Hongera sana baba kweli umesomea na unajua vyema unacho kisema, Mungu akubariki sana baba.
@Sayilugandyakilulu6 ай бұрын
Congratulate my father 4zt
@binbadru16543 жыл бұрын
mie naona mnahangaika tu sheria nzuri za kufuata ni zile alizotuletea M/Mungu peke yake,huko mliko ni mzunguko tu hamtapata suluhisho
@uthmanihimbawe52443 жыл бұрын
Umesema kweli
@muhammadkassim62913 жыл бұрын
Sahihi
@JoelSanka-m6e10 ай бұрын
Kabudi mm nakukubali sana unajua kweli mungu azidi kukupa maisha marefu all best
@mselemkombo48346 жыл бұрын
Ukweli utabakia kuwa ukweli huyu jamaa ni level ingine . anajua anachoongea na Shelia imekaa vema . mifano hai anayo . mungu amjaalie sana .
@jovenaryjoseph13606 жыл бұрын
Great speech. I salute you Prof.
@kennedjohn57855 жыл бұрын
Wow!!I've enjoyed your presentation Prof.
@danielezekiel93416 жыл бұрын
Hazina ya taifa. Kweli ww ni professor. Umeeleweka vizuri sana prof.
@r14kgroup683 жыл бұрын
Sina Cha kuongeza wakupe umakamu warais
@sammabula73596 жыл бұрын
I love this man let him run 4 presidency in future I will campaign for him
@noboatiman6 жыл бұрын
Nampenda huyu Professor...he knows a lot....
@emmanuelmlowe-ew7gx Жыл бұрын
Samia aliumiza sana watanzania kumwondoa huyu jamaa na lukuvi halafu akaweka watu ambao niwezi watupu.
@geriadsuku81675 жыл бұрын
Sichoki kusikiliza hotuba zako pro kbd your genius
@hassanmaulidi80685 жыл бұрын
prof wewe nimsomi unaejua jamii zetu
@hamismwangi46426 жыл бұрын
Huyu waziri akianzaga kuongea nakaa kimya kumsikiliza anaijua Tanzania vyema ni moja ya tunu zetu tulizobarikiwa akiongea hutotamani amalize
@kaizamulinda6336 жыл бұрын
Kabudi ni baraka kwa Taifa
@alihijiiddi89776 жыл бұрын
MUONGO HUYU HUMFAHAMU TU MUONGO KWA MAMBO YA MUUGANO NA KASOMESHA MAZUNGUMZO YAKE SINTOFAHAMU HUYU ANAWAZUBAISHA NYIE TU NA VICHWA VIBOVU MCHONGANISHI HUYU ANALOZUNGUMZA LEO KESHO HAJUWI AZUNGUMZE VIPI 😇😇👹👹👀👀
@@alihijiiddi8977sasa uongo uko wap hapo Mtu anatoa na facts Kama unampinga thibitisha kwa facts Yaan Tanzania ni ngumu sana
@noahsr38276 жыл бұрын
i love watching thin Man... anajua anachokiongea
@yunusmtonga22576 жыл бұрын
Hongera mwana sheria mbobezi Safi sana wape somo
@robertchuma64086 жыл бұрын
mheshimiwa nnakupongeza Sana umeelezea vyema jambo hili Mungu akubariki Sana
@festondile20396 жыл бұрын
Mh Kabudi unaelezea vizuri yaani kama unatoa lecture vile,ama kweli unaeleza kisomi na kwa umahili mkubwa,wewe ni hazina kwa taifa letu.
