More blessings Martha wetu❤❤❤❤❤❤ unapendeza sana from 🇿🇲🇿🇲
@QueenAmbakisye13 күн бұрын
Nakupenda matha,mungu baba wambinguni akupiganie,
@joanwanyutu276413 күн бұрын
Keep serving Jehovah God Almighty through your gospel ministry. God is the rewarder. Usiwasikilize, nyamaza tu.
@JustinaMambo-jb4uj15 күн бұрын
Am so happy pleasure free Mather glory to God 🙏🙏🙏🙏🙏 love from Zambia tunakupenda sana groly
@EmmyKash-zp4ft14 күн бұрын
Asanteni Congo kwa heshima mliyompa mama mathar:
@BUNIATODAYINTERNATIONALE14 күн бұрын
Amina
@glorymoshi900211 күн бұрын
Kweli nabii hakubaliki kwao hongera sana watu wa Congo kwa Upendo wenu.
@shekinahshimeni832014 күн бұрын
Mwenye wivu ajinyonge ❤❤❤❤❤hatufanani 🙏🙏🙏🙏
@ElizabethTinuga13 күн бұрын
Nakushinda ni lazima tuko na matha mpaka mwisho hata waseme vipi
@dicksonlango753714 күн бұрын
Amen, Amen, Amen....Glory unto God! Martha you bless me more ...!
@BUNIATODAYINTERNATIONALE14 күн бұрын
Amina
@JustinaMambo-jb4uj15 күн бұрын
Am very happy please people maduwi mukimaliza kusema muyende mukalale Mather mwaipaja we forward forward forward forward forward forward forward forward forward God be with you Mather.
@lucymatiga183814 күн бұрын
Tunakupenda Martha chapa kazi yamungu
@BUNIATODAYINTERNATIONALE14 күн бұрын
Amina
@lucymatiga183814 күн бұрын
Shetani anahakili.alipangakumwangamiza Martha shetani umeshindwa kwajina yesu amina
@BUNIATODAYINTERNATIONALE14 күн бұрын
Amina
@tantinendayishimiye57914 күн бұрын
Chapa kazi kipenzi ili ushinde nguvu ya kishetani inataka kuzuia injili ya Mungu 🙏🙏Mungu akugikishe mbali
@jennyjnsimbe514 күн бұрын
Vibe ya wa Congo inafulaisha sana yani wanajua nyimbo zako zote wanaimba kutoka mwanzo handi mwisho big up❤❤❤❤
@BUNIATODAYINTERNATIONALE14 күн бұрын
ASanté jameni 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@neemababuya471414 күн бұрын
Nakupenda matha wangu wauneshe ukuu wamungu wako
@Jean-MarieKasereka15 күн бұрын
Mambo yamebadilika. Mungu anapenda kila kitu ❤
@kjwachira13 күн бұрын
Surely hatufanani. Those trying to destroy you tell then neema ya mungu inatutofautisha.
@IsaacBenesia14 күн бұрын
I love it, Martha God 🙏🙏 you may live Long to testify the goodness of God ❤❤
@JustinaMambo-jb4uj15 күн бұрын
Hahaha Mather mwaipaj where are you Beatrice , people people people people people come and see watanzaniya duniya nzima ote mayaduwi mwenye wivu ajinyonge please Mather mwaipaja God protect you my dear sister love from Zambia.
