BEATRICE KITAULI ANUSURIKA KUTOLEWA KAFARA. USHUHUDA WA KWELI Watsap +255757830451

  Рет қаралды 16,510

BEATRICE KITAULI

BEATRICE KITAULI

Күн бұрын

Habari; Usisau ku-subscribe na ku-share na wengine ili wapate ujumbe huu utakaowasaidia kimwili na kiroho. Mungu awabariki nawapenda sana

Пікірлер: 143
@charleskinungi6088
@charleskinungi6088 3 жыл бұрын
Beatrice I love your hymns sana and they are truly a blessing to many..you toook soo long there.ungeondoka kitambo ulipotumwa mayai..hongera kwa kusema ukweli
@linkreuben5804
@linkreuben5804 4 жыл бұрын
Pole sana mtumishi, naona walikuonea sana hao manabii, sioni hata kosa lako. Ingekuwa mimi wange kuja wamepiga magoti kuniomba msamaha, au wenge kufilia mbali, baada ya kupona ningepiga maombi makali! Hata mimi nilikuwaga na jaribu kama lako, nilipo ombewa na kupona nikagundua walinionea tu kutaka waniue. Nilipiga maombi wengine waliniomba msamaha, ambao hawakuniomba hawapo tena duniani. Biblia inasema kusamehe, lakini kwangu mimi, shetani na wachawi wake sio watu wakuwasamehe, wameua watu wengi hawana huruma hatakidogo! Mimi wananijua wakipita anga zangu naFyeka tu kwa Jina la YESU, Tangu hapo naishi maisha mazuri yenye starehe! Kwa Yesu kuna Raha!
@tobiasbarasa2927
@tobiasbarasa2927 4 жыл бұрын
Dada Kitauli ubarikiwe sana.Mungu akuzidishie neema sufufu na nguvu ili uweze kuendelea kutubariki na nyimbo za kumtukuza Mola wetu pamoja na kumtumikia yeye pahali popote panapo wito.Huo ushuhuda utaguza wangi ikiwemo mimi.
@reaper5534
@reaper5534 4 жыл бұрын
Pole sana. Duniani kuna mapito jamani. Lakini hii yako inamaumivu zaidi kwasababu waliokutendea mabaya haya wanatumia jina la Yesu/Mungu wanapotosha makanisa jamani😭. Mimi ninashauri tujifunze kujiombea wenyewe ndugu zangu; ukiomba kwa imani Mungu anasikia kabisaaa mimi nimepitia mapito na nimeomba kwa imani na Mungu ninayemuamini mimi amenisikia na ameniponya. Maana Kila amuaminie Mungu ni mwana wake na amepewa uwezo wake Mungu kupitia bwana wetu Yesu kristu. Mungu yu pamoja nasi sote . Mamlaka yote duniani ni ya Mungu peke yake shetani hana nguvu ni muharibifu tu wa maisha yetu. Tuombe kwa imani kuu mbona tunamshinda sana kwa jina la Yesu 🙏
@HappyMlinga
@HappyMlinga 4 жыл бұрын
Duh pole sana my dear Kwa Yesu hakuna gumu
@herriethhenry2043
@herriethhenry2043 4 жыл бұрын
Pole mtumishi Bwana yesu akutunze na ulinzi wa mungu uwe juu yako
@yustomlay1786
@yustomlay1786 4 жыл бұрын
Ukiwataja ni vzr ili watu wajiepushe nao la sivyo watu wataenda katika makanisa yao bila kujua ni muhimu sana kuwatajas
@irenemakokha7615
@irenemakokha7615 4 жыл бұрын
Amina Dada,Mungu akaendelee kkutia nguvu.....napenda nyimbo zako, barikiwa sana ..
@christinamzava852
@christinamzava852 4 жыл бұрын
Daaah nimejifunza kitu kikubwa sana. Nashukuru Sana kitauli kwa ushuhuda mzito. Hili ni somo kubwa.