@Rennyanselim4 ай бұрын
Safi mr kabudi tunakuaminia sana ktk hili janga la ushoga
@CoachYusuphMagige5 жыл бұрын
Wewe Mzee unajua nafurahi kukufahamu. Naweza sema wewe sio Mzee bali ni kijana. Nakumbuka prof Shvji alisema ujana sio umri Bali ni fikra. Nakupenda sana Prof Palamagamba Kabudi
@Felix-e6t4m4 ай бұрын
asante sana ndugu kabudi Sheria ya ndoa wakeni kando mbona mna kwepa Sheria ya ardhi mnaona kabisa watanzania wameongezeka je wewe mbona unatuambia mambo wingereza je nakuuliza itatusaidia nanini sisi wamasai na wasukuma tunakuambia mtanganyika alioko wingereza je serekali ya Samia mbona aiwapi vijana uwezo wa kujitetea wananchi webaki kulazimishwa Kuimba Samia na CCM je uta kubaliana namimi kwa Hilo mnapigiana makofi msiejua ni asira asira ya wanyonge je nakuuliza mbona jamii maaa serekali inawaangaisha je nakuuliza kabudi Sheria ya ndoa wakeni kando tuongee lee maisha ya Leo na kesho kwa kizazi Cha Sasa na Cha kesho je nakuuliza tafadhali sana sisi kama watanganyika atuko tayari kutawaliwa Tena na waarabu tumekataa magufuli alisema kuhusu watu wa Tanzania weomgezeka je kabudi serekali inafahu ilo ama aijui je nakuuliza katiba mpya mumeweka kwenye jalala watanganyika awapendi kudhrauliwa pia awapendi kupuuzwa wa kunyanyaswa aiwezekani kamwe CCM iwadhamini wageni na kuwapuuza raia vijijini kwa kuwanyanganya ngombe zao na kuwatoa majumbani mwsho na kuwapeleka kusiko kwao kwa zigua mbona wenu ni simba sauti ya wanyonge
@mussamaina4442 жыл бұрын
Hongera mwalimu
@ConfusedDaisies-rb510 ай бұрын
Sahihi kabisa
@aliaboud75174 жыл бұрын
Huyu jamaa Ana akili sana mungu akubariki Prof. Kabudi
@fadhilbenedicto44994 жыл бұрын
Umeongea point Prof
@LyimoKing11 ай бұрын
This is fantastic
@abelmlandali31556 жыл бұрын
Very inspiring prof...
@michaelkadege7615 жыл бұрын
Mko sawa
@erickhaule86806 жыл бұрын
kweli we ni profeser aisee
@antonymathew8696 жыл бұрын
Maelezo mazuri mhe. somo zuri
@daudimwakapimba6499 ай бұрын
My role model
@gracesiyon79766 жыл бұрын
Natamani ungeongezewa muda mh.ukaendelea kufafanua mambo
@imamumponda2766 жыл бұрын
Muheshimiwa uko vzr bonge la speech aisee unaonge kwa comfidence
@hassanali93103 жыл бұрын
Lazima washindwe mana ndoa sio suala la serikali ndoa hufungwa kwa itikadi ya dini
@wakutingwa.16356 жыл бұрын
Asanteee!!!
@emmanuellyatuu41036 жыл бұрын
Well articulated!!
@emmanuelmlowe-ew7gx Жыл бұрын
Kaburi ni shida kwel
@mwengwamwengwa26336 жыл бұрын
Prof kabudi huwa nakuelewa sana endelea kutoa Shule kwa vilaza
@emmanuelmlowe-ew7gx Жыл бұрын
Huyu angekuwa rais tungejinoma
@MbataNgonkola-sl8lv7 ай бұрын
Bi mdashi rudisha hii kichwa
@teddymwageni17633 жыл бұрын
African life span imeshuka jamani punguzeni umri wa kuolewa mwanamke uanzie 16.pia umri wa kustaafu uwe 50 kwa hiari na 55 kwa lazima, watu wanakufa bila kutumia pesa zao
@teddymwageni17633 жыл бұрын
Mungu akubariki na akutunze hazina yetu
@bisekoc.k.jenjela79366 жыл бұрын
Prof, Kabidi huyo, yuko poa sana.
@mo-tm6sr4 жыл бұрын
Dah! Kiukweli Tanzania bado kuna viongozi bora sanaaaa
@williamgideme2689 Жыл бұрын
Palamagamba endelea kutuelimisha, hata ile sheria ya kujamiiana, ya kijana wa kiume kuitwa kabaka na wa kike akizaa anarudi shule yule wa kiume anafungwa maisha. Inaakilllliiiiii? Kuna mambo ya kifanya . KUFUNGWA MAISHA AU MIAKA 30, TUNAIANGAMIZA ZAIDI KIMAADILI.