@BUNIATODAYINTERNATIONALE15 күн бұрын
Amina
@Ndayirukiyevianney14 күн бұрын
Aminaaa kubwaaaa
@marthamashinji683014 күн бұрын
Mungu akuinue zaidi natamani sana kuimba na wewe martha tafadhari
@BUNIATODAYINTERNATIONALE14 күн бұрын
@marthamashinji6830 Amina
@JustinaMambo-jb4uj13 күн бұрын
Hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah ameeeeeeee love from Zambia
@LeaNdato14 күн бұрын
Amen Amen mungu akulinde
@BUNIATODAYINTERNATIONALE14 күн бұрын
Amina
@MarieBahindwa14 күн бұрын
Ubarikiwe sana dada mungu nimukubwa mambo yamebadilika kwangu 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏😁😁😁😁
@BUNIATODAYINTERNATIONALE14 күн бұрын
ASanté sana
@eunicekatimbo336914 күн бұрын
To God be the glory 🙏
@DIEUVIVANT13 күн бұрын
Hi
@BUNIATODAYINTERNATIONALE13 күн бұрын
Hello
@Joharishaban-ji5em14 күн бұрын
Me nimuislam u.enikosha sana nimeskia raha sana ❤❤❤❤❤❤❤❤mungu akuinue zaid dawa ya adui mpe vitend usimjibu kabisa utampa jeur na kujitakas maan kichaa hajibiwi ukimjib mtalingan😂😂😂
@sophianabintu666614 күн бұрын
Marta .mambo ya mungu yatupita fahamu kweli mambo yanabadirika kabisa
@BUNIATODAYINTERNATIONALE13 күн бұрын
Surtout ça. Maombi tu ina tosha
@sophianabintu666614 күн бұрын
Mungu ni mwema dada Marta umepitia mangu me mungu ni mtetezi mwema wako usibadireke tu baki vilevile
@BUNIATODAYINTERNATIONALE13 күн бұрын
Amina
@Hellen-d6c14 күн бұрын
Nasikia tabasamu tu la moyo hakika kunaneema imekubeba my dear nakuheshimu sana rafiki yangu❤❤❤
@Asha-s9u8p14 күн бұрын
😮😮😮 kusoma hamjui na hata picha hamuoni pooooh,
@BUNIATODAYINTERNATIONALE14 күн бұрын
Uwongo jameni
@Asha-s9u8p13 күн бұрын
@@BUNIATODAYINTERNATIONALE mmh atawadanganya nyinyi lakini sisi huyo tunamuona msanii kama zuchu sio mtumishi
@annethuo441814 күн бұрын
Hongera marha wewe niwa Mungu
@BUNIATODAYINTERNATIONALE14 күн бұрын
ASanté jameni
@AlimaArmando15 күн бұрын
Hogera, kila unto na mesma wake. 👏👏👏👏👏👏👏👏
@Hellen-d6c14 күн бұрын
Nilitaka nishangae mpaka umalize kuhudumu huja nena kwa lugha wakati mimi huku nilishazama mbingu nyingine hahahahaa respect Martha shandarararise vyakutosha wacha uipate furaha ya wokovu nena tu my dear jenga roho yako I love you Martha
@Asha-s9u8p13 күн бұрын
😅😅😅 kipofo anawaongoza vipofu wenzake wakijashtuka wote wako shimoni eeh Mungu wafungue macho ya rohoni hawa watu jaman
@LilianLyner12 күн бұрын
Kazi ya kuhukumu sio yako ndungu ukisoma biblia inasema unawezaje kuona kitanzi kilichopo katika jicho la mtu wakati boriti liliopo jichoni mwako ulitazami plz be careful dear hii ni dunia na tunapita usivae viatu visivyo vyako
@gracejohn935814 күн бұрын
Jaman biatrice kaona hiii au bado make kwanza nicheke😂😂😂🤣
@Ndayirukiyevianney14 күн бұрын
cenye MUNGU ametia ndani yake kikubwa sanaaa kinapashwa kupiganishwa ila Akuna kitakaco muweza kwasababu MUNGU yupo pamoja na ye
@gracejohn935814 күн бұрын
@Ndayirukiyevianney amen
@JuliethChristopher-q5c14 күн бұрын
We nishida madam
@kjwachira13 күн бұрын
Hate me not as long as God is on her side. Hating her is nothing
@lucymatiga183814 күн бұрын
Mwaibishe shetani hanachake
@BUNIATODAYINTERNATIONALE14 күн бұрын
Amina
@IssaNdjaba14 күн бұрын
Tuna ku pokeya n'a rahaaa Sanaa
@BUNIATODAYINTERNATIONALE14 күн бұрын
ASanté sana mungu awabariki
@KANGAKARANI10 күн бұрын
Kwenda uko huna maaana
@weveeernest991114 күн бұрын
Niceeeeee
@janethbyegon14 күн бұрын
Hapa Martha ni ushuhuda anatoa.
@AbiyaAbi-q2k14 күн бұрын
He he jamani Martha mwaipaja amejuwa lingala Maboko Maboko 😂😂😂😂😂
@FrancoisMangala14 күн бұрын
Apewe uraiya.