@RithaKomba
@RithaKomba 4 жыл бұрын
Mungu atusaidie na atupe macho ha rohoni tuone tusio weza kuyaona katika macho ya kawaida ya mwili
@beatrice_kitauli
@beatrice_kitauli 4 жыл бұрын
HAKIKA ATUSAIDIE SANA RITHA
@glorymziray4153
@glorymziray4153 4 жыл бұрын
Mimi niseme hili MUNGU AMEKUPA NAFASI NYINGINE HAKIKA MTUMIKIE MUNGU KAMA HUJAWAI KUMTUMIKIA AWALI YANI NIMESKIA KULIA SANA DADA AKIKISHA UNASIMAMA NAILE KWELI YA MUNGU ISIYOGUSHIWA NAKUPENDA NAUPENDA ULE WIMBO WA TENZI NAHATA NILIKUWA SIJAFATILIA KUWA NINANI AMEIMBA ILA LEO NDONIMEJUA ILA NIKUTIE MOYO MTUMISHI MUNGU ANAKUPENDA MTUMIKIE KAMA VILE UJAWAI MTUMIKIA AWALI MUNGU ANAKUPENDA SANA SANA NASIKIA KUKWAMBIA MUNGU ANAKUPENDA UWE CHOMBO CHA KUMFAA YEYE ,🙏🙏🙏
@witnessmbise2886
@witnessmbise2886 4 жыл бұрын
Hii waimbaji tujifunze jmn hii mialiko tuulize Mungu kwanza atoe kibali bila hivyo tusiende hata kama wanatoa pesa nyingi kiasi gani,ni nyakat za mwisho manabii wa uongo wanaotumia nguvu za giza wanaongezeka kila kukicha
@beatrice_kitauli
@beatrice_kitauli 4 жыл бұрын
AMEN WITNES.MUNGU AKKUBARIKI KWA KUTAZAMA.
@lubatikoseme1446
@lubatikoseme1446 4 жыл бұрын
Msiangalie fame na pesa tu bali muwe qatu wa kumtumikia Mungu kikamilifu.. uimbaji ni sehemu ambayo shetani anapenda sana kui attack kama hamshirikishi Roho mtakatifu mtatumiwa sana na shetani..ombeni maxho ta rohoni na pia tumuabudu Mungu kwa Roho na kweli.
@lilianluhasi5053
@lilianluhasi5053 4 жыл бұрын
Damu ya Yesu Kristo izidi kukuimarisha maana Ni damu yenye ushindi
@msafirimhehe
@msafirimhehe 4 жыл бұрын
Dah.. Pole sana na Hongera kwa kuyaanza maisha mapya. Your life will never be the Same! Ubarikiwe sana na Mungu aendelee kukulinda.
@MariaMaria-yc2og
@MariaMaria-yc2og 4 жыл бұрын
Pole sana. Bw Yesu asifiwe. Wameshindwa kwa jina la Yesu. Ubaribikiwe
@wilfredmalima1138
@wilfredmalima1138 4 жыл бұрын
Nimesisimka sana. Sijielewi kama nipo njia sahihi ya katika kuabudu. Naomba tuwasiliane dada Beatrice
@psttituskilungya2383
@psttituskilungya2383 4 жыл бұрын
Wa .pole Sana my sister mungu akulinde watu wanatumia njana la Yesu kutoa watu kafara.watathibiwa na mungu
@mwanjad
@mwanjad 4 жыл бұрын
Our God is an awesome God. You shall not die but continue living go Glorify God. Bado kuna kazi mingi ya Mungu amekuhifadhi kufanya. Ubarikiwe.
@witneskilinda5034
@witneskilinda5034 4 жыл бұрын
someni Biblia, make wakristo wengi Biblia wameiweka kando, wana amini manabii kuliko Neno la Mungu. Yesu alikwisha kusema "Watatokea makristo wa uongo na manabii wa uongo, watafanya ishara na maajabu.....Mathayo 24:24
@yustomlay1786
@yustomlay1786 4 жыл бұрын
Halafu ayo mawigi Mungu hapendi usivae tena
@hillarykimutai7775
@hillarykimutai7775 4 жыл бұрын
pole sana beatrice mimi napenda nyimbo zako
@cupcakesanddounuts6555
@cupcakesanddounuts6555 4 жыл бұрын
Beatrice fanyeni kazi ya Bwana Acheni kuweka pesa mbele.