@hhmanyamba28716 жыл бұрын
azina ya tanzania pro kabudi
@nabasonsanga85935 жыл бұрын
Kati ya mawaziri aliekaa ktk nafasi yake kweli basi ni huyu mzee
@solomonadams63373 жыл бұрын
Mzee Zuzu Kabudi wewe hufai kua hata Professor wa kuku unacho kisema Leo ukifika kesho hukijui tena...you are Uneducated...thanks
@yolakahmathews69136 жыл бұрын
Jamaa kichwa.
@frankthomas2648 Жыл бұрын
I have re-watched many times
@lukalulambo82973 жыл бұрын
Ishi miaka mingi profesa
@maghanighanichali9519 Жыл бұрын
Mwamba waambie watakuelewa tu
@mustwafaabuubakar64743 жыл бұрын
Yani huyu jamaa mm namchukia Simpndi kwnza akiongea anaonesha kiburi hata nikinunua gazeti nikiona sura yke mbele bas sinunui tena
@elizailongela42092 жыл бұрын
kabudi palamagamba nakukubali sana
@allymllanzi42456 жыл бұрын
Waziri huyu hadi raha anavyoichambua sheria
@mwawekomiuda97793 жыл бұрын
Umetoa sana mifano ya ulaya na ulaya ni wakiristo. Ss waislam M'mungu ktk uislam ameweka kila kitu sawa kabisa. Kazi iko kwenu wakristo kila siku mnatunga sheria zenu upya
@mwawekomiuda97793 жыл бұрын
@Phillip Mbuligwe Sijaandika kila mwaka ila mnatungiwa sheria mpya mpya hata kitabu chenu mmejitungia agano jipya. Mnajipangia wenyewe tu mnavyotaka. Kwani tatizo nn? Si ni ukweli mtupu. Ss nitafakari nn ????
Si Wakatoliki tu mheshimiwa waziri hapa ni suala la Biblia hivyo nakubali kuwa suala la sheria ya ndoa ya mwaka 1971 si ya kuchezea hovyohovyo.
@teddymwageni17633 жыл бұрын
Biblia agano la kale linaruhusu
@Expedito2512 Жыл бұрын
Kwa masuala ya ndoa kwa wakatoliki ni ngumu zaidi
@andrewmsuya22325 жыл бұрын
Nikweli mueshimiwaaa
@emanuelmlowe68546 жыл бұрын
Huyu ni tanzania
@petersimon21155 жыл бұрын
Fact
@Rennyanselim4 ай бұрын
Huyu Mheshimiwa angepewa Uraisi
@e-mzambuli66473 жыл бұрын
Tarime Ni ajari
@eventelias35665 жыл бұрын
7.17 naomba unitajie Mh. doh!😂😂😂
@melchiadgodwine91923 жыл бұрын
Huyu jamaa si wa kuchezea ni lulu ya Taifa
@obedmwakalonge1372 Жыл бұрын
Mzee alikuwa na Vichwa asee
@danielmkulat1598 Жыл бұрын
Wambie ukweli baba
@shekhally57413 жыл бұрын
Badili sheria zote duniani lakini si ya dini ya kiislam hatungwi na mtu wala serikali zaidi ya qur-aan ambayo ni maneno ya mungu na sunnah za mtume muhammadi (s.a.w)
@abdulrahmanally14123 жыл бұрын
Umejua hili ni kaa la moto, huna uwezo wa kubadilisha Sheria ya Kiislamu, wewe zungumza tu kufurahisha wanaokupigia makofi, Sheria ya ndoa ya kIislamu ni kwa Mujib wa Qur'an ambayo hakuna yeyote duniani anayeweza kuibadili
@humphreymwihambi43302 жыл бұрын
Kwani ya wakristo nani anaweza kuibadili?
@alhaddajmohammed47682 жыл бұрын
@@humphreymwihambi4330 papa (binAda) anaweza kubadili. Sheria za Kiislamu tunaelewa na kuamini ni sheria zilizopangwa na Mungu Muumba na Mungu Mola Muumba hakosolewi sababu hana sifa ya kukosea ila binAdam wanasifa ya kukosea ndomana sheria za kutungwa na binAdam hubadilishwa kila mara kwa kutokana na madhaifu ya kibnAdam.
