Safi sana Prof Kabudi. Hawa watu huwa wanaangalia upande mmoja wa shiringi
@herypaul29645 жыл бұрын
I love my country Tanzania.. Prof big up
@abdullkhamis54065 жыл бұрын
Kwanza nikupongeza kwa kazi mzuri unayo ifanya. Kwa kweli sister Zuhra Yusuf itakua jambo zuri sana kama utakwenda kutafutia KIFO cha sintofahamu cha DCP (Police) Aziz Juma Mohammed in Zanzibar Tanzanian.
@fathermore97725 жыл бұрын
hakuna Uhuru bila mipaka vyombo vya habari vya kimataifa visi jifanye kutetea Uhuru wakupiliza izo nchi zao wenyewe kilakitu kinamipaka yake tena sheria zao nikali kuliko hata zetu unafiki wakujifanya Africa hakuna Uhuru wakujieleza niuchonganishi
@renatusmisigaro63325 жыл бұрын
Safi sana Mr kabudi hivyo ndio njia ya kujibu maswali ya mlengo wa kibeberu!!
@Greatnessfxx5 жыл бұрын
Hatuna waziri apo
@athumanisabo93995 жыл бұрын
Ahsante kwa ufafanuzi
@halfanrangadim87645 жыл бұрын
Dada Zuhra Yunus umembana sana Palaghamba saafi nimeipenda hii interview kuna giza ktk uhuru wa vyombo vya habari na Hata Mhe.hana uhuru wa kuzungumza ukweli dhid ya maswali anayoulizwa.
@yusuphkichawele10095 жыл бұрын
Asante zuhura ila tatizo nikwamba hapa wanaotoa comment nahuyo ambaye unamuhoji wote wanaogopa hakuna uhuru hapa watu wanaogopa tu...kila mtu anaogopa nishida yani..usiamini hizo comment kbsa
@luckygmdegela84775 жыл бұрын
Sijui tunataka habari gan ziandikwe kwenye habari tunazosikia , sometimes nachoshwa na watanzania wenzangu kiukweli
@MrCHAULA4 жыл бұрын
@@luckygmdegela8477 kwa kweli huwa sielewi hata mimi... sijui hivi vyombo vya habari vinataka tusikie habari gani na uhuru gani sijui wanaugombania.
@luckygmdegela84774 жыл бұрын
@@MrCHAULA kabisa ndugu yangu
@bahatimasolwa21095 жыл бұрын
Naipenda nchi yangu nilizaliwa na nitafia Tanzania. Wote wenyenia ovu na.wanaotumiwa na.mabeberu luichafua nchi nakemea washindwe.
@blasiokajuna5 жыл бұрын
Ahsante Le Profesa Kabudi maana dada alidhani utampatia habari za udaku kama za yule mwenyekiti wa mashoga
@laipazergy79385 жыл бұрын
Zuhura yunus usitumike, maswali yako yameegemea upande mmoja ishara ya kupania interview. Jaribu kuwa mwelewa mnatusababishia matatizo. Huyu binti is more negative than been neutral.
@Zamb902 жыл бұрын
Ikulu mawasiliano
@athumanomary11715 жыл бұрын
Waziri wetu kabudi mwenyez MUNGU yupo pamoja nawe
@alexlingwendu67802 жыл бұрын
Thanks kabudi .Umenipa imoji ya Kutumia kuomba ushaidi kwa wanafki nafki na wambea wambea
@complicated43375 жыл бұрын
Zuhura hukujipanga na maswali yako kabudi kaongea kweli sijaona baya na kama ubaya weka uthibitisho sio maneno tu
@ayoubshaibu71475 жыл бұрын
complicated kabudi anazuia maswal ya zuhura, ana attack swal kabla halijaisha
@SalmaSalma-nb2cv5 жыл бұрын
We zuhura apo ujamfanyia intervew umemuita kumsuta na kumshushua yn unasema aswa namaana hamyajui nimpumbavu ww hii bbc munapenda kutangaza negative2 ss sio wkt ule mulio uzowea museme uwongo mupate tongo nyau nyie I hate bbc
@errymwazembe84555 жыл бұрын
Kabudi unatetea ugali koma ivyoivyo nakujifanaya kama macho yako hayaoni maonezi yakufungia magazeti kama mawio na mwanahalis
@moziidavchonchi33385 жыл бұрын
Since day one.. namkubar Pro P.Kabudi naona uyu bibi wa BBC anaropoka pasi na ushahidi aende akafuatilie KASHOGI mbona adi leo ZZZZzz au amuyaon Wala kusikia kashogi ad leo cjui yupo ap eb BBC muende mkamuulizie bassss Mana mnakosoa Tanzania kanakwamba watangazaj wazungu.