@beatrice_kitauli
@beatrice_kitauli 4 жыл бұрын
ASANTE SANA KWA KUTAZAMA MY MUNGU AKUTUNZE. ASANTE KWA KUTUSHAURI VYEMA
@devothaenock9325
@devothaenock9325 4 жыл бұрын
ROHO MTAKATIFU TUSAIDIE HAYA MAMBO BILA ROHO MTAKATIFU HATUWEZI .YAKO MAELFU YA WATU WANASALI HUKO NA HAWAJUI JAMANI.
@ev.helenafricanqueenofpeac2038
@ev.helenafricanqueenofpeac2038 3 жыл бұрын
@@beatrice_kitauli Hawo manabi wario kutendea ubaya hawo niwafreemason and illuminati, nakunawaimbaji wengi wario jiunga pia mufreemason and illuminati mimi nawajuwa ubaya wao, namimi wafreemason and illuminati warinitendea mubaya pia hawo manabii wario bijiunga emo au watu wario bijiunga emo ubaya wario nitendea mateso nirio yapata dada yangu nihatari. Mimi njo nawajuwa.
@rosepeter8996
@rosepeter8996 4 жыл бұрын
pole sana dada kwa hayo maputo🤔🤔yamenisikitisha sana.na kwa uponyaji,kupitia imani yako,mungu na ahimidiwe milele.🙏
@esteriapaul9883
@esteriapaul9883 4 жыл бұрын
Tunaishi katika dunia yenye mambo mengi ya ajabu,pole sana Dada...Mungu azidi kukutunza na atimize kusudi lake
@concesafl
@concesafl 4 жыл бұрын
Ester
@aroundtheworld4173
@aroundtheworld4173 4 жыл бұрын
Unamtunzia siri shetani. Hata huu ushuhuda unaonyesha UNAOGOPA. Acha kumtukuza shetani, mwana wa Mungu sema iliyo kweli, weka wazi manabii hao.
@priscilarkahindi9126
@priscilarkahindi9126 3 жыл бұрын
Angewataja angeokoa wengi
@mcjohnthegreat8903
@mcjohnthegreat8903 4 жыл бұрын
Pole sana Beatrice Shetani ni mshenzi hajafanikiwa malengo yake plz usimwache Mungu alokuokoa kutoka kwa kafara.
@beatrice_kitauli
@beatrice_kitauli 4 жыл бұрын
ASANTE SANA KWA KUTAZAMA MY MUNGU AKUTUNZE
@sikujuabbona1621
@sikujuabbona1621 4 жыл бұрын
Bit mungu ni mwema Sana utashinda na tunapiga maombi kimya kimya
@TanganyikaProductions
@TanganyikaProductions 4 жыл бұрын
Mungu ni Mkuu
@beatrice_kitauli
@beatrice_kitauli 4 жыл бұрын
HAKIKA NI MKUU ZAIDI
@edifique11n94
@edifique11n94 4 жыл бұрын
Jamani kweli yesu asifiwe ndomana nilikuwa naona kimia ila jaribu lako umelishinda yesu yupo nawe dada yangu pole sana tena sana 😥😥
@marypallangyo1676
@marypallangyo1676 4 жыл бұрын
Pole sana dada Mungu nimwema amekuvusha ktk mapito mazito sana
@daudimichael7338
@daudimichael7338 4 жыл бұрын
Pole sana Dada, ni kweli shetani kakutesa. Sikuwa nakujua kabla, unaposema wewe ni mwimbaji, imebidi niangalie video zako za nyimbo. Nimegundua ulipokuwa mzima unaimba afya yako ilikuwa nzuri na mrembo sana, but unavyoonekana sasa ni tofauti sana. Pole sana, Mungu amekusaidia na utarudia hali yako ya kwanza.
