын
maaalim sefu msenge na nyie wafuasi wake machoko oyeeeee
@kramsjunior44474 жыл бұрын
Ccm daima
@yassiniferuzi28674 жыл бұрын
Kuwadi wa Mabeberu na Ushoga Kibaraka LOOP Domo kaya Kuwadi BBC
@alihijiiddi89774 жыл бұрын
HAIWEZEKANI AWINI KILA MARA UPUMBAVU WAO TU WA UWONGO