@tzmny49095 жыл бұрын
Wewe zuhura yunus uyo umuwezi
@athumanomary11715 жыл бұрын
Ewe mwenyez MUNGU tunazidi kukuomba endelea kumuongoza vyema waziri wetu kabudi ewe mwenyez MUNGU mkuu
@luckygmdegela84775 жыл бұрын
Kibiti waliokufa Ni wengi ,ila azoli mwandishi kupotea kibiti Basi uhuru wa habari hamna daah!, Sijui wale wengine ilikuwa Ni haki yao kufa kibiti 🤔
@jumajaffary96985 жыл бұрын
Kwanini prof unaonyesha woga unapojibu hauko free
@leocardkipengele50295 жыл бұрын
Asante dada, hahaaaaa Prof. Jalalani Kabudi😂😂😂😂
@aronjohn88185 жыл бұрын
hata unaemhoji hapo hana uhuru mwangalie vizuri macho yake
@peterhelpeterluena91915 жыл бұрын
Ahsante Sana Profesa Kabudi Kwa ufafanuzi
@jamilaismail22625 жыл бұрын
Mwanahabari mahiri Zuhura Yunus
@mussasualehe71465 жыл бұрын
Huyu Mzee njaa inamsababishia ajitetee
@halimahassan30314 жыл бұрын
Wanahabari hawana Uhuru Tz, wanaishi kwa hofu, na wakitaka kufanya kazi basi wasifie serikali na watawala
@thomasnyahende1885 жыл бұрын
Profesa majalalani kwa propaganda yuko vizuri.
@phiriminshalom62865 жыл бұрын
Hizo ni story tu ni kama ni kupakwa mafuta kwa mgongo wa chupa
@romeoromeo41255 жыл бұрын
Toa ushahidi Zuhra, mengi ni maneno tu!! Prof. upo sawa ila tatizo BBC ni wakoloni, wanapenda kubeza juhudi zetu.
@jumaedward71105 жыл бұрын
romeo nikajinga sana wewe, wakoloni? unaishi kwa misaada yao au hujui
@emmanueljohn50115 жыл бұрын
Daaaah kweli kazi ipo aiseee
@kfastak5 жыл бұрын
Good job zuhura.. Uhuru wa habar tz ni kitendawili
@wiseriziki24335 жыл бұрын
Kuweka kumbukumbu sawa. Huyu ni profesa ambaye ana amini kazi ya uwaziri wa kuteuliwa ya miaka 5 ni bora zaid kuliko u profesa wake alio usotea kwa zaid ya miaka 30. Anaamini huko chuo kikuu alipokuwa anafundisha ni sawa na jalalani. Pia aliwahi kutapeliwa na kijana mdogo wa kenya korosho hewa. na juzi tumemsikia akithibitisha kuwa Azory Gwanda ameuwawa. Tunataka kujua kwanini wali uhadaa umma kwamba hajulikani alipo. kusema wana ccm na polisi wameuwawa kama ndo sababu ni kuthibitisha udhaifu mkubwa wa serikali kushindwa kuchunguza mauaji hayo maana sisi wananchi na dunia nzima tulitegemea serikali ichunguze na kuja na majibu rasmi sio hivi vi sababu vya mtaani. Tanzanians are more educated now than ever before, mjiandae sana mnapo zungumza. kizazi hiki sio kile cha mwaka 47.
@losa49763 жыл бұрын
Ukitaka kubishana na kabudi ushibe kwanza
@humayduwe17625 жыл бұрын
Hahaaaaa prof una macho makali ila zuhura mkali kamshika vzr
@isaacjacobo33695 жыл бұрын
We MTU kakiri mwenyewe katoka jalalani afu unataka azungumze vizuri, itakuwa ni kusubiria tikiti chini ya mwembe
@jafaribori6015 жыл бұрын
Upo sawa kabudi baadhi ya watu wanaombea Shari tu ndio itawale hawaridhiki nakile kichopo mikoni nahayo ndio yalosatia njaa na dhiki WALIBIA
@daudbalele74065 жыл бұрын
When a person panicks wisdom flies off the body,,leaving them with emotions and shame.,..