@mariamsuma3003
@mariamsuma3003 4 жыл бұрын
Pole sana dada angu mungu ni mwema
@vanesashilima9629
@vanesashilima9629 4 жыл бұрын
Kweli ndugu yangu mungu ni mwema sana ila anasababu na wewe ili ushuhuda wako uponye watu wengi maana watu wanatumikishwa sana na shetani kwa kupitia kwa hao manabii, mungu awape macho yakuona ilinawao watoke huko
@beatricen1228
@beatricen1228 4 жыл бұрын
My sister sorry you went through that and God is good and he has given us the opportunity to hear from you so that we can our eyes so we can see in Jesus.name and for those who are still sick may he keep them and heal them in every way that the devil has taken from them in Jesus name Amen🙏
@peterdaniel9050
@peterdaniel9050 4 жыл бұрын
Pole sn dada,manabii wa uongo wamekuwa wengi
@godisgreat1845
@godisgreat1845 4 жыл бұрын
Mtumishi wa Mungu nabii Mtume yani mnaita a tu kwa vile hamjui maana ya hayo lakini hamsemi Mungu gani mnamtumikia Mungu haabudiwi kanisani labda ibilisi maana hakuna andiko lolote Mungu anasema kanisani kuna ibada yake maana hata Yessu hajawahi fanya ibada kanisani huko ni kwenu fanyeni MTAKAVYO hakuna shida ila mtajuta siku ya hukumu
@profs.a5412
@profs.a5412 4 жыл бұрын
Ni kosa kubwa saana kumficha adui yako...kadri unavyo zidi kumficha adui unamuongezea chance ya kukufanyia mabaya .Mungu akulinde
@priscilarkahindi9126
@priscilarkahindi9126 3 жыл бұрын
Yes unampa chance yakukumaliza,na wengine hawatajua kilichokuua
@ellyitete938
@ellyitete938 4 жыл бұрын
Pole sana dada unasauti nzr naomba uongeze kiwangu Zaid Cha kutumika Yesu kakupa bonus ya kuishi
@phineruge3480
@phineruge3480 4 жыл бұрын
Ameeen, Mungu wetu Baba wa Mbinguni ni Mkubwa Zaidi kuliko pito lolote hapa Chini ya jua na Mbinguni. Pia Ole wenu Nyie Manabii wa uongo mnaojifanya Kondoo kumbe ni Mbwa mwitu anayewinda Kondoo ole wenu👈👈👈😱😱😱
@judithabuko6006
@judithabuko6006 4 жыл бұрын
😭😭😭😭😭Mungu at utetee aki Hawa watu mm siwapendiii💔💔💔😥😥😢
@melckizedeckdaudi4746
@melckizedeckdaudi4746 4 жыл бұрын
@beatrice Hata ukiwataja hautakufa Dada angu,Kwa sababu Yesu mtetezi wako yupo na anaishi. Waovu ni waovu tu hata ukiwaacha kama hawajaamua kuipokea nuru ya kristo, watabakia katika hali yao ya uovu na giza. Mungu akutetee!
@princessdaniella7217
@princessdaniella7217 4 жыл бұрын
Kila kitu ni chakweli tulitiana moyo mpaka mungu akaonekana
@rosaliembarikiwa592
@rosaliembarikiwa592 4 жыл бұрын
Mungu azidi kukuhifadhi katika Jina la Yesu Kristu 🙏
@jacklineminja2022
@jacklineminja2022 4 жыл бұрын
Pole sana hakika Mungu ashukuriwe ushuda huu funzo tosha
@aroundtheworld4173
@aroundtheworld4173 4 жыл бұрын
Mfuatilie Jay Israel na Bisola Johnson ujifunze jinsi waliokiri kweli ya Kristo wanavyotoa ushuhuda. Ushuhuda wako hauna msaada kwa wafuasi vipofu, wewe Roho wa Mungu aliruhusu uone hayo ili iwe sababu ya kuponywa wengi. Lakini unachofanya hapa ni kusimulia HADITHI TU wala si roho ya ushuhuda.
@erickmutungi8792
@erickmutungi8792 4 жыл бұрын
Acha hizo,usisemee mioyo ya wengine,wewe unajuaje kama huu ushuhuda haujasaidia watu, isitoshe mimi binafsi imenisaidia,kwa hiyo kama haujanufaika ni wewe . .
@suzymoraah7266
@suzymoraah7266 4 жыл бұрын
Neema inakutosha dadangu, nakupenda bureee.Barikiwa
@gastokimario2142
@gastokimario2142 4 жыл бұрын
Mshiki wakwa mboha sana, MUNGU ete mpango na ife, hakika usimwache Yesu, ngilihemba namba yafo kama yewezekana
@beatrice_kitauli
@beatrice_kitauli 4 жыл бұрын
ASANTE SANA KWA KUTAZAMA MY MUNGU AKUTUNZE
@fauzia8049
@fauzia8049 4 жыл бұрын
Mungu ni mwema pole sana mutumishi
@beatrice_kitauli
@beatrice_kitauli 4 жыл бұрын
ASANTE SANA KWA KUTAZAMA MY MUNGU AKUTUNZE
@mariamidrisa1359
@mariamidrisa1359 4 жыл бұрын
Natamani kuwajua hao manabii ili tujiepushe nao.
