HUZUNI ZATAWALA BBC SWAHILI BAADA YA SALIM KIKEKE KUTANGAZA RASMI KUACHA KAZI.

  Рет қаралды 27,877

JAI ONLINE TV

JAI ONLINE TV

Күн бұрын

Waandashi wahabari waandamizi kutoka idhaa ya Kiswahili ya BBC Mariam Omar, Sunuma Qassim na Salim Kikeke wametangaza rasmi kuacha kazi ndani ya shirika hilo kubwa la Habari Uingereza.
Salamu za kuondoka kwa waandishi hao hodari zimetangazwa na Salim Kikeke katika kipindi cha Dira ya Dunia kinachoruka hewani kila siku ya Jumatatu hadi Ijumaa.
LIVE#JaiOnlineTv #Zanzibar#Daressalam

Пікірлер: 21
@jaliadilunga9428
@jaliadilunga9428 Жыл бұрын
Mim ni JALIA DILUNGA kutoka Kisaki morogoro Nakupa pongezi KIKEKE kwa muda mrefu ulioka hapo BBC na umefanya kazi nzuri sana
@shabankolia8204
@shabankolia8204 8 ай бұрын
Wziri hamusini from kenya wooow
@user-ec1of8if7j
@user-ec1of8if7j 6 ай бұрын
All the best bro.Nakuombea kila la kheri Salim popote uendapo Allah akuajalie
@chudtvtzonline786
@chudtvtzonline786 Жыл бұрын
Tutakumiss sana kaka
@shabankolia8204
@shabankolia8204 8 ай бұрын
Kabisaa umenena mtu wangu ukikaa mahali xana pia kuna watu wanachoka na wewe ama unachoka na mahali 20 years wee good job bro
@egideshishikarusabe-to9ox
@egideshishikarusabe-to9ox Жыл бұрын
Salim kikeke nilivipenda vipindi vyako vyote. Na nijutakia safari njema na mafanikio mema. Sitaisahau sauti yako kwenye BBC Swahili. Nami nilisogea mbele kidogo. Mwanadamu anayo miguu miwili ili atembee. Umeamua vizuri sana. Barikiwa
@JAIONLINETV
@JAIONLINETV Жыл бұрын
hakika aliitendea vyema tasnia ya habari, acha aje akuze tasnia hii nchini kwake
@gwijisirengo
@gwijisirengo 8 күн бұрын
Kila lakheri kikeke mbele kwema..
@shabankolia8204
@shabankolia8204 8 ай бұрын
Aaah aki ulishawnda tena
@lusajomwakalinga5813
@lusajomwakalinga5813 Жыл бұрын
Kwa heri tutakukumbuka Sana
@aswad009_8
@aswad009_8 Жыл бұрын
Ameiwakilisha sana Tanzania
@zanishaikhonge7296
@zanishaikhonge7296 Жыл бұрын
Kila la kheri kikeke
@HabariFmRadio
@HabariFmRadio Жыл бұрын
duh so sad kuondk
@ShaibuShaibu-po7fg
@ShaibuShaibu-po7fg Жыл бұрын
Sasa unaend wapi? Na Zuhra Yunus nae vp?
@JAIONLINETV
@JAIONLINETV Жыл бұрын
amesema ataweka wazi siku za mbeleni wapi atafanyakazi ila kwasasa anahitaji kuwa na likizo ya muda
@alexmnogi1822
@alexmnogi1822 Жыл бұрын
Atakapo tua Huyu jamaa...atapainua snaa kmataifaa... Na hii inaonyesha kwamba ...unapoamua kufanya jambo lfanye kwa uhakik na kwa ubunfu zaidi Ili upandishe bland yako
@aswad009_8
@aswad009_8 Жыл бұрын
Ni kweli
@antonyndege3278
@antonyndege3278 7 ай бұрын
Tutakumis sana salm
@chudtvtzonline786
@chudtvtzonline786 Жыл бұрын
😢
@Geitadancingtv
@Geitadancingtv 3 ай бұрын
😅
@GeorgeUsele
@GeorgeUsele Жыл бұрын
Haachi kazi bure mtasikia tu siku za mbele utasikia kateuliwa
Underwater Challenge 😱
00:37
Topper Guild
Рет қаралды 47 МЛН
Wafahamu waandishi na watangazaji wa BBC Swahili
5:10
BBC News Swahili
Рет қаралды 126 М.
Diamond Platnumz azungumza na Salim Kikeke: Mahojiano kamili
10:13
BBC News Swahili
Рет қаралды 330 М.
Unakumbuka haya maneno matatu ya Mzee Mengi kwenye msiba wa Ruge
4:57
Interview: BBC Swahili - September 2015 - Mohammed Dewji
3:58
Mohammed Dewji
Рет қаралды 28 М.
Mkasi | S13E12 with Salim Kikeke Extended Version.
27:52
MkasiTV
Рет қаралды 143 М.
KUOTA MTU ALIEFARIKI//DUKTUR ISLAM MUHAMMAD
5:05
Fauz Production
Рет қаралды 238 М.