@pelgroup4392 жыл бұрын
Kasome uelewe mambo
@emmadora7848 Жыл бұрын
Kusema kweli wazazi ambao hawajasoma ndio wanaoozeesha watoto katika umri huo lkn walio soma si waisilamu Wala si Wakristo hakuna wanaoozeesha watoto kwatika umri mdogo ,zaidi sana hata wakifeli wanawatafutia namna ,kataa kubali huo ndio ukweli
@jumamavind7713 Жыл бұрын
Kama utashindwa kumuelewa huyu jamaa basi utakuwa unamatatizo
@aloycemabula86496 жыл бұрын
Huyu ni noma, kweli kasoma sio mchezo
@sasha-ri7tf3 жыл бұрын
Hata ukitowa macho kama umevuta cocaine,lanaa na halalbadri za wenye kudhulumiwa zitakuandama tu.
@Rennyanselim4 ай бұрын
Mishoga imenywea hiyoo ovoo
@sudaissoud36703 жыл бұрын
Jamaa simpendi huyu..
@teddymwageni17633 жыл бұрын
Kakufanya Nini? Hupaswi kuyatoa ya moyoni mwako kwenye media
@hamadfikirini69694 ай бұрын
Sasa ww anakupenda?😂😂
@allybamba3110 Жыл бұрын
unatakiwa uwe raisi baba
@masala80993 жыл бұрын
kabudi ni mlevi apuuzwe
@EK-kp2np6 жыл бұрын
👏🏻👏🏻
@sabihimngetuka69716 жыл бұрын
Tungependa kila muda itafsiliwe sheria hasa kpind cha matukio yenye utata
@novesnuhunathan26654 жыл бұрын
#Kabudi
@richardfrank11485 жыл бұрын
Babu hatarisana wewe
@mdedsm55223 жыл бұрын
Nmekulewa sana kweli ww ni msomi
@jaliabahat15203 жыл бұрын
udini tu Lindi na mtwala talime ajali tu
@ibrahimbaila17496 жыл бұрын
kiukweli watu wanafariki mapema. so ataumri wakuolewa nilazima iww16 ataule usemi was chini 18 tufute
@mhangwamashimba8826 жыл бұрын
Huwa nakuelewa sana
@sakowamakavu57116 жыл бұрын
Yuko na mkazo na hoja zake na maelezo yake
@pauldaniel56856 жыл бұрын
sako Wamakavu because he has facts. Kwa msomi na mtu muelewa kwa jambo fulani ni vema kuzungumza kwa vielelezo na si maneno tu.
@FikiraRwende-cm1qk Жыл бұрын
I can We up
@johnedward24896 жыл бұрын
Umenena vyema!
@rahmsjames93656 жыл бұрын
Bola muongeze wanawake hata 2 au 3
@nuhubalandya91646 жыл бұрын
"Huku chini hakujafungwa" nin maana yake ? cjamwelewa
@rahimbpingu60826 жыл бұрын
ujaelewa nini? chini hakujafungwa!!!!!!!!!!
@nasibugunda79275 жыл бұрын
Ukienda kunya weka kioo ujiangalie huko chini
@saidieiddy13814 жыл бұрын
Palamagambaaaaa
@rahmsjames93656 жыл бұрын
Kwahyo mnakubari kuzini mkae mke 1
@josephmchila64676 жыл бұрын
Astrong speech
@engibertmzaula94616 жыл бұрын
abarikiwe Rais aliyekuona kuwa unafaa,,,,mm n Mwanafunz Wa sheria hakika nimekutaman Mheshimiwa wazil Wa sheria
@abrahamkibona70385 жыл бұрын
Sasa kelele za nini nyie wabunge?
@michaelkinga8216 жыл бұрын
suala la tarime ni ajali!!.
@josephkafumu30062 жыл бұрын
Aaaa wewe nikichwa mzeeeee nakukubali sana
@sudaissoud36703 жыл бұрын
Hujui ndoa wewe...nenda kwenye Qurani ndoa imeelezwa ...wewe mnafiki2