@shanicemasai5589
@shanicemasai5589 4 жыл бұрын
Asante dadangu ubarikiwe Sana sile pesa ulitoka za mayai ndio zilikumaliza. Endea kushukuru mungu
@asteriayohana3746
@asteriayohana3746 4 жыл бұрын
@@shanicemasai5589 kivipi Jamani mbona inatisha
@ev.helenafricanqueenofpeac2038
@ev.helenafricanqueenofpeac2038 3 жыл бұрын
Manabii hawo nawafahamu, manabii wote wario jiunga mufreemason and illuminati nawafahamu.
@angelcharlesmwinyi5314
@angelcharlesmwinyi5314 4 жыл бұрын
Jamani my dada pole nimekutafuta mnoo
@jessekusipa7325
@jessekusipa7325 4 жыл бұрын
Pole my ccter
@hopeeli9641
@hopeeli9641 4 жыл бұрын
Aaah, kumbe ndio maana huwa sio mwepesi wa kwenda kuimba makanisani kiwepesi, kumbe ni roho Mtakatifu. Ushuhuda unaponya ila kwa waimbaji wengi wanaangalia pesa bila kumsikiliza Roho Mtakatifu
@princessdaniella7217
@princessdaniella7217 4 жыл бұрын
Wahhhh nimekutafuta mungu pekeake ndiye alituponya
@priscilarkahindi9126
@priscilarkahindi9126 3 жыл бұрын
We pia ulikua mmoja wao?
@princessdaniella7217
@princessdaniella7217 3 жыл бұрын
@@priscilarkahindi9126 eee mpaka leo Sijai rudi tz
@salomenashon501
@salomenashon501 4 жыл бұрын
Daa !! Kikubwa Mungu amefanya njia umepita salama .
@lubatikoseme6613
@lubatikoseme6613 3 жыл бұрын
Wataje hao wachawi wanaojiita watumishi hili watu wengine waepuke upuuzi wao
@danielmusa4927
@danielmusa4927 4 жыл бұрын
Pole mungu ni mkuu
@world.mysteries1
@world.mysteries1 2 жыл бұрын
Mimi nakupenda
@mosesokumu6495
@mosesokumu6495 4 жыл бұрын
Mungu yupo
@beatrice_kitauli
@beatrice_kitauli 4 жыл бұрын
HAKIKA
@viviannorbeth7830
@viviannorbeth7830 4 жыл бұрын
Aiiiiiseeeee Dunia nikiza kinene kweli
@ErastoDitu
@ErastoDitu 2 ай бұрын
Vpi ni kweli ushuuda wako huo yalikutokea hayo?
@justinnyalukee4251
@justinnyalukee4251 4 жыл бұрын
Ushuhudaaaaaaa huuu jamaaaaaniiiii
@beatrice_kitauli
@beatrice_kitauli 4 жыл бұрын
ASANTE SANA KWA KUTAZAMA MY MUNGU AKUTUNZE
@niyongabirebydge6692
@niyongabirebydge6692 4 жыл бұрын
Mungu asifie sana kwakuguponya. akuna kitu kinashinda nguvu za Mungu.ebu nataka nigushaurie ufanye mu luga zingine iyi video ata english basi.ok asante sana
@beatrice_kitauli
@beatrice_kitauli 4 жыл бұрын
ASANTE SANA KWA KUTAZAMA MY MUNGU AKUTUNZE
@joycenniragira1327
@joycenniragira1327 4 жыл бұрын
Mungu akubaliki,ingekuwanimimi nisinge ficha hawo mashetani wanaojifanya ni manabii,kumbe nabii washetani ningewasema wote majina katikajina ra YESU KRISTO ALIYE JUU MBINGUNI NA DUNIANI
@thomaschilwa6398
@thomaschilwa6398 4 жыл бұрын
Kina mama na Dada epukeni nyele za bandia kucha za bandia na vitu vyote Kama ivi vinatoka kuzimu vimenenewa laana epukeni Sana
@wardawarda3427
@wardawarda3427 4 жыл бұрын
Sawa kaka asante kwa ushauri Mungu akubariki
@eunicehezron3481
@eunicehezron3481 4 жыл бұрын
Nikweli Mimi namshukuru Sana MUNGU aliye hai amenifungua Kwenye hicho kifungo cha mapambo.
