Saivi nimuda wako wakutowa nyimbo Kila wiki Ili upasue mashabiki wasiokujuwa washakujuwa pia tunakuombea umaarufu wa dada yako nautajiri wake uhamie kwako Ili umusaidie mama
@victoriasweetbert112821 күн бұрын
Yaan ushuhuda wako Beatrece umenifanya nikutafute ,kweli umemiliza Mungu akutunze na Mama yako jamani ,tena unasauti nzuri sana na wimbo ni Mzuri sana ni shetani tu alikufunika usijulikane .
@roselidaayako Жыл бұрын
Amen lazima ndoto itimie
@janethjackson9774 Жыл бұрын
Ndoto kwa mwanangu itatimia
@BettyMgimba-zj6gh10 ай бұрын
Kwa jina la yesu nami mungu anitendee ndoto ya kumbia mungu itimie na wanangu
@EmmanueliEma Жыл бұрын
😮mungu akuogoze ktk ndoto yako
@annemukui998512 күн бұрын
Mungu akubariki Beatrice unaendelea vizuri
@EmmaroseJoseph21 күн бұрын
Nami naamini ndoto yangu na ndoto za watoto wangu zitatimia KWA JINA LA YESU KRISTO MWANA WA MUNGU ALIYE HAI AMEN AMEN AMEN!!
@moureenwangila3072 Жыл бұрын
NDOTO yangu lazima itimie kwa Jina la YESU
@midevamumbe3903 Жыл бұрын
Be blessed so powerful song.. watchingfrom 🇰🇪 🇰🇪
@IreneDidace Жыл бұрын
Hakika lazima itimie ndoto yangu umenigusaa sanaa
@elvinangumbao9745 Жыл бұрын
Amen 👏
@JohnThadayo Жыл бұрын
Ni lazima ndoto yangu itatimia kwa jina la yesu,ubarikiwe dada
@sophiasophie7964 Жыл бұрын
Amen 🙏...nimebarikiwa
@jamundakiboko56422 күн бұрын
Barikiwa sana,na musameheane na dada yako Martha,Shirikianeni mtoe wimbo wa pamoja...
@MariamNkuba-v9m5 күн бұрын
Ww ndio umenena mema
@angellufulan Жыл бұрын
Barikiwa sana hii impending and love you so much na ndoto itatimia. Sooooon
@mariaagnes447 Жыл бұрын
Waooooh chimami nakukubali hat nikiwa njaa nyimbo zako tu nashina❤❤
@sinomiles3 күн бұрын
Anaependa hii nyimbo ndoto yake itatimia, Semeni Amen 🙏🏽 it’s Miles from Australia 🇦🇺 East africa ni Nyumbani
@daudimhoha320 Жыл бұрын
Ameen.ndoto.yanguitatimia.haleluyaa
@doris-x1c9 күн бұрын
Mungu wetu ni mzur lzm ndoto itatimia... Ktk jina la yesu
@chepkorirjarlody6673 Жыл бұрын
Ndoto itatimia, kwa Jina la Yesu. Amen🎉
@Tusajigwekiblaga Жыл бұрын
AMEEN 🙏🙏🙏🙏 Barikiwa sana Asante kwa wimbo mzr mbona tutafika tu ❤❤❤
@silviak1776 Жыл бұрын
Amen 🙏 🙏 love you from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 ndoto yangu lazima itatimia 🙏🙏
@JacklineKachwele7 ай бұрын
Ubarikiwe Sana Kuna siku ndoto yangu itatimia kwa neema ya MUNGU
@danielkalori5373 Жыл бұрын
Amen Amen ubarikiwe sana
@GivenessJohnson19 күн бұрын
Mungu akutunze 🙏🙏
@henricamikambi6147 Жыл бұрын
So powerful sound, hongera sana nakuona juu sana
@beritawambani5748 Жыл бұрын
Ameen❤
@fc1010fa14 күн бұрын
ndoto inanimbia mimi sio masikini ,ndoto ndoto nimeona mengi kwa ndoto ,ndoto ndoto yangu itatimia waoooo
@bisengobubasha Жыл бұрын
Nina ndoto na Amini siku moja itatimia kwa uwezo wa Mungu 🙌🏽🙌🏽🙌🏽
@heriethinnocent3283 Жыл бұрын
Hakika ndoto yangu itatimia. Ubarikiwe sanaaaaaa my lovely Beatrice
@johnmsigwa7783 Жыл бұрын
Hongera sana Beatrice Wimbo mzuri sana .Barikiwa sana
@loiceloi9471 Жыл бұрын
❤❤❤ itatimia tu ndoto amen
@EvvaMontana17 күн бұрын
Naomba ndoto yangu itimie niwe tajiri na watoto wangu
@abdulmutwiАй бұрын
My neighbour will either choose to listen to this song or relocate coz it will be on repeat ❤🎉 mob love 💞 love from Kenya 🇰🇪
@judykipondya451717 күн бұрын
Unasauti nzur! Mungu atakuinua utazid kumsaidia mama ❤
@yasintakahamba1320 Жыл бұрын
Kwa jina la yesu lazima ni we mbunge kwajina la yesu
@rashtz2785 Жыл бұрын
Ubarikiwe Sana Dada
@Best_tz Жыл бұрын
Amen Kwa uweza wa Mungu kila ndoto inakwenda kutimia 🙏🙏🙏
@MarthaIrene-b2v11 күн бұрын
Naamini ndoto yangu itayimia ,barikiwa na bwana na akubembe mbele
@calistherezekiel7001 Жыл бұрын
Amen🙏🏼 MUNGU akubariki wimbo mzuri🙏🏼🙌
@bennyanda1777 Жыл бұрын
