"Ninajuta kuwekeza kwenye mahusiano"

  Рет қаралды 12,409

BBC News Swahili

BBC News Swahili

Күн бұрын

Пікірлер: 29
@saumumunisi8013
@saumumunisi8013 3 күн бұрын
We emanuel una matatizo. Hajasema kuwa yeye ni mzuri bali ametimiza ndoto zake. Mi namfagilia sana. Hongera sana madam
@revkomutv7533
@revkomutv7533 5 күн бұрын
Congratulations my sister it's very inspirational
@a.856
@a.856 6 күн бұрын
Hongera sana Dada na Mungu azidi kukuongoza
@kekiplus1andonly
@kekiplus1andonly 4 күн бұрын
MashaAllah Mungu amuweke huyu mama
@viootanzania9080
@viootanzania9080 Күн бұрын
anaeyapinga mahusiano ni impinga christu kwamaana sisi sote ni zao la mahusiano so kwa maoni yngu yeyote anaepinga mahusiano ya ndoa bx ni mpinga mema # family first ndomana dada kila wakati anataja wazazi wangu❤
@ombeniulime2768
@ombeniulime2768 5 күн бұрын
Nimekukubali mno. Mungu akubariki sana. Mungu akuinue kwa viwango vya juu sana
@EmmanuelDoremana-tr1pm
@EmmanuelDoremana-tr1pm 5 күн бұрын
Hongera kwako ! Ndoto zako ni somo kwangu. Asanteni sana 🎉🎉🎉
@KahiteMbayo-po5eh
@KahiteMbayo-po5eh 5 күн бұрын
Ubarikiwe n'a Mungu dada
@BensonTemu-h6h
@BensonTemu-h6h 5 күн бұрын
Dada nakupongeza sana, hongera sana.
@MaprosMrsOphiry
@MaprosMrsOphiry 5 күн бұрын
Hongra sana
@daviddido1145
@daviddido1145 5 күн бұрын
Asante sana kwa ku fungua akili zetu sio yale tume somea tu ndio njia bora Bali kuona pia wapi nguvu zetu ipo pia Asante kwa shauri bora hata kama umoja yetu ime vunjika sio kuweka hayo wazo iwe zuizo ume ongea mambo nzito wa maana kwa mume ama mke mwenye akili Asante pia kwa mupasha habari una ujuzi ya ma swali ya hekima
@SteveSteve-i7g
@SteveSteve-i7g 4 күн бұрын
Mahusiano ni mpango wa MUNGU Mimi sijui unafundisha nini ju ya kizazihiki huo uwezo ulionao angalia usiwe sababu ya kupotosha wengi walio katika mahusiano
@AgredaMoyo
@AgredaMoyo 3 күн бұрын
Usimlaumu sababu anahitaji msaada Kwa hili eneo la mahusiano
@De_lima98
@De_lima98 4 күн бұрын
Single Mama's Campaign
@Sheba4651
@Sheba4651 4 күн бұрын
Watakaojingiza wameumia....
@MasoudyMichael-ox7xl
@MasoudyMichael-ox7xl 3 күн бұрын
Mimi bado nimewekeza kwenye mahusuano kwasababu ndiyo faraja ya moyo wangu ninapo waona wanaangu mke wangu
@morjanoman5181
@morjanoman5181 4 күн бұрын
Dada. Ongera Sana namimi naitaji nijifuze kwako nitakupataje
@Haleem_07
@Haleem_07 3 күн бұрын
9:04 My mom🙌📌
@vom84
@vom84 4 күн бұрын
Hayupo mwanamke aliyewah kujiongelea vibaya, na ukisikiliza utahisi ni kweli, Sasa mtafute mwanaume akueleze utajua tatizo ni nini
@patrickmathiasnsalanga3401
@patrickmathiasnsalanga3401 4 күн бұрын
Kabisa,!wengi sio wakweli, kufanya utafiti ni bora kuliko kufuata uzuri wa maneno.
@BarakaKusalula
@BarakaKusalula 3 күн бұрын
Usisahau pia wapo ambao kweli wanayapitia magumu
@Joliegal834
@Joliegal834 3 күн бұрын
Maskini kimeshaona wivu😅
@KukuVillage
@KukuVillage 2 күн бұрын
Mf. Story za Muna Love
@subilamwambingu8413
@subilamwambingu8413 5 күн бұрын
Hongera sana. Napataje hizo cage?
@ChristinaChristina-in8rs
@ChristinaChristina-in8rs 5 күн бұрын
Naomba no da
@VictoriaFrancis-w1y
@VictoriaFrancis-w1y 5 күн бұрын
Hongeraa sana. ,namba yako please
@shelamsongwe8500
@shelamsongwe8500 4 күн бұрын
Naomba namba ili nipate somo.
@shelamsongwe8500
@shelamsongwe8500 4 күн бұрын
Kwenye mitandao ya jamii unatumia jina gani dada?
@emmanuelbonaventura4258
@emmanuelbonaventura4258 4 күн бұрын
Wakiwa kwenye media huwa ni watu sana, ila ya nyumbani mtafuteni na mwanaume mmuulize mambo yalikuaje?
Matangazo ya Dira ya Dunia TV Alhamisi 12/12/2024
28:10
BBC News Swahili
Рет қаралды 4,8 М.
Accompanying my daughter to practice dance is so annoying #funny #cute#comedy
00:17
Funny daughter's daily life
Рет қаралды 28 МЛН
Леон киллер и Оля Полякова 😹
00:42
Канал Смеха
Рет қаралды 4,1 МЛН
А я думаю что за звук такой знакомый? 😂😂😂
00:15
Денис Кукояка
Рет қаралды 7 МЛН
How many people are in the changing room? #devil #lilith #funny #shorts
00:39
Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji - Muongozo kwa Wanaoanza Ufugaji
14:05
Changamkia Fursa
Рет қаралды 164 М.
MAPAPAI YAMTAJIRISHA MRISHO MPOTO
29:18
KILIMO SOKONI
Рет қаралды 1,2 М.
Mchungaji Kasilimu Kisa Maswali Haya Mjibuni Wakristo
23:55
Bernard Mwaipopo
Рет қаралды 63 М.
MUME WA ALIYEFARIKI CHUMBANI NA MWANAJESHI  MSTAAFU TABORA AELEZA MAZITO
16:22
STEVE NA NDARO WALIVO VURUGA NDOA UTACHEKA
16:04
Ndaro Tz
Рет қаралды 432 М.
Accompanying my daughter to practice dance is so annoying #funny #cute#comedy
00:17
Funny daughter's daily life
Рет қаралды 28 МЛН