@MariaMaria-yc2og
@MariaMaria-yc2og 4 жыл бұрын
Kweli kabisa, kuna viwanda vya shetani hata vya hela. Mungu alituumba na nywele, kucha, kope za macho na ngozi nzuri sana. Glory to God
@yustomlay1786
@yustomlay1786 4 жыл бұрын
Kweli nywele izo kucha Mungu hapendi watu hawaelewi
@kelvinsabasaba5577
@kelvinsabasaba5577 4 жыл бұрын
Pole sana.. lakini Mungu ni mkuu amekulinda!!
@providencesadiministries
@providencesadiministries 4 жыл бұрын
Âmen
@asteriayohana3746
@asteriayohana3746 4 жыл бұрын
Dada Beatrice vipi kuhusu yule kijana aliyepigizwa ukutani alipona???
@priscilarkahindi9126
@priscilarkahindi9126 3 жыл бұрын
Apo sasa,nahitaji kujua pia mm
@bishopdr.abrahamjonathanmu90
@bishopdr.abrahamjonathanmu90 4 жыл бұрын
Beatrice Kitauli, Bwana Yesu Kristo Amekuponya Kamtumikie. Uliweka Nadhiri ma Yesu Kristo 1Samuel 1:11 Omba na uwasamehe wale manabii wa uongo wote waliokutoa kafara kupitia kile chakula mlikula usiku huo, wasamehe kutoka moyoni. Ambiai Yesu Kristo akusaidie kuwasamehe kutoka moyoni kabisa. Hayo ni Mapito magumu umepitia dada nani kali kabisa na Yesu Kristo anasema na mimi nikutabirie kwamba ataenda kukutumia kwa wakati wake kwa kutenda kazi yake ya uponyaji Mathew 10:8. omba kwa Rohi na kweli umwambie Mungu akitumie atakavyo wakati wake kwa kazi yake kwa jina la Yesu Kristo. Amen, Nabii Abraham Jonathan +254738819122. Nairobi, KENYA.
@yustomlay1786
@yustomlay1786 4 жыл бұрын
Wew unajiita nabiii unabii umepewa nani?
@bryanfelix3771
@bryanfelix3771 4 жыл бұрын
Pele sana Dada ila tutajie kanisa linaitwa je maana watu wanaosalia apo niwengi
@Kingsolokotv-
@Kingsolokotv- 4 жыл бұрын
Pole rafiki angu
@josephkamaumbugua5572
@josephkamaumbugua5572 4 жыл бұрын
Watanzania mna jimambo.
@sabenya1640
@sabenya1640 4 жыл бұрын
MUNGU AKUTANGULIE....
@beatrice_kitauli
@beatrice_kitauli 4 жыл бұрын
ASANTE SANA KWA KUTAZAMA MY MUNGU AKUTUNZE
@myself4128
@myself4128 4 жыл бұрын
Kwanza hata kutaja watu umeshindwa mie shuhuda ZA HIVI SIZIAMINI,,, unatiahiwa kufa kwani utaiahi milele??? Wameniita walikuwa watatu akina nani sasa? Mbona leo hii unashuhudia??? Na kwanini usiwataje kama kweli umeokoka utaogopaje wanadamu?? Ndio maana manabio wa uongo na mapastors feki hawatoisha kwa mtindo huuu sababu hakuna anayewataja wote mnapenda ugali waongo tuu
@jaquevan9464
@jaquevan9464 4 жыл бұрын
Tutawajua kwa matendo maana imeandikwa yatayokea manabii wa uongo kwa hiyo tayari wapo huwezi wataja wote hata akitaja bado wapo wengine wengi
@irenemayallah6407
@irenemayallah6407 4 жыл бұрын
@@jaquevan9464 hajaambiwa ataje wrote,angewataja hao aliowazungumzia. Huwezi kuwahubiria watu waache kufanya dhambi huku huwaambii dhambi za kuacha ni zipi
@emmanueloigoofficial3758
@emmanueloigoofficial3758 4 жыл бұрын
Neema inakutosha dadangu
@patricknanyaro6391
@patricknanyaro6391 4 жыл бұрын
Wataje,pliz mawigi achana yao.