Mwenyezi -Mungu aendelee kukupigania zaidi wimbo mzuri sana hongera sana
@josephmutisya513212 күн бұрын
Congrats Dada tia bidii kabisaa and God will bless you alot
@BonfaceTungani-u4c20 күн бұрын
Ndoto yangu ya kuwa mwimbaji itatimi amen good job
@GeorgeIgnatio14 күн бұрын
Barikiwa sana mtumishi wa Mungu wa thamani sana kwangu bitriss mwaipaja MUNGU WETU akuinue sana
@mercyambongo Жыл бұрын
Amen 🙏🙏 barikiwa dada❤
@amoskipkorirmutai4275 Жыл бұрын
Baraka izidi kukumiminia Muumba wetu...apowerful song it is ❤❤❤❤
@LucyPius-gk1di16 күн бұрын
Mungu alibariki ndoto yangu na yako atimize kwa wakati kazi nzur
@dicksonmatulile152318 күн бұрын
Endelea kumpenda mama yako kwa hali yoyote ile na utabalikiwa
@DavidMushaga-xj3bf Жыл бұрын
Barikiwa Sana ,ujumbe nimkubwa kabisa
@mwendendeto Жыл бұрын
❤powerful song....ndoto lazima itimie kwa jina la Yesu ❤❤
@duncanmulu2450 Жыл бұрын
Kazi nzurii Daaaa Beatrice 🇰🇪🔥🇹🇿🇹🇿🔥🇰🇪
@EVERLYNEOTENGO5 күн бұрын
NDOTO YANGU ITATIMIA KWA IMANI
@princeogwelofficial4682 Жыл бұрын
Blessed 💯❤️❤️🔥🔥🎉🎉🎉🎉
@agnessmnyole441620 күн бұрын
Ndoto yangu lazima itimie 🙏
@rayMohamed-b1o19 күн бұрын
naamin na mm ipo siku ndoto yangu itatimia🤲
@FlorenceKhanaka9 күн бұрын
Ndoto yangu itatimia 2025 and I thank God I received in Jesus name
@nkurunzizagodsonbasile147116 күн бұрын
Kumbe wewe unaimba vizuri kushinda hata dada yako sitorudi kusikiliza nyimbo za dada yako
@MichaelMahizi-r2d20 күн бұрын
Lazima uringe make saivi ista Africa anaetazamwa niwewe tu mi nimtanzania Niko Kampala ug ila nawasikiriza ugomvi wenu kwenye familia ubarikiwe nawimbo wako mzuri betrees mwaipaja
@Willyblessing254 Жыл бұрын
Nyimbo mzuri saaaaana....naomba mwenyezi siku moja nije nifamye nawe Kazi 🎉❤
@alexkalonga5323 Жыл бұрын
Mungu akubariki Sana Da Beatrice tuko pamoja Sana, nyimbo zako zinanibariki Mimi pamoja na familia Yako!
@MariamuHusseni10 ай бұрын
Amen ndoto yang lazima Maisha yang yabadilike kwa jina layesu
@ScolastikaHonorius3 күн бұрын
Ndoto yangu itatimia hakika naamini
@MadukaAlphonce-ts5hh20 күн бұрын
Siwezi kuishi bila wewe ❤❤❤
@lynnetkweyu Жыл бұрын
Ndoto yangu ndoto itatimia❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤Am blessed ❤❤❤❤❤❤❤❤ More Grace sister Beatrice
@VivianWachera-k6d4 ай бұрын
Amen...ipo cku ndoto yangu itatimia...I love the song
@PhilbertJohn-c1j25 күн бұрын
Niukweli ukimuomba mungu anaitimiza ndoto
@fc1010fa7 күн бұрын
ndoto yangu iko karibu kutimia
@BARAKABakenyaofficial Жыл бұрын
Balikiwa mtumish 🎤👍 kwa ujumbe mzur 👍👍👍🎤
@jumachango Жыл бұрын
Wow..wow... barikiwa sana Dadangu hili ni dude Kubwa la kutia moyo na kubariki lazima ndoto yangu itatimia huu wimbo ni wangu barikiwa sana
@Marsemo Жыл бұрын
Mungu ametimiza dadangu,amen
@EVERLYNESKAKAN Жыл бұрын
Inspiring song hongera dada
@nyalinyali3409 Жыл бұрын
AMEN AMEN AMEN AMEN -NDOTO YANGU Itatimia
@CarolineAkinyi Жыл бұрын
Hallelujah! Amen 🙏
@braisonjohnnzunda Жыл бұрын
Waooo barikiwa sana dada angu hakika wimbo mzuri finally umetoa video🏆
@DamarisLuchemo Жыл бұрын
Ndoto itatimia much love from kenya
@gracekunambi7438 Жыл бұрын
NDOTO kwa watoto wangu itatimia kwa jina la YESU. 🙏🙏congrats Beatrice, beautiful song blessed.
@mnyakyusambunifu1432 күн бұрын
Mnyakyusa Mbunifu Ninaimani Ndoto yangu Itatimia tu
@jacklineanyumba5413 Жыл бұрын
I love this kwa kweli 🇰🇪
@mosessimkoko9364 Жыл бұрын
Bay power bay Force ndoto lazima itimie
@rabynzwala1144 Жыл бұрын
😂hakika ndoto zangu na wanangu zitatimia katika Jina la Yesu❤❤❤
@SaidiSalanje21 күн бұрын
Nakupenda endelea kuwa mwaminifu kwa mungu lazima ndoto zetu zitimie
@gloriaamase9764 Жыл бұрын
Amen naamini sanaa ndoto yangu Mungu ataitimiza siku moja barikiw dada Beatrice Mungu aendelee kuuinuwa zaidi❤❤❤❤