Kwa kumtoa Adam wamekosea sijafurahi mim kama fans wa XXL.
@chihoma-m4f5 ай бұрын
adam uko vzr sn
@prospermaingu41404 ай бұрын
Unachanganya lugha , hueleweki!!
@GoodluckAM5 ай бұрын
Dozen amekua too serious😀 Great to see Mchomvu relaxed with too much positivity towards the 🎓 Wadudu mliihitaji this graduation and great to see and listening Fetty akifanya vizuri PB, now it's you time. Big shoutout to you and all the best. #Dozen amekumbusha show za mbali sana mpaka nimekua emotional: Total request, Xoxo fresh all were my favs bila kusahau Bongo flavor on Sat. Living legends🙌🏽
@allyadamtz5 ай бұрын
Huyo mtangazaji mbona kama anazeeka!
@GabrielSky645 ай бұрын
George Bantu anaenda wapi au yupo watakua wote
@aloycesimon41435 ай бұрын
Bantu
@derickdepota1015 ай бұрын
Watakuwa wote
@SukaDmGuy5 ай бұрын
Adam asiondoke XXL awe sehemu 2 zote
@ivannndelwa64575 ай бұрын
Sijapenda wangebaki xxl
@OmanOman-dn6dj5 ай бұрын
Adamu mchovu yuko vzr😂😂
@zagadat11295 ай бұрын
Aloo milima haikutani hatimaye fety twangala mchomvu wamekutana tena fetty atachekaje tena
@robinsonjames97115 ай бұрын
Xxl itadhoofka🤔🤔
@audaxmlowa99535 ай бұрын
Fetty yupo 360 power break first
@derickdepota1015 ай бұрын
Fetty yupo kwenye PB
@CliffordLyimo5 ай бұрын
👊👊
@robinsonjames97115 ай бұрын
Xxl itadhoofika🤔🤔
@johnphilipo67605 ай бұрын
Eyooo... mchomvu ✊🏽
@magga_v5 ай бұрын
Asee d ommy vp tena apo
@ikungasyamwakitalu65405 ай бұрын
Daa yaan mchomvu😅😅
@omanoman20445 ай бұрын
Kujisifia ndo zen mkiumwa hata zakujitibia mnakuw hamna akiba mnaanza kutuomba misaada sisi ambao tumekaa kimya hatuongei
@dfinalpatrick85555 ай бұрын
Achaujinga we unatakawawe wanyonge wewe unadhani kama unamiliki biashara ya milioni 100 ukiugua ukahitajika kutibiwa kwa milioni 50 uanze kuharibu biasha kwa kuuza vitu tofauti nabei uuze nagari iliusionekane maskini kumbuka.kuna maisha na mahitaji biashara brand na umaarufu hawa niwatu ambao wanajulikana na sio kwamba ni vyuma niwatu kama sisi na kujisifu nisehemu tu ya formula yakazi ..mfano wewe ukienda interview ya kazi ukiulizwa swali utaanza kuonesha udhaifu au utaonesha ukomavu kwakujisifu??
@omanoman20445 ай бұрын
@@dfinalpatrick8555 watuy wanao mili pesa hizo uliwah wasikia wanajingam am ni nyinyi masikin mso jitambuw ndo mnapenda kujingap mkikwam nyinyu ndo wakwanza kuomba msaada ww ndo uwaambie muache ubwakin ubwaa ww
@mankammari27605 ай бұрын
Sasa wakae kinyonge na hawaumwii?? Ebu jishkilie mkuu acha makasiriko Na wakiumwa tutachanga