@nabcde15
@nabcde15 4 жыл бұрын
Tumebalikiwa na ushuhuda dada, lakini kuficha silizao nakukataa kuwataja na kusema yoote, na niwakinanani haomapaster, sunasikia kuwa damuyahao waumini waendao kwenye makanisa yaobilakujuwa itakuwakwenye kichwa chenu? Unisamehe Kwasababu uliwajuwa mungu akakufunulia niwakinanani lakini ukawafunika, nawenyewe( pastors) hawawezi kuokolewa bilakuwekwa wazi...
@princessdaniella7217
@princessdaniella7217 4 жыл бұрын
Haina haja tulikuwa pamoja na mwisho mm na kitauli tulichukiwa sana
@superraiza8458
@superraiza8458 4 жыл бұрын
neem y mung ikulind mtumish w mung
@valenakomba7686
@valenakomba7686 3 жыл бұрын
SASA MBONA UNAONGEA KAMA MZAIRE?
@jumakusekwa9499
@jumakusekwa9499 4 жыл бұрын
Hizo nywele mbinguni hazikubaliki
@eunicehezron3481
@eunicehezron3481 4 жыл бұрын
Ni Kweli kabisa ndugu yangu mpendwa MUNGU aliye hai akubariki Sana.
@eunicehezron3481
@eunicehezron3481 4 жыл бұрын
Ushuhuda wako unatuonyesha sisi njia ya kuwagundua watumishi wa uongo lakini Wewe bado umekwa na roho ya mapambo na vyenye naona unapenda Sana MUNGU Sasa hizo rasta zitakutenga na uso wa MUNGU aliye hai tupa mbali kabisa ndugu yangu mpendwa ili uanze ushirika Nzuri na YESU ALIYE HAI AMEN BARIKIWA SANA
@harimakidesu3680
@harimakidesu3680 3 жыл бұрын
Dada kitalu manywele hayo
@shadrackkavoi4514
@shadrackkavoi4514 4 жыл бұрын
Utataja majina yao kwa ajili ya USALAMA WAO? USALAMA GANI SASA????? Kuna usalama kwanza kwao? Bado utakutana na wegine bado........ila mungu akupe macho ya kuona!!
@maxwellking9399
@maxwellking9399 3 жыл бұрын
Hi Shadrack, I do share the same concerns with you. I feel here testimony has left a lot of untold stuffs. I wonder why she still protecting this kinda murderous people. Naona ni kama bado yuko anaishi kizani.
@naomijudithmichaeljudith8970
@naomijudithmichaeljudith8970 4 жыл бұрын
Kwa aou wa Kenya
@princessdaniella7217
@princessdaniella7217 4 жыл бұрын
Mama nakumbuka Jesus Christ,haya yote niyakweli tulikuwa pamoja
@beatrice_kitauli
@beatrice_kitauli 3 жыл бұрын
Ikiwa unamkumbuka Yule mama wa Dar es Salaam Agnes Mmbaga alikuja kufariki alikuja kugonjeka Sana tangu tulipotoka tu pale mkutanoni na amefariki wiki mbili zilizopita.
@princessdaniella7217
@princessdaniella7217 3 жыл бұрын
@@beatrice_kitauli ni zile vitu zao
@peteryukunda9239
@peteryukunda9239 3 жыл бұрын
Liongoooo.
@cupcakesanddounuts6555
@cupcakesanddounuts6555 4 жыл бұрын
Mmeambiwa sana hamsikii mnataka Bwana afanye je? Mnafuata manabii wa uongo kwa sababu ya fake miracles.
@lucasgasper5235
@lucasgasper5235 4 жыл бұрын
Wewe ndo ulimwambia hao manabii ni wa uongo anaoenda nao
@ev.helenafricanqueenofpeac2038
@ev.helenafricanqueenofpeac2038 3 жыл бұрын
Mimi manabii wauongo mafreemason and illuminati wengi nawajuwa. Ubaya wao wote naujuwa. Ubaya wote wafreemason and illuminati wote naujuwa vyote.