@BUNIATODAYINTERNATIONALE13 күн бұрын
Ya Leo Léo tuna mupa uraiya🇨🇩🇨🇩
@neemashabaan14 күн бұрын
Yesu ni mkuuu sana jaman
@bettykinyami509614 күн бұрын
Watu wanaingizwa kuzimu kweli ukiwa unamtumikia shetani hata aibu na hofu unakuwa huna mbele za Mungu
@yusuphmatinya856014 күн бұрын
Wewe ni mungu unayehukumu wivu acha
@Asha-s9u8p14 күн бұрын
@@bettykinyami5096 🙏🙏🙏wanaangamizwa kwa kukosa maarifa
@Asha-s9u8p13 күн бұрын
@@yusuphmatinya8560 🤣🤣🤣🤣 wanaangamizwa kwa kukosa maarifa,👹👹amewamata hata hawajitambui masikini
@JustinaMambo-jb4uj13 күн бұрын
Mather forward forward forward forward God be with you ❤❤ from Zambia
@JustinaMambo-jb4uj13 күн бұрын
Shetani we
@atuswegemposi166814 күн бұрын
YESU AKUTUNZE ❤❤❤❤
@MarcelineAmis15 күн бұрын
Amen💪💪💪❤❤
@LucyKway8 күн бұрын
Sitachoka kukuambia kutengeneza naa mama yako umetoka mbali na nani km sio mama yako machozi ya mama ni mazuri kwako??? Mimi sijafurahishwa tengeneza kwanza
@RizikiOmari-gq7qt14 күн бұрын
Amen😊❤❤❤❤😊
@LucyKway8 күн бұрын
Bado sitachoka kukuambia katengeneza mama yako ndugu ulitoka mbali na mama yako
@MariamKarembo15 күн бұрын
Amen 🙏🙏
@ChristopheAmani-t1o15 күн бұрын
Nina sikia Raha sana
@BUNIATODAYINTERNATIONALE15 күн бұрын
Amina
@ElizabethChilikona11 күн бұрын
Watu wa camera ni ovyo kabisa
@ASENSIOMASTAKI15 күн бұрын
Courage 😊
@AgnessJohn-v8p14 күн бұрын
Unaimba wakati mamayako anateseka sasa baraka yako Iko wapi kutoka Kwa mamayako
@JustinaMambo-jb4uj14 күн бұрын
Shetani we nenda zako
@BUNIATODAYINTERNATIONALE14 күн бұрын
@JustinaMambo-jb4uj Nani shetani ivi muna juwa roho ya MTU kabisa
@JustinaMambo-jb4uj14 күн бұрын
Mwenye wivu ajinyonge please Mather forward forward forward
@lucymatiga183814 күн бұрын
Wewe uliyakalia hayo tu. Kila kukicha
@Asha-s9u8p14 күн бұрын
Shetani mwenyewe chawa wee nakiswahili chako cha kuungaunga, acha apewe ukweli kama mmempenda mpeni uraia, mnaangamizwa kwa kukosa maarifa@@JustinaMambo-jb4uj
@Farajahelene2303115 күн бұрын
Mwaipaja
@Ab-gg6md15 күн бұрын
Ule dada hapendewe uku kwao.. muombe Mungu sana Mumu ulize kuusu mamaye niaje?
@JustinaMambo-jb4uj14 күн бұрын
Poteleya mbali
@ChristopheAmani-t1o15 күн бұрын
Amen
@VictoriaNzuki-x1j14 күн бұрын
❤❤
@TusajigweMboma78015 күн бұрын
Penda sana matha
@lovek659314 күн бұрын
Madonge kwa bitii eti hatufanani.ufreemason uko kazini
@RedentaMahessa14 күн бұрын
@@lovek6593 tena uvumba umepita kwel kwel. Shetani yupo kazn.
@RedentaMahessa14 күн бұрын
Mmh! Tuombe sana Mungu shetani yupo kazn
@saraoloo925114 күн бұрын
@@lovek6593 umesema madonge kweli kweli 😂😂😂
@JustinaMambo-jb4uj14 күн бұрын
Mukome kwajina la yesu Mather forward forward forward we
@BUNIATODAYINTERNATIONALE14 күн бұрын
@JustinaMambo-jb4uj Ndo hivyo labda wewe uwaambiye