@lwagamwakalinga52765 жыл бұрын
Ni suala la muda tu, Kabudi Ni Kama Sauli katika biblia kwa Yale ayafanyayo ! Wakati wa Mungu ukifika hatokuwa na namna.
@thobiasodhiambo95535 жыл бұрын
Leo nimeelewa. Kumbe Azory Gwanda 'amepotea' ili kulipiza wale askari polisi na makada wa CCM waliouawa? Asante Prof Kabudi kwa kutufumbua macho.
@daviddsouza7355 жыл бұрын
Full interview tunaipataje?
@amosethantheking88155 жыл бұрын
Natamani kukomenti hapa maono yangu juu ya uhuru wa kupata habari... Natamani Bunge live...!!
@petermkirya13305 жыл бұрын
Hebu tujiulize BBC wanataka habari za Tanzania ,Je sisi tushaenda kuomba taarifa za Serikali ya Uingereza au Nchi nyingine za Mabeberu.
@kolokochomwakyagi51135 жыл бұрын
umuweZ kabudi we ngedere
@johnkagusa34204 жыл бұрын
Zuhura unatumika kuichafua Tanzania BBC ifungiwe tuu mnatumika sana nyie
@athumanomary11715 жыл бұрын
Asante san kabudi mwenyez MUNGU mkuu kwako yupo pamoja nawe
@t1910j5 жыл бұрын
Professor Kabudi amenena vyema.
@njonjolomahfudh32385 жыл бұрын
Prof.🍞
@jacksonmishwaro36385 жыл бұрын
shikamoo zuhura... Prof kahama reli..anapaniki sana yaani kama sio msomi......mimi skills ya kwanza mtu akinihoji ni kumsikiliza hadi amalize..then nijibu
@grecioussilas98855 жыл бұрын
Nimeelewa tu maswali anayoulizwa ila majibu ndo sijaelewa...?jamaa anashambulia kukwepa kujibu swali
@josephmajembe30905 жыл бұрын
safi sana waziri hao wamagharibi wakwenda nao kwa makini!!!!
@johaivenbyashara26655 жыл бұрын
Prof Jalalani huyu. Hovyo kabisa
@theictguru57915 жыл бұрын
Zuhura Yunus kambana huyu mzee hadi kashindwa kujieleza kabaki kubishana km toto la kijiweni, wanajifanya hawayaoni magazeti ya Tanzanite.
@salumkatula48245 жыл бұрын
😂😂😂😂 Zuhura yunus hukujipanga hata gazeti moja hapo ubaoni hukua nalo sasa hayo mahojiano huoni kama amekufunika😂
@festomathayo56295 жыл бұрын
Huyu waziri hajui Hata kusiliza anaogopa maswali.
@yousuphnzira32092 жыл бұрын
Hayo ni majibu ya Profesa ama kweli maprofesa dah. Anawaaibisha
@jonathanntare47875 жыл бұрын
Profesa atakuwa Mwehu kabisa
@williamjohnson4505 жыл бұрын
Zuhura safi sana
@saidiyusuph36944 жыл бұрын
mtapata taabu saana kuifarakanisha Tanzania.... hii ni nchi makini yenye watu makini japo sio wote @ Zuhra na wenzie😡
@freddymello32275 жыл бұрын
BBC nyie mshakuwa vibaraka kama wengine walioko huku Tanzania.kina zitto na Lissu. Taarifa zenu na maswali mnayohoji hayana mashiko.ni upuuzi mtupu. Ukosoaji wa serikali upo ila kinachotakiwa ni kufuata maadili ya kitanzania.kukosoana sambamba na kuheshimiana!
@edvastorsamwel435 жыл бұрын
kwanini ukiulizwa swali unajibu kivingine go straight
@elisantennko8765 жыл бұрын
Pr nimekukubali sana unajb vizur balaa
@tzmny49095 жыл бұрын
Toa hushahidi unarukaluka
@mugundajames43354 жыл бұрын
Ndugu unaitaji ushahidi gani? Huyo mzee wako hana hoja
@GMShifo5 жыл бұрын
Yes, Dubai kila mwaka lazima
@martintssoray53522 жыл бұрын
Profesa tumbo huyo hana hadhi ya kuitwa profesa
@abdallahally27672 жыл бұрын
Gazeti la musiba
@ngederemkatamkaachuwakineg52395 жыл бұрын
Kabudi anatetea ugali wake hakuna ukwel wowote anaongea apo
@fiddofandedu41423 жыл бұрын
wa mvumi
@ebenernnko33395 жыл бұрын
Mnafki sana huyu MTU anajibu kisiasasa mambo ya msingi kweli ukiona ndugu yako kawa mwanachama wa CCM tambuweni amekaribisha Ukoma nyumbani
@luckygmdegela84775 жыл бұрын
Hivi Nini maana ya uhuru wa habari na sheria ya habari ?
@willykaovela54855 жыл бұрын
aisee prof 👨🏫 mbishi alikuwa kama hajajiandaa hii inatokea ila
Mh huyo mtangazaji Anajua kila kitu lakini Ameonyesha ni mpinzani au kapewa mshiko na wapinzani, Sababu hata maswali yake tu yanaonyesha kua anataka Awalizishe mabosi wake, Katumwa
@georgebashite66285 жыл бұрын
Nunca vão dizer a verdade!!!!!!
@johngerald46777 ай бұрын
Ndo kilichinifanya nimuone uyu jamaa hafai
@chamysuleiman82805 жыл бұрын
😁😄 duniani hakuna nchi yenye uhuru wa vyombo vya habari kama tz😁😄😄😄😄😄 Hio kauli tu utapata taswira ya kila kitu kuhusu mjadala huo kwa majibu atakayotoa professor.
@rahimsaid29574 жыл бұрын
Kabud anastahili iyo wizara
@mussachahe125 жыл бұрын
Unapindisha pindisha tuuuuu wakati ukweli unaujua aiseeee watu wanajua kulinda vibarua vyao....hadi unamuogopesha mwandishi. Dahh hata ningekuwa mimi ningesepa aiseeeee
@isaacjacobo33695 жыл бұрын
Afu gazeti LA tanzanite na fahari yetu mbona azungumzii
@abdulghanmohammed4 жыл бұрын
Mzee kapaniki bbc mwisho anatakiwa aende hardtalk huyo you can't interrupt someone talking that is class 1 lessons.
@abdullkhamis54065 жыл бұрын
Kumradhi, Zuhra Yunus.
@halimahassan30314 жыл бұрын
Mimacho kama bundi pro. Majalala
@michaelndwike22285 жыл бұрын
Ukiangalia macho tu yamuhojiwa utagundua kitu
@khaddaadamouma25645 жыл бұрын
Hayo ni maumbile yake
@sabraham53085 жыл бұрын
Time will tell us ,what goes around,come around.
@ngederemkatamkaachuwakineg52395 жыл бұрын
Rudi jalalani mzee
@khaddaadamouma25645 жыл бұрын
Huna adabu tumbili
@afropatriot77695 жыл бұрын
Hahahaha vibaraka bana,bbc tunajua ni chombo cha propaganda za mabeberu mmetumika kuharibu mataifa mengi sana duniani,sasa kadada haka kamepangiwa cha kuongea kanapewa fact kanaanza kulalama hahah ndio tulishaamua kupambana kujitegemea na kuendelea nyie pambaneni tu tunajua mna nguvu lakin hatutapiga magoti ng'oo muwaambie kabisa mabosi wenu waje wakamate stigilars gorge na STR
@thabitngangila85624 жыл бұрын
Mbona malumbano
@kharounngavason79305 жыл бұрын
Kiongoz ukiwa na panik huwez kutoa jib sahihi uma ukuelewe Bali watashanga majib yako tu
@nkindangwandu59395 жыл бұрын
Hakuna kiongozi hapo
@denispius75425 жыл бұрын
Nyumbu ni wengii
@emilianpasiens79195 жыл бұрын
profoseri!! duh mnakera!!
@carlmapella5 жыл бұрын
Mwandishi pumbav sana huyu
@suleimanbakar60975 жыл бұрын
hujajibu suala unajikanganya tu zuzu mkubwa wee
@vivatundulisuu35545 жыл бұрын
Huyo alitokea jalalani hana anachokifanya huyo pimbi mlala jalalani
@suleimanbakar60975 жыл бұрын
profesa pumbavu ovyoooo
@khaddaadamouma25645 жыл бұрын
Chunga domo lako ndugu
@kaikasumulecksumuleckkaika21945 жыл бұрын
Zuhura hongera unajua kuhoji vizuri
@vicentgibore86795 жыл бұрын
Huyu nimasilingi siokabudi maana wote hawaelewi wanaulizwa Nini😂😂
@shulestuff5 жыл бұрын
Ukiona mtu ameanza kujibu swali kabla ya swali yote kuuliza , ujue kuna kitu "shady" anayoitetea ama anaificha