@calisterbosibori151
@calisterbosibori151 4 жыл бұрын
Wachungaji wachawi hao...ukiwashinda wivu itawafanya wakuue
@naomijudithmichaeljudith8970
@naomijudithmichaeljudith8970 4 жыл бұрын
Plz tuabie aou manabii tuwajue
@thomaschilwa6398
@thomaschilwa6398 4 жыл бұрын
Hapana Kama nyeoe za kwake ainashida lakin kama sio zake ni kosa
@freretoms5119
@freretoms5119 4 жыл бұрын
Mungu azidi kuku jaza nguvu mupendwa wa Mungu nakufata Mia kwa Mia nikiwa apa mujini Bujumbura 🇧🇮 weka link zako apa twende Sawa kama una mukubali uyu mama
@glorymziray4153
@glorymziray4153 4 жыл бұрын
G
@asiamasimbaniasia8767
@asiamasimbaniasia8767 4 жыл бұрын
MUNGU WETU NI MSHINDI HAKIKA
@beatrice_kitauli
@beatrice_kitauli 4 жыл бұрын
am
@beatrice_kitauli
@beatrice_kitauli 4 жыл бұрын
AMEN ASIA
@pastorsimonlazarunye9576
@pastorsimonlazarunye9576 4 жыл бұрын
Asia Masimbani Asia waimbaji mjifunze kuwasikiliza wachungaji wenu kwani wakati wote mnaambia si kila madhabahu pa kuingia na huwa mnapoambiwa na wachungaji hamtaki kusikia jifunzeni hata kwa haya. Unapomwaambia mwiimbaji usifanye jambo fulani huwa sijui mnaona wanawaona wivu sijui ila ninyi mnajui. 1SAMWELI 8:4--9 1TIMOTHEO 4:16
@annabar6603
@annabar6603 4 жыл бұрын
What?who?where?when?JESUS JESUS JESUS JESUS JESUS JESUS JESUS
@kakaboneyburundi
@kakaboneyburundi 4 жыл бұрын
E mail yangu hiyo, uniandikiye kakaboney@gmail.com
@myself4128
@myself4128 4 жыл бұрын
Sioni kama una akili sawa eti muombe Mungu? Mnamuacha mtu hajitambui??? Kwanini msiripoti????na umesema ulikuwa unalipwa baada ya mkutano kumbe unafanya biashara ukiimba lazima ulipwe????Halafu eti hamkuripoti popote ndio nawaona waongo wakubwa
@wewehehe6405
@wewehehe6405 4 жыл бұрын
Kila mtu anakula kwa jasho lake.
@yustomlay1786
@yustomlay1786 4 жыл бұрын
Ukiwataja ni vzr ili watu wajiepushe nao la sivyo watu wataenda katika makanisa yao bila kujua ni muhimu sana kuwatajas
@peterdaniel9050
@peterdaniel9050 4 жыл бұрын
Pole sn dada,manabii wa uongo wamekuwa wengi
Phina - Sisi ni Wale (Official Music Video)
3:49
Phina
Рет қаралды 14 МЛН
Крутой фокус + секрет! #shorts
00:10
Роман Magic
Рет қаралды 41 МЛН
Ozoda - Lada ( Official Music Video 2024 )
06:07
Ozoda
Рет қаралды 30 МЛН
DID A VAMPIRE BECOME A DOG FOR A HUMAN? 😳😳😳
00:56
Mimi S01Ep27 (TV Series)
26:08
Elizabeth Michael
Рет қаралды 212
BEATRICE KITAULI - YESU UNIPENDAYE (Official Video)
5:49
BEATRICE KITAULI
Рет қаралды 606 М.
Arabic Dialects - Which Arabic dialect to learn?
20:46
Muhammad Al Andalusi
Рет қаралды 437 М.
YESU UNIPENDAE
4:59
VICTOR ARON
Рет қаралды 9 М.
18+ | S*xual rights in Islam | #MuftiMenk | #ShWaelIbrahim | #DrMSalah
57:41
Freedom In Independence: How Being a Free Thinker Shapes You Sara Al Madani | Tracy Harmoush
59:04
Tracy Harmoush : What They Don't Tell Us Podcast
Рет қаралды 155 М.
BEATRICE KITAULI; PANYA official video 1080 (Skiza 8084273 to 811)
7:20
BEATRICE KITAULI
Рет қаралды 19 М.
Крутой фокус + секрет! #shorts
00:10
Роман Magic
Рет қаралды